AWATAJA WANAOHUSIKA KUTEKA NA KUFANYA MAUAJI | SIRI NZITO HII HAPA

  Рет қаралды 6,246

MADORA TV

MADORA TV

Күн бұрын

#daressalaam #utekaji #tanzania

Пікірлер: 97
@GaboGabby
@GaboGabby Сағат бұрын
Kabla ya kumsikiliza nimeanza kusoma comments...nikagundua, huu muda ni kheri nikafagie uwanja. Uchawa haujengi wakuu.
@YohanaMathayo-r7p
@YohanaMathayo-r7p 4 сағат бұрын
Tulia kwa jina la yesu ww ni chawa
@FransiscoKaiza
@FransiscoKaiza 4 сағат бұрын
We sio kiongozi wa dini ila nikiongizi wa tumbo🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸mtawajua kwa matendo Yao na kauri zao.........
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn 7 сағат бұрын
Na wewe umetokeya wapi😂😂
@ElizabethWamcha
@ElizabethWamcha 4 сағат бұрын
Na mkorogo wake😂😂
@Shukrann-q2l
@Shukrann-q2l 7 сағат бұрын
Hongera chawa
@musa-v3f
@musa-v3f Сағат бұрын
wewe kama mchungaji unashindwa kuzungumza ukweli?? unawezaje kuangalia video ya Sativa ambae alitolewa oysterbay police kabla ya kwenda kupigwa risasi porini? kwanini serikali ikatae scotland yard ya UK ije ichunguze wananchi wajue ukweli??
@JojoJoji-h8g
@JojoJoji-h8g 3 сағат бұрын
Nashutuka kusikia kwamba hii nchi haiko salama kwa kias hiki afadhali Mara Mia moja pols kuhudhiswa kuliko kusema Kund kund lenye uwezo wa kuteka na kuua na jesh lipo uslama upo hapana kabisa Ina maana sisi wanainchi hatuko salama kwa kias hicho ungesema Kuna watu huko huko wenye Nia ya kumharibia mh Rais mama Samia mimi najua tanzania tu pols imara jeshi imara na usalama
@AyubuHeshima
@AyubuHeshima 3 сағат бұрын
Inawezekana huyu siyo Mtanzania maana hata ngozi yake inanichanganya
@allyhasani3750
@allyhasani3750 4 сағат бұрын
We chawa kweli
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 6 сағат бұрын
Usitetee maovu unajiharibia ulipaswa kukemea MAOVU huna POINT
@MichaelMwamanda
@MichaelMwamanda 4 сағат бұрын
Bora ungekaa kimyatuuu
@annaezra2344
@annaezra2344 6 сағат бұрын
Unajua , kama hii serikali isingelihusika ingetoa tamko, lakini kwa sababu mama samia ametulia hatuna imani naye
@JacobMbosalee
@JacobMbosalee 3 сағат бұрын
Point taken
@MadodoMartini
@MadodoMartini 3 сағат бұрын
Wewe huna lolote,endelea kuhudumia watu wako unaowahudumia nag hujui utamu wa Madaraka kwa Viongozi wa Kiafrika, kapumzike, hakuna aneataka kukuelewa
@coolsinare8824
@coolsinare8824 3 сағат бұрын
we Mungu akusamehe bure maana hata hujielewi..unadhan watanzania hawajui kuelewa ukweli??mnatumia nguvu sana kuyumbisha hoja yenyewe
@davidsamson8204
@davidsamson8204 5 сағат бұрын
Utapia mlo wa akili ni mbaya sana kwani unaishi ukiwa kama mtu asiye jua chochote endelea kujichekesha mwenyewe
@AmaniSulle-v8w
@AmaniSulle-v8w 5 сағат бұрын
NINAKUFAHAMU SANA MCHUGAJI, WEWE NI CCM NA KUNA WAKATI ULIKUWA NA KINANA, ENDELEA NA UCHAWA WAKUPE HELA YA MATIBABU YA NGOZI C UNAENDA MATIBABU MAREKANI? AU BADO UNA MPANGO WA KUUZA GARI LAKO AINA YA LAND CRUISER ILI UENDE MAREKANI UKATIBIWE, OK UMEONEKANA ACHA UCHAWA HUBIRI INJILI
@JonasKivuyo-o4o
@JonasKivuyo-o4o 4 сағат бұрын
Mzee wangu ww tulia Wacha kutuumiza roho mdogo wangu kachukuliwa machimbo ya dhahabu pale chunya na Hawa watekaji na gari imeandikwa maliasili mpaka Leo mwaka imekata hatujui aliko kwa kweli tunaumia sana wakati mwingine unapoongea kuwa makini na ulimi maana tunamaumifu
@nazarethally9509
@nazarethally9509 7 сағат бұрын
Kweli kabisa brother umeongea ukweli kabisa wanamuonea tu mama Samia
@dullamasantula-sj3vm
@dullamasantula-sj3vm 4 сағат бұрын
Huna akili
@user-hd6il8ni2f
@user-hd6il8ni2f 3 сағат бұрын
Wewe ni kibuyu km vijana wa chama tawala wanatoa maelekezo kuna chinja chinja kumna mkuu alijitokeza yy mwenyewe kasema alikua ana wapeleka polini mingine anasema polisi wasi watafute watakapo wapokea sasa wewe kibuyu huyafahamu hayo,,!!? Acha kuzunguka pita njiakuu maneno mengi yanini,,! Hajitambui,,???
