MANGE KIMAMBI AFICHUA MAMBO MAZITO AWAANIKA JANUARY MAKAMBA NA NAPE ATOBOA SIRI ZAO KUUTAKA URAISI

  Рет қаралды 7,735

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

As you all know I’m not a fan of Nape Nnaye and I have never been ila kama mtakumbuka vizuri siku Nape na January walipoondolewa nilikaa kimya kama sipo, nikawa nawachora watu humu X mkishangalia na kumcheka Nape. Haki nilipata shock kidogo kuona wale wanaojiita ma genius wa nchi wakishangalia kitu ambacho kilikuwa kinaashiria kuwa Samia anaelekea kule kule kwa Magufuli, alafu leo wanajitia wako shocked na kulalamika juu ya muelekeo wa Samia.
As much as I don’t like Nape ila simchukiii Nape more than I love my country.
Mimi nilikaa kimya ile siku sababu nilijua chochote nitakachoongea mngesema ni sababu nna urafiki na Mwamvita Makamba, urafiki ambao hauko tena kutokana na kwamba niliamua kukaa mbali ili siasa zangu sisi affect maisha ya familia yao.
Kinachosikitisha ni kwamba hata siku ambayo Nchimbi ataondelewa CCM mtashangilia pia bila kuangalia the bigger picture.
Siku Nchimbi akiondelewa CCM inatakiwa kuwa ni siku ya msiba mkubwa Tanzania maana yoyote atakaechukua nafasi yake ni kwamba amekubali Samia aongezewe muda wa urais.
Yes kuna wana CCM ambao woote hatuwapendi ila tuangalie mambo kwenye context ya nchi nzima na sio individual.
Nape hakuondolewa sababu ya alichosema kuhusu uchaguzi, Nape aliondolewa sababu moja tu, undugu na January Makamba, ambae ana ndoto za kugombea Uraisi in 2030. Hiko ndo kilichomtoa Nape. Ingekuwa maneno yake ndo yamemtoa basi Maneno Bashite aliyoongea jana kwa Mwamposa kuwa Mungu pia haha demokrasia yangefanya Bashite aondolewe, au maneno mazito walioongea wana CCM wengine yangefanya waondolewe.
Nachosema ni kwamba, kila anachofanya Samia kuanzia sana ni kwa kupimwa kwa mapana na marefu na Sio kushangilia tu
#tanzania #maandamano #siasa

Пікірлер: 6
@nyabahailani3169
@nyabahailani3169 15 сағат бұрын
Tuongonzwe na mwanaume jamani majaliwa au doto awe rais na makamu basi au mbowe au lisu au lema tosha😊🎉
@eaglecrown1101
@eaglecrown1101 17 сағат бұрын
Hahahaaaaa mange Kimavi maandamano yamebuma😂😂😂😂
@alisonikihedu9614
@alisonikihedu9614 14 сағат бұрын
Hayajabuma polis wsingeingilia
@Tupena-ov7xq
@Tupena-ov7xq 16 сағат бұрын
Music wa nini unadisturb
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ 16 сағат бұрын
Who cares tunachotaka maendeleo tu
@Hemedally-o9x
@Hemedally-o9x 14 сағат бұрын
Hatutaki porojo zako zifayie huko uliko pia ni nchi
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | Septemba 23, 2024 | Mchana
30:58
Johnson Sakaja - Mimi Ndio Gavana Nairobi, Sio Gachagua!!
16:28
Radio Maisha
Рет қаралды 14 М.
From Small To Giant Pop Corn #katebrush #funny #shorts
00:17
Kate Brush
Рет қаралды 67 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,4 МЛН
WAKILI AELEZA HATMA YA MBOWE NA WENZAKE BAADA YA KUKAMATWA
7:07
7 Signs That Someone Dislikes You and is Hiding it | STOIC PHILOSOPHY
27:50
JUA KALI LEO JUMAPILI TAREHE 22 SEPTEMBA
25:25
Benedict Aman
Рет қаралды 59 М.