VIDEO KUTOKA OMAN: LUCY - ''NILITAKA KUFUNGWA JELA KISA MTOTO WA BOSS ALIYESEMA NIMEMPIGA''...

  Рет қаралды 11,479

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 168
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 ай бұрын
Jamani mwanamke apewe mauwa yake subhanallah maneno mazuri sio wengine watoa uongo mungu akulinde ndugu yangu nakupenda sister ♥️
@JokhaHamisi
@JokhaHamisi 3 ай бұрын
Kunawengine wanapenda chakula chote upakuwe alafu ipo ivi kila bosi anatabia yake
@SalmaAlly-dg3xn
@SalmaAlly-dg3xn 3 ай бұрын
Kiufupi yeye alibahatika mabos wazur sie wengine tulipatikana unapewa magari kuosha nanikaosha nakuamka mapema ukipumzka kidg tu unaitwa kunawageni kapike kahawa ejuma wanatabia ya kutembeleana ndugu wote wanakutana nyumba kubwa eidha kwa mama yao kila mtt anaenda na mfanyakaxi wake😢 tunakutana hapo wafilipino wahindi waswahili tunapata kujuama wao wanakuachie jikoni
@JokhaHamisi
@JokhaHamisi 3 ай бұрын
Kwel kabisa
@IbniAbbas-yz3kt
@IbniAbbas-yz3kt 3 ай бұрын
​@@SalmaAlly-dg3xnhizo ni tabia tu za mtu hata hapa kwetu kuna maboss wana roho mbaya tena ni Mtanzania mwenzio!ukatili ni tabia ya mtu
@zoab2699
@zoab2699 3 ай бұрын
Mashallah haki isemwe nakua hongera we dada
@RahmaAlly-r6x
@RahmaAlly-r6x Минут бұрын
Karibu sana kipenz 'nipo Al Hail janubbya'mie sio mfanyakaz ila nafatilia sana vipindi vyoote vya Grobal TV
@JamilhaSelemani
@JamilhaSelemani 3 ай бұрын
Dada ww mshukuru mungu ww umepata nyumba nzuri kuna watu wana pata shida me madame wng ana kaka ake alikuwa ana mdada wake mtu mzima tu alikuwa anampiga sana mbaka aliomba akatiwe tiketi arudi mbaka mume wake akapiga cm akaondoka
@RahmaAlly-r6x
@RahmaAlly-r6x 2 минут бұрын
Nataman sana dada zari siku ingine ukija oman pls uje tuonane tule tuu 'binafs nakupenda kwajins unavyofatilia haki pande zote mbili
@zamzamhaji1229
@zamzamhaji1229 3 ай бұрын
Mashallah lusi huyu Dada mtu mzuri Sana yupo lhel salun kwa mama fatu mtu mzuri Sana na kaongea ya kweli kabisa... zari sio wote wanapata mitihani hapa Oman Kuna maboss wazuri Sana
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 3 ай бұрын
Hata kiswahili hamjui makombo ni chakula mtu katia kwenye sahani yake kala nusu na kilichobakia ndio unakula lakini chakula kimo ndani ya hit pot na wanapakua na kijiko na hotpot linafunikwa huwezi kusema makombo.
