Mchungaji mungu akubariki kwa sababu kupitia mafundisho yako nimeona mabadiliko makubwa asantee mtumishi
@AGNESNDALIFANYAАй бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho yako baba angu natamani namm niwe mwalimu kama ww ili watu wengi wakimbilie kwa YESU AMINA
@SuzanaPyanila12 күн бұрын
Amina nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu alibariki sana mchungaji
@Aisha-hg4et7 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu kwani ninachokipata katika mafundisho yako ninaamini nitafika mbali sana na hii ndio ilikuwa kiu ya muda mrefu kupata mafundisho haya asante Mungu kwa kunipa mtumishi wako huyu, barikiwa mtumishi wa Mungu
@denismukabwa2642 Жыл бұрын
Napenda mafundisho mchungaji. Napenda mafundisho ya kufungua macho jinsi ya kukaa ndani ya Mungu na kuenenda uweponi mwake. Asante sana!
@gilsonwanje Жыл бұрын
Napenda mafundisho yake ,je unavitabu ulivyo andika?
@pascaladolph5307 Жыл бұрын
Mafundisho yako yanajitosheleza
@Mary-z5i1s8 ай бұрын
Amen amen and amen 🙏🙏🙏🧎🧎
@GeofreyMswima5 ай бұрын
Ameen
@RemnantsDisciple9 ай бұрын
Shalom shalom shalom from qatar doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦
@RemnantsDisciple9 ай бұрын
Shalom shalom 🎉
@emeliakatchunga95242 жыл бұрын
Asante mtumishi kwa mafundisho haya Hasa mimi binafsi nachukua note 4 , Kabla sijatamka kwa kinwa changu Mungu wangu alie sirini amekwisha jua, Mungu nisaidie
@rosemichael72874 ай бұрын
1/. Omba kwa Baba Moja kwa Moja . 2/Acha Neno la Mungu limiliki Maombi yako. 3/ Omba kwa Imani , Amini unachokiomba utakipokea. 4/ Chukua Hatua za Kuzaa matunda katika Kuomba kwako. 5/ Ongozwa . Ruhusu Bwana Akuelekeze . Tupate Neema ya kujifunza , points za ibada ! Asante Mtumishi .
@ConsolathaLucas Жыл бұрын
Nijifunza mambo muhimu Sana mtumushi mungu akubariki nitaendelea kujifunza kweli hakika mungu anakutumia sawa sawa na kusudi
@JoshuaNasari7 ай бұрын
MUNGU akubariki mtumishi , hakika kuna jambo roho wa MUNGU ameliweka ndani yako, kwa ajili ya ulimwengu wote na kizazi cha baadae . pokea neema ya kuzidi kuinuliwa zaidi kwa jina la YESU KIRISTO amina.
@AicaJulius-fk6ug Жыл бұрын
Napenda sana mtumishi mafundisho yk ningekuwa ukomwanza ningeshafika dalasani
@TWRWomenofHopeTanzania11 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. The message is so powerful
@RehemaAhmed-ms5qq5 ай бұрын
Ee bwana yesu naomba umtoe mkwe wangu kwenye mateso makubwa ya maradhi anayoyapitia amina.
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Asante YESU KRISTO kwa huruma yako kunipa somo hili asante YESU
@CatherineMakokha-dg6ws11 ай бұрын
I just give glory to God for the powerful teaching in spiritual life, more blessings in Jesus mighty name pastor 🙏🙏🙏
@judithnjunwa6668 Жыл бұрын
Yesu kristo nipe mtoto wa kiume atakuwa mtumishi wako,,, Appostle kwa utukufu wako
@judithsilayo1449 Жыл бұрын
Mchungaji Mtumishi wa Bwana Mungu akupe siku nyingi za kuishi kwaajili ya kusudi aliloweka ndani yako mafundisho ninamshukuru Mungu sana kwa ajili yako mafundisho yako yamenisaidia sana Mungu akubariki Judith silayo
@gloryjoseph97793 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mazuri hakika ufahamu wangu unafunguka mno, ubarikiwe baba,Mungu akutunze kwaajili ya wengi❤❤❤
@NoellaBilembano9 ай бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi wa mungu na FURAHA kwa mafudisho. Na sema. Asante
@ibrahimukikwilili43688 ай бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu hakika Mungu anakutumia sawa sawa Mungu wa mbinguni Mungu wa lbrahim lsaka na Yakobo asikupungukie akupa mahitaji yako yote uishi miaka mingi mpaka Mungu atimize kusudi lake juu yetu sisi wanadamu nabarikiwa sana na kuinuliwa kwa amani yangu
@ErastuC9 ай бұрын
God's word will never expire,I thank God for His word it has touched me.
