Asante sana mtumishi wa Mungu,sijui nisemeje lakini. Kushirikiana na wewe kimaombi nimepata amani na kuuona mknono wa Mungu.naomba Mungu aendelee kukutangulia kwenye huduma hii amina
@estaraberd1245 Жыл бұрын
Ee Mungu naomba utangulie mbele. Kwny kila hitaji langu na mahitaji ya washirika wote wa Madhabahu hii🙏🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@Rm2024-x3d20 күн бұрын
Amen
@glorialighola7854 Жыл бұрын
Unitangulie ee Yesu katika kila eneo la Maisha yangu🙏
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@sesecowasabanga58352 жыл бұрын
Bwana yesu nitangulie katik ndoa yangu mtangulie mmewangu kwakila utafutaj wake ongoza Maisha yetu mungu wetu katangulie
@friedamkiramweni95003 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa maombi haya. Bwana Yesu tutangulie ktk ndoa za wtt wetu. Amen.
@christinemoranga75983 ай бұрын
Mungu naomba unitangulie kwa maisha yangu na family yetu ❤❤❤🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@Jackiestanslous9 ай бұрын
Bwana wa Mungu utangulie mbele yangu katika kila eneo la maisha yangu🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@lilianmbeyu7622 Жыл бұрын
Mungu nitangulie mbele yangu Mimi pamoja na familia yangu Kwa jina la yesu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@Aggybrian20233 жыл бұрын
Nipo hapa kwa Makusudi yako Mungu, Yesu wewe ni kila kitu kwangu...Naomba Uguse Maisha yangu na Familia yangu , ukatubadilishe sawasawa na mapenz yako , Ukakamilishe makusudi yako juu ya yangu na familia yangu huu mwaka 2022 ukawe wa kuvuna na kujenga
@BonareriDoreen-p8bАй бұрын
God I thank you for life I ask you to be Infront of me amen 🙏🙏
@pilirashidi54502 жыл бұрын
Asante mungu kwa kutushindia ,tangulia mbele yetu ukatupatie hazina za gizani.🙏🏼
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@aisaakamnde Жыл бұрын
Naomba mungu awatangulie watoto wangu na mimi aniponye na kuumwa kichwa kila siku
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen ameeen
@mankarichard58513 жыл бұрын
Amen mwenyenzi Mungu naomba unitangulie kwa kila kitu
@janetesnay55583 жыл бұрын
Bwana yesu ukatngulie watoto wangu mueni musyoki musoi nawajubfyy wore nakia melisa kilonzo jeden amen tangling jasi yamikono yangu
@janetesnay55583 жыл бұрын
Bwana yesu nitanguoue kwakila kitu
@josephinemakyao65613 жыл бұрын
Mungu peeke yetu hatuwezi tangulia mbele yetu bila wewe sisi sio kitu.Mungu tusaidie . Amen.
@willeyshambaa122622 күн бұрын
Nitaguliye yesu katika Maisha yangu na utaguliye watoto wangu yesu na kuita yesu utukubali ee yesu
@GresCoka3 ай бұрын
Mungu naomba utangulie kwenye biashara yangu naomba utangulie mbbele ya watoto wangu Mungu naomba utangulie mbele ya wajukuu wanguMungu naomba utangulie mbele yangu ninapokwenda kwenye biashra yangu Mungu naomba utangulie ujenzi wangu
@Rm2024-x3d20 күн бұрын
Mungu naomba nitangulie mbele yangu niweze kulipa madeni yanayonizunguka siku ya leo. Amen
@MegaNasri-bv7tcАй бұрын
Mungu naomba tangulia mbele yangu mimi na family yangu Amen
@jasmisshajra43912 жыл бұрын
Mungu nitangulie mimi na family yangu kwa jina la yesu Ameen
@sarahmghamba704 Жыл бұрын
Eee Mungu utangulie maisha yeti,ndoa za watoto wetu,Amira za watoto wetu,afya zetu ktk jina la Yesu aliyehai
@GresCoka3 ай бұрын
Mungu tangulia mbele ya watoti wangu kwa kila hitaji lao ukafanyike njia Mungu
@marierosefatuma46542 жыл бұрын
Mungu unita ngulie shida zangu 🙏🙏 Amen Amen
@Rm2024-x3d20 күн бұрын
Mungu naomba unitangulie katika safari yangu nifike salama. Amen
@RehmaAllyjuma10 ай бұрын
Mungu wangu wambinguni nitangulie siku zote za maisha yangu
@marifaadolphine35712 жыл бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe kwa kutupa moyo wa kuomba tunaimani Mungu atajibu maitaji yetu ya ulimwengu wa kiroho na ulimwengu wa kimwili.
