Рет қаралды 218
Darsa hili muhimu litazungumzia mapinduzi ya Syria yaliyofanyika kwa kipindi kifupi sana.
Tutatazungumzia makundi yaliyohusika na waliofaidika na mapinduzi haya. Pia tutajadili hatari za matukio yanayoweza kutokea katika siku zijazo.
Muhimu ujiunge nasi na ujiunge katika mtandao wetu.
Wakati wa Darsa La leo: Afrika ya Mashariki Saa mbili usiku
Afrika ya kati Saa moja usiku
Uingereza Saa kumi na moja jioni.