Well said by Nape, umezidi kuniaminisha kua umekomaa kisiasa,nimeipenda sana speech yako
@deogratiusmnanka60307 жыл бұрын
Aron Mwambipile kweli brother nimemuelewa
@sudisepti68267 жыл бұрын
Deogratiouc Mnanka ✌
@davidfred25927 жыл бұрын
Pole sana Nape, ni kweli maisha lazima yaendelee..nitakukumbuka kwa uzalendo wako wa kukipigania Chama cha Mapinduzi. Umefanya kazi nzuri kama Waziri wa Habari,Sanaa, utamaduni na Michezo. Big up
@josephinejoachim31357 жыл бұрын
eeeeeeh mwenyez mungu tusaidie
@felixalbert74206 жыл бұрын
David Fred bao la mkono hilo,, dhambi hsijawah muacha mtu salama
@nassorcholo29907 жыл бұрын
U are our hero. Nape hama CCM uende Chadema.
@athonyfrancis88897 жыл бұрын
wala asihame ili waelewe mabadiliko yapo hata ndani ya ccm,shime watakuelewa tu hao abiria wa lushanga bus.
@robertadolf5626 ай бұрын
wanafki..ugali unawaponzaga hawahamii hawa
@husseinally70527 жыл бұрын
mujeshimiwa nakukubali sana wish u all the best tunaijua kazi uliofanya kuifikisha ccm hapo ilipo,mungu yupo pamoja nawe.
@piusbaruhuwundi89877 жыл бұрын
Just loved the speech
@aloysevodius77617 жыл бұрын
Nape wewe ni soldier Mungu akuongezee akili na ujuzi wa kujituma nakupendaga sana mimi
@chachamagesa43847 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa Nape ,umeongea vizuri sana nakupongeza.
@elisantegabriel50647 жыл бұрын
inaudhi sana alichokifanya mheshimiwa sio kizuri hata kidogo unamfukuza mtu kisa kasema kweli
@adamdamas83527 жыл бұрын
Nape ni kamanda kama makamanda wa chadema chadema hoyeeeeeeeeeeee mungu ni mwema najua hayayote yanayotendeka iposiku itafikamwisho
Naomba watanzania ni wakati wa kuungana na shikamana bila kujali udini wala ukabila ili kuwatoa hao watu wawili hawafai kabisa Hongera sana Nape wewe ndio shujaaa👍
@emmanuelluiso48727 жыл бұрын
Nimekuelewa Sana mh.nape Mungu akusimamie kwa hili
@mussampalo94543 жыл бұрын
Pole kamanda ila mambo yanachange Now your leader again.. God is Good.
@umranim58547 жыл бұрын
kwakweli si haki kabisa ina sikitisha sana pole sana muheshimiwa nape haijawahi kutokea serekali ya awamu zote zilizo pita kutokea vitu kama hivi vitu vya kusikitisha sana mnako kwenda pabaya hakuna amani tena mungu ibariki tanzania
@issaasajenie43947 жыл бұрын
Pole sana mh..nape ipo siku tutajikomboa na hii hari..i love my tanzania
@dengerengisaruni18596 жыл бұрын
Pole sana lakn sic ulimkataa mh lowassa bac ndoo malipo yako nape
@barakaboniphace40672 жыл бұрын
Good 😊
@fredrickipembe81883 жыл бұрын
Pole sana nape ila pia ulifanya utovu wa Nidhamu kukaa kimya pia niheshima
@sudisepti68267 жыл бұрын
nashkuru kwa matus yako mungu atakulipa oky
@mosesjackson_tz3 жыл бұрын
Legendary speech.
@elliudyayubu7 жыл бұрын
Kaka umekomaa kisiasa.....hongeraa
@mariamjuma41363 жыл бұрын
Fimbo ya mungu ni kali Liko linashitakiwa kwa mauwaji Lililo kushikia bastora mh Nape
@gracialm8797 жыл бұрын
Daaaah aisee tz nchi yangu......
