Рет қаралды 864
Assalam alaikum
Darsa letu wiki hii litazungumzia kifo cha raisi wa Iran, Ibrahim Raisi pamoja na wenzake waliofariki katika ajali ya helikopta.
Je, wapenzi wake wanasemaje? Na je, maadui zake wanasemaje? Na nini mustaqbali wa Iran baada ya kifo chake?
Jiunge nasi katika Darsa hili muhimu sana.
Visit our website: www.bilaleducat...
Facebook page: / bilaleducation
Please Donate direct to our account
Bilal Education Ltd
Account Number : 01528602
Sort code : 40 06 23
HSBC bank