@mammyprincess6494
@mammyprincess6494 3 ай бұрын
Yani dada bora ulivyosema mana watu wamezidi uwongo kuna kitengo gani cha mtumishi kuekewa camera mpaka chooni waongo tena mungu awalipe kwa uwongo wao
@LailaLaila-kg2qd
@LailaLaila-kg2qd 3 ай бұрын
Mashaallah umekaa kama mi miaka kumi na mbili alhmdulillah
@Rehma-b1i
@Rehma-b1i 3 ай бұрын
Kama uli bahatika kupata nyumba nzuri m shukulu mungu maana siyo nyumba zote ninzuri Kuna matatizo mengi tu na kuhusu kuosha magari ni kweri kabisa nime shuhudi mwenyewe sio nyumba moja
@IvanMocha
@IvanMocha 3 ай бұрын
Kuosha gari ni maaamuz yako,,,vissa yako imeandikwa house maid sio car wash,,,,
@SulaimanNoha
@SulaimanNoha 3 ай бұрын
wengine wafanyakazi wana kasumba zao halafu wanasema mabosi sio watu wazuri wengi wao msiwaamini hapa dada kasema mungu akuongezee heri na baraka ukweli usemwe
@AmeirhajjRamadhan-e1h
@AmeirhajjRamadhan-e1h 3 ай бұрын
Hakuna kz isokuwa na changamoto da zari kila kz ina changamoto zake ila sy kweli kuchukuliwa kwa shoga mi nipo alhamdulilah nashkuru kwenye changamoto nastahamili mana ndo kutafuta
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
Umeonaee
@SihabaAbdallah-li6dx
@SihabaAbdallah-li6dx 3 ай бұрын
Mhhh vishamb sio kwel ninn
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
@@SihabaAbdallah-li6dx sio lazima kama utaki
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
@@SihabaAbdallah-li6dx ukweli unaujuwee sasa n8kuongope ili iweje
@omanhairat4277
@omanhairat4277 Ай бұрын
Hmm jamani watu hawafananni tuseme tuu subra ukiwa unayo uangalie mshahara wako unalipwa hayo mengine tumuachie allah wafanyakazi mpaka maji ya kunywa wengine wananunuwa kwa pesa ayo na kama mm hapa miaka miwili na nusu nimekaa free sijalipwa na nikidai mnaambiwa inshaallah na bado nipo nasubiria hela yakwangu hapa 😢
@reformerthrone972
@reformerthrone972 3 ай бұрын
Kabla ya miaka 5 nyuma alikuja msichana kutoka Burundi na mimi ndiye niliyempokea alipofika hapa Oman akawa ananihadisia kuwa nasikia waarabu watu wabaya wanapiga na wanatesa na wengine wanaweza kukuuwa yeye ananihadisia hivyo Sasa nikamwambia kama wewe hizo ndio fikra zako Sasa vipi umekubali Kuja??!! Mimi nikamwambia Kuna waarabu wema na Kuna waarabu wasio kuwa wema na hii ndio kila pahali duniani ipo.. Nikamwambia je wakumbuka vita vya wahutu na watusi huko kwenu baina ruwanda na Burundi vipi walikuwa wakipigana??!! Na silaha gani wakitumia ilikuwa mapanga visu bunduki na kadhalika nikamwambia je wale walikuwa waarabu???!! Hakuweza kunijibu na hakua la kunijibu. Kwa hio ukiambia kitu lazima na wewe ujiambie na upime na kutumia akili yako
@khaulaalnamani794
@khaulaalnamani794 3 ай бұрын
Masha Allah wewe msemakweli upewe zawadi
@JokhaHamisi
@JokhaHamisi 3 ай бұрын
Mm naosha mpaka leo nimeosha
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx 3 ай бұрын
Na wanaosha
@shanishani-qv3bc
@shanishani-qv3bc 3 ай бұрын
Kumbe tupo wengi tulokaa miaka Oman
@aishasalum4159
@aishasalum4159 3 ай бұрын
Watu wanaangalia mabaya na wanataka kuaminisha ubaya kila mtu kaja kwa maamuzi yake na akilizake timamu kama unaona unateseka rudi kwenu kwani mpaka useme vibaya watanzania tuwe na shukrani japo kidogo wabaya kila sehem.wapo
@murtanseif3539
@murtanseif3539 3 ай бұрын
Achen uongo nyinyi wandishi wa habari mumeamua kufata watu huku kuja kuwahiji ili mpate uongo ila huyu sister amewakomesha
@abdallamohdhiyonineematush408
@abdallamohdhiyonineematush408 3 ай бұрын
Hata Tanzania yapo mateso majumbani
@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA
@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA 3 ай бұрын
Juosha magari nikweli wengine hadimbuzi wanalisha
@AsmaKassim-bj9hm
@AsmaKassim-bj9hm 3 ай бұрын
Nchi za kiarabu yapo makundi 3 kuna wanaoishi vizuli;; kunawanaoteswa"" na kuna wanawanayoyatafuta majanga kisha wanawatupia lawama maboc.
