Mungu komboa ndoa yangu iludi mungu kama ni mume sahihi kwangu alud kama sio sahihi unipe.mume mzuri kuliko yule
@khadijakupela2381 Жыл бұрын
Asante sana Bwana kwa huduma hii,
@godkilasi1582 Жыл бұрын
Eee mungu nijalie neema nipe liziki zangu za kila siku pasipo ugomvi dhuluma na mtu yeyote.nijalie amani.niepushe na wabaya wote niepushe na wachawi .anaeniroga akajiroga mwenewe. Mjalie mjomba ambae ni.mgonjwa mpe uzima na uhai naamini yote unaweza amina.
@fridaraurenti8602 Жыл бұрын
Naomba kupata ndoa kuanzia sasa kwa jina la yesu naomba kupokea baraka zangu zote kwa jina la yesu naomba kupokea mtaji wangu wa bihashara kwa njia rahisi katika jina la yesu nimepokea 🎁
@christinaallen227 Жыл бұрын
Naomba mwanangu Diana Jackson akaponywe macho yake kupitia maombi haya ya usiku katika jina la yesu KRISTO AMEN apokee upoko uko shuleni kwake
@RehemaMwambugu10 ай бұрын
Ameeeni napokea kwajina la yesu
@MaryHaule-bo5uc11 ай бұрын
Naamini nami nimefunguliwa kwa jina la Yesu
@veronicaherman9680 Жыл бұрын
Amina NAMI naenda kufunguliwa
@harmyktv54889 ай бұрын
Ameen mungu atusimamie na maombi yetu yakajibiwe Amina.
@ACPDEHasbl10 ай бұрын
❤ ubarikiwe saana mchungaji Mungu akuzidishiye mtumishi nyota yangu irudiye Leo
@annajohas3952 Жыл бұрын
Nataka mwezi huu nifanye biashara
@estarmwakatage22010 ай бұрын
Mungu naomba katika maisha yangu nipokee watu sahihi
@roseboamo57772 ай бұрын
Bwana yesu asante kwa neema yako, baba ktk jina la yesu kritu ninashukuru kwa furaha ulionipa Jana na watu niliokuwa nafanyanao kz nimeuona mkono wako bwana yesu naamini pia nimemaliza kesi yangu yote majibu yangu yameanza kuonekana ktk jina la yesu kristu amen.
@SophiaLyakulwa2 ай бұрын
Mtume mwamposa nakuomba tareh 26 mwenz huu bamkwe anakuj naomb maomb yako amen pia naomb ninawo wadai wanilipe kuanzia kesh amen niwe na Ela pia naomb mmewang apandishwe cheo amin
@Happiness-p5n Жыл бұрын
Naomba nijibiwe maombi yangu 12 kwa jina la yesu
@estarmwakatage22010 ай бұрын
Mungu naomba hela zangu zote zilizopotea kwa njia ya kutatanisha naomba ziludi kwa jina la yesu
@paskaziamilambo95072 жыл бұрын
Najiunganisha mm nafamilia yangu yesu atuponye tuinuke kiuchumi kiafya kiroho ndoa
@DianaBogohe Жыл бұрын
Najiungamasha nadhabahu hii mungu naomba nipate mume mwema aje nyumbn kbs atoe mahalikbs
@kamakiamollel172811 ай бұрын
Eee bwana kupitia madhabah ya arise and shine naomba mme wangu saruni awe mtu sahih kwangu kwa damu ya yesu na kubadilisha historia ya maisha yangu ameeeeen
@TeodosioBernardoTomas6 ай бұрын
Nataka nifungulie uchumi wangu asante mungu nipe Leo nipoke ushid Manisha yangu NEMA Kwa Jina la yesu amee 🇲🇿🇲🇿
@martintsino49532 жыл бұрын
Ee mungu naomba kupita maombi ya usiku nipokee mimba katka jina la yesu amina
@estarmwakatage22010 ай бұрын
Mungu wangu naomba niondolee madeni nadaiwa niyalipe kiulaisi
@SophiaLyakulwa2 ай бұрын
Mtume mwamposa nashukul nafatilia vipind vyako kweny simu yang kubwa nimeomba nipate mume mwema nimepata pia niliomb nipate mimba nashukul mtume mwamposa nimepata mimba nashukul San mtume mwamposa Amina kingne mtume mwamposa naomb hii mimba unpone na aduhi muomvu kingne nipende kula kuazia leo amin
@roseboamo5777Ай бұрын
Asante mungu kwa matendo yako makuu juu yangu., mungu aomba kufunguliwa nipone magonjwa yote afya yangu izidi kuimarika, naomba juliasi asinisumbue tena na kile chumba tana, naomba familia nzm wamtambue kuwa nimfurugu wa familia.
