Kila uchwawi huyu Ndayikegurukiye Albert anatuma kutoka Burundi nina teketeza katika jina la yesu kristo popote alipofungia pich yangu namajina yangu ninatuma moto wa mbinguni ukachome kila kitu kilichofungwa na jina langu katika damu ya yesu kristo naomba nakuamini amen
@stainamwannda37007 ай бұрын
Naharibu kila uchawi wafarakane waokwa wao
@philimonlucas30805 ай бұрын
That😢😮😮😮
@kobylwaho31914 ай бұрын
naunguza uchawi uliofanyika katk biashar ya familia yangu ,uchawi niliofanyiw mwilini mwangu nateketeza kwa damu ya yesu ,waliomwaga damu kweny malango ya biashar yangu natuma moto wa Mungu ukawateketeze kwa jina la yesu ameen
@Moureenegeiza12 күн бұрын
Amen Amen 🙏 kila uchawi Ichomeke kwajina la yesu kristo
@buzanation10403 ай бұрын
Nyie wachaw wote mlionitesa n kukamata nyota yangu n watoto wangu, niliowaamini km marafiki wa karibu kumbe ni wachawi nawasambaratisha kuzimu n familia zenu…,natuma moto 🔥 navunja kila mipango yenu ktk jina la Yesu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@user-dn6tk9fz7l2 ай бұрын
Kwa jina la yesu nitakua huru juu nyumbani hata kazini wamenizingira na watasidwa kwa jina la yesu naitwa Catherine kutoka Kenya amen
@BarekeTumainiАй бұрын
Amen nimefunguliwa katika maisha yangu pamoja nafamilia yangu nabyangu byote
@bahatichenje6224Ай бұрын
Connect my kids to this prayer in Jesus name Amen
@user-pw3xm2bp8p4 ай бұрын
Asante mungu wangu kwa kuniweka huru mimi na familia yangu yote 🙏🙏🔥🔥🙌🙌
@AmosiPetro-bn9dxАй бұрын
Napokea mungu wangu naomba unilinde usiku huu tazama wachawi wamekatalia maisha yangu mungu wangu naomba ufungue milango yangu yote
@SharleenOteri4 ай бұрын
Sahii ni saa tisa nashukuru mungu maana mungu amenifungua leo amen
@FwasanNyirenda-gy7nj6 ай бұрын
Amen ameeeeeeeeen siombagi mwezi 2 namini nemefungu liwa
@FelixAlbert-hs7ls6 ай бұрын
Shallom. Katika Jina la YESU kristo ninakataa Kila uchawi aliofanyiwa wazazi wangu. Amina.
@user-mj3zp5ht3b6 ай бұрын
Maombi nidawa Asa nte mtu mishi w a mungu Amen 🙏🙏🙏🙌
@mariammasanja92117 ай бұрын
Naomba uniobee mwanagu apate uzima ameteseka ndani ya miezi nane
@user-pw3xm2bp8p4 ай бұрын
Navunja kila uchawi niliofanyiwa tokea siku niliyo zaliwa hadi sasa nateketeza kila uchawi kwa jina la yesu kristo Amen Amen 🔥🔥🔥🙏🙏🙏
@julianasuleman2195 ай бұрын
Ninakataa kila uchawi tuliofanyiwa mimi na familia yangu ya mzee Thomas Suleman.na vizazi vyetu.
@Alisa-wv6rh2 ай бұрын
Kila Nguvu Za kichawi zilizotumwa kwangu kutoka Congo hapa Canada nakemea ,nateketeza kwa moto mkali katika Jina La Yesu christo Namomba Nikiamini 🙏🙌👏
Kila uchawi Enock anatuma kutoka Tanzania kuja kunishabulia mimi ninauharibu na kuufunga kwajina la yesu christo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@FelixAlbert-hs7ls6 ай бұрын
Shallom Kila uchawi niliofanyiwa nikiea mdogo na hadi Sasa nateketeza kwa moto katika jina la YESU KRISTO Amina.
