Waziri Mkuu, Waziri Nape walivyoshindwa kujizuia na kumwaga machozi mazishi ya Samuel Sitta

  Рет қаралды 446,794

Millard Ayo

Millard Ayo

7 жыл бұрын

November 12 2016 yamefanyika mazishi ya Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samuel John Sitta aliyefariki dunia November 7 2016 katika hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani. Mazishi hayo yamefanyika Urambo Tabora kwenye eneo la makaburi ya ukoo wa Sitta ambayo yapo takribani km 2 kutoka nyumbani kwake.

Пікірлер: 57
@aminatabakari2741
@aminatabakari2741 4 жыл бұрын
Kifo hakizoeleki pole sana Mungu aipumzishe Roho ya Marehemu Mbinguni !!!🙏 Mazuri yake kuyaenzi🙏
@EzekielElisafi
@EzekielElisafi Жыл бұрын
Tumshukuru mungu
@deodathkizito9637
@deodathkizito9637 4 жыл бұрын
Mungu ni waajabu Sana! Njia zake hazichunguziki
@rajabmalupu8592
@rajabmalupu8592 7 жыл бұрын
Turikupenda xana mzee Wetu m\mungu akuepushie na adhab ya kabur amen
@ibrahimjobu9141
@ibrahimjobu9141 4 жыл бұрын
Hakika Majaliwa hotuba yako ilikuwa na majonzi makubwa na maumivu makubwa na makali lakini ulijikaza kiume na Nape Nauye Mungu awapoze maumivu yenu
@rosedaniel1981
@rosedaniel1981 4 жыл бұрын
Kweli kifo haijawah zoeleka ....rip mzee wetu😭😭
@meshackmlingo9409
@meshackmlingo9409 7 жыл бұрын
Hawa viongozi mungu anawaona hayo mambo wanayomsifia mzee sitta wasipoyatekeleza mzimu wa mzee sitta utawahukumu
@nasorosadick4540
@nasorosadick4540 6 жыл бұрын
Mnyezi mungu ailaze loo yake mahala pema peponi ameen
@eliudijohaness602
@eliudijohaness602 7 жыл бұрын
Mungu awape mwanga wa milele Amina
@yusufdismas2450
@yusufdismas2450 7 жыл бұрын
mungu amlaze mahali pema peponi
@yohanamaiko653
@yohanamaiko653 4 жыл бұрын
nawapa pole watanzania wenzangu
@gaspermassawe7397
@gaspermassawe7397 7 жыл бұрын
ngoja Mungu akamuulize aliyotufanyia kwenye bunge LA katiba kama ni HAKI,STPD
@junioryasin5306
@junioryasin5306 3 жыл бұрын
We nae nikapumbavu
@janinnekaneza8780
@janinnekaneza8780 7 жыл бұрын
polen sana 😢😢
@aneeshmepani4955
@aneeshmepani4955 5 жыл бұрын
Habari mpya
@alexbushishi5075
@alexbushishi5075 7 жыл бұрын
R. I. P.
@happynessyaundey750
@happynessyaundey750 4 жыл бұрын
Rest in peace dady
@samkyando2332
@samkyando2332 4 жыл бұрын
Rip
@thomasmadanda848
@thomasmadanda848 7 жыл бұрын
Hi ndio safari ya mwisho ndugu yetu sita,bwana ametoa Na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe,tumuombe
@fredringo2693
@fredringo2693 7 жыл бұрын
God your able
@nevackkadege6389
@nevackkadege6389 4 жыл бұрын
R . I .p president
@richardmalley68
@richardmalley68 4 жыл бұрын
Naomba kuufahamu huo wimbo hiyo swahili cover nani kaimba na nitaipata wapi tafadhali
@suleimanbakar1271
@suleimanbakar1271 5 жыл бұрын
vilio vya shetani
@jamesmdesa8266
@jamesmdesa8266 7 жыл бұрын
mungu awatangulie mhesh sita na mungai wapumzike kwa amani ammeni
@aminatabakari2741
@aminatabakari2741 4 жыл бұрын
😥😥😥🙏
@saidkitinde4002
@saidkitinde4002 4 жыл бұрын
R I p
@pascolemmanuel4839
