Katika taarifa ambayo imeugusa moyo wangu ni hii... Haya maisha wanayoishi hawa wazazi ni typical kabisa na kijijini kwetu nyumbani kwetu nlipotokea.. yani imenigusa mpaka moyo unanienda mbio.. Tunahangaika Sana kujikwamua kutoka kwenye hali duni tuliyotokea lkn ghafla mtu anazima matumaini ya familia hii.. Inatia hasira sana
@leokamil62842 жыл бұрын
Alafu walipata mtoto mkombozi wao wa kuwavusha katika umaskini huu jamani 😭kweli unamuua mtoto wa Mama huyu ni dhambi kubwa yaani Mungu atawaona .
@mbarakausein65342 жыл бұрын
@@leokamil6284 Nikiwaangalia wazazi wa marehemu Mussa nawaona kabisa wazazi wangu ... Yani ukimuangalia huyu mzee alivoshika jembe na yale mavazi yake namuona kabisa baba yangu huko kijijini kwetu.. Yani naiona kabisa taswira ya nyumbani kwetu...Imagine unajinyima at least uwaheshimishe wazazi nyumbani halafu watu wenye dhamana ya kutulinda wanakupora then wanakuua pata picha ya maumivu familia hii inayoyapitia ...cha ajabu mpk Leo hata mwili hawajaupata
@leokamil62842 жыл бұрын
@@mbarakausein6534 Mimi hata sina la kusema ila ni Mungu ndie atawalipa hao wauaji wanachostahili na inaonyesha wametenda mno ndio mwisho wao umefika hakuna lisilofichuka hata ipite miaka mingi. Wamewaumiza mno hawa wazazi yaani tegemeo ndoto zao zimezimwa kwa dhulma zao.Sasa tujiulize yule Hamza alifanywa nini kama sio sawa na alichofanywa huyu kijana ambae yeye alijaribu kufuata mali zake kihalali naamini ni zake kihalali angekuwa kaiba asingewafuata angewakimbia .Na kwa kuwa alihisi angepata Inaonyesha kwa Hamza alifuata mno akakata tamaa akaamua kujitoa muhanga akatungiwa kila aina ya majina Mungu yupo kila anaemtendea mwenzie mabaya atalipwa hapa hapa Duniani
@zuleikhakhamis33032 жыл бұрын
yaani sie tunaoishi nje ya nchi saiv tunaogopa kuja ata kutembea nyumbani Tz kwa hali hii mn utakuja na vijisent vyako kuja kusaudia wazee bac ndoto zinakatwa mn km Mussa anataka kujikwamua na wazee wake ndoto hafla zimezimwa km kupuliza mshumaa inauma sana
@ozilozil17752 жыл бұрын
Samia anawajar maskini tumuombee maisha marefu mungu amjarie ktk majukumu yake
@kennyrogers47342 жыл бұрын
Mungu tenda muijiza yako baba kwako hakuna linaloshindikana Mungu🙏🤲
@pezasally82042 жыл бұрын
Hii story inahuzunisha sana yan kwa wazaz wengne wasingeweza kutoa maelezo kama hayo zaid ya kulia tu ALLAH awape nguvu na Serikali itachkua hatua na mwili Wa mtoto wetu mtaupata INSHAALLAH
@leokamil62842 жыл бұрын
Wamelia mpaka machozi yamekauka,wamebaki kushika tama kwa jinsi binaadamu wenye uchu na tamaa walivyowaondoa katika ndoto zao za kujikwamua na dhiki zao duh 😭
