No video

MAOMBI YA KUTOKA KWENYE NYAKATI NGUMU

  Рет қаралды 26,858

SIRI ZA BIBLIA

SIRI ZA BIBLIA

Күн бұрын

Пікірлер: 281
@rosejustine
@rosejustine Ай бұрын
Mungu ni mwema tuko pamoja madhabahuni
@BellaBlue-do5pj
@BellaBlue-do5pj 18 күн бұрын
Bella
@ZabbiraEdison
@ZabbiraEdison 2 күн бұрын
Mungu akubariki sana sana
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Baba MUNGU pokea sadaka yangu ya shukrani madhabahu hapa,,
@BarekeTumaini
@BarekeTumaini 23 күн бұрын
Mungu utuhokowe Mimi nafamilia yangu utufungulie safari yetu iyo fungwa myaka mingi tukifikiliwa watesi wanainuka nakuziwia mungu tukombowe mungu wangu
@estermkoma4246
@estermkoma4246 2 күн бұрын
Mungu naomba unihurumie napitia wakati mgumu muda huu na uchungu mwingi
@annnjeri4121
@annnjeri4121 2 ай бұрын
Amen Mungu azidi kutushindania
@ShijaMayuma
@ShijaMayuma 2 ай бұрын
Amen
@hopemakinda3048
@hopemakinda3048 Ай бұрын
Mungu naomba unisaidie ktk mapito yote uwe nami naomba unisamehe pale nilpokukosea Mjngu wangu
@khadijamwenda1851
@khadijamwenda1851 11 ай бұрын
Wapendwa katika bwana naombeni maombi yenu mkisimana kuomba msinisahau napitia magumu sana, nimefilisiwa na majini pesa zangu nyingi mno wakisema watanipa zao unaweza kuona ni ajabu ila story ndefu Akili ilifungwa hata family nilikuwa siikumbuki kabisa ni miaka 4 na miezi 5 ya mateso sasa ni miezi 2 nimeokoka ila wakajuwa na wakasema wataniua na family yangu nikirud tu Tanzania na kwasababu nimeachna ila naamini Mungu yupo ataniokoa,naomba mnisinisahu tafadhali kwenye sala zenu
@kefrenbaraka
@kefrenbaraka 6 ай бұрын
Mungu hata kuacha uangamie
@user-ij6jj6hl9r
@user-ij6jj6hl9r 5 ай бұрын
Amen naregesha vitu vyangu vyote ambavyo shetan alininyang'ana
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 5 ай бұрын
Usiogope Mungu yupo hatajibu maombi yko.Amini Tu.
@skilindaissa5441
@skilindaissa5441 4 ай бұрын
Usiogope Mungu yupo hatajibu maombi hatafanya njia pasipo njia 🙏
@user-kj4ik9bo5o
@user-kj4ik9bo5o 3 ай бұрын
Kama Mungu aishivyo utaishi maisha mapya ,ikiwa bado upo duniani na dunia inachangamoto nyingi sana hivyo Kila changamoto unayopewa unaweza kukabiliana nayo jipe moyo omba sana ,funga sana Kila mlango uliofungwa utafunguliwa kwa jina la yesu
@joyce-jj5jv
@joyce-jj5jv 3 ай бұрын
Amen nahisi kubarikiwa mungu yu pamoja nami
@user-cy1zv6qn8r
@user-cy1zv6qn8r 5 ай бұрын
Mungu nimwema sana Ameni
@graceboke4346
@graceboke4346 5 ай бұрын
Usinipite Bwana Yesu
@OrestaLuambano-bh8gp
@OrestaLuambano-bh8gp 11 ай бұрын
Ee Bwana YESU mponye mama yangu cancer.🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@kefrenbaraka
@kefrenbaraka 6 ай бұрын
Mungu uishie milele naomba umponye mama Huyo popote alipo,si Kwa ajili yetu bali kwa utukufu wa jina lako.