@iddylemu89242 жыл бұрын
Furaha na muungamaisha mtoto clever stany mndengele amkumbukwe na baba yake amtunze ampe kila hitaji lake katka jina la yesu amen
@roseboamo57775 ай бұрын
Mungu badilisha historia ya maisha yangu. Nipone ugonywa wa sukari, niache dawa kwa imani, ni inuliwe kiuchumi, nifungue biashara kubwa, nilipwe madeni yote. Nilipe madeni inayo nikabili.
@Tawis-y9c9 ай бұрын
Adui achia afya yangu achieve ndoa yangu pili mungu naomba mgumu wangu niponye mwili wangu na tatu naomba mungu anipe gar nyumba
@DaimaSwai3 ай бұрын
Bwana asifiwe Naomba kibali ktk kiti cha enzi Naomba kulipwa madeni yangu yoote kazini. Naomba mke mwema . Naomba kufunguliwa vifungo vyoote. Naomba kibali cha kujenga nyumba kirahisi. Naomba wanangu wapate kibali mbele zako Nchi hii ikawe baraka mbele zangu. Naomba uyapokee maombi yangu AMENI
@tonykonki14373 ай бұрын
Arise and shine mimi mtume natarajia maisha mpya kilio kiishe kwangu na mungu aniinue ,tena mchawi anaye lipwa kuharimbu maisha yangu sasa anaharimbiwa amen..
@eldwinadesdery10 ай бұрын
Mungu naomba usimame na familiar yangu,utuponye na magonjwa,mikosi na mitego ya shetani ,pia naomba tufunguliwe kiuchumi , Amen 🙏
@paskaziamilambo95072 жыл бұрын
Najiunganisha na madhabau ya rise and shine naomba nipate mtaji nifanye biashara nisikae nyumban kwajina la yesu amen
@dominickalone53922 жыл бұрын
Mungu katika jina la yesu Alie hai naomba kibali nipaye kazi zuri kilaisi ntank. Emeni.
@tonykonki14373 ай бұрын
Kila alie iandika yamrundie mwenyewe,chocho kilio wekwa kinyume na maisha mwangu,kimrundie mwenyewe katika jina la yesu.
@mariamnzai885815 күн бұрын
Everything that is mine, today it will come to me right now in Jesus might name
@annamkombwe28768 ай бұрын
Kwa jina la Yesu, nipone kichwa changu kinacho vurugana vitu vinavyo nisumbua, na mtoto wangu aache wizi,bangi, uvutaji bangi na sigara, pia ulevi wa pombe, Mungu nisaidie
@emanuelmgonja1884 Жыл бұрын
Nafunguliwa leo napokea miujinza yakufunguliwa masikio yangu yaanze kusikia kwanzia sasa kupitia maombi haya usk amen
@kamakiamollel172811 ай бұрын
Mungu wanguuuu kuppitia kipindi cha uck napokea watu sahihi kwenye maisha yangu kwa damu ya yesu krsto alie hai ameeeen
@zawadidickson9380 Жыл бұрын
Mungu naomba urejeshe ndoa yangu mume wng arundi nyumban na biashara yng iongezeke nipate kujenga nyumba yangu kwa jina la yesu
@iddylemu89242 жыл бұрын
Amen unapokea kufunguliwa na family zetu zikawe na Aman upendo utawale daima katka jina la yesu
@ACPDEHasbl10 ай бұрын
Nipokeye kazi nzuri, uponyaji, ufungulivu, kazi, projet, voyage, uponyaji
@matumizbinafsi40942 жыл бұрын
Amen Naamini Mwanangu Marcelino na Aldoph wanafunguliwa katika masomo yao kuanzia sasa
@FaudhiaYahaya-dy6bo Жыл бұрын
Eeh Mungu naomba me na mpenzi wangu tufunge ndoa na tuweze kudumu kwenye mahusiano yetu piya naomba utuinue kiuchumi tuondolee mabaya yote yanayotuzunguka piya naomba nipate hela na nyota yangu ing,ae ameen
@awenamussa9 ай бұрын
Awema mussa napokea na mimi mambo mazur yote yanikimbilie kwa jina la yesu amina🙏💋
@Leah-mx8rf7 ай бұрын
Mungu naomba kufunguliwa maishayang,niondolee kukwaza na mtu yeyote yule,mungu naomba kuwekwa huruu na kaz yangu
@iddylemu89242 жыл бұрын
Naomba mungu amponye mchumba wangu happy apone kifua kiachie kukohoa ktk jina la yesu akapone kuanzia Sasa amen
Awema mussa napokea mambo mazur yote yanikkmbilie bila ugumu wowote kwa jina la yesu🙏🙏🤲🙏🥰💯
@reyjohnson6242 жыл бұрын