@libinalukumai2 жыл бұрын
Pole sana kwa wafiwa
@suzanamwangingo29952 жыл бұрын
Asante majaliwa kwakweli inaumiza sana
@margarethpolepole74382 жыл бұрын
Polisi kiboko wanaogopesha haswa hawa wanaoingia jeshi hili kwa kipindi hiki wamekuwa na tamaa ya utajiri wa haraka kwa kupora wananchi na mali zao polisi wa zamani walikuwa na heshima sanaaaa
@hamidamnyika58662 жыл бұрын
Inaumiza Sana mtu ndo ameanza maisha mungu kamruzuku alafu watu wanakatisha maisha yake kweli nimeamia baadhi ya watu wanaroho mbaya Sana Ila hukim ya mungu ipo pale pale
@pendomichael51342 жыл бұрын
Dah Hii dhambi kubwa sana.Wanachukua ela zake na kumuua pia. tamaagani hiyo Mungu atatenda Haki
@leokamil62842 жыл бұрын
Amen
@leokamil62842 жыл бұрын
Pole Mama pole sana Mungu atakulipa
@danielmwamahonje98522 жыл бұрын
Muache mungu aitwe mungu 🙏🙏🙏🙏
@mohamedkitemwe35692 жыл бұрын
Poleni sana wafiwa haki itatendeka
@hanifaalbalushi24832 жыл бұрын
Polisi baadhi yao badala yakua wanasimamia usalama na haki za wananchi wao ndo wamekua majambazi wanaodhuru wananchi ...asante mama Rais Samia kwa kulifanyia kazi jambo hili
@eddimwamba42082 жыл бұрын
Poleni sana mungu awatie nguvu😭😭😭🙏
@monucamwambanje31282 жыл бұрын
Poleeni sanaaa jaman wazazi walaaaniwe hao maskar
@hbdina2 жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Askari wote waliohusika chakushangaza ni wa vyeo vya juu au vya kati Polisi wa Mtwara wachunguzwe wote
@michaelthobias99672 жыл бұрын
Mnalipwa pesa za wananchi masikini kulinda Mali zao mnaishia kuwauwa kwa kazi zao zahalali Hawa police hatuwa Kali zichukuliwe iwe fundisho kwao haki itendeke
@maidamwaipopo96032 жыл бұрын
Yaani wauliwe tu wanyongwe
@faniasonga6432 жыл бұрын
jamani tumwogope mungu pole mama
@kadijahajali3918 Жыл бұрын
Hii😮😢
@verdianabanabi22052 жыл бұрын
Poleni wafiwa
@suzanamwangingo29952 жыл бұрын
Ila jamani
@ignatiusjohn35332 жыл бұрын
Kwanza kwa Nini mwili wa marehemu haujakabidhiwa kwa familia
@thomasnyarusanda26082 жыл бұрын
Inahuzunisha sana. Kifo cha makusudi kabisa kwa pesa ya mtu ambayo ameitolea jasho...Askari wetu jitambueni, wote tunatoka huko huko vijijini. Sheria hapa iwawakie tu.
@verdianabanabi22052 жыл бұрын
Mkawaloge wafe wote maana imekuwa too much police
@michaelmasanza21692 жыл бұрын
Hamza alopouwawa kamanda Siro alisema wazazi hakikisheni msizae watoto kama Hamza,Nilitegemea katika hili tukio nalo angetoa maneno makali mengine lakini amekaa kimya kuonyesha kwa kuwa aliyeuwawa ni Raia sio mbaya ila kama angekuwa askari ndio ameuwawa ndio ingemuumiza ila hili anaona ni tukio la kawaida.