@user-vn5eg2mz3y
@user-vn5eg2mz3y Ай бұрын
😢😢Mungu usimpite mama yetu
@khadayetha4453
@khadayetha4453 3 ай бұрын
Wapendwa naombeni mniombee naandamwa na roho ya madeni kila nikilipa yanakuja sijui yanatoka wapii nmechoka jamani😢 Ee Mungu nisaidie mimi😢
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 ай бұрын
Pole utapita mm nilipitia hayo na sasa n8na unafuu
@JaphetJuma-i9m
@JaphetJuma-i9m 8 күн бұрын
Amen amen amen
@JaphetJuma-i9m
@JaphetJuma-i9m 8 күн бұрын
Mimi Niko Kenya nitatuma sadaka aje mtumishi wa mungu
@RuthBochere-nm5fi
@RuthBochere-nm5fi 3 ай бұрын
Eee Mungu wangu,unaujua uchungu uliko ndani yangu,niondolee kudharauliwa,umaskini,machozi na manjozi,nibariki Mungu wangu kupitia madhabahu haya,AMINA
@judithnjunwa6668
@judithnjunwa6668 11 ай бұрын
Asante MUNGU kwa kunifungua leo
@aspetabwire-bh1nn
@aspetabwire-bh1nn 4 ай бұрын
Unapo zuru wengine yesu usinipite kupitia kwa mathabao ya siri za biblia naomba amani, kibali na timizo la moyo wangu amen.
@user-wq8wi4uv9l
@user-wq8wi4uv9l 3 күн бұрын
Wapendwa nahitaji mshaanda nipate kusimama imara kiwokovu nitoke kwa mashinda yanayo niandama maishani mwangu nateseka sana Akh 💔 mandoto ya wafu pamoja na majini na pamoja na sauti za kishetani zikiniandama yaani zakunikosha mwelekeo kimani, mm mtumishi ata nijaribu kusimama kwa wokovu siwezi mpaka nipate matunda juu ya kushumbuliwa na mapepo wachafu, mm mtumishi sina mwanzo wala mwisho yaani sina anything ata nyumba na kaa ya kupewa chakula mpaka nipewe, yaani mm sina kibali ya kazi kabisa nikienda kutafuta kazi sipati kazi yaani sina bahati kabisa maishani mwangu, 💔💔💔 Jina langu ni Joel. Kwetu nyumbani niliusha shamba langu pesa ikaisha sasa sina shamba sina pilot sina anything sina bibi sina watoto sina mbele wala nyuma sina tumaini lolote lile maishani mwangu niombeeni please mateso yamekuwa mengi magumu sana Akh 💔💔💔💔💔💔
@judithmutio-mp6sn
@judithmutio-mp6sn 4 ай бұрын
Amen mungu nionekanie
@SubiraMgeyekwa
@SubiraMgeyekwa Ай бұрын
Aminaa aendelee kutupigania
@JanetMihayo
@JanetMihayo 10 ай бұрын
Mungu ninaomba unitoe katika nyakat ngum
@user-wq8wi4uv9l
@user-wq8wi4uv9l 6 күн бұрын
Baba yetu uliye juu mbinguni naomba uniunganishe Na group hii nzuri yako ya maombi Nayua ni wewe umeisimamisha imara ndio usaidie watu wako kufitia kwao, Baba, Amen Bwana wetu Yesu Kristo unaposhuru wengine Usipite Bwana pia unifungue maisha yangu Isaiah 54: 17 Peter 5:9 Psalms 97: 3 Psalms 46 Psalms 35 Psalms 91:3 Amen amen Muniombee nafitia mateso magumu sana sina kazi sina any yakusema naweza kutengemea nikitafuta kazi , naota ndoto za wafu mara nakizama kwenye maji yako na matope ndani yake. Yaani Simo refu na liko Na maji iko na matope mangi ndani yake, Nahitaji mshaanda wa maombi nimekaa jobless kutoka mwaka wa 2018
@user-uc5qr5xb6d
@user-uc5qr5xb6d 8 ай бұрын
Amen naomba msada wamaombi
@user-pi1pw7oh7d
@user-pi1pw7oh7d 10 ай бұрын
Mungu naomba ukanipe kazi,
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te
@RatphaNyererenizdiwenawa-uz9te 3 ай бұрын
napokea uponyaji wa mme wangu kupitia maombi yako mtumishi wa mungu kuna mengi yanagusa maisha yangu lakin naamin mateso yayngu yote yatakwisha