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 ай бұрын
@@AsmaKassim-bj9hm kama tanzania 🇹🇿 pia ndio hivyo hivyo sio warabu tu
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 ай бұрын
Passport wacha ichukuliwe kwa usalama mkitoroka nani masuliya na spansor kalipa pesa kukuleta kisha utoroke
@umsalim6515
@umsalim6515 3 ай бұрын
Dada mtangazaji umeenda Oman kuwahoji wafanyakazi kutoka TZ, kwa nini huwahoji wafanyakazi wa ndani wanofanya kazi hapo hapo TZ?? Hebu lifanye na hili pia kwa hima sana
@RoseAmilet
@RoseAmilet 3 ай бұрын
@@umsalim6515 atafanya utakuwa mwarabu mswahili wewe maan nyie ndochangamoto mnajifanya mshafika huko
@umsalim6515
@umsalim6515 3 ай бұрын
@RoseAmilet hili ndio tatizo letu watanzania kujishusha thamani, sasa muarabu mswahili ndio nini. Mimi ni mtanzania. Na awafanyie interview tuwasikie wana raha saaana hawapati shida huko nyumbani
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 3 ай бұрын
Sister zari fikiria unavyoambiwa wengi wawo ni waongo mamangu 😢😢😢
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
Nayy mwenyewe anayataka mbona anauliza changamoto aulizi barid
@roqayaro9439
@roqayaro9439 3 ай бұрын
Huyu dada nimempenda yupo vzr ameongea kweli
@SahimSalim-l5f
@SahimSalim-l5f 3 ай бұрын
Wewe Dada unaehoji kwanza hujui kuhoji, halafu kama unaona wanaonewa waajirini apo Global TV au apo kwenu tz
@KkhamisKha
@KkhamisKha 3 ай бұрын
Wanachukua kwa lazima paspory
@VinnyVinny-e2v
@VinnyVinny-e2v 3 ай бұрын
Nyiie mnaojiwa mnakuwa waongo sana
@NasraMohamed-ds4sx
@NasraMohamed-ds4sx 3 ай бұрын
Kweli kabisa hata mie imeshawahi kunitokea suala la kusingiziwa kupiga watoto, waarabu wanawaamini sana watoto wao hata wakiongea uongo hawatachunguza hilo jambo direct wanaanza kuwafokea wadada wa kazi😢
@vero57
@vero57 3 ай бұрын
Apo kwenye chakula kwanini usitenge kuficha sehemu , alafu ule baadae
@ndimimaskati3641
@ndimimaskati3641 3 ай бұрын
Passport ni lazima ikae kwa sponsor kwa sababu kuna watu sio Waaminifu wanaweza wakaiba na kutoroka.