@AverinaShirati
@AverinaShirati 8 сағат бұрын
Achukue hatue sasa
@GwakisaMwasemele
@GwakisaMwasemele 5 сағат бұрын
Kweli wewe ni chawa hauna utafiti, nakupa mfano waliotekwa na vyombo Hivyo mdude, sativa nk Hawa walitekwa. Umeona Kuna majibu ya kutosha kutoka kwa Rais Samia? Huo ukimya ndio unaotupa picha kuwa anahusika
@DavidKagulu
@DavidKagulu Сағат бұрын
Hili tahira la wapi?watu wanatekwa na kupelekwa kituo cha Police ostbey ni wakinani kama sio vyombo vya dola???
@phillipmasungwa7365
@phillipmasungwa7365 7 сағат бұрын
UNATUMIKA VIBAYA ; WAKATI USHAHIDI WA MAMBO YOTE UPO.
@MjuniLaulian
@MjuniLaulian 3 сағат бұрын
Ukiona umuri huu kwenda Kongo na kuanza kujikilimu au wewe ni agent wa shetani
@martinkisha6307
@martinkisha6307 4 сағат бұрын
Umekosa cha kuongea kwani uliulizwa na naini kalale umechoka
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 7 сағат бұрын
Kwakweli ni halali uongee kama wewe maana mawszo yako ni mbaya sana tena ulishalaaniwa muda mrefu mmewa ngapi hivi hawa serikal hawakuon hata wakujukulie hatua ndugu yangu ya upo mkoa gan wilaya gan kata gan na kijiji gan na kweli una family wewe na una watoto je serikali hiyo kwasasa wanatoka wapi na wanaongozwa na nanini polen sana ndugi yangu kwa wale walioishiwa akili na mawazo sijawai kumpata na kumuona au kumskia kama wewe tena yawesekana hata hauna hata mtoto ila kwa wale waliozaa hawaongei ujinga kama huu umeidiwa kupewa cheo ngapi ila ni kwasababu halijakupata ndio maana unaongea hivyo.
@Hkilave
@Hkilave 3 сағат бұрын
Wewe kweli chawa njaa inakusumbua
@Macamp312
@Macamp312 3 сағат бұрын
MB zangu jaman zimepoteaa kwa huyu jamaaaa anaongea vitu havielewekiii daaah bandooo languu aiseeee daaah
@johncharles323
@johncharles323 4 сағат бұрын
Sawa ila umemsikia sativa kasemaje nani alimteka na bado wanamtisha ,
@ebrahimosman5477
@ebrahimosman5477 4 сағат бұрын
🙏👍
@MustaphaSeleman-z7c
@MustaphaSeleman-z7c 37 минут бұрын
Namaliza M B zangu nikajua anaongea chamana kumbe amna kitu kbs
@FestoMassani
@FestoMassani 5 сағат бұрын
Umepotea kiroho kabisaa tulia chawa tu
@khadi-z4o
@khadi-z4o 40 минут бұрын
MJINGA HUYU YUPO KAMA MENTAL HEALTH 😂
@eliabbanyikwa8716
@eliabbanyikwa8716 4 сағат бұрын
Kwenda zako unahitaji wakuone upate teuzi!!!