@pascolemmanuel4839 7 жыл бұрын
Mungu nakuomba mpoke kwa Amani wewe ndio babayetu wa mbinguni.
@evadindi7243
@evadindi7243 4 жыл бұрын
Hatukujua cku ya kuja tutaijuaje cku ya kurudi? Mapenzi yako yatimizwe ee mungu
@ramadhansaid5468
@ramadhansaid5468 7 жыл бұрын
r.i.o
@najmagudeh203
@najmagudeh203 4 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@angelpsscalboniventure6169
@angelpsscalboniventure6169 7 жыл бұрын
pumzika kwa jamani
@nicksonchalii1111
@nicksonchalii1111 5 жыл бұрын
Anayejua wimbo ulipo nyuma ya video aniambie nani kaimba
@zanzibarsmzenji
@zanzibarsmzenji 7 жыл бұрын
Hawa viongozi wa kiafrika wasanii kishenzi
@kamaluhajj3446
@kamaluhajj3446 7 жыл бұрын
acha zako wewe mtu alete usanii kwenye msiba we vipi
@matitu_jr5035
@matitu_jr5035 7 жыл бұрын
acha ujinga wewe!
@savilinyimnyenye
@savilinyimnyenye 7 жыл бұрын
jinga wewe
@markosamuel6490
@markosamuel6490 7 жыл бұрын
hatem farixdxxx acha upumbavu ww kuna sehemu za kuleta mizaha sio hapa
@saudahmedsaudahmed7074
@saudahmedsaudahmed7074 7 жыл бұрын
Marko Samuel kweli kabisa
@hamzamponda501
@hamzamponda501 4 жыл бұрын
Katavi
@greysonmjema9315
@greysonmjema9315 7 жыл бұрын
Poreni
@fundimpenda8526
@fundimpenda8526 7 жыл бұрын
Gre yson Mjema
@severinamwidunda6446
@severinamwidunda6446 7 жыл бұрын
huu wimbo unaitwaje plz
@evecristiano
@evecristiano 7 жыл бұрын
ryna emy i bid goodnight by aaron neville
@richardmalley68
@richardmalley68 4 жыл бұрын
​@@evecristiano Nimemtafuta huyo ryna emy bila mafanikio.aaron nevile ni english nataka hiyo swahili cover
@richardmalley68
@richardmalley68 4 жыл бұрын
@Ongeza 5z ​ Nimemtafuta huyo ryna emy bila mafanikio.aaron nevile ni english nataka hiyo swahili cover
@rosedaniel1981
@rosedaniel1981 4 жыл бұрын
Kaimba Ruby
@richardmalley68
@richardmalley68 4 жыл бұрын
@@rosedaniel1981 Nimejitahidi kuutafuta hata kwa Ruby bila mafanikio ndugu yangu
@wilibrodaloys9794
@wilibrodaloys9794 7 жыл бұрын
:-)
@alimohd6801
@alimohd6801 7 жыл бұрын
إلى جهنم وبئس المهاد
@aminaami4936
@aminaami4936 7 жыл бұрын
Ali Mohd hf
@flomrembowakenya5524
@flomrembowakenya5524 7 жыл бұрын
Rip
@peterqorrocscqorro9341
@peterqorrocscqorro9341 7 жыл бұрын
RIP
@yusuphnelson4686
@yusuphnelson4686 7 жыл бұрын
poleni sana wanatabora
@yusuphnelson4686
@yusuphnelson4686 7 жыл бұрын
poleni sana wanatabora
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН
DAD LEFT HIS OLD SOCKS ON THE COUCH…😱😂
00:24
JULI_PROETO
Рет қаралды 15 МЛН
Little girl's dream of a giant teddy bear is about to come true #shorts
00:32
Mwakyembe Amlilia Samuel Sitta Bungeni
4:31
Global TV Online
Рет қаралды 32 М.
Beatrice Mwaipaja - Yesu kwetu ni rafiki
4:08
Beatrice Mwaipaja
Рет қаралды 107 М.
Harmonize na Jackline Wolper mapenzi motomoto
6:07
Millard Ayo
Рет қаралды 4,6 МЛН
Lowassa na Sumaye Wanena Mazito Kwenye Msiba wa Ndesamburo
10:03
Global TV Online
Рет қаралды 141 М.
Самый Молодой Актёр Без Оскара 😂
00:13
Глеб Рандалайнен
Рет қаралды 11 МЛН