MAPITO ya MFANYABIASHARA ASKOFU MONABANI -HASARA ZAIDI ya BIL.19 KUPORWA KIWANDA na KITUO cha MAFUTA

  Рет қаралды 15,325

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

MAPITO ya MFANYABIASHARA ASKOFU MONABANI -HASARA ZAIDI ya BIL.19 KUPORWA KIWANDA na KITUO cha MAFUTA...
Jishindie Zawadi na Global TV
Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉forms.gle/aU9z...
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 32
@globaltv_online
@globaltv_online 9 ай бұрын
Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
@naishiyemollel7478
@naishiyemollel7478 9 ай бұрын
Hahaha ujanja mwingi mbele giza my brother Monaban, keep it up Baraka my kaka, mzee Titus hayupo basi Simamieni vitu vyake kwa ufasaha...... Rest in peace Titus Aaron Mollel
@JSSTATIONERY
@JSSTATIONERY 9 ай бұрын
Mungu ni mwema utazidishiwa zaidi ya hivo. Nimejifunza kitu kutoka Mungu akubariki sana kwa historia yako tunatoka mbali sanaa
@joshuamtinangi6958
@joshuamtinangi6958 9 ай бұрын
Yesu Kristo alisema. Ukitaka kunifuata uza mali zako zote uwagawie maskini. Sasa wewe unachanganya mambo. Nilikufundisha taratibu za kununua mali ya umma lakini wewe ukajimilikisha na baadaye ukaanza taratibu za kununua. Serikali iliona umefanya makosa. Serikali ukikosea inakuadhibu. Mungu (kanisa) ukikosea na kutubu unasamehewa.
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 9 ай бұрын
Pole sana Baba Askofu Molel, kwanza ulizaliwa na nyota ya pekeee ukiwa mtoto wa nne kwa wazazi, ukitanguliwa na wadada 3! Mama anajua siri za watoto wakingali tumboni, ni kama Esau na Yakobo mapacha lkn kila mtoto na chake mama alimjua MUNGU, muimbaji wa nyimbo kanisani. Alikutengeneza na ukajitambua, kutoka kwenye umaskini kama nilivyo wengine, bado una nguvu, MUNGU atakurejeshea haki zako za msingi, pambana mpaka ufikie pazuri, mtumishi. AMEEN.
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm
@MichaelmotikaLaiser-dl6wm 9 ай бұрын
Self styled bishop tapeli sugu
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 9 ай бұрын
HISTORIA kama hiyo inasaidia kuwapa MOYO vijana,maana vijana wa leo wanataka maisha ya short cut,mimi na monaban tulikuwa pamoja NMC arusha!!
@kassimualli1755
@kassimualli1755 9 ай бұрын
Sasa mbona umedhulumu na umeshindwa kesi?
@leonardkoloneli147
@leonardkoloneli147 9 ай бұрын
Mungu akutie nguvu
@mosepaul3886
@mosepaul3886 9 ай бұрын
Global tv mmelipwa hela ili mumfanyie interview kumsafisha
@LambertKyakwe
@LambertKyakwe 9 ай бұрын
Mungu nu mwema anakupigania
@Excellent1Michael
@Excellent1Michael 9 ай бұрын
Background music ipo juu sana
@loserianmaoi3607
@loserianmaoi3607 9 ай бұрын
Background sound is really annoying..acha ama punguza
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 9 ай бұрын
Aache utapeli aende kwa Mungu akatubu aachane na dunia
@Hamy1109
@Hamy1109 9 ай бұрын
Tuseme kapata hasara zaidi ya Bilioni 100😂 Hasara ambayo imesababishwa na ujinga wake mwenyewe. Atulie dawa iingie.
@heribuberwa2372
@heribuberwa2372 9 ай бұрын
Thomas Laiser hakuwahi kuwa Mkuu wa KKKT
@petertemu7136
@petertemu7136 9 ай бұрын
Aavhe utapeli Kwanza
@praygodarmstrong7670
@praygodarmstrong7670 9 ай бұрын
WTF Celine Dion song as a background sound 😂😂😂
@joshuamtinangi6958
@joshuamtinangi6958 9 ай бұрын
Nmc tulikufundisha ku add value kwenye product zako. Uliwalipa Nmc Milling charge na wala hatukununua mahindi yako. Tulikutajirisha na kukutunzia mali zako kwa uaminifu mkubwa. Mwisho wake ulitutoa kwa namna ya kikatili.
@daudiPeter-o4b
@daudiPeter-o4b 9 ай бұрын
@IshipalemyPasko
@IshipalemyPasko 9 ай бұрын
Haya yote ukitaka yasikutokee jalibu kua umenyooka katika Mapito yako ya kimaisha ili usiweke uhasama na visasi kwa watu ili kesho na kesho kutwa wasije kukufanyia Mambo mabaya
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 9 ай бұрын
Eneo hilo ulilipataje?
@EmilianaSevere
@EmilianaSevere 9 ай бұрын
Me ni KKKT mbona simjui ni Askofu wa Dayosisi gani ?? au mwandishi umekosea??
@Kingstonbagamoyo
@Kingstonbagamoyo 9 ай бұрын
Bagamoyo oyeee,,huyu jamaa km mm ningelikuwapo karibu picha ingekuwa muzuri sana,,wee bwege huyu s kaka Yako,wee mjinga mjinga usiogope nzi wakati unauza utumbo,,,pole sana my professor umeonyesha uprofesa wako,,,Huyo bwege mpumbavu mwizi yy Huyo kwani hapo SI eneo lake kawambwa is former of parament na former minister,,,wanahitaji ulin,I mawaziri mastaafu na wabunge wastaafu,,,hizo Kodi zenu hazikifiki Hadhi ya dk kawambwa
@bekabakari7394
@bekabakari7394 9 ай бұрын
Tell me We’re do you get?
@reubenndendya8345
@reubenndendya8345 9 ай бұрын
Hawa sio kkkt ila ni Askofu wa kkam
@abdallahhamza9689
@abdallahhamza9689 9 ай бұрын
Wa 97????
@BobMollel
@BobMollel 9 ай бұрын
WATAKUPAKA MATOPE YOTE ILI TU KRISTO ASIONEKABE
@nassontunyande1109
@nassontunyande1109 9 ай бұрын
Naomba nyoosha maelezo soko la kariakoo lilijengwa mwaka gani? 1979 ndiyo lilianza kubuniwa? Unamkumbuka mbunifu wa hilo soko? Na unamkumbuka mkandarasi aliyelijenga? Mbona unajikweza for nothing?
@knowledgeispower1118
@knowledgeispower1118 9 ай бұрын
Haya maswali yako ya kimaskini achana nayo tafuta pesa..ungekuwa na hela haya maswali hauwezi uliza maswali kama haya
@allymdoka8634
@allymdoka8634 9 ай бұрын
Malii za watoto wa taitas kua na aibuu mzeee
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН