MAOMBI YA USIKU LIVE

  Рет қаралды 1,319

 PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA

PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA

Күн бұрын

Пікірлер: 151
@OswardGaudence-gn4lo
@OswardGaudence-gn4lo 3 күн бұрын
Bwana Yesu Asifiwe nakupata vizuri toka Zanzibar Niombee Tuu Nipate Kazi
@StellahRobert-x5t
@StellahRobert-x5t Күн бұрын
Naomba maombi nipate kibari cha kufika nyumbani kwa mume wangu 🇹🇿 kiraisi zaidi kabla mwaka haujaisha
@HellenDaudi-rt8ol
@HellenDaudi-rt8ol 4 күн бұрын
Mungu kutana na mume wangu roho ya uzinzi iondoke kwake kwa jina la Yesu
@EvetherLucas
@EvetherLucas Күн бұрын
Mungu kutana na mme wangu roho ya uzinzi iondoke kwa Damu ya Yesu
@rahmakomba-oi1ee
@rahmakomba-oi1ee 5 сағат бұрын
Naomba maombi yako baba naombea familia yanguu nabiashar yangu naninaomba nikamakize kulipa kira is kiwanja changuu
@TausiShabani-x7b
@TausiShabani-x7b 4 күн бұрын
Amen 🙏 mchungaji mungu akubariki sana nakupata vizur nikiwa Iraq 🇮🇶
@victoriamwashungula
@victoriamwashungula 4 күн бұрын
Bwana asifiwe pastor.maombi nayapata vizuri sana nikiwa kenya
@MotherLand-es4kx
@MotherLand-es4kx 4 күн бұрын
Naomba pastor mzee wangu apate kazi tena naomba apate .baraka kutoka kwa mzazi wake
@ElishaEdwin-v3t
@ElishaEdwin-v3t 4 күн бұрын
Tupo pamoja mtumishi wa Mungu naomba Mungu a aniponye mimi na Familia yangu
@deborahsungura2618
@deborahsungura2618 4 күн бұрын
Mungu kupitia haya maombinaomba biashara zangu zifunguke na ndoa yangu iwe na amani
@StellahRobert-x5t
@StellahRobert-x5t Күн бұрын
Nikiwa nchi 🇿🇲 najiunganisha na Familia yangu nipate kufunguriwa kimaombi
@lightnessgamasa6039
@lightnessgamasa6039 3 күн бұрын
Aminaaa kubwa mtmsh wamungu, nisaidie kuomba kwaajili ya afya yangu nafamilia yangu iwe na AMANI
@SalomeKijazi-s4l
@SalomeKijazi-s4l 4 күн бұрын
Barikiwa mtumishi naomba uniombee uchumi wangu na ndoa yangu
@Theoristerbulamu
@Theoristerbulamu 4 күн бұрын
Naomba Mungu aniponye, nipate kazi kwa jina la Yesu
@anitarafa
@anitarafa 2 күн бұрын
Mwenyezi Mungu naomba..uwafugue wanangu katika vifungo vya uchawi
@SalmaSa-f3x
@SalmaSa-f3x Күн бұрын
Amen mtumishi nakupata vizuri naomba mungu unijalie afya na uzima
@ChristinaJohn-v5h
@ChristinaJohn-v5h 4 күн бұрын
barikiwa mtumishi naombaaa uniombee naumwa umwaa mtumishii ani sielewiii mtumishii
@betinajeny4741
@betinajeny4741 Күн бұрын
Nikiwa kigoma kasulu naiungamanisha familia yangu mwanangu aiden KEBILE kumuomba mungu ampe kipawa
@Acc-ey6ie
@Acc-ey6ie 4 күн бұрын
Barikiwa mtumishi naomba uombee mamangu na na babangu ni wagonjwa miguu🙏
@TetwigisJoseph-ef4dq
@TetwigisJoseph-ef4dq 3 күн бұрын
Nakupata mtumishi wa Mungu bwana Yesu kristo akubariki sana
@NyakuyengaMaira
@NyakuyengaMaira 4 күн бұрын
Mtumishi Bwana Yesu asifiwe naomba umuombee Deborah Maira Apate kazi na Mama yangu Apone magonjwa yote yanayomsumbuwa.