Adui Achia Afya yangu achia ndoa yangu achia kaz yangu pia Achia uchumi wangu na umuachie mme wangu Yacobo Lazalo kuanzia xaxa AMINA
@annajohas3952 Жыл бұрын
Naomba Mungu anisaidie mume wangu akirudi nipate ujauzito nijifunguwe watoto wawili mapacha wakiume na wakike
@kennedysoka26953 жыл бұрын
Bwana yesu asifiwe mtume najiungsnisha mimi na familia yangu,ndoa yangu iwe na amani pia mungu awakumbe watoto wangu awatoe kwenye magonjwa.amina
@mtuasiyejulikanamtuasiyeju37752 жыл бұрын
mBwana yesu asifiwe mtume najiunganisha naomba nipatea mtoto kiumea
@rachelmwasajone21853 жыл бұрын
Asante mungu kwa siku yleo kwangu imekua yfuraha sana nimepata lejesho kilahisi sana Asante yesu
@happysilvini10972 жыл бұрын
Mungu naomba nifunguliwe boss wangu Martha Harvey anirudishe kazin
@lailathhussein497511 ай бұрын
Mungu nijibu na Mimi maombi yangu ww ndio unaetenda NAMI nitendee 🙏🙏🙏
@AsiaNassoroMpili Жыл бұрын
Najiungani na maombi ya usiku ameeen
@martintsino49532 жыл бұрын
Najiungansha na madhabahu hii mungu naomba nipe mtoto baba futa machoz yangu siku ya leo ktk jina la yesu
@roseboamo5777Ай бұрын
Mungu naomba amani ktk familia yetu, naomba juliasi aache kutuvuruga familia yetu. Naomba ajulikane na familia nzima. Naomba John, mery, juliana, Angela, teresia wanipende wamtambue juliasi anavyo nionea.
@elinayohana6636 Жыл бұрын
Mungu kupitia maombi haya mponye mama mzazi magonjwa yote,mrejeshee ufahamu,anayecheza na familia hii Leo Mungu aingilie kwa jina la yesu
@getrudeedwin Жыл бұрын
Naomba kwa Imani niweze kuendelea na masomo yangu kwa jina la yesu
@magrethmvwango2682 Жыл бұрын
Mungu Kwa Imani alie nitabilia kifo mpaka watu wananikimbia mungu hiki kifo nakigeuza kimrudie mwenyewe huyu dada naamini Hilo ameni
@reyjohnson6242 жыл бұрын
Mme wangu Yacobo aachane na makundi ya vijana wa baya aixhi kama alivyokuwa akiishi zamani aache sigara bangi pombe na umalaya asiwasikilize hao marafiki zake tena madawa aliyolixhwa anichukie mm yakamtoke kwa jina la YESU KRISTO AMINA
@emmanuelpele85282 жыл бұрын
Ombi la gu uniombeye mtume naumwa sana Figo na sukari. Unisaidiye mtume. Unisaidiye mtu. Na amini mu Jina la Yesu christ. Mungu akubariki. Amen
@NuruMohamed-gu9jn Жыл бұрын
Naomba mungu aniponye kifua kama msumari umesimama pia nifunguliwe
@lovenesspendeza42162 жыл бұрын
najiungamnisha na mathabahu hii mungu anitendee miujiza
@Leah-mx8rf7 ай бұрын
Mungu kila anaehusika kunipiga vita humu kazni aharibiwe kwa jina la yesu leo,wote walio kinyume na mm wameharibiwa usiku huu kwa jina la yesu
@bambardtz96177 ай бұрын
Maombi aya yanibaliki mm na mmewangu tupate watoto walio bola kwenye maisha yetu
@reyjohnson6242 жыл бұрын
Ee mwenyezi MUNGU naomba unisaidie maombi yangu nijibiwe kwa uharaka zaidi naikajulikane kuwa wew MUNGU huxhindwi kitu chochote kwa jina lako YESU KRISTO AMINA kuanzia sasa mme wangu Yacobo Lazalo Akaje uxagara nakunitafta mm mke wake anibembeleze nakunipgia magoti nimsamehe turudiane na tukaishi maixha ya Aman na utulivu AMINA
@neemandayikumba7412 жыл бұрын
Nami napokea mimba yawatoto wa tatu wakik umoja wanaume wawili mwezi huu kwauwezo wa Mungu naomba kwakupitiya jina la Yesu Amen
@reyjohnson6242 жыл бұрын
Ee mwenyezi MUNGU naomba namm leo nifunguliwe kuanzia sasa AMINA
@iddylemu89242 жыл бұрын