@NoahBeatus
@NoahBeatus 4 сағат бұрын
Mungu kulaani
@malackedson7706
@malackedson7706 4 сағат бұрын
Chawa ww
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 4 сағат бұрын
Ww sio kiongozi wa dini maana ujikilimu chawa mkubwa
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 сағат бұрын
Kumbe ndio huyu fala!
@albertmbise2670
@albertmbise2670 3 сағат бұрын
Uyu fala sana kuna kupindi alilalamima alifanyiwa untama na mapolice moshi na ndyo maana leo hii ngozi yake imebadilika kutokana na kupewa sumu
@agnessangawe3844
@agnessangawe3844 2 сағат бұрын
Ile sumu ulioloshwa je imeisha mwilini???
@IBRAHIMUCHACHA
@IBRAHIMUCHACHA 2 сағат бұрын
Wewe ni chawa kama chawa wakuu.
@reginas1832
@reginas1832 4 сағат бұрын
Hovyo kabisa. Afadhali ungekaaa kimya. Chaws wewe.pumbafu
@fabby1181
@fabby1181 2 сағат бұрын
Police si ndiyo intelligentsia Yao ifanye KAZI tuone ili wawe Safi?
@maryhando227
@maryhando227 46 минут бұрын
Wewe chawa kabisa
@brendangabriel1643
@brendangabriel1643 3 сағат бұрын
Hao vikundi unavyovitaja, ni kwa nini hawakamatwi na serkali hii? Je unakubali kuwa hii ni serkali dhaifu? Kwa nn hv vikundi havizimwi?
@Macamp312
@Macamp312 3 сағат бұрын
Umemaliza bando langu buree tuu
@aronimanirakiza5655
@aronimanirakiza5655 5 сағат бұрын
Nani mi. Baseman Wewe. Nicaea. Unapendeza
@WallaceJustine-nk5nx
@WallaceJustine-nk5nx 6 сағат бұрын
Umelipwa shi ngapi mzeee?
@GraceNaftal-x3j
@GraceNaftal-x3j 4 сағат бұрын
Wewe ni kunguni mwekundu damu inanuka
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 2 сағат бұрын
Wewe ni chawa mkubwa tu kwa muelekeo wako alafu ww unawajua hao watu??
@PatrickBaitilwaki
@PatrickBaitilwaki Сағат бұрын
Chawa Mkubwa
@NoahBeatus
@NoahBeatus 4 сағат бұрын
We zer au mzungu mbon akili huna
@FortunataNguma
@FortunataNguma 4 сағат бұрын
Mmh
@wadeelegbogun3015
@wadeelegbogun3015 Сағат бұрын
Ngoja wakumalize ndo utajua, kenge wewe
@BrotherKaka-j4z
@BrotherKaka-j4z 4 сағат бұрын
Huo ni ushoga unakusumbua angalia
@ShabanimuhamedSuleimane
@ShabanimuhamedSuleimane 4 сағат бұрын
Hayo yote unayosema ni vile unazongua
@idrisalubwaza3028
@idrisalubwaza3028 3 сағат бұрын
Hayo nimaoni yako usizungumzie ww huna rote
@AnaniaMmari
@AnaniaMmari 6 сағат бұрын
Aaahhhhh sw leo
@AnaniaMmari
@AnaniaMmari 6 сағат бұрын
Mtu anaee kusukiliza anapoteza muda nae mb zakebure
@juliuspryoba1265
@juliuspryoba1265 7 сағат бұрын
Angetekwa ndgu yako ungediliki kuongea hyo maneno
@mwangajilemwangajile-hd9vj
@mwangajilemwangajile-hd9vj 5 сағат бұрын
Kumbe huna akili
@muemedecassimoaluko7472
@muemedecassimoaluko7472 7 сағат бұрын
Kundu la mamayako mzazi
@godwinkubimba6575
@godwinkubimba6575 3 сағат бұрын
Nyamaza pumbavu ww, mbona Hoja yako haieleweki
@DulaRashid-r5z
@DulaRashid-r5z 3 сағат бұрын
We chawa kwel wakamateni tuwajuwe
@philemontemi4469
@philemontemi4469 3 сағат бұрын
We huna akili
@MichaelMwamanda
@MichaelMwamanda 4 сағат бұрын
Unanipotezea muda mpumbavu wewe
@eliahbukukumwaikuju7403
@eliahbukukumwaikuju7403 3 сағат бұрын
No research, no right to speak..acha uchawa mthungu,
@AnthonyChaula-d8l
@AnthonyChaula-d8l 5 сағат бұрын
Tutoleee ujinga wako
@RajabMkali
@RajabMkali Сағат бұрын
Upuuzi mtupu
@majidabas3843
@majidabas3843 2 сағат бұрын
SHIBE
@neemankya6431
@neemankya6431 42 минут бұрын
Jakaya ni mtu na nusu tu
@molexevelist813
@molexevelist813 3 сағат бұрын
Chawa mkubwa wewe kwisha hbr yko
@user-nt8qe7bx7g
@user-nt8qe7bx7g 4 сағат бұрын
Kaa kimiya wewe ni mpumbavu kweli
@hellenngwilla550
@hellenngwilla550 5 сағат бұрын
Hujafiwa wewe utapataji uchungu?