@frankgeorge93712 жыл бұрын
Hata Hamza alizulumiwa pia ungungo ndio ulimfanya kufanya alicho fanya
@Agnes-qq4np2 жыл бұрын
Hamza alidai kuibiwa mali zake na police wakakanusha sasa siwengine awo police wameibia mwengine raia mali yake
@sheryphamwenevalley61242 жыл бұрын
mkufu pete saa wamewapa wake zao hawa mapolisi wametia aibu, hawa wanyongwe tu majambazi eti maofisa 🤣🤣 maafisa ujambazi i na uwaji
@eddahkejala55472 жыл бұрын
Nawachukia sana hao askar
@iddyathman55042 жыл бұрын
Pole mama
@kiehbhzh70442 жыл бұрын
Dah mtihan sn kwa tz yetu polisi kufanya haya
@aminaamiri76842 жыл бұрын
Subhana llah jaman mbona wanawtesa wazz hvyoo mmemuua na mwl mmeupeleka wapi...?hiv police hak ipo wapi mrejesheen mama mwl wa kijana wake
@ashuuuaisha91222 жыл бұрын
Waliutupa mpaka ukaharibika.ndugu walipocharuka ndipo wakautafuta kwa hiyo ni mafuvu tu. Na bado wanapima maaana walichukua na vipimo vya mama wabaini vina saba
@husnahassan21242 жыл бұрын
yani kweli n'gombe wamasiki azai daaaa😢😢😢
@frankgeorge93712 жыл бұрын
Hata yule Hamza alizulumiwa pia ndiomaana alifanya alicho fanya 😭😭😭 Hawa jamaa Hawa japo sio wotee
@berthamakortha83872 жыл бұрын
YANAUMAAAA SANAAAA POLENI MNOOO MAMA WEEEEE. MAPOLISIII WA TANZANIA SIO WAAMINIFU
@camillahamis10692 жыл бұрын
😭😭😭
@adamsiwilla90252 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa duniani polisi huwa wakivaa buti na sale zao zile huwa wajiona Mungu watu walicho panda ndicho watakacho vuna pole sana familia Mungu awalehemu kipindi hiki kigumu
@abasayoo59342 жыл бұрын
Sitowapa pole leo wazazi hao paka haqi itendeke
@florencebudoya38142 жыл бұрын
Hivi hawawezi kupata mwanasheria wakalishtaki jeshi la polisi ?
@geraldtarimo25502 жыл бұрын
Kumbe Hamza alikuwa sahihi, hao polisi waliobaki kwanini wasichijwe? Yani Mimi ingelikuwa nduguyangu Musa polisiyeyete asingelikuwa salama
@RamadhaniKitala-gx6wc13 күн бұрын
Huu mtihani wallah wabillah police wanaongoza kwa kuuwa
@joleal79412 жыл бұрын
Subhana allah
@umiy19712 жыл бұрын
Wanaemlaumu marehemu kwa kutokuhenga kwao , na waangalir video za mwanzo wajue jibu hilo . Hizo pesa ndio kwanza walikuwa wamezipata
@butoyisonga29912 жыл бұрын
Niayibu kubwa sanaa kwa selekari ya Tanzania mlaaniwe kweli ona wazazi walivyochoka inaonekana walikua wanamtegemea huyo mtoto mlieuwa
@danwayne7862 жыл бұрын
Jamii yafaa kulipwa fidia na serikali kwasababu vyombo vya serikali vilitumika na polisi watuhumiwa. Kutkeleza mauaji na wizi.
@zainabuyohana37802 жыл бұрын
Sikuzote tumekuwa tumaamin polisi misehemu salama lakini saizi polic ndio tena wanageuka kufanya mauwaji na upolaj kweli
@namirihamisi38992 жыл бұрын
Huku serikali wanawahimiza vijana wajikwamue wenyewe ki maisha sababu Serikali kazi ya kuwaajiri vijana hawana kusoma ni kufuta ujinga leo mtu anajikwamua Serikali hiyo hiyo Baadhi ya watendaji wake wa kazi tena tunaowategemea ndio kimbilio lao vijana na kimbilio letu ss wananchi kwa ujumla wanawauwa hivi ni kwa mpango huu tutafika kweli?? Eee ALLAH Tusaidie uwaweke bayana maadui wote wa nchi yetu wanapotenda uovu uwabainishe Hadharani.Amiin.
@Views-mf8ir2 жыл бұрын
Hii laana isiishie kwa hao Polisi tu bali ishuke jumla jumla kwa vizazi vyao vya nne na vyatano. Waangamie kwa aibu maana nikizazi cha laana.
@daslamonline46652 жыл бұрын
Nyoko hao ni wakunyongwa hadharani wanyama kabisa.