@AkhiymbwanaAbdallah
@AkhiymbwanaAbdallah 3 ай бұрын
hy dada anaakili. sn namkweli ameongea ukweli mtup Mungu akuhifadh ww mdada
@narutonaruto4303
@narutonaruto4303 3 ай бұрын
Jamani 2 tusem kuna wengin wamepat sehem nzur wengin mtihan wallah
@wenge4x423
@wenge4x423 3 ай бұрын
Mwandishi anauliza kuhusu watz kuwekewa camera chooni ati ? 😂
@Rehma-b1i
@Rehma-b1i 3 ай бұрын
Kabisa
@Khadijah-gy7ju
@Khadijah-gy7ju 3 ай бұрын
Kulea watoto jamani mitihan hawasikiagi
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 3 ай бұрын
Boss awe na shoga halafu nikamfanyie kazi??? 😅😅😅. Siwezi kwakweli. Pia saa nane mchana lazma ulale. Na asubuhi kuamka saa kumi na moja lazma usipoamka muda huo utaswali muda gani
@VinnyVinny-e2v
@VinnyVinny-e2v 3 ай бұрын
Njoo mabella uwaoji wadada walio toroka kwenye majumba watakuambia ukweli hote
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 3 ай бұрын
Polisi hawahukumu kifungo. Hiyo title (kichwa cha habari) kinachanganya kidogo. Hiyo ni kazi ya mahakama . Anyway naona ni njia ya media kuweka kivutio cha kuingia kusikiliza clip🤷🏾‍♂️😂
@FridanyoniFridanyoni
@FridanyoniFridanyoni 3 ай бұрын
Kwakweli kama umempata bosi mzuri shukuru mungu lakini naomba namba ya zari Maputo pl
@NaomiIbrahimu-j8b
@NaomiIbrahimu-j8b 3 ай бұрын
Huyu dada na mjua jamani yuko omani ana mtoto amezaa na mwalabu ana saloon bossi wangu anaendaga salooni kwakwe
@salimali-rf9er
@salimali-rf9er 3 ай бұрын
Kabda ya kutaja kitu au aibu ya mwenzako, taja aibu zako zote, kwanza halafu ndio utaje za kwake
@MaryamAlriyami-en2nq
@MaryamAlriyami-en2nq 3 ай бұрын
Bora umempa yakweli wamezidi kuuzusha hata kwetu yapo mengi tanzania watu mpaka wanachomwa na pasi
@Sharefa-v6n
@Sharefa-v6n 3 ай бұрын
sio wote waliopata familia nzur we dada ww sifia nyumba uliyoipata ila Kuna watu Wanapata shda yaani hapo kila mmoja akisema aelezee anayoptia mtasklza mpaka mtachoka, Mimi ninachojua hapa niuvumilvu tu ili uweze kupata rizk, wew Kuna familia zingne unasubr had wale Kwanza weee sio kua wanaokula makombo wa napenda mh hayajakukuta mtu kukagua jikon kila Saa
@MohamedIbrahim-bn1gz
@MohamedIbrahim-bn1gz 3 ай бұрын
hiyo ya kupika na kula nimeipenda
@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA
@SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA 3 ай бұрын
Wengine passport wanachukua
@PaullyPuyetrov
@PaullyPuyetrov 3 ай бұрын
Njaa yako ndio ilokupeleka,😂😂😂 sasa kama unateswa rudi kwenu.
@mohamedkhalifa5764
@mohamedkhalifa5764 3 ай бұрын
Sasa angekaa huku Seluu Mtoto angesoma Piga kazi Dada usiewasikilize Waafrika wana Roho mbaya mpaka wakafika kuwaua Waarabu Leo wanawafuata kwa Oman
@KkhamisKha
@KkhamisKha 3 ай бұрын
Da Zar kwer
@zoab2699
@zoab2699 3 ай бұрын
Na kuhusu kukosha gari la boss ni kazi ya mfanyakazi
@makrinamakrinahahahahadah4629
@makrinamakrinahahahahadah4629 3 ай бұрын
Siyo kazi ya mfanyakazi bas tu maboss wanaweza kukwambia tu kwasababu wengi awafati utalatibu wamkataba wakazi that's
@gfydfdf8869
@gfydfdf8869 3 ай бұрын
Dada zari nikirudi takutafuta mimi nimepitia mengi huku mitwani ipo,nakamera cipo m baka,chooni.