@Michaelmwasese-m7y
@Michaelmwasese-m7y 2 сағат бұрын
Unaongenini kiaz
@rab792
@rab792 3 сағат бұрын
Chawa bana hahaaaa watanzania siyo wajinga
@AloisMosha-uv2fu
@AloisMosha-uv2fu 4 сағат бұрын
Kweli ngojawakuteke wewe
@davidsamson8292
@davidsamson8292 3 сағат бұрын
Unanimalizia Bando
@emmanuelcharles4600
@emmanuelcharles4600 4 сағат бұрын
Jinga kbs
@benezethngowi6476
@benezethngowi6476 6 сағат бұрын
Walewale
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 8 сағат бұрын
Kweli kabisa mtumishi wanataka kumuonea mama wananchi hàtutokubali tumeshawajua hao vibaraka
@LameckMbele
@LameckMbele 4 сағат бұрын
asnt chawa
@AverinaShirati
@AverinaShirati 8 сағат бұрын
Mpumbavu wewe
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey
@HASSANMKUYASALUM-wu4ey 5 сағат бұрын
SEMA UKWELI USIOGOPE VIONGOZI WA CHADEMA WENYEWE WANAHUSIKA MAMBO KIPUMBAVU WATU WAZIMA MNAUWA NYINYI MNAFANYA UCHOCHEZI NA MAUJI
@DaudMwanganji
@DaudMwanganji 4 сағат бұрын
Akili matope
@ElishaMwakajila
@ElishaMwakajila 6 сағат бұрын
Nimujinga.unaongea.utumbo
@safiaothman5175
@safiaothman5175 8 сағат бұрын
Ni kweli kabisa Mh.Rais Samia hahusiki.
@bishopmosesmagadula7572
@bishopmosesmagadula7572 6 сағат бұрын
YUKO KWENYE mamlaka alipaswa KUCHUKUA HATUA KWA SABABU HACHUKUI HATUA basi ANAHUSIKA
@dullamasantula-sj3vm
@dullamasantula-sj3vm 4 сағат бұрын
Huna lolote ww mjinga chawa tu
@EmanuelIsaya-sg8bk
@EmanuelIsaya-sg8bk 4 сағат бұрын
Ulaaniwe wewe. Na njaa yako
@ShivoKombo
@ShivoKombo 6 сағат бұрын
Toka muoga tu wewe
CHADEMA yatoa ufafanuzi kuhusu maandamano ya Septemba 23.
4:08
DW Kiswahili
Рет қаралды 6 М.
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 42 МЛН
Minecraft Creeper Family is back! #minecraft #funny #memes
00:26
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 55 МЛН
Trump campaigns in Uniondale, N.Y.
2:41:31
Washington Post
Рет қаралды 30 М.
HATIMAYE MZEE ALIYETEKWA NA WANAWE AFUNGUKA MAZITO
7:53
KTV TZ ONLINE
Рет қаралды 186 М.
Girl, dig gently, or it will leak out soon.#funny #cute #comedy
00:17
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 42 МЛН