@jumaally70212 жыл бұрын
Tuhurumiane ss sote wanaadamu tofauti ni vyeo tu. tunaenda wapi
@saidhassan77792 жыл бұрын
Kwani Kama Hamza Hawapo Tena?????
@sharmelasaif472 жыл бұрын
Jamanii hii dunia ninini Hamo kweli aliuliza
@eraera23042 жыл бұрын
Sasa kama walimuua na mwili waliula au? Polisi mna nn?
@editrudesmbonde90512 жыл бұрын
Zamani Jeshi la Police ilikuwa ina-select watu fresh from School. Leo wanaajiri kwa kuomba kama kazi nyingine. Hapo ndipo jeshi hili lilipoha ribika kabisa,maana waalifu humo wamo,kama tunavyoo na mambo yanavyoendelea. Mama PRESIDENT,Samia Suluhu,saidia hii familia ili iwe na Amani,kwa kweli ina umiza sana.
@nuruheartaman34662 жыл бұрын
Dah hao police wamefeli na wametia aibu serikali yetu unabeba solar ya nn
@MikereMio2 жыл бұрын
serekali iliyofeli
@mkuluwaukae22212 жыл бұрын
Vijana mtengeneze makwenu bhana Haiwezekani eti unasema una mil 70 alaf kwa wazazi pamekaaa namna hiyo, mmpendeni wazazi, sio unajiangalia wewe eti unavaa macheni ya gold mara unatembea na mahela mengi huku wazazi wanalala kwenye vumbi!
@sailicekomba80752 жыл бұрын
Ndio alikuwa anakarabati jamani
@umiy19712 жыл бұрын
Ukisikiliza video za mwanzo mama anasema ndio alikuwa anatengeneza nyumba ya mama kwanza hata hajajijengea mwenyewe
@emanuelmwebela9122 жыл бұрын
Wewe umejenga kwenu?
@mkuluwaukae22212 жыл бұрын
@@emanuelmwebela912 zamani sana
@mwanaherhussani74252 жыл бұрын
We nae si umesikia ndiyo alikua katika harakati za kutengenezaa
@barnaba30372 жыл бұрын
Shame on Them!
@nuruheartaman34662 жыл бұрын
Kwan inakuaje mpaka sasa mwili awajakabidhibiwa familia?
@mbwanakiting71802 жыл бұрын
Tume imeundwa sasa waandishi. Mbio mbio kuRibu ucgunguzi tu
@fahamnitwahir92492 жыл бұрын
Hofu yangu ni hao police waliotenda hayo wanaweza kuachiwa huru
@fatmaally72522 жыл бұрын
Wanaachiwa mbona awafungwi abadani
@cheiknamouna20582 жыл бұрын
Duh hii story nliisoma nusu nusu wacha nikaanzie mwanzo tangu kwenye mauwaji maana inatia aibu police ndo watuhumiwa si kiama hiki
@mahengomwenyewe42042 жыл бұрын
Kwa nchi hii wala hakuna ttz kuuliwa Raia wa kawaida
@julianavigelo39832 жыл бұрын
yani mm roho inauma sn haya mashetani
@d.a.t33832 жыл бұрын
Hivi hakuna sheria ya kunyongwa wauaji
@mtagechota10022 жыл бұрын
😒😒 aki hii Tanzania bwana
@danymsengi49582 жыл бұрын
Hawa mafala police sio wakuwamin hata kidogo toka jpm amefariki
@MikereMio2 жыл бұрын
serekali iliyopo ni darasa la 12 , serekali iliyofeli tangu mwanzo
@daudilfrans9962 жыл бұрын
Bora Samia taalifa tumepata mama yupo vizuri Ila nyie chuki zenu hawa polisi wengine ndio hao enzi za jpm waliwatolea watu bastola lakini wakaachiwa ndio madhala hayo
@MikereMio2 жыл бұрын
@@daudilfrans996mbona kama mwenye chuki binafsi ni weee Tundu lisu , polisi wa samia ni wizi na wauwaji , waporaji, wanyang'anyi hata kipofu analiona hilo . samia yupo vizuri kwako kwa sababu baba na mama zenu mirija yao ya kumnyonyea damu maiti imeungwa upya na samia
@ozzyjama1452 жыл бұрын
Halaf tunaambiwa tusipoteze imaani na jeshi la polisi.....daaah
@haggaikinyau13952 жыл бұрын
Watanzania tujifunze kuweka hela benki, fedha milioni 70 unaziweka kijijini kwenye nyumba kama hiyo mlango wenyewe wa bati
@leokamil62842 жыл бұрын
@@fatmahashimu1487 kweli mpaka mashetani watu waliojiona wao ndio tu wawe wamiliki wa nchi hii walipozitamani hii inaonekana ni kawaida yao sasa Arobaini imetimia
@leokamil62842 жыл бұрын
Sio wote wamesoma na wanaupeo wa kufungua akaunt Bank hata hivyo marehemu alizileta kwao ili zitumike kumalizia ujenzi na mambo pengine ya kilimo hivyo aliamini zipo salama. Ila hawa huwa wanawatu huwatumia endapo wakiona mtu anafedha wanawatonya wanaenda kumnyanganya. Kuna wakati flani nilikua mji mmoja na Polisi nikitaka wakakate mtuhumiwa wangu walipigiwa simu kuna mtu guest house moja anafedha badala ya kwenda kwanza na mimi gari iligeuza kwenda kwanza walikoambiwa Mungu aliwalaani haikufanikiwa hiyo issue. Polisi nliokuwa nyuma walikuwa hawaafiki maamuzi ya incharge aliyeamuru kwenda hiyo Safari lakini wao hawana nguvu kazi yao ni kuamriwa na kushika bunduki
@narrissajackson38692 жыл бұрын
Ushauri wako siyo timilifu,nilifikiri utoe ushauri wa kumaliza uhalifu ambalo ndilo kubwa sasa unaishia kuwaza namna ya kuficha ela duu
@amasichefwalo37872 жыл бұрын
Polisi wamekuwaje siku hizi?
@gracejonh40222 жыл бұрын
Magufuri wetu jamani enzi za uhai wako hy mambo ayakuwepo
@leokamil62842 жыл бұрын
Umesahau watu wa viroba kibiti sema yalifichika
@abasayoo59342 жыл бұрын
Alietaka ku mu ua nape na bastola nae ni muhusika kipindi cha magu watu wali uawa sana na kutekwa. Huyu aliemtolea bastola nape polic walisema si polis ni mtu asie julikana leo kaenda ku ua mtoto wa watu na kuchkua 70mlns. Angedhibitiwa kipindi hicho leo asingefanikiwa kumuua kijana wa watu.
@neemayatosha16182 жыл бұрын
Acheni mambo ya ajabu ni polisi hawa hawa aliwatumia huyo JPM kuna watu wengi wamepotea kisa walikua na mtazamo tofauti,na hamna chombo kilichofwatilia wala kutangaza. Alitangaza tu vitu mlivyokua mnataka kusikia
@gracejonh40222 жыл бұрын
@@neemayatosha1618 yeye akutaka kuchezewa wala kudhiakiwa sababu alijiamini kwa aliyokuwa anafanya ni ya manufaa kwa wtz wote sasa majitu mengine kwa tamaa ya kutaka madaraka yalikuwa yanamsumbua unataka kuniambia mzee nchi alivyoishika vizuri bado watu wanataka maandamano ya nini sasa na isitoshe jeshi la polis lilikuwa alionei watu wanyonge wote na waliobambikiziwa kesi magufur aliwatetea sasa saa hizi masikin ana nyimbo
@neemayatosha16182 жыл бұрын
@@gracejonh4022 Dada kama jeshi la polisi halikukuonea wewe na familia yako jisemee wewe. Kuna watu wamepoteza ndugu zao chini ya utawala wa huyo unamsema mtetezi,nao wasemeje? Unadhani kwanini vyombo vya Habari vilikua vinaonesha uzinduzi wa madaraja tu na watu kutumbuliwa?