@catherineadema2802Ай бұрын
God father go before me and let your will be done amen 🙏
@marymachete91523 жыл бұрын
Mungu naomba unitangulie vile uliwatangulie Wana wa Israel tangulie kimaisha na families yangu mungu
@imanitizo69112 жыл бұрын
Bwana yesu naomba utangulie mbele yang..tangulia mbele ya familia yangu.pia tangulia mbele ya mume wangu
@GraceMoraa-n1h8 ай бұрын
Ee Mungu nikumbuke usku waleo
@holyspiritconnect8 ай бұрын
Ameen
@winifridarutaindurwa1822 жыл бұрын
Amen. Mungu tangulia katika maisha yangu. Tangulia mbele yangu Unipiganie na kunishindia.
@ruth2578 Жыл бұрын
Amen mungu nitangulie katika atua zangu
@holyspiritconnect Жыл бұрын
Ameen
@mankamushi45882 жыл бұрын
Asante kwa maombi ya asubui ya Leo bwana yesu naomba unitangulie ktk safari yangu ya kwenda nje ya nchi asubui ya leo
@SaraphinaSadala3 ай бұрын
Mungu naomb uitangulie ndoa yangu pamoja na uzao wangu wote na kazi ya mikono yangu
@modestammari36352 жыл бұрын
Asante Yesu wewe ni namba moja kwangu. Umeniumba ili nikutumikie Amina.
@evamanyama82682 жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa neno zuri la Mungu,
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@glorysangei53872 жыл бұрын
Tangulia katika kila jambo katika maisha yangu...Tangulia mbele yangu Bwana.
@mildredtabu82552 жыл бұрын
Mungu ni tangulie mbele yangu
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@judyjudy35132 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu nitangulie katika kazi yangu na uwatangulie watoto wangu na mama yangu na ndugu zangu ukatawale katika mahisha yetu🙏🙏🙏🙏
@glorysangei53872 жыл бұрын
Bwana Yesu nitangulie katika ndoa yangu.
@josephinevicent10102 жыл бұрын
Amina yesu leo nakukabidhi watoto wangu nataka uwatangulie.itangulie ndoa yangu.itangulie afya yangu
@MilkahsimiyuMilkah4 ай бұрын
Nakushuru sana pastor kwa maombi
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Ameen ameeen
@holyspiritconnect4 ай бұрын
Mungu akubariki sana
@epafrangweshemi40143 жыл бұрын
Naomba Mungu unitangulie mbele yangu mimi na watu wangu siku zote za maisha yangu.
@marcellamachio3166 ай бұрын
Mungu tangulia mahali popote nitakanyaga nifanikiwe Amina
@suzzyyank74463 жыл бұрын
Mungu nitangulie kwa hii kazi Na maisha yangu napitia mambo mangumu .....nitangulie mbere ya maisha yangu
@victoriarehema71833 жыл бұрын
Eeh! Mungu nitangulie Mbele yangu kwa kila sehemu nipitiayo... Naamini kwa Jina LA bwana Yesu kristo. Amen.
@generosakayagambe4362 жыл бұрын
Ee Mungu naomba utangulie mbele yangu. Amina
@shandailynafula86412 жыл бұрын
Asanti kwa hii maombi moyo wangu ulikua umeinama so nashukuru mungu nmetulia kupitia kwa hii maombi
@SaraphinaSadala3 ай бұрын
Mungu naomb utangulia mbele yang katik ndoa yang uzao wang' uchumi wang nakazin kwang niongoz mungu wang
@DicksonMasukuma4 күн бұрын
Amen napokea kwa jina la yesu kristo
@sabinaleonce82432 жыл бұрын
Mungu nakuomba utangulie mbele yangu
@victoriarehema71833 жыл бұрын
Barikiwa zaidi Mtumishi wa Mungu.... Napokea na kuamini.... Kwa Jina LA Yesu Kristo. Amen.
@marymrema38152 жыл бұрын
Yesu naomba tangulia uwapiganie watoto wangu.