@jaemnettemukeshumana3019
@jaemnettemukeshumana3019 3 ай бұрын
Mimi makombo bado nakura 😅😅
@SulaimanNoha
@SulaimanNoha 3 ай бұрын
Halafu na vijana wakija huku wengi wao wanataka wawe matajiri haraka haraka hiyo haiwezekani lazima wasubiri mdogo mdogo ndio mwendo
@rehemaathhmani357
@rehemaathhmani357 3 ай бұрын
Wewe shukulu mungu ulipata pahali pazuri hizo changa moto zipo
@reformerthrone972
@reformerthrone972 3 ай бұрын
Changamoto zipo kila pahali hata ukiingia chooni time nyengine wapata Changamoto
@WiseIskhak
@WiseIskhak 3 ай бұрын
Upo miaka mingi Oman lkn hauna experience ya kaz za ndan, waulize ambao miaka yote kaz zao NI za ndan ndio utajua km hayo mambo yapo au hamna, mm binafc nimeshaona mfanyakaz anafanya kaz za ndan na nje ya nyumba pia na masuala ya kukosha magar hayo mambo yapo
@safiyanirram-pf3sv
@safiyanirram-pf3sv 3 ай бұрын
Mm niko kwenye nyumba ss adi gari naosha
@saidamwavuo9926
@saidamwavuo9926 3 ай бұрын
Wayahudi wana roho mbaya anakutafuti sababu ili usipate nafasi za kupmzika kamera choon kwangu ipo chumban ninapo lala pia ipo magari naosha tena yapo matano akiona huana kazi anatoa nguo safi upige pasi ni mchoyo bora atupe chakula lakin askupe ww yaan hawa watu wangu wana roho mbaya sana😂😂😂😂😂
@AsmaKassim-bj9hm
@AsmaKassim-bj9hm 3 ай бұрын
Ulichokisema my nikweli
@Ibra-o6h
@Ibra-o6h 3 ай бұрын
Wanatoa funguo
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
Mimi nashangaa sana munayoyasema huo ubaya basi mwafanyiwa nyie basi wapo wahindi wa makabila tofauti na wafilipin wanepali wote hao husikii kulalamika kama nyie nautakuta hao wahindi nyumba moja miaka kumi kwenda juu kafanya kazi nyumba moja
@a2core-wn2wk
@a2core-wn2wk 3 ай бұрын
Wahindi usiwafansnishe wa watanzania kwanza wanakata kurudi kwao .tunawaona na sio kuambiwa
@a2core-wn2wk
@a2core-wn2wk 3 ай бұрын
Na malalamiko wanapeleka ofsini kwao
@RoseAmilet
@RoseAmilet 3 ай бұрын
@@SaadaAlsheibani hovyooo hata aibu huna
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
Ovyooo nyie kila siku muko mitandaoni kulala mika
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
Adabu waiujuwa wewe imekugusa moyo wewe ndio huna adabu
@AbdalahMohameg
@AbdalahMohameg 2 ай бұрын
Saraha abasi
@neemamahushi8910
@neemamahushi8910 3 ай бұрын
Huyu nae sasa hayo niyakusema jamn mbona hata tz unaweza ukayapata hata kwa ndugu yako ushamba tu
@Fatma99-ve7ys
@Fatma99-ve7ys 3 ай бұрын
Hapo kukosha magar nikweli tunaosha baadhi yetu
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
Mimi ni mtu wa omani zari kama ingekua naweza ningekuchukua nyumba moja baada ya nyingine za ninazozijua ili uone vipi wafanyakazi wanavyokaa na madamu zao ili uthibitishe uongo wao mimi sikatai watu wabaya wapo kilia sehemu na sio basi waraabu ndio wabaya wamezidisha kutu zushia uongo
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 ай бұрын