@user-bh2iv2go1o
@user-bh2iv2go1o 5 ай бұрын
Ameen baba mungu akuzidishie nguvu uzidi kutubaliki
@FaidaWilly-du8ts
@FaidaWilly-du8ts 11 ай бұрын
Asante yesu wangu,kwa kunitumia mtumishi wako innocent mashauri,ju ya kuachilia neno lako la uzima kwangu.amen
@user-fu7zx8qd4g
@user-fu7zx8qd4g 3 ай бұрын
Hapa mtumishi wa Mungu umeniongelea mm toka mwanzo hadi mwsho
@DianaAbel-j9w
@DianaAbel-j9w Ай бұрын
Ee. Baba. Mungu. Naomba. Uniondolee. Maumivu. Makali. Ninayopata. Kupitia. Madonda. Ya. Tumbo. Naomba. Niponye.
@alicethobias932
@alicethobias932 8 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii Mungu anitoe hii nchi ya Irak
@RachaelMbeyu
@RachaelMbeyu 3 ай бұрын
Ameen barikiwa sana mungu akuongoze kwa kila jambo
@FOCUSPETER
@FOCUSPETER 7 ай бұрын
Ameen mtumishi wa Mungu
@user-dn9el1yb2o
@user-dn9el1yb2o 7 күн бұрын
Amen 🙏
@user-ly3sv6gr5t
@user-ly3sv6gr5t 5 ай бұрын
Mimi ni noelah Munyakazi kutoka congo, papa usini saabu ku maombi ju mina pitiya wakati mugumu sana,vita ina simama sana kwenyi maicha yangu
@monicamandai3875
@monicamandai3875 5 ай бұрын
Leo niko hapa naona haya maombi yanavy nitoa kwa Jina la Yesu Mungu akubariki Mtumishi
@agnesminde4081
@agnesminde4081 11 ай бұрын
Usiniache Ee Mungu wa mbinguni unisikie mfalme
@christinestemi1684
@christinestemi1684 11 ай бұрын
Eeee mungu ponya nafsi yangu niondolee hii kikombe ya mahangaiko ya kazi simama namie hizi nyakati ngumu nipe neema yawezekana kupata nguvu mpya kwa jinalayesu
@AnneMwinamo
@AnneMwinamo 2 ай бұрын
Ee bwana unajuwa machungu niliyonayo katika maisha yangu unapozuru wengine usinipite nisikie
@agnesminde4081
@agnesminde4081 10 ай бұрын
Amina mtumishi
@NepayaMayombe
@NepayaMayombe 8 ай бұрын
Amina mtumishi ❤❤❤❤
@graceboke4346
@graceboke4346 5 ай бұрын
Ee Mungu achia uamsho ndani yangu
@privaushaki7395
@privaushaki7395 4 ай бұрын
Ee bwana Mungu wayajua mapito yangu nikumbuke utendee haja ya moyo wangu
@dieudonnemarcel
@dieudonnemarcel 11 ай бұрын
Kweli papa hataa nami njia ninazo pitia Wenda kuna mda hataa kuomba niko nashindwa ajili ya Za madeni,uaminifu na zambi za uzinifu na maisha ya my famille ajakaa sw Ndio maana sina raha hata kuomba nashindwa kuwa sw ila naomba mnisaidie kwa maombi yenu 😢😢😢
@Ldm7846
@Ldm7846 11 ай бұрын
Mungu akushindie katika Jina la Yesu🙏🙏
@HakizimanaBulos-lo5jr
@HakizimanaBulos-lo5jr 9 ай бұрын
Mungu anifunguw kwajina layesu
@RachelLilanga
@RachelLilanga 7 ай бұрын
Eeh mungu nimekwama sijuw ni nini kitatokea kweny kazi yangu mungu mm sijuw hatima yangu kazin maana ninaandanwa sana kazini kwangu nachukiwa na kila mtu natafutiwa sababu ya kufukuzwa kazi nimefika mwisho wa ufahamu wangu baba nivushe nitete baba mwanao
@judithmutio-mp6sn
@judithmutio-mp6sn 4 ай бұрын
Eeee mungu wangu unajua shida zangu nitendee
@dorahalfayo355
@dorahalfayo355 4 ай бұрын
Amen pastor,ni ukweli kabisa hata mimi nimepitia maneno mengi'karibu nichoke na Mungu wangu,but kuanzia leo nimepata nguvu ya kusonga mbele na kidogo ambacho nimepaki nacho kwa imani.niombee pastor Mimi ni Dorah Alfayo kutoka malava kenya.