@leticiawilliam65972 жыл бұрын
mungu naomba unitangulie na watoto wangu natamani kufika kweli mungu nitangulie
@salahdaniel35413 жыл бұрын
Mungu nenda mbele yangu ukinitangulia ww nitakuwa na amani
@neemametison14772 жыл бұрын
Bwana yesu ukanitangulie kwenye Kila eneo la maisha yangu
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@angeljoseph46662 жыл бұрын
Ee Bwana Yesu, naomba unitakungulie ktk kila eneo la maisha yangu,maisha ya watoto wangu,ktk maisha ya mama yangu,katk maisha ya family yangu, Amen 🙏🙏🙏🙏
@JustineMutile Жыл бұрын
Baba muumba mbingu na nchi naomba ukatangulie familia yeti pia watoto wetu
@alisheban90803 жыл бұрын
.mungu tangulia mbele yangu ktk kila jambo maishani mwangu
@GorethKamikazi4 ай бұрын
Asate muchungaj kwamaombi yako naombea mwanangu mungu amutangurie kwaote
@AndjelaniIlombe Жыл бұрын
Yesu wangu nitangulie bila wewe siwezi
@AnnaKosta-e1v7 ай бұрын
Asante mtumishi kwa maombi
@sabinaleonce82432 жыл бұрын
Mungu nitangulie ktk magumu ninayopitia
@imanitizo69112 жыл бұрын
Naomba mungu utangulie katka Mapito Yangu.
@julianamliga526414 күн бұрын
Eee Mungu naomba nitangulie kwa kila jambo
@raudnmugala37612 жыл бұрын
AMEN Yesu tangulia mbele yangu🙌
@RoroRoserororo2 жыл бұрын
Amen yesu tangulia mbele yangu
@evalinestaka69793 жыл бұрын
Ameen!Mungu tangulia mbele yangu
@stellaerick27352 жыл бұрын
Asante sanaa,Naomba Mungu atangulie mbele yangu, Amen
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@joycekambuga62862 жыл бұрын
Aminaa napokea kwa jina la Yesu
@vivianlyimo6703 жыл бұрын
Bwana Yesu Naomba utangulie mbele yangu 🙏
@lilianemanuel25795 ай бұрын
Mungu tangulia mbele yangu niko katika wakati mgumu sijawahi kupata furaha mahusiano uzao sinaa sinacraha kabisa
@sweetlisa22962 жыл бұрын
Amen 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽 🙏🏽
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen
@everever28072 жыл бұрын
We mungu tanguria mbele yngu popote ni nitakupotezea kwa ubaya na watto wangu watangulie mbele yao
@holyspiritconnect2 жыл бұрын
Ameen ameeen
@theopisterbulamu94973 жыл бұрын
Mungu Tangulia Mbele Yangu, Bwana Yesu Tangulia Mbele Yangu Mana wewe Utanipa Hitaji LA Moyo Wangu
@lizzybahati37392 жыл бұрын
Mungu akubariki sana past
@stellajohn56472 жыл бұрын
Bwana yesu nitangulie naanza safari ya kutafuta pesa ya biashara
@monicadaniel89733 жыл бұрын
Napokea kwa jina la yesu
@janetndeanasiambene39752 жыл бұрын
Asante sana kwa maombi haya Mtumishi wa Mungu. Neno kubwa sana na la nguvu mno. Napokea kwa jina la Yesu. Barikiwa
@nyemofrancis29663 ай бұрын
Amen barikiwa
@rahimajuma53062 жыл бұрын
Ameen mungu akubariki
@edithseverine74223 жыл бұрын
Ee bwana Mungu nakushukuru, naomba unitangulie Mimi na familia yangu kwa Kila Jambo Amina
@marcellyimo2833 жыл бұрын
Amen Mungu nakuomba utangulie mbele yetu mimi na wanangu
@Priscakihiyo43523 жыл бұрын
Ameeeeeeen ameeeen Mungu akubariki sanaaaaaaa mtumishi wa Mungu
@gemamwakyusa61003 жыл бұрын
Amen
@gemamwakyusa61003 жыл бұрын
Yesu nitangulie kitika kila eneo la maisha yangu
@elizabethmumbemunyithiya89168 ай бұрын
Hiyo ukuta inayo simama mbele yangu nisioleke ivujike kwa jina na yesu
@monicampokwa4412 жыл бұрын
Ewe mwenyezi mungu naomba utangulie ktk njia zangu.🙏🙏🙏
@giftmaningu34433 жыл бұрын
Ameni .sitakikutegemea hakilizangu naomba Mungu haingiliekati mahishayangu.yote
@stellahkitur17902 жыл бұрын
Amen bwana yesu nitangulie kwa kila jambo
@CaroMso-i5hАй бұрын
Baba nitangulie mbele
@GraceKwalazi-m1g3 ай бұрын
Ooooh Haleluya!
@jaredmayaka29933 жыл бұрын
Amen and Amen mungu anitangulie mbele yangu kwa kila jambo