@mayxh1918 Жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Asante sana mchungaji🙏🙏🙏
@loreamusanga71454 ай бұрын
Katika jina la yesu Christ.❤❤❤❤
@user-je1or1he7bАй бұрын
Ameni Ameni Ameni Pastor
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Chomeka uchawi yavelonika wakisumu Kenya Chomeka Sasa Namutu Alinileta kwako arileta mafuzi Yangu yacini Napati yangu amiiina Baba Wawombeye walinivunja mugu sijanyoloka vizuli Amiina
@JeanBaraka-pu5xo3 ай бұрын
niombeye mwili wangu
@edithachibululu2419 Жыл бұрын
Uchawi wao Sasa umeharibika, KWA jina la Yesu, amina.
@arlnembone6844 Жыл бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen in Jesus name
@user-xu3lr5kg5w5 ай бұрын
Naharibu kila nguvu za wachawi zinazofutilia misha na haribu kwajina la yesu christo 🔥🔥🔥🔥🔥
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Amiiiina Baba Mungu akubaliki Amiiina Baba Balikiwa Pasta niombeye kwa hiyo picha 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼😭😭😭😭😭
@user-xu3lr5kg5w11 ай бұрын
Narudisha nyota angu iliobiwa na wachawi nairudiaha kwadamu ya yseu🙏🙏🔥🔥🔥
@emilyamani20167 ай бұрын
Pastor ombea mme wangu zifunguliwa kwa jina la yesu
@consolataanyambilile-mr5ph11 ай бұрын
Pastor naomba niondolee Hali ya uchawi initike katka mwili wangu na uzao wangu Ameeni
@user-pv5jn1ey3x9 ай бұрын
Amen waneshindwa😂
@user-yg9fh9sj1w11 ай бұрын
Uchaw wa specioza na neema ufe kwa damu ya Yesu
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Amiiina unguza Yesi
@judygathoni58612 жыл бұрын
God protect me and my family
@JoyAhmad-xs8bv6 ай бұрын
Am en from joy nkirote in saudi
@monicamhema737311 ай бұрын
Mungu nifungulie
@munalook44774 ай бұрын
Navunja madhau ya uganga,kwa dorocus, madhanau ya uchawi ,toka kwa dorocus nimeucjoma na moto wa Yesu
@parpetuamuola4280 Жыл бұрын
👍👍👍🙏🙏🙏🙏 pastor niombee Io mapepo na mauchawi yatoke katika maisha yangu
@jane.moragwa2030 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉teketeswa.kwa.jina.la.yesu
@aidaa82539 ай бұрын
AMEN UBARIKIWE MTUMISHI WA MUNGU
@baby_face_ Жыл бұрын
Amen naomba na nyie naishi Finland 🇫🇮 Asante sana muchungaji
@ChristopherJulius-yz8vr4 ай бұрын
Amina mtumishi
@LilianMideva-cl9tj11 ай бұрын
Mungu tufunguwe
@elishamafulu10611 ай бұрын
Naomba maobezi ya kuchoma uchawi na uganga Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏
@jane.moragwa2030 Жыл бұрын
Amen amen.amen
@user-hu9nm2ii2e5 ай бұрын
Ameen mtumishi
@DeborahNyagawa-jy5gb4 ай бұрын
❤nmefunguliwa
@user-mj3zp5ht3b6 ай бұрын
Amen🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@mariamoyen6 ай бұрын
Amen Amen Amen
@linetkhaemba1029 Жыл бұрын
Amen pastor be blessed too 🙏🙏🙏
@jackysally7349 Жыл бұрын
May God bless you man of God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@ashurarashidi4962 Жыл бұрын
Ameeen
@JoyceJacksontz Жыл бұрын
Ameen asant baba umenifunguuwa
@CarolineMworia-lo6xr3 ай бұрын
Amen 🙏
@annasitaziagamba41865 ай бұрын
Roho inayomtesa Anthony Leo naenda kuichoma kwa jina la yesu kristo usiku imuachie hapate ufahamu
@austinejohn93483 ай бұрын
Kila uchawi anaotuma Evans kwa Regina Clara, nauvunja katika jina la yesu kristo
@JC-lk3me Жыл бұрын
Asante sana mchungaji maombi yana nguvu sana
@gygy41 Жыл бұрын
Mungu nipee ushuhida
@user-nm7yd8ep7z Жыл бұрын
Amen amen amen kwa jina la Yesu
@lovenessrichard8 ай бұрын
Amina pasta
@elizabethmwangeka1879 Жыл бұрын
Amen amen amen amen.. God bless you mtumishi.