😂😂😂😂 swetie utulie hakuna mwarabu anajuwa kiswahili nyie mliopewa uraia na KABUSI ndo tatizo kwa wafanyakazi tena ukae kmy roho mbaya sana nyinyi heri Warabu wana utu na huruma fyuuuuuuuu fyuuuuuuuu
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 3 ай бұрын
​@@dorcaskidoti249😂😂😂😂😂yaan hao wana roho mbaya asikwambie mtu me mara ya kwanza kuja Oman nlipata kazi kwa waliozaliwa Tanzania aisee nlikoma nafanyishwa kazi mpk masaa 17 bila kupumzika wana roho mbaya mno😉😉
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
Nyie haswa mwajua mwarabu ni ni rangi nyeupe naona nyie na roho zenu mzuri chukukua nomba yangu nomba tukutane mbumbavu halafu ndio ndioutajua kama mwarabu au nimepewa urai 😂
@ireneevaristo5552
@ireneevaristo5552 3 ай бұрын
@@SaadaAlsheibani huna jipya bwana mna roho mbaya kuwazidi waarabu halisi nyie wa kuchovya mmewazidi😏😏😏😏naona unajitetea hapa
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
​@@dorcaskidoti249yuko mwarabu ajua English na kihindi na lugha tofauti je huyo ni nani pole
@rukaya-jg7hj
@rukaya-jg7hj 3 ай бұрын
Watu hawafanan kuna madam wengine wanachoyo roho mbaya changamoto hizo zipo
@salimjuma4257
@salimjuma4257 3 ай бұрын
Sister habari yako hv bado upo Oman au ulishaindoka
@shamzone388
@shamzone388 3 ай бұрын
Huo ni uongo chumbani wala chooni hakuna camera Camera zipi sitting room family hall na jikoni na nje ya nyumba
@aginsagins-jf4vz
@aginsagins-jf4vz 3 ай бұрын
Zari umekuja Oman japo sio kufanya kazi lkn ukweli umeuona na huyo anaehojiwa asemi ukweli kila kitu anaogopa
@HanipherHassan-i4d
@HanipherHassan-i4d 3 ай бұрын
Ningojeni mimi nitasema kweli maana namiaka 9
@JokhaHamisi
@JokhaHamisi 3 ай бұрын
Magali kweli tunaosha
@jaemnettemukeshumana3019
@jaemnettemukeshumana3019 3 ай бұрын
Wewe ndo hawujaosha mimi myaka misaba bado gari naosha kwanikwenye ameenda hajaona wenye wanaosha gari ??
@morjanoman5181
@morjanoman5181 3 ай бұрын
Maajenti walikuwepo sema walikuwa awafuati taratibu mwaka aliokuja yeye oman wengitulienda tena maajeti wakituleta kama ndugu
@dorcaskidoti249
@dorcaskidoti249 3 ай бұрын
😂😂😂 Zarii ukitaka kujuwa ukwelii subir wafanyakazi wakirudi Tz au wakutumie msg kwa siri, hapa mtu anahatarisha kazi yake, Kama mm napika wenyewe ndo wapakuwaji wanakuachia wachopendelea wao kikutoshe kisikutoshe utajuwa mwenyewe, Usiku ikitokea hujambiwa upike wananunua njee vyakula hupewi hata kdg bora viharibike wamwage, Huo ndo ukweli ila ukitaka kuishi na binadamu ntangalia yale mazuri tu
@meryamabdullah2081
@meryamabdullah2081 3 ай бұрын
Km ndo ivo hawateswi wakae kwa kutulia
@HalimaChuwa-kk5lt
@HalimaChuwa-kk5lt 3 ай бұрын
Tunaosha magari sana tu
@Nailaty564
@Nailaty564 3 ай бұрын
Kwanini ukubali na mkataba umekataza
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 ай бұрын
Kwani dhambi ??