@RizikiSalva-eg6li
@RizikiSalva-eg6li 10 ай бұрын
Amen mutumishi
@furahamichael6047
@furahamichael6047 Ай бұрын
Amina
@angelnjiku1979
@angelnjiku1979 11 ай бұрын
Amina mtumish, be blessed
@FeristaJohn
@FeristaJohn 3 ай бұрын
Mungu nisaidie napitia mambo magum san mungu nisaidie mm
@tausamon5844
@tausamon5844 11 ай бұрын
Mungu nope mwazopya nimechoka moyo wangu umekuwa mzigo
@teresiaemmanuelmswamwajuma2464
@teresiaemmanuelmswamwajuma2464 Ай бұрын
Amen amen
@shamsamramba7921
@shamsamramba7921 11 ай бұрын
Najiungamanisha na mazabahu hii ya Siri za bibilia, Mungu nitoe kwenye nyakati ngumu katika jina la yesu😢😢🙏
@agnesminde4081
@agnesminde4081 11 ай бұрын
Mungu wangu Naomba sikio la kusikiliza saudí yako kila secunde ya maisha yangu Baba
@JoanTheonest-dt5hm
@JoanTheonest-dt5hm 11 ай бұрын
Asante Bwana Yesu siku hii ya leo.
@user-xl4jb2gs7v
@user-xl4jb2gs7v 10 ай бұрын
Ameen
@zawadiwambura9188
@zawadiwambura9188 5 ай бұрын
Mungu komboa familia yangu yote
@kulwamihayo
@kulwamihayo 11 ай бұрын
amina mungu ni mwema tupo pamoja kwenye mazabahu
@marykisiangani2470
@marykisiangani2470 11 ай бұрын
Amen amena? Asante mungu wangu kwa kuzidivkunipigania, naomba ili uweze kuniondoa katika hizi nyakati ngumu za kimaisha
@anastanciaomusula3738
@anastanciaomusula3738 11 ай бұрын
Asante Yesu kwa maombi haya kweli unachunguza moyo wa mwanadamu. Asante mtumishi kwa maombi haya maana yote umenena ndio ninayapitia kwa sasa
@user-lf4mq6xs1q
@user-lf4mq6xs1q 9 ай бұрын
Amin bab naamin kw kushirk katik madhbau hii naamin mung atabadilsh maish yang
@user-tn5vb1zj4h
@user-tn5vb1zj4h 11 ай бұрын
MUNGU naomba kunitoa katika hii hali ngumu ya ugonjwa wa figo nikiwa Saudi Arabia kunipea sauti ilio mjia nabii Hezekiah kupitia nabii Isaya 👏👏 Isaya 38: 1......🙏🙏🙏
@Ldm7846
@Ldm7846 11 ай бұрын
Amina utapoa in Jesus name 🙏🙏
@user-tn5vb1zj4h
@user-tn5vb1zj4h 11 ай бұрын
@@Ldm7846 AMEM .🙏🙏🙏
@ndahabonaimanajeanclaude7092
@ndahabonaimanajeanclaude7092 9 ай бұрын
Mungu mwema
@user-oe1cg6tw7y
@user-oe1cg6tw7y 8 ай бұрын
Niombee sana baba mungu anakusia sana niombee haja ya maitaji yangu nitakushukuru baba ktk jina la yesu kristu
@mutakoalphonsine3240
@mutakoalphonsine3240 11 ай бұрын
Asante sana mtumishi
@GraceNamulindwa-rk2ei
@GraceNamulindwa-rk2ei Ай бұрын
Napitia wakati mgumu sana ktk maisha yangu
@judithmutio-mp6sn
@judithmutio-mp6sn 10 ай бұрын
Amen mtoto wangu atatembea kwa jina ya yesu
@GraceNamulindwa-rk2ei
@GraceNamulindwa-rk2ei Ай бұрын
Mtumishi wa mungu naomba uniombee hata mimi nina hilo tatizo la kulala wakati wa kuomba.Naitwa Neema meena naishi uganda