@cresensiankwera1776 Жыл бұрын
Amen mchungaji
@MorinZadok Жыл бұрын
Ninakataa kila nguvu za giza na uganga kwa maisha yangu na watoto wangu katika jina la yesu christo ninaamrisha itoke kwa jina la yesu ninaiteketeza katika jina la yesu christo kila nguvu za kichawi za huyu mwanamke ambaye ameingilia hii ndoa ninateketeza katika jina la yesu natuma moto katika maisha yao katika jina la yesu
@MorinZadok Жыл бұрын
Ninachoma kwa damu ya yesu
@bechoubechou Жыл бұрын
Niludishiye mahusiano yangu mungu wangu
@nshimirimanajeanne22614 ай бұрын
😢😢😢😢amen amen amen amen amen amen
@tabbytabby71625 ай бұрын
Amen
@aidaa82539 ай бұрын
Kila uchawi unao sumbua wazazi wangu naupiga kwa moto wa Mungu ulao
@user-xu3lr5kg5w4 ай бұрын
Kila wachawi wanaofutilia maisha yangu na wakufe kwajina la yesu
@user-xu3lr5kg5w4 ай бұрын
Kila uchawi kutoka Naigeria uchawi na uganga iwe wanani9na kupitia kwenye vyoo vyao nawakufe kwajina la yesu christo
@user-xu3lr5kg5w2 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@chancematabishi9216 Жыл бұрын
Amen mutumishi waMung
@user-xu3lr5kg5w2 ай бұрын
🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🙌
@user-xu3lr5kg5w11 ай бұрын
Katika jina la yesu 🔥🔥🔥🔥
@user-xu3lr5kg5w2 ай бұрын
Ameen 🙏
@mariammasanja92117 ай бұрын
Kila uchawi na ungaga nakataa kwa jina la yesu
@DorothyKerubo-lz4cd Жыл бұрын
Mungu wangu nifungue🙏😢
@francisonyango1796 Жыл бұрын
Ahsante Mchungaji Amen
@adisabetty2173 Жыл бұрын
Amiiina pasta Papa wangu
@marynguru6754 Жыл бұрын
Amina Amina Amina kwa jina la YESU
@user-Ndashuka0019 ай бұрын
AMEN
@londonsafari66232 жыл бұрын
God protect you forever pastor
@JeanBaraka-pu5xo3 ай бұрын
amen
@RobsonMathew-eb3ecАй бұрын
habari! kila nitakapo fuatilia maombi kila siku na mdhabahu hii kuna nguvu huwa zinatokea chin ya miguu yangu nahisi miguu inawaka moto na huku maombi yakiwa yanaendelea
@sergesnshimirimana6049 Жыл бұрын
Amène Mngu Akaliki Myumishi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@mauwashomari81606 ай бұрын
Kila uchawi naungqnga unao tufatilia kwenye familia yetu nina kwenda kuteketeza katika jina LAYESU KRISTON
@Justo_The_Content_Creator Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@user-ow5zy8hn8v6 ай бұрын
Amina
@gygy4110 ай бұрын
Kila uchawi ya Ann wangari ninaunguza kupitia hii matabao Kwa jina la yesu
@rosenanjirawesonga2030 Жыл бұрын
Nguvu za uchawi zishindwe katika China la yesu
@JosephineKengaa5 ай бұрын
Ameen
@user-xu3lr5kg5w4 ай бұрын
🔥
@julianarichard9205 ай бұрын
Roho za kichawi kutoka kwenye familia yetu ukaniachie Kwanzia sasa
@rosemarymghoi3581 Жыл бұрын
Ombea kijana wangu aoe
@mariammasanja92117 ай бұрын
Ameeeeen
@jameswaititu50 Жыл бұрын
❤❤❤Amen Amen
@busingejuliet2665 Жыл бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@user-rz3tj2kx2z9 ай бұрын
Ameni
@lifeinmiddleeast8179 Жыл бұрын
Haya maombi ni zaidi ya moto aaaamen
@lilian4624 Жыл бұрын
Nguvu za uchawi ushindwe katika jina la yesu
@hellenjohnston45573 ай бұрын
Ameeeeeeeeeeeeen
@mgoledaudi60512 жыл бұрын
Ninaamuru kila uchawi na unganga ulio fanyika juu yangu na familia yangu nauteketeza katika jina la Yesu 🙏🙏🙏