Mapokezi ya Nape Nnauye baada ya kufika jimboni kwake Mtama

  Рет қаралды 60,620

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер
@sifasanga7866
@sifasanga7866 7 жыл бұрын
Nape mi nakupendaga sana....ukanyage usikanyage mi sijui...habari ya Mila yako haini husu I real appreciate you.
@justusowenda1046
@justusowenda1046 7 жыл бұрын
Mke wangu akanyakue hivo out of my dear body!!! Cwezi kuoa Lindi p1 na mke wa CCM
@salimmalaatu3663
@salimmalaatu3663 7 жыл бұрын
congregation sanaaa kiongoz shupavu wa watu wote Nape Nnauye
@jullipusoe7838
@jullipusoe7838 4 жыл бұрын
For the love of CCM .... Asante sana Mwalimu Nyerere
@ZainabZainab-ok8tm
@ZainabZainab-ok8tm 7 жыл бұрын
hongera saana mh nape pia hongeren saana wana kilwa kwa upendo wenu kwa mh NAPE
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 жыл бұрын
duuuh nimeipenda hiyo sijawah ona tangu nizaliwe duuuuh sikwamapenz hayo.Ama kweli mtu wa mtu
@missmuunasharifu2323
@missmuunasharifu2323 7 жыл бұрын
mtu wa watu
@blaymbilinyi706
@blaymbilinyi706 7 жыл бұрын
kwakeli nimeamini huyu ni Mutu wa watu maana so kwa mapokezi hayo .......
@gastormichael7677
@gastormichael7677 7 жыл бұрын
Hongera nape mungu akupe nguvu...!!!!!
@getrudmmm
@getrudmmm 7 жыл бұрын
hzi ni mila za watu wakusini wamakonde na makabila ya yanayowazunguka na pia ukiolewa na wamakonde unafanyiwa kama alivyofanyiwa nape tena hadi wanaume wanalalaga chini mtu anapita juu ila hata ukimmisi ukalala chini akapita ni heshima ya kimila mbona wachina na wakorea wanainamisha vichwa na migongo wakimsalimia mtu nahamsemi wajinga kila mtu anamila zao na pia zinahitajika zieshimiwe
@fatumadjumbe2551
@fatumadjumbe2551 7 жыл бұрын
nape oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee upo juu
@josayathegreat4947
@josayathegreat4947 7 жыл бұрын
kama n Mke wanguu akikanyagwa kiuno atatafta pakwenda
@sayrahussein9024
@sayrahussein9024 5 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@hamzakahangwa9043
@hamzakahangwa9043 7 жыл бұрын
Hii ya kukanyaga viuno vya mama zetu Mungu aepushie mbali! sijui ni mila za huko!?
@fatmaalrshdii7615
@fatmaalrshdii7615 4 жыл бұрын
Ndio mila zetu wakusini
@drex81
@drex81 7 жыл бұрын
Huku hatuitaji red carpet miili yetu inatosha hahahahahaaaa
@elizabethmakunzo2499
@elizabethmakunzo2499 7 жыл бұрын
sjaelewa hapa mbona kama majungu ya ccm kwa ccm hahahaaa salamu zimfikie mccm Bashite hahahaaa
@richardmbok9246
@richardmbok9246 7 жыл бұрын
upon vzr nape huna shida
@salimhadija2369
@salimhadija2369 7 жыл бұрын
mimi atakam sielewi naona ni heshima ya mama abeba mtoto wake sioni ubaya ni raha ya mama kwa mtoto hong era watanzania
@dottoabdallah4353
@dottoabdallah4353 7 жыл бұрын
nampenda sana Kaka Nape
@fafi9092
@fafi9092 7 жыл бұрын
Ccm oyeee
@mpewashiyawi9942
@mpewashiyawi9942 7 жыл бұрын
kwa mini wanaume wasikanyagwe viuno,nape anapaswa kuelimisha tamaduni mbaya za uzalilishaji! fikiria make wako anafanyiwa ivo.
@sylvestermsafiri4372
@sylvestermsafiri4372 7 жыл бұрын
Mhm!
@mako331
@mako331 7 жыл бұрын
sasa hawa wamama wakivunjika migongo Nape atawatibu, Africans bado tuko na upuzi mwingi, hata kama ni upendo not this far, mtu anaweza kuumia
@edwardmagembe9011
@edwardmagembe9011 7 жыл бұрын
hakika wapiga kura wako wanakupenda mh Nape
@emmanuelaggery6877
@emmanuelaggery6877 7 жыл бұрын
congrats napee
@mkude
@mkude 7 жыл бұрын
nyinyi wengine comment zenu mnaongea hamuelewi eti mnapinga nape kupita juu yao mtajuaje labda ndo mila za maeneo yao kama kupewa heshima.jee mngemuona rais zuma wanawake wanavyomchezea uchi mngesemaje
@anthonykusita7102
@anthonykusita7102 7 жыл бұрын
mke wangu angekuwepo napiga chini siku hiyohiyo.ccm mbelembele
@dicksonmusiba9728
@dicksonmusiba9728 2 жыл бұрын
Mara paa kavunja uti wa mgongo unapata kazi ya kufua mikojo na mavi.🥲
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Жыл бұрын
Majitu yasiyo na akili yamelala ili mtesi wao apite..
