MAOMBI YA KUTEMBEA-TEMBEA // TUMIA NYAYO ZA MIGUU YAKO

  Рет қаралды 4,087

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Yoshua 1:3-6
Kila mahali zitakapopakanyaga nyayo za miguu yenu, nimewapa ninyi, kama nilivyomwapia Musa. Tangu jangwa hili na mlima huu, Lebanoni, mpaka mto ule mkubwa, mto wa Frati, nchi yote ya Wahiti, tena mpaka bahari ile kubwa upande wa machweo ya jua, hapo ndipo patakapokuwa mpaka wenu. Hapatakuwa mtu ye yote atakayeweza kusimama mbele yako siku zote za maisha yako; kama nilivyokuwa pamoja na Musa, ndivyo nitakavyokuwa pamoja na wewe; sitakupungukia wala sitakuacha. Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa.
Maarifa ya Ki-Mungu
@SIRI ZA BIBLIA
www.sirizabiblia.com
+255 758 708 804
linktr.ee/siri...
Instagram Account
/ siri_za_biblia
SADAKA YAKO YA KUCHANGIA INJILI IFIKE MBALI ZAIDI:
M-PESA +255 758 708804 INNOCENT MASHAURI
CRDB ACC: 0152523574100 INNOCENT LEONARD MASHAURI

Пікірлер: 43
@NadenKwizera
@NadenKwizera Ай бұрын
Amen mtumishi wamung ubarikiwe🙏🙏🙏
@AnyorryKing
@AnyorryKing Ай бұрын
Ameeeen Asante Kwa mafundixho yako ya maombi mungu akubariki
@AnyorryKing
@AnyorryKing Ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Asante sana Kwa mafundixho ya maombi
@maximillahmurumba2053
@maximillahmurumba2053 Ай бұрын
Amen amen in jesus name mungu akubariki sana
@JumaAugusto-du5bu
@JumaAugusto-du5bu Ай бұрын
Amém Amém asante kwa mafunzo yako mazuri kwenye yutb asante mungu akupe mwaka mingi sana vya kuishi hapa duniani ubarikiwe sana sana 👏👏👏👌👌👌🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@JohnElisha-tg4on
@JohnElisha-tg4on Ай бұрын
Hakika unanifunulia kitu kweli 😭 bariki sana
@agnesmrosso8090
@agnesmrosso8090 Ай бұрын
Ameen.
@HAPPYNESMSONDE
@HAPPYNESMSONDE Ай бұрын
Amen
@DinahMachuma
@DinahMachuma Ай бұрын
Amen and Amen
@nurubushirianelkas8681
@nurubushirianelkas8681 Ай бұрын
Amen amen God 🙏 🙌🏾 👏
@FrolaMayenga-p8e
@FrolaMayenga-p8e Ай бұрын
Ee Bwana uwe pamoja na mm katika kulitumia hili neno 🙏🙏🙏
@MrImma
@MrImma Ай бұрын
Asante sana kwa mafundisho ya kutujenga kiroho
@JolleetNiaze
@JolleetNiaze Ай бұрын
Ameen amen
@PascalineSafarimpalirwa
@PascalineSafarimpalirwa Ай бұрын
MUNGU akutiye nguvu kwa anjili yetu ilituendeleye kunjifuze mengi
@Magreth-n3c
@Magreth-n3c Ай бұрын
Amen amen
@GladysNanjala-e7e
@GladysNanjala-e7e Ай бұрын
AMEN
@emilypatrick5509
@emilypatrick5509 Ай бұрын
Ameen ameen 🙏🙏🙏nmesoma kitu ubarikiwe mtumishi
@marymaria6544
@marymaria6544 Ай бұрын
Sylvia asante roho mtakatifu Kwa yote unatufundisha ,ubarikiwe mtumishi❤❤❤
@AshuraNdayisaba
@AshuraNdayisaba Ай бұрын
Ameen. Asante Mungu Baba kwa maombi
@Marianamariana181
@Marianamariana181 Ай бұрын
Amen ahsante roho mtakatifu🙏🙏🙏n kwa rehema zako
@MutambalaSelemani
@MutambalaSelemani Ай бұрын
Shalom
@NellyKombe
@NellyKombe Ай бұрын
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi
@WinnieEmmanuel-d7b
@WinnieEmmanuel-d7b Ай бұрын
Ee MUNGU ASANTE
@SalomeMangale-m8i
@SalomeMangale-m8i Ай бұрын
Amen mtumishi wa mungu
@ScholarMghoi
@ScholarMghoi Ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏
@janethkahenza9809
@janethkahenza9809 Ай бұрын
Amen amen🙏🙏
@راماراما-ش5س
@راماراما-ش5س Ай бұрын
Asante mungu
@valentinanduku8718
@valentinanduku8718 Ай бұрын
Amen
@SalomeMangale-m8i
@SalomeMangale-m8i Ай бұрын
Nikweli mtumishi
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 Ай бұрын
Emeeen
@EzinahMoraa-vp5by
@EzinahMoraa-vp5by Ай бұрын
Mtumishi nitapata aje iki kitabu niko kenya
@MalaikaBrighton
@MalaikaBrighton Ай бұрын
Ameeen
@EdnaBochere
@EdnaBochere Ай бұрын
Amen 🙏
@marymaria6544
@marymaria6544 Ай бұрын
Amen amen 🙏🙌❤️
@margaretmumby2411
@margaretmumby2411 Ай бұрын
Amen 🙏
@ArinaitweFatuma
@ArinaitweFatuma Ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@estermathias8354
@estermathias8354 Ай бұрын
Amina
@Loice-c9o
@Loice-c9o Ай бұрын
Amen 🙏
@SerahMagie
@SerahMagie Ай бұрын
Amen amen
@MarieMakiwa
@MarieMakiwa Ай бұрын
Amen
@peterkarera6297
@peterkarera6297 Ай бұрын
Amen
@SandraFatuma-r4y
@SandraFatuma-r4y Ай бұрын
Amen amen
@AureliaJeremia-v6k
@AureliaJeremia-v6k Ай бұрын
Amen
#LIVE:MAOMBI YA KUKUTOA MAJARIBUNI // OMBA KWA MAARIFA HAYA
1:22:26
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 1,3 М.
LIVE: MAOMBI YA USIKU WA MANANE // MBINGU ZINAFUNGUKA
1:12:54
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 188 М.
小丑女COCO的审判。#天使 #小丑 #超人不会飞
00:53
超人不会飞
Рет қаралды 16 МЛН
AINA10 ZA WANAWAKE WASIOPENDWA
20:49
Mbeki TV
Рет қаралды 195 М.
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 816 М.
MAOMBI YA USIKU...
13:06
ARARAT CHRIST MINISTRY
Рет қаралды 9 М.
KUPAMBANA NA MASHAMBULIZI YA NDOTO NDOTONI // Yohana 10:10
35:22
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 7 М.
Ayat Shifa - The Healing Verses - ايات الشفاء
1:02:16
Omar Hisham Al Arabi
Рет қаралды 8 МЛН
MAOMBI YA NYAYO ZA MIGUU YAKO KIBIBLIA
16:43
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 18 М.
#LIVE: MAOMBI KUOMBA HUKU UNATEMBEA-TEMBEA // USITULIE
2:16:23
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,3 М.
RUDI KWENYE MAOMBI LEO// GO BACK TO PRAYER
11:47
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 3,6 М.
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 67 М.