@CelstinaCelstain
@CelstinaCelstain 4 күн бұрын
amen pastor nakuskiza nikiwa saudia pastor nikumbuke na maombi Niko na shida sehemu za figo hizo sehemu zinaniuma sana kupitia maombi haya namini mungu ataniponya ameni
@Selpha-b6t
@Selpha-b6t 4 күн бұрын
Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@ggfghh6220
@ggfghh6220 3 күн бұрын
Amen maombi ni dawa naitaji maombi kwa kijana angu amechukuliwa nyota yake
@AshaNamele-o7d
@AshaNamele-o7d 3 күн бұрын
Pastor naomba uniombee nipate mume bora kwa jina la yesu
@REHEMASHAYO-i4l
@REHEMASHAYO-i4l 2 күн бұрын
Amina Baba.Mungu afungue kazi zangu biashara zangu
@victoriamwashungula
@victoriamwashungula 4 күн бұрын
Amen pastor Mungu abarikiwa sawa
@tinahajega4765
@tinahajega4765 3 күн бұрын
Sauti iko sawa,from Kenya
@gracekanyanza4816
@gracekanyanza4816 Күн бұрын
Asante Mungu kwa mda na saa hii unitetee Bwana
@SamuelByakisake
@SamuelByakisake 4 күн бұрын
Mungu akubariki sanaaa mutumishi wa mungu nakufatilia sanaaa
@NyamweruMichael
@NyamweruMichael 4 күн бұрын
Niombee pastor kuhusu kazin kwangu
@TetwigisJoseph-ef4dq
@TetwigisJoseph-ef4dq 3 күн бұрын
Niombee mtumishi haki yangu nimenyang'anywa waziwazi
@MwajumaRollinson
@MwajumaRollinson 2 күн бұрын
Naomba uwaombee wanangu katika kila lwanalofanya libarikiwe wamjue mungu kuwa ni baba
@Theoristerbulamu
@Theoristerbulamu 4 күн бұрын
Bwana Yesu , Mungu akubariki maombi yako yamenibariki sana kila ck nasali na wewe mtumishi
@rosemwashitete4305
@rosemwashitete4305 2 күн бұрын
Asante mtumishi nakupata vizuri sauti iko sawa
@maryinyas9320
@maryinyas9320 4 күн бұрын
Unasikika vyema mchungaji, naomba maombi ya mateso ya tumbo. Amen
@EvetherLucas
@EvetherLucas Күн бұрын
Niombee mwanangu Elizabeth apate mtoto kwa Damu ya Yesu
@aileenkangai2837
@aileenkangai2837 4 күн бұрын
Bwana Yesu asifiwe pastor,, naomba unisaidie kwa maombi baba yngu ni mgonjwa mguu sana,
@karembokahindi6308
@karembokahindi6308 Күн бұрын
Amen tukopamoja pastor
@TumainiKaminyoge
@TumainiKaminyoge 2 күн бұрын
Unakuja vzr pastor
@JanethMchaa
@JanethMchaa 4 күн бұрын
Namuombea mtoto wangu amefungwa na nguvu za giza
@victoriamalemba8853
@victoriamalemba8853 4 күн бұрын
Amen pastor nasikiza nikiwa kenya
@TwilumbaUlaya
@TwilumbaUlaya 4 күн бұрын
Amen sauti iko sawa
@betinajeny4741
@betinajeny4741 Күн бұрын
Mtumishi niombee mwaka tunaoingia 2025 nipate kuolewa na mimi tena ndoa nipate kukutana na watu sahihi ktk maisha yangu
@adriannjau6544
@adriannjau6544 4 сағат бұрын
Sauti iko vizuri Pastor
@ismaiyamusa1277
@ismaiyamusa1277 4 күн бұрын
Amen sauti iko sawaaa
@clarisouma6747
@clarisouma6747 4 күн бұрын
Mtumishi wa mungu nakupata vizuri sana
@betinajeny4741
@betinajeny4741 Күн бұрын
Amen mtumishi niombee
@REHEMASHAYO-i4l
@REHEMASHAYO-i4l 2 күн бұрын
Nakupata baba yangu.kwa video na sauti Iko sawa
@adriannjau6544
@adriannjau6544 4 сағат бұрын
Amen Mtumishi wa Bwana
@betinajeny4741
@betinajeny4741 Күн бұрын
Nakusikia vizuri mtumishi
@HelenaMgomba
@HelenaMgomba 4 күн бұрын
Nakupata vzr mtumishi nipo kondoa Dom sauti ipo sawa
@jacqulinekasondera5326
@jacqulinekasondera5326 4 күн бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu, nakupata vizuri sana, niko Tandahimba Mtwara.