@swaburyrwamlaza1479
@swaburyrwamlaza1479 7 жыл бұрын
mtu wa watu kweli
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 7 жыл бұрын
NIKIFIKIRIA,NAONA NAPE HANA KOSA,HUENDA HUO NI UTAMADUNI WAO WAHUKO KWAO.TUKIANGALIA JACOB ZUMA NAE ALIPOKWENDA KWAO ,NAKWAMILA ZA KWAO,WALIANDAA WASICHANA WAKUMPOKEA, NAWAKUTOA BURUDANI, WALIKUWA HAWANA NGUO ASILIMIA 99%.ILA NAMPONGEZA NAPE SANA SANA!
@allyomar4651
@allyomar4651 7 жыл бұрын
uyooooo mdogowake makonda
@lucyhadwiger3164
@lucyhadwiger3164 7 жыл бұрын
mila na desturi lazima zifuatwe..wamakonde ni watani zangu nalijua hilo..
@Chris-cb2dj
@Chris-cb2dj 7 жыл бұрын
kwann hao wanawake wanalala chini?plz jibu
@kingcobra9238
@kingcobra9238 7 жыл бұрын
hii ni dalili nzuri kwa nape uongozi mkuu unakuja
@hamisikumwalu7495
@hamisikumwalu7495 7 жыл бұрын
hiyo siomila ni ujinga wa watu wachache ambao wanaipenda sana cmm, bila kujua utuwao ,example kama amekua mkeo apo utachukua hatua gani akirudi nyumbani kamakweli ni mwanaume ambae unajitambua pia nakujua nini dhamani ya mkeo,
@susannesusie3217
@susannesusie3217 7 жыл бұрын
siku ccm wakiachaunafki watakua huru hata mwl Julius J Nyerere alisema ccm si baba yake wala si mama yake
@hashimmusa9485
@hashimmusa9485 7 жыл бұрын
nape nnauye ni kipenzi cha watu
@hamisikumwalu7495
@hamisikumwalu7495 7 жыл бұрын
salim mlaze mkeo akanyagwe kiononi na mtu ambae sio mumewe utajiskiaje
@hamisikumwalu7495
@hamisikumwalu7495 7 жыл бұрын
Gertrude, hiyo mila ya wajinga wa ccm wasio na haya
@tzommyoriginali9144
@tzommyoriginali9144 7 жыл бұрын
nape mtu wa watu
@Lechipya
@Lechipya 7 жыл бұрын
Kweli ukifikiria kuoa mmakonde unapaswa kuangalia tukio hili kisha ufanye maamuzi!
@samsonkaboko5137
@samsonkaboko5137 2 жыл бұрын
Muda utaongea tu
@James-y3j2v
@James-y3j2v 7 жыл бұрын
upumbafu huo wa kupita kwenye viuno
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
kweli kabisa
@drex81
@drex81 7 жыл бұрын
ntamwishimiro venas Sio upumbavu, ni kuonesha hisia zetu
@James-y3j2v
@James-y3j2v 7 жыл бұрын
Sincom huo uhuni wa wananchi
@anthonymsemakweli9250
@anthonymsemakweli9250 7 жыл бұрын
ntamwishimiro venas upumbufu upi huo?
@nefertitibelinda1146
@nefertitibelinda1146 Жыл бұрын
Utopolo mtupu.😅
@petromtakati2975
@petromtakati2975 7 жыл бұрын
Mama yangu angefanya ujinga huo tungepambana walai
@tanzaniakwanza9564
@tanzaniakwanza9564 7 жыл бұрын
sijapenda ulivyo kanyaga watu juu tena kwenye matanda zao eti unapita , kwa kisingizio cha cha upendo,ata kama wamelala kwa mapenzi yao wenyewe ila ww kama kiongozi mwenye busara hukupaswa kufanya hivo huu ni udharirishaji wa hali ya juu sana, si jambo zuri kwa kiongozi kama ww.
@festontandu1747
@festontandu1747 7 жыл бұрын
dah? mmezima kiki za harmorapa kabisa
@josephkisembe6663
@josephkisembe6663 7 жыл бұрын
Hii sjawah kuona kwel huko n mtama.
Zelensky is ready to talk with Putin / Border closure
13:18
NEXTA Live
Рет қаралды 766 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
‘Hawa Wananchi hawatoturudisha tena' -Nape Nnauye
16:19
Millard Ayo
Рет қаралды 50 М.
Azam TV - Bashe akumbushia bastola aliyotishiwa Nape
1:09
“Hii sio sawa, Serikali mmetusaliti” -Nape Nnauye
10:08
Millard Ayo
Рет қаралды 42 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН