Amen, Amen,Amen,Amen napokea uponyaji kwa jina la Yesu….. natapika kila nilicholishwa…….roho ya kucheleshwa n kukataliwa ishindwe kwa jina la Yesu Kristo🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@RisperKemunto-dq1zn8 ай бұрын
Amen nashukuru mungu ameniokoa ,mtumishi wakati umekuwa ukiomba nilianguka jini nikaanza kufanya mapezi nimeinua minguu yote juu nafeel niko na mwanaume amenilalia juu na hakuna mtu, nashukuru mungu amenikoa
@ElizabethKamba2 ай бұрын
Asante Nabii wa Bwana Mungu afungue milango tukubariki kwa kazi unayoifanya..wapendwa tunaofatilia maombi haya naomba tuwe watu wa kumtolea Mungu dhabihu,kuna madhabahu mengine lazima tujiunganishe kwa dhabihu ndiposa yatuachilie,na pia ukiona mchungaji anakubariki,mbariki pia..ile roho iliyo ndani yake ikifurahi,maisha yako yanabadilika kabisa❤
@esterkomba9049 Жыл бұрын
Amina Mch. Nimepokea uponyaji mkubwa, nilikuwa na Uzito wa kuomba na kusoma Neno
@Christianchazinho29 күн бұрын
Navunja maagano ya giza madhabau ya giza katika jina la yesu kristo Amen
@elishaathumanathuman1611 ай бұрын
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina
@aminarajab104511 ай бұрын
Mtumishi wakatituko kwenye maombi nilipiga miyaomingi sana hadimavhozi yametoka namshukuru mungu nimefunguliwa na familiy yangu yote hakunatena mizimu inayotufuata katika jinala yesu kristo Ameeeeeeee
@ambindwilemary30107 күн бұрын
Jina la Bwana libarikiwe. Asante kwa maombi haya
@elishaathumanathuman1611 ай бұрын
Roho chafu zitoke Kwa jina la YESU kristo amen
@LydiaNasimiyu-h1n6 ай бұрын
Napokea Kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤❤❤
@adelaidakabyemela60942 ай бұрын
Nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu
@اال-خ2ت8 ай бұрын
Mm ni Ann nime shu kuru kwa maombi hayo asante Amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nilikuwa na kichomi ubavuni nimesikia kinatoka Kama Moto na kuelekea mguu wa kushoto na kutoka,Asante nitakuja kanisani jumapili,kanisa liko sehemu gani ni hapa dar?
@maombinidawa2 жыл бұрын
Ubarikiwe sana, lipo mbezi mbalamba mawili
@anarosenicodem5913 Жыл бұрын
Mama yangu apokee uponyaji
@ElizabethKamba2 ай бұрын
Nilikua naumwa na kichwa na nimepona hapo hapo,pia nahisi nimefunguliwa nilikua na vita sana
@EdinaSabiani5 ай бұрын
Niliskia kama kizunguzungu kama upepo unapita maskioni mkono ulikufa ganzi
@oscarmsuri847910 ай бұрын
Nilikuwa sina amani sasa nahisi Aman
@gervasemakwarus Жыл бұрын
Unakua live lini uniombee
@janewangui61242 жыл бұрын
Niombee iko mtu alinicon 640k alegeshe in Jesus name mwingine 264000sh