@LoyceNicho
@LoyceNicho 4 күн бұрын
Ubarikiwe mtumishi wamungu
@GraceRaphael-k2e
@GraceRaphael-k2e Күн бұрын
Amina .mungu afungue lang la ndoa
@joycemakamba9175
@joycemakamba9175 4 күн бұрын
Pasta naomba umuombee mwanangu apate kazi.
@twarqaziz2457
@twarqaziz2457 7 сағат бұрын
Nakupata vzr mchungaj
@RosetteNakajambi
@RosetteNakajambi 4 күн бұрын
Nakufata mutumishi wangu.
@StellaFransis
@StellaFransis 4 күн бұрын
Saut iko sawa mchungaj
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 4 күн бұрын
Nakupata mch sauti ipo sawa
@silvialushasi2885
@silvialushasi2885 4 күн бұрын
Unasikika vizur mtumishi
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 4 күн бұрын
Mch miguu yangu imefungwa sitembei
@FikiriKuyunga
@FikiriKuyunga 4 күн бұрын
Tuko sawa kabisa, naomba maombi ya ulinzi katika Familia yangu, pia dada yangu zawadi kayunga nafsi yake inafungwa na wachawi
@perismurimi9651
@perismurimi9651 3 күн бұрын
I receive it in Jesus name
@JoyceMlelwa
@JoyceMlelwa 2 күн бұрын
Nakupata pastor
@JonhMolel-m6r
@JonhMolel-m6r 4 күн бұрын
Mtumishi wa mungu nakupata naomba uniombee kwa kazi ya usiku nafanyà
@StellahRobert-x5t
@StellahRobert-x5t Күн бұрын
Mtumishi wa mungu amen
@betinajeny4741
@betinajeny4741 Күн бұрын
Namleta mama angu Jane KEBILE KILA jambo likae salama
@Josephinechaimwanzije-it6qu
@Josephinechaimwanzije-it6qu Күн бұрын
Mm nami nafatilia Leo nimeiona hii video na nashukuru Mungu Kwa hili neno
@neemamtei3638
@neemamtei3638 4 күн бұрын
Mungu niondolee roho ya uchungu
@ashuramuhammad8813
@ashuramuhammad8813 3 күн бұрын
Ameen
@barakakikoti
@barakakikoti 4 күн бұрын
naomba uniombe safr yangu ya ujauzito mtumish
@JanethMchaa
@JanethMchaa 4 күн бұрын
Nawaunganisha watoto wangu ná wajukuuu zangu ndoto mbaya na magonjwa yote
@MariamMabu
@MariamMabu 4 күн бұрын
Mtumishi mimi nimekuwa mtumwa wa madeni mtumishi naomba uniambie majaribu kwangu yamekuwa wengi
@maulinemakungu5322
@maulinemakungu5322 4 күн бұрын
Asante nakupata nikiwa gulf
@EvetherLucas
@EvetherLucas Күн бұрын
Niombee watoto wangu wapate kazi Elizabeth na Stella Benedict
@BeckyNelly-e3g
@BeckyNelly-e3g 4 күн бұрын
Niombee kwa ajili ya kupokea nguvu mpya ya roho mtakatifu
@Ñancykwqmbokq
@Ñancykwqmbokq 4 күн бұрын
amen amen sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😅😅
@semoraSemor
@semoraSemor 4 күн бұрын
nakufatilia sana mkuu
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 4 күн бұрын
Nakupata mch
@REHEMASHAYO-i4l
@REHEMASHAYO-i4l 2 күн бұрын
Amina Baba
@PASTASAMWELILUSAMBO
@PASTASAMWELILUSAMBO 10 сағат бұрын
Ameeni 🙏 Baba
@Angel-rx7pg
@Angel-rx7pg 4 күн бұрын
Pastor naomba niombee Afya yangu iweimara
@user-bh3lt5ed4t
@user-bh3lt5ed4t 4 күн бұрын
Ameen..