@eveabasi2469
@eveabasi2469 11 ай бұрын
Mungu naomba uguse maisha ya baba yangu Richard apone ugonjwa wa kupooza awe huru kupitia ibada ya leo
@carolinejbaile817
@carolinejbaile817 11 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu, haya yote ndio ninayapitia niko mbali na Jamii yangu but nashukuru Mungu mafundisho yako yamenisaidia sana
@jafetpatrick9132
@jafetpatrick9132 8 ай бұрын
Asante Mungu naomba unitoe kwenye nyakati ngumu Amen
@official-daniel-daniellatw5654
@official-daniel-daniellatw5654 10 ай бұрын
🙏 🙏 🙏 Amen
@GressGress-fd9xl
@GressGress-fd9xl Ай бұрын
Asante mungu naamini utaenda kuniondolea kila nyakati ngumu ninayo pitia nisaidiy bwana asant mungu
@isakabransio
@isakabransio Ай бұрын
amin🙏
@adkajisi4536
@adkajisi4536 11 ай бұрын
Mungu niokoe kupitia madhabahu hii napita wakati mgumu Sana katika masomo yangu.Yesu niokoe, amen
@ruthtito4699
@ruthtito4699 11 ай бұрын
Napitia magumu Sana Mungu naomba unisaidie Yesu naomba usikie kumba kwangu nisaidie kumba mtumishi maombi ya wengi yananguvu
@reaganhassan156
@reaganhassan156 3 ай бұрын
Eeh MUNGU,kama ikikupendeza kupitia madhabahu hii,nipatie mke mwema,Amina
@user-lq6mg6fh3y
@user-lq6mg6fh3y 11 ай бұрын
Najuwa BWANA unaweza Kwan lisilowezekana kwa mwanadam kwako wwe yawezekana sikia kilio changu BWANA 😢😢😢.......🙏🙏🙏
@kenmutethiamutethia8851
@kenmutethiamutethia8851 11 ай бұрын
Amen 🙏🏼🙏🏼 Mama yangu atapona Kwa njina la Yesu 🙏🏽
@imeldakassoga6332
@imeldakassoga6332 7 ай бұрын
Amina🙏🏼🙏🏼
@user-pq7nn3ed4u
@user-pq7nn3ed4u 10 ай бұрын
Ni kweli mtumishi umewekwa ili univushe nimekwama kila eneo Mungu nisaidie
@eveabasi2469
@eveabasi2469 11 ай бұрын
Asante bwana yesu kwa kunifungua
@biannapiter554
@biannapiter554 11 ай бұрын
Kumwabudu mungu
@AnneWambasi
@AnneWambasi 10 ай бұрын
Amen mam yangu atapona
@biannapiter554
@biannapiter554 11 ай бұрын
Nami nimejiunga kumwabutu kwa kufunga nakuomba nchungaj niongoze🙏
@biannapiter554
@biannapiter554 11 ай бұрын
Kumwabudu mungu
@marthaviana433
@marthaviana433 11 ай бұрын
Amen 🙏🏼 I
@graceboke4346
@graceboke4346 5 ай бұрын
Najiunganisha na madhabahu ya Siri za biblia ya Mungu aliye hai amen
@NaumiBaya-wr7ri
@NaumiBaya-wr7ri 11 ай бұрын
Amen. Amen
@SalmaAs-wl5bn
@SalmaAs-wl5bn 11 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri Mungu akubariki
@user-fz7mt8xs2u
@user-fz7mt8xs2u 5 ай бұрын
Ahsant mungu kwa uliv nifungua hakika nmeona Jin's uliv nipigania mungu kutoka katka kifungoo
@carolinekageha1884
@carolinekageha1884 9 ай бұрын
Nashukuru pastor Kwa mafunzo yako Hakika nimepitia lkn Wacha nipaki na yesu pekee