@felisternicholaus328111 ай бұрын
Jina la Bwana Yesu kiristo libarikiwe sana. Asante Mungu BABA
@edithkyando49007 ай бұрын
Mungu azidi kukutumia Baba Mchungaji. Nimepokea na nitachukua hatua ktk kuomba. Amen
@DennisKituyi-b8lАй бұрын
Am in Kenya you6 teaching it changing my life
@priscaputa84422 жыл бұрын
Hungera Sana baba unafundisha vizuri Sana mungu akubariki sana
@fridasanga-wi5uv Жыл бұрын
Balikiwa mtumishi
@ceflenenicolaus3848 Жыл бұрын
Ameni
@DomyBaganya-pm4sh Жыл бұрын
Amen amen ubarikiwe tena zaidi ulivyo Mungu akuweke ju sana
@penny664310 ай бұрын
Ubarikiwe mushungaji
@monicambetwa9301 Жыл бұрын
Pastor barikiwa Sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
@TrizaMwegoha-bk8mm10 ай бұрын
Mafundisho yananitoa mbali sana
@BenjaminSimiyu-v4n5 ай бұрын
Oh alelua nilikukua zijielewi kuhusu maombi yakufunga sasa nimepata njia
Umewaanda Watu ktk Maombi Omba Mtu wa Mungu unawaondoa Watu kwenye Uwepo na hawatafiatilia mahubiri Yako yanakosa hitimisho
@Ajege-r9c6 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi nimejifunza sana hakika neno limekuja kwa wakati
@Beatricekanyifasisei-np6ko2 ай бұрын
Amen napenda mafundisho yako sana paster ubarikiwe
@WalterKombe6 ай бұрын
Mchungaji mungu akuinuwe katika huduma yk nabarikiwa Sana Sana mungu wa mbinguni akuinuwe
@esthermwiramasika90262 жыл бұрын
Asante sana kwa somo hili, nimebarikiwa sana ndani ya somo . Sababu maombi ni uriti wangu
@AffectionateCheckeredFla-jx2ph5 ай бұрын
Ahsante Bwana yesu kristo kwa neno hii hakika nmepata faida kubwA
@gaelmaombi25707 ай бұрын
Haya mafundisho mazuri kweli barikiwa mtumishi ❤
@justojaredi95782 жыл бұрын
Asante mtumishi wa Mungu Kuna kitu nimejifunza.Mungu Akubariki sana
@MuningaSion9 ай бұрын
Asante nchungaji kwa neno hili kubwa
@nurupilla1901 Жыл бұрын
Hakika mb zangu haziendi bule asante Yesu nime jifunza nimeelewa
@KarisaSulubu9 ай бұрын
Nimegushwa sana na neno lako pastor George mukabwa
@teresia.rashiddeule42282 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu unanifungua sana kwenye ufamu nazidi kumjua Mungu kupitia masomo yako
@maystellakajuna54615 ай бұрын
This is a very powerful teaching, may God continue to bless you and keep you sir Pastor George Mukabwa.
@juhudijotham10512 жыл бұрын
Mungu akulinde Zaidi mtumishi hakika mafundisho Ni mazuri mno.
@marycharlesndulila50612 жыл бұрын
Amen Asante mtumishi wa Mungu.Mungu azidishe neema juu yako
@yohanachulila19924 ай бұрын
Ubarikiwe saaaana Mtumishi wa Baba yetu wa kweli❤🙏.