@ednakawonga9453
@ednakawonga9453 Күн бұрын
Niombee uchumi wa familia ufunguliwe.
@christinamlay609
@christinamlay609 4 күн бұрын
Najiungamanisha na maombi haya
@MugishaDestine-v1s
@MugishaDestine-v1s 3 күн бұрын
Naona maombi
@erickmsimbe5424
@erickmsimbe5424 4 күн бұрын
Amina mch
@BajouNizeye
@BajouNizeye 4 күн бұрын
NAkufata vizuri
@semoraSemor
@semoraSemor 4 күн бұрын
nakusikia vizuri sana
@favoredbyJesus
@favoredbyJesus 3 күн бұрын
Amen 🙌
@VailetRogati-kq4en
@VailetRogati-kq4en Күн бұрын
Naomba kwaajili ⁴ ya watoto roho ya ulevi kwa watoto kwaajili ya uchumi na waleambao ninawadai wanilipe hela zangu
@MariamAa-zh7yu
@MariamAa-zh7yu 2 күн бұрын
Amiin Amiin
@friminakiwale7017
@friminakiwale7017 4 күн бұрын
Tuko sawa kabisa
@GraceMoraa-n1h
@GraceMoraa-n1h 3 күн бұрын
Amen amen 🙏🇸🇦
@barakakikoti
@barakakikoti 4 күн бұрын
ameniii mchungj
@BeckyNelly-e3g
@BeckyNelly-e3g 4 күн бұрын
Pastor niombee sana naota ndoto mbaya Kila ninapolala
@BeckyNelly-e3g
@BeckyNelly-e3g 4 күн бұрын
Nakupata sana pastor
@AmosBoniface-ch4iy
@AmosBoniface-ch4iy 4 күн бұрын
Amen 🙏
@MwsnahamisKizigha
@MwsnahamisKizigha 4 күн бұрын
Amina
@JanethMchaa
@JanethMchaa 4 күн бұрын
Watoto wangu magonjwa na ndoto mbaya
MAOMBI YA KINA YA UFUNGULIVU - DEEP PRAYER BY PASTOR GODWIN NDELWA.
13:32
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 1,3 М.
MAOMBI YA ULINZI. DHIDI YA NGUVU ZA GIZA NA MAADUI ZAKO. MAOMBI NA MAOMBEZI Pastor Ndelwa
15:32
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 102 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 40 МЛН
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
Try this prank with your friends 😂 @karina-kola
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 9 МЛН
Nyimbo za Kuabudu na Maombi
1:00:07
Lucas Kaaya
Рет қаралды 44 М.
MAOMBI YA KUVUNJA VIKWAZO NA VIZUIZI - MAOMBI YENYE NGUVU SANA' KEMEA VIZUIZI | PASTOR NDELWA
11:01
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 21 М.
NAMNA NA JINSI YA KUOMBA MAOMBI YA KUNENA KWA LUGHA
28:27
Efatha Church Mbeya
Рет қаралды 3,5 М.
USIKU WA MAOMBI 20/09/2024 by Innocent Morris
3:59:31
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 9 М.
MAOMBI YA KUVUNJA MADHABAHU | MAOMBI YA UKOMBOZI | USIPITE MAOMBI HAYA MAOMBI NI DAWA.Maombi ya moto
16:06
🔴 ANZA KUJITAMBUA KATIKA HILI | PR. DAVID MMBAGA
1:04:28
SUA SDA CHURCH
Рет қаралды 11 М.
MAOMBI YA KUREJESHA NA KUWEKWA HURU - MAOMBI YA KURUDISHA KILA KITU CHAKO, HAKI YAKO -MAOMBI NI DAWA
15:27
MAOMBI YENYE MIUJIZA YA KUFUNGUA VIFUNGO VYOTE VYA NGUVU ZA GIZA , UPONYAJI KUONDOA MASHAMBULIZI
12:16
PASTOR GODWIN NDELWA - MAOMBI NI DAWA
Рет қаралды 6 М.
Chain Game Strong ⛓️
00:21
Anwar Jibawi
Рет қаралды 40 МЛН