@user-uc5qr5xb6d
@user-uc5qr5xb6d 8 ай бұрын
Amen
@user-qb7ej8cp5y
@user-qb7ej8cp5y 6 ай бұрын
Ni kweli kabisa mtumishi
@janetkanongo3265
@janetkanongo3265 11 ай бұрын
Ameen Neno La Mungu Ndio Uhai Maishani Wetu🙏
@kevinwilliamu4757
@kevinwilliamu4757 11 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏🙏
@JanetMihayo
@JanetMihayo 10 ай бұрын
Nakusikia vizur kutoka mwanza
@Josemlowe
@Josemlowe 4 ай бұрын
Emungu simama Nami katika wakati huu mgumu ninao upitia
@saranelima691
@saranelima691 11 ай бұрын
Amen Amen Amen 🙏 mungu wangu unatosha
@adolphinemuswamba1059
@adolphinemuswamba1059 11 ай бұрын
Kweli mtumishi ,kupitia magumu ninayo na watoto wangu ,nakosa nguvu ya maombi kama mwanzo
@geitandelwa299
@geitandelwa299 2 ай бұрын
ASANTE sana
@jennifernduku-bz8ot
@jennifernduku-bz8ot 11 ай бұрын
Asante mutumishi,Mungu nimbandilishe niweze kupata nguvu mpya.
@NeemaMateleka
@NeemaMateleka 6 ай бұрын
Neema ya mungu itembee na we milele
@jemapeter2261
@jemapeter2261 11 ай бұрын
Asante YESU
LIVE: JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA VITA NYAKATI ZA USIKU
43:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 47 М.
Usiku wa Maombi by Innocent Morris
2:57:47
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 49 М.
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 23 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
Kind Waiter's Gesture to Homeless Boy #shorts
00:32
I migliori trucchetti di Fabiosa
Рет қаралды 4,4 МЛН
LIVE: MABAYA YASIKUPATE WEWE // MAOMBI YA USIKU
38:44
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 24 М.
Je Unapitia Wakati Mgumu Katika Maisha Yako?
9:49
Joel Nanauka
Рет қаралды 51 М.
LIVE: MAOMBI YA KUZUIA UHARIBIFU MAISHANI MWAKO
1:07:38
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 20 М.
MAOMBI YA KUOMBA KABLA YA KULALA - pastor Godwin Ndelwa
9:25
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 2,3 М.
LIVE: MAOMBI YA KUKUMBUKWA NA MUNGU // ASUBUHI YAKO YAJA
53:58
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 23 М.
Quiet Night: Deep Sleep Music with Black Screen - Fall Asleep with Ambient Music
3:05:46
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA by Innocent Morris
28:01
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 310 М.
MAOMBI MAPYA,TUMIA MAMLAKA ULIYONAYO {YOHANA 15:1}
17:40
SIRI ZA BIBLIA
Рет қаралды 41 М.
Tagalog audio Bible - Book of Luke 🔊📜💻😇
3:29:25
Pinoy Spirituality and Wisdom
Рет қаралды 1 МЛН
Harley Quinn lost the Joker forever!!!#Harley Quinn #joker
00:19
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 23 МЛН