@SJSTV-z7k9 ай бұрын
Ubalikiwe sana mtumishi wa mungu yaani nafurahi sana
@محمدمم-م8ي Жыл бұрын
Hongera sana mtumie wa mungu mana kazi unaifanya
@janethmalando40862 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa mungu, Mungu akupe hatua nyingine zaidi.
@everlynecheposera8 ай бұрын
Aki nimeguzwa na mafundisho ya mungu,,waa nimeelewa jinsi ya kuomba
@beatusdaniel Жыл бұрын
Napenda sana mahubiri yako mungu akufikishe viwango vy juu San mtumish wa mung
@EstherMgumila11 ай бұрын
Amen huwa nabarikiwa sana na mafundisho yako Mungu akuinue zaidi
@ShabaniJeremie5 ай бұрын
Virement homme de dieu mungu akubariki sana
@zuwenahamud91522 жыл бұрын
Barikiwa mtumishi kwa mafundisho ahsante
@fatemajohn3195 Жыл бұрын
Ameen Baba ubarikiwe sana kwa mafudisho yako mazuri
@jacqueskatembo19239 ай бұрын
Aksante sana kwa mafundisha Baba ubarikiwe na Mungu,
@neemakamgisha29512 жыл бұрын
Amen nabarikiwa sn naomba tuwe tunaomba pamoj
@monicahmichael-y9y2 ай бұрын
Asante kwa mafundisho mana Kuna pahali navika mtumishi
@CleedearNicholas7 ай бұрын
Mungu akubariki Sana Mtumishi mafundisho yako yamenifungua Sana saiz nikiomba napokea kwa Wakat sahihi na nakua na Amani Sana kwa Mungu
@edinahmasea1603 Жыл бұрын
Pastor asante sana umeguza roho yangu sana barikiwa and may God's will be done on us in Jesus Name Amen Amen and
@SheilaChebii-g6y10 ай бұрын
Powerful message, God bless you servant of God.
@agnesmutangilimutangili8736 ай бұрын
Am blessed with the message ,may the Lord give you strength and Grace to be used by God. May the Lord anable me to grow through this
@joycemwasote2959 Жыл бұрын
Pastor John, Mungu akubariki sana akutunze na aendelee kukupa maono makubwa.Baba, tangu nimeanza kufuatilia mafundisho yako ukweli ninamuona Mungu akinibadirisha ninahitaji mafundisho mengi zaidi na vifungu vya maombi vya kusimamia kwa kila maombi nitakayo kuwa nayafanya
@EligadiMlay Жыл бұрын
Hakika mungu ni mwema mafundisho mazuri sana
@veronicaalex27092 жыл бұрын
Nakupenda mtumishi mafundisho yako yamenijenga sana katika maisha yangu MUNGU akubariki Sana azidi kukutunza.
@evencemangamwachia1617 Жыл бұрын
Nkwel mafundisho yake yakipekee
@EvodiaEdward-fn5jp Жыл бұрын
Mungu akubariki sana apostole
@agnessally75138 ай бұрын
Ameen🙏 Nabarikiwa Sana Na Mafundisho Yako Mtumishi
@alexmtimbi4083 Жыл бұрын
Baba ubarikwe kwa mafundisho mazuri
@nyankindiabdallah49022 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishii kwa mafundisho yako mazuri
@filorammbaga571010 ай бұрын
Mtu wa Mungu asante kwa mafundisho haya Yanaleta utukufu wa jina lako
@christinamsoka Жыл бұрын
Asante sana kwa Somo Hili zuri mno.Mungu akubariki Sana sana.Asante sana Mchungaji
@GraceFrancis-xi2ru Жыл бұрын
Asante kunifundisha kurudisha roho ya maombi
@marthayoshua4318 Жыл бұрын
Imenifungua sana. Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu
@anniafredrick89258 ай бұрын
Be blessed man of God, unanibariki sana na mafundisho yako.
@eliyammari6382 Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor kwa mafundisho ya msingi sana kwa waamini
@AngelMasunzu Жыл бұрын
mungu akubariki mchungaji sana...nmebarikiwa
@salimarosematrida83995 ай бұрын
N'a mchunganji roza kutoka burundi. Barikiwa sana mtumishi wa Bwana. Maubiri yameniuwa manyoka tumboni kabisa 😂