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 ай бұрын
Ata Mimi naosha gari sioni kama kunadhambi au aibu hamna chakushitaki lawama tuuu mpaka
@Nailaty564
@Nailaty564 3 ай бұрын
@@umsulaiman7468 kama mmeridhia wenyewe sawa
@zainabufaidhi4799
@zainabufaidhi4799 3 ай бұрын
​@@umsulaiman7468hata mm na osha gari na nimesha zoea naona kawaida tu mrad Nina Amani Sana alhamdu lillah
@Krmood
@Krmood 3 ай бұрын
Kwanini huwaombi namba za nyumba hao wafanyakazi wanao teseka ukawaone nyumbani kwa maboss wao ujue ukweli wao yote ni uongo
@KkhamisKha
@KkhamisKha 3 ай бұрын
Da zar maswali yote nikwer
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 3 ай бұрын
Na mbona hamsemi mazuri mnayofanyiwa na vitu vya bure mnavyopewa? Ni kulalamika tuuu
@ummohamed4404
@ummohamed4404 3 ай бұрын
Kwanza mtangazaji huruhusiwi kuingia nchi za watu kutafuta uzushi Kayeweke sawa ya kwenu huko Tanzania Twayaona yanao tokea Tz ni makubwa na makubwa zaidi na zaidi .lkn ubaya wote mwautafuta kwa wa Oman حسبي الله ونعم آلوكيل
@RoseAmilet
@RoseAmilet 3 ай бұрын
Sijaona kosa Lake huyo mtangazaji au unatafuta maneno kwani hayako sikwasqbabu watu wananyamaza tu kuongea alafu sijui unaandika nini wewewaarabu tz wamejaa kibao wanakaa kwa amani tu
@rayahamisi118
@rayahamisi118 3 ай бұрын
Omani ndio kiki mbona ajaenda irak roho zinawauma wasichana tunamaendeleo tz kwaiyo inawauma sana anamaswali ya kijinga
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 3 ай бұрын
Wewe nawe mbona unakuja juu Sana vp na kwanini umshitakie mungu why?
@Mariam-w9s3b
@Mariam-w9s3b 3 ай бұрын
​@@rayahamisi118wewe nae kwa mafanikio yepi inamaana tz akuna matajiri zaidi nyie mnasugua hammam ?
@abdullahal-mahruqi9610
@abdullahal-mahruqi9610 3 ай бұрын
Ni vizuri anatathmini ukweli maana uzushi mwingi ulisha sambaa wengine hata kusingizia wanalazimishwa mapenzi ya mbwa. Ingawa changamoto zinaweza kuwepo lakini njia pekee ya kuziweka ilivyo ni kazi hii.
@RahmaSenga
@RahmaSenga 3 ай бұрын
Ndio kabas
@AihmAli-d8x
@AihmAli-d8x 3 ай бұрын
hizi changamoto zote zipo
@KkhamisKha
@KkhamisKha 3 ай бұрын
Maswali yote hayo ni kwer da zar
@RedmiA3-g8w
@RedmiA3-g8w 3 ай бұрын
Apewee mauwa yake jamani
@RahmaSenga
@RahmaSenga 3 ай бұрын
Ndio kabas wafawja
@Mwanahamisally-kg8ym
@Mwanahamisally-kg8ym 3 ай бұрын
Tembeeni na vijijini
@SaeedKhalfan-ih6wk
@SaeedKhalfan-ih6wk 3 ай бұрын
Lucy anaongea ukweli mtupu.hatahapa Tanzania wafanyakazi za ndani wananyanyaswa tena na watanzania asilia. 14:11
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 3 ай бұрын
Natamn nikoment ata mara sabin dada wewe muogope mung asilimiya ya wengi atuli mpak wale dada weee acha milang funguo wanachukua ya chumba
@newgmail8883
@newgmail8883 3 ай бұрын
Unakaaa wapii wewe nataka nikuone kama huli kweli 😊
@ZaanaZooozoo
@ZaanaZooozoo 3 ай бұрын
Nikweri wapowenginewanaosha magari kamayeyearikuwa aoshiniyeye
@ZaanaZooozoo
@ZaanaZooozoo 3 ай бұрын
Iyoipo kamaweweujapitiya shukuru
@KkhamisKha
@KkhamisKha 3 ай бұрын
Yaan wanacjukua pasporty sio zao
@SaadaAlsheibani
@SaadaAlsheibani 3 ай бұрын
Wewe unauliza mara mbili kwanini tunachukua paspot ni kwa usalama wako na wangu ni nisheria hapa paspot ichukuliwe
@GubraCity-dm5sx
@GubraCity-dm5sx 3 ай бұрын
Ww ebu sema ukwel Acha kudanyanya mbona kaz zandan zimekushinda nyie globo njoon mnioji mm niwambie ukwel kuhusu ss wadada wandan uyo yy yalimshinda kakimbilia salon
@jokhasaid8666
@jokhasaid8666 3 ай бұрын
Wa Oman wabaya kaeni Tanzania au nendeni ulaya.