Furaha naomba mungu mchumba wangu iddy aniowe tufunge ndoa na tuishi pamoja tuwe na Aman katka jina la yesu tuepushe na usarit katka mahusiano yetu mme wangu iddy anipende na Mimi nimpende Zaid na tupate mapacha wawili wakike na kiume katika jina la yesu tunapokea hyo maombi yetu kibiashara kiuchumi tunamin mungu utatenda leo ameeen
@mikidadimdota5595 Жыл бұрын
Ee mungu kwa jina la yesu mikidadi Pascal mdota apone tumbo lake kupitia oparetion komboa familia ya usiku wa saa nane usiku naomba mungu afungue tumbo lake
@tonykonki14373 ай бұрын
Mtume,naomba bihashara yangu iwe inalipa zaindi ,ya mara samba ple ilikua inatoa pia madeni yaniondokee kambisa ,tena familia yangu ipone katika jina la yesu..
@catherinesilvester97272 жыл бұрын
Amina 🙏
@grolyherman10 Жыл бұрын
Naomba mungu unifungue na mimi maradhi yanayonisumbua nipone kwa jina la yesu
@SophiaLyakulwa2 ай бұрын
Mtume mwamposa nilienda hospital kupuma nimepima vipimo vyote lakin utiai naomba hiiishe kuanzia usiku huuu naomba niponye na kila magonjwa amina
@sofiamsusa9448 Жыл бұрын
Mungu haya maombi ni yazamani Ila kwaimani mungu nijifunguwe kiraisi na uchunguu wa kawaida na uchunguu wanusu saaa Adi manesi washangae
@monicamasanja75852 жыл бұрын
eee mungu uliyeziumba mbingu na nchi naomba ujibu maombi yangu kwa kuwa wewe ni mwema na muweza wa yote ameeeeenii🙏❤️
@aishamisigaro6790 Жыл бұрын
Amen
@roseboamo57772 ай бұрын
Bwana yesu naamini nimefunguliwa kwa panya waliokufa ndn kwetu walio kuwa nakusumbua kwa mda mrefu naamini sasa tumefunguliwa.
@Leah-mx8rf7 ай бұрын
Naomba mungu usiku huuu ,nionekAnie na mahitaji yangu
@himidiramadhanimziba17792 жыл бұрын
Nataka Leo nipokee kibali cha uponyaji katika juna la yesu christ na nifunuliwe madui zangu wote wa upande wa ubabani na umamani naupande wawake zangu, Rafiki zangu, na majirani zangu, na nigunuliwe marafiki sahihi niwajuwe Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
@iddylemu89242 жыл бұрын
Itakuwa Leo katka jina la yesu ninapokitanda na mchumba wangu happy akashike mimba katka jina la yesu napokea mimba ya watoto mapacha furaha pokea mimba Leo ktk bwana ameee
@pilirashidi54502 жыл бұрын
Naomba mungu kila anae Sandia kilasehemu ya maisha yangu aanguke
@andreamukoko6151 Жыл бұрын
Eyesu najiungamanisha na maombi haya mtume nifunguliwe kiuchumi ,kizaz changu nipokee ujauzito wa mapacha wawili wakike na kiume kwa jina la yesu ameeeen
@vedianamgube9112 жыл бұрын
Na mwomba mungu na mimi mungu anitendee miujiza nianze kuishi na mchumba angu deo
@lembrissiy-oq4lq Жыл бұрын
Mungu naomba unisaidie nipatie kazi yakudum mungu naomba unisaidie
@WenessySimon2 ай бұрын
Naomba uniombee mtumishi katika familia yangu na ungonjwa wangu wa mguuu ulio nisumbua miaka mingi naitaji kupona na naitaji mmewangu tulie achana ivi kalibuni aludi kwangu Kwasababu Bado nampenda na ninaitaji kuishi nae
@AshaZephaniah Жыл бұрын
Shalom, Mimi Beatrice au asha,ninainuakiwangu chaimani nitapatiwa,hekima na mungu, nawatoto wangu wote watapata division one, salha na kheri naanjo
@Leah-mx8rf7 ай бұрын
Mungu naomba kibali cha hii kazi na pia na vita sana kwenye kazi hii,naomba wafuatao mungu pigana nao mm siwezi,wafuatao mungu wananipiga vita waabishe nataka hayo mabaya wanaonitengenezea yawakumbe mambo magumu mpaka washangae,faraja ,wiliam,noela,kadimili,frenk,silivesta,ezee,damiano,veronika,Damiani,, wakutwe na mambo magumu sana kazni mpaka wasashangae,na ikibidi wengine watolewe kazni
@roseboamo57772 ай бұрын
Bwana yesu naomba kushinda hichi nilicho sikka juu ya bati naomba nipe macho ya roho mpk nione nilicho sikia.
@MaryHaule-bo5uc11 ай бұрын
Naamini nitapata mtaji leo kwa jìna la Yesu amen
@LibentModest-z4t11 ай бұрын
Namuomba mungu anijarie mke wangu apate mimba nifungwe saloon duka niripww maden yote family yangu ifunguliwe baba na mama ndg mashemej na wakodom wote wafunguriwe
@bskengineeringco.5986 Жыл бұрын
Namfungua fahamu dcm mungu amrudishe nyumbani apende mke na watoto wake
@iddylemu89242 жыл бұрын
Amen najiunganisha na mchumba wangu furaha apate mimba ya watoto mapacha katka jina la yesu tunapokea baraka na miujiza yetu kibiashara kiuchumi tunamin mungu utatenda ameen
@celestineungilila44582 жыл бұрын
Nina pokeya kufun guliwa :kwa jina la yesu
@iddylemu89242 жыл бұрын
Tunajiungamanisha na mchumba wa happy tunapokea miujiza yetu kibiashara kiuchumi tunamin mungu utatenda leo mi siku yetu kufunguliwa tunapokea mimba ya mapacha wawili ameeen ameen kubwa
@castorymgimba23422 жыл бұрын
Mungu naomba mungu anisaidie nipate mtt Kila siku naumwa kupitia mazabauih nipone
@AbasiChipungu7 ай бұрын
Mwenyezimu mwanangu rehema afunguliwe apate mume bora apate kazi zake alizonyanganywa arufishiwe
@JamilaomariMuhamed4 ай бұрын
Mungu nisaidie kesho wateja wamiminike lm mvua kwenye biashara yangu mungu nisaidie 22:40
@estarmwakatage22010 ай бұрын
Eeeeee mwenyezi mungu naomba biashala yangu ikainuke ikawe biashala ya kimataifa wateja wakanizidie kwa jina la yesu
@nasradaudi16422 жыл бұрын
kuAnzia Sasa napokea cm yamafanikio kutoka kwa mme wangu mungu naomba mme wangu anijali anisamin pia aniawekee umeme na pia kabra yamwaka kuisha anipaulie nyumba yangu.kwa jna la yes
@agripinaligelele93673 жыл бұрын
Amen na mimi na pokea miujiza ya pesa katikajina la yesuu
@seciliamtula5676 Жыл бұрын
Anima nifunguliwe mungu wangu
@mwanahamisijuma15892 жыл бұрын
Na Mimi nafunguliwa kwa jina la yesu amen
@bityjimy11 ай бұрын
Napokea baraka nikiwa nyumbani naamini nimepona kwa jina la yesu kristo
@agripinamajengo80432 жыл бұрын
Agripina Majengo.Amina.Nitoke na changu 2022 maisha mapya yote yamekwisha
@vedianamgube9112 жыл бұрын
Mungu nataka unitoe vifungo vyote walivyo nifunga pia jina mizi silitaki katika jina la yesu linaninyonga nikilala naomba litoke mala Moja naamulu kwa jina la yesu Mila ya uchawi ivunjike mala moja
@ReynadaFabianiАй бұрын
Naomba mungu nipate ndowa niolewe kazumali aniowe mwaka huu