@lovenessmallya816
@lovenessmallya816 3 ай бұрын
hahahhaaaa
@umsulaiman7468
@umsulaiman7468 3 ай бұрын
Kwani kuasha gari nikosa ujinga mtupu
@hamidudigogo5863
@hamidudigogo5863 3 ай бұрын
Anae busha kwamba OMAN hakuna mapito magumu jua hayaja mkuta na wengine wanae comment niwale WASWAHILI wa oman ila ionekane hakuna magumu ila wapo wanae pitia magumu
@RoseAmilet
@RoseAmilet 3 ай бұрын
Kabisa
@giftbonanje228
@giftbonanje228 3 ай бұрын
Kabisaaa
@NadhiraNa-vm5hs
@NadhiraNa-vm5hs 3 ай бұрын
Aswaaa ni waswahili wa omn si wafanya kaz mm nipo Oman lakn mengi yapo IVo mateso yapo
@umsalim6515
@umsalim6515 3 ай бұрын
Kwani huko TZ hakuna hayo mateso kwa wafanyakazi wa ndani ????
@ummohamed4404
@ummohamed4404 3 ай бұрын
@@umsalim6515wamezoeya kuzurura na kuomba Baniani mbaya kiatu chake kizuri
@ummohamed4404
@ummohamed4404 3 ай бұрын
Kwanza huna tasrih wewe sheria ushtakiwe wewe na aliekuleta Subiri
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
Hee kafanya nin magar baadhi yao wanaosha
@KkhamisKha
@KkhamisKha 3 ай бұрын
Za zari mie nipo Oman nimekuja 2020nimekaa hio nyumba kisk miwili hio nyumba ilikua na mifugo nilikua sili mpaka mifugo ile
@RoseAmilet
@RoseAmilet 3 ай бұрын
Bola ulivyoongea
@omanoman2044
@omanoman2044 3 ай бұрын
Nenda ukajigunze kusom ndo uje ucoment kinacho eleweka
@Rahima-kv6mn
@Rahima-kv6mn 3 ай бұрын
​@@omanoman2044 akajigunze Au akajifunze 😂😂😂
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@kadejhammi1835
@kadejhammi1835 3 ай бұрын
Wapo wanaambiwa wapakue chote chakula kinobakia unaambiwa mfanyakazi ale ndoayo makombo
@kamarhelo
@kamarhelo 3 ай бұрын
Nikweri hata mim hapa yani ata kama ukiwa na njaa unapakua chakula chote wale kiki Baki ndo unakula na wew ila kinabak kwenye hot pot sio kwenye sahani
@rajabkhamis2303
@rajabkhamis2303 3 ай бұрын
Dija Bakar nakusalimia
@Rehma-b1i
@Rehma-b1i 3 ай бұрын
Naku lisha mifugo hiyo nayo ipo
@KkhamisKha
@KkhamisKha 3 ай бұрын
Nskuudu pasporty. Nilipofika tu pasporty kachukua pasporty mpaka Leo anayo sas sijui Kwan wanachukua vitu vyetu
@hadijasaid4219
@hadijasaid4219 3 ай бұрын
Mm niko oman kila ijumaa tunaenda kwa mama yake Maadamu napigishwa kwata mpaka nakoma mm nalala mapema naamka saa kumi
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 3 ай бұрын
Safi kabisa. Siyo unatafuta wajinga unawajoji, dada kapngea vzr. Mimi nikija Tz nitakutafuta uonyeshe mjungo wangu
@MariamHaroon-pu3lx
@MariamHaroon-pu3lx 3 ай бұрын
Kweri chagamoto zipo wewe
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН
DUNIA (Ep 45)
22:51
ASMA FILMS
Рет қаралды 203 М.
VIP ACCESS
00:47
Natan por Aí
Рет қаралды 30 МЛН