@JerubaalXerxes7 жыл бұрын
Thank God Nape anavuna alichopanda....bado CCM mtavuna msipozimia moyo endeleeni kuipanda CCM...CCM itawatumia ikichoka inawatema na ndani mtalala. Aluta continua
@mussabinford98723 жыл бұрын
Nmejifunz kityu mheshimw nape 🙏
@festodangote14587 жыл бұрын
Nape pole San
@rosemarybenjamin58667 жыл бұрын
😢😢😢kaz IPO EEE Mungu magu wew kunkoelekea utaarb nchi
@athonyfrancis88897 жыл бұрын
wapi Lema mbeba maono????"haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu kwa watu wote"pole Nnape brother
@jacksonmpumpa22627 жыл бұрын
kwakweli mungu tulinde naanza kuona mpasuko kwa mbali ......... ivi kwanin jambazi bashite asiondolewe.......... nasubiri skendo kubwa sana zaidi ya hii kwa maana sasa kitatafutwa kiini cha kwann jambazi bashite asichukuliwe hatua,,,,,,,,,,,,,,, 1.kafoji vyeti 2,kavamia clouds 3.kutishia kwa kutumia bunduki mbona kitwanga alilewa tu akaondolewa kwann c huyu jambaazi bashite,................ tunakoelekea anajua mungu
@latifaayoub57507 жыл бұрын
Cjui kwanini nalia hapa, pole sana nape Mungu yu nawe
@happyyohana91647 жыл бұрын
tukipat viongoz wengi kama nape,,,wanaosimama kwenye u kwelii,,hakik nchi yetu itafk mbali
@yusufalmamari42367 жыл бұрын
pole nape
@khalidvova66017 жыл бұрын
huu ni wkt sasa wa kumpa sapot zote nnape
@andrewkilave35323 жыл бұрын
ila haya maisha daaah yanafumbo kubwa sana
@hashimabdalah31616 жыл бұрын
Daah bao la mkono leo limegeuka kweli lema alisema wakimalizwa wapinzani wataludi kwa ccm wenyewe ni kweli leo yametokea
@saidipunzi17807 жыл бұрын
Words are pain ver pain
@ramambongo40697 жыл бұрын
Nape hongera sana ila rizik ikiisha imeisha pambana tu sana kaka
@josephjosephat78267 жыл бұрын
dah yan huyu mtu kaja tu anaonyeshwa bastola arudi kwenye gari haondoke . hayo n madhara ya kuweka chama madarakani mda mrefu kikawa beberu na maamuzi ya kibeberu maama wanajua hakuna wa kuwakosoa na pnd wa kuwakosoa wanapotokea hapo khal huwa tete kama hivi
@mwajumashabani4387 жыл бұрын
sio vizuri kabixaa
@piliyusuph14857 жыл бұрын
daaaah! moyo unanium xan pole baba
@joshuajlemey58397 жыл бұрын
Dah aisee patamu
@chilamboxhila27167 жыл бұрын
kuenguliwa kwa mh.nape ni uonevu mkubwa sana,ccm inaanza keteketea .
@estherwangare97597 жыл бұрын
aliyetoa bastola na aliye mtuma wanafaa washikwe coz it's a free country and everyone has right to speak as long as si hate speach ...but kutoa bastola kwa umati ni vibaya
@seifmohamedseif93846 жыл бұрын
watu wasio julikana wana kamatwa vp sasa 😀😀😀
@oyay28213 жыл бұрын
Makonda apelekwe kotini hio aliofanya ni jinai haina tofauti na Ole Sabaya na uovu wake.
@mamapekupekupilipilimuwash90167 жыл бұрын
hali hii yani hata kizazi changu siombi wawe waongozo hatarii afadhali kizazi changu kiwe wana biashara ama muuza maji hii ni hatari roho mkononi
@adambago7 жыл бұрын
Unajua Magufuli watu wanakupenda sana, angalia watu wachache wasikuharibie. Hivi ubabe wa kuvamia vyombo vya habari una maanisha nini? Kwa nini sheria zisifuatwe? 'Power corrupts, and absolute power corrupts absolutely' Matatizo yote haya yanatokana na Makonda na Mchungaji Gwajima. Wameshindwa kuombana msamaha, kila mmoja anajifanya mbabe, mwishowe watu wanashindwa kufahamu kati yao ni nani mjinga. Tuachieni nchi yetu Bwana. Bastola hata siku moja haijawahi kuleta maendeleo...
@robertwanda67437 жыл бұрын
mimi naona raisi anaongeza maadui kwenye nchi sasa tusubili 2020 kazi ipo asipo jitangaza mwewe ajuwe hana chake yafaaaaa
@mandyfitnesstv67387 жыл бұрын
Nape big up
@sudisepti68267 жыл бұрын
ni ivi jamani mbona tunapenda kushangaa mambo ambayo c ya kushangaa kwani tujiulize wameshapita wangapi kama hao akina napeeeeeee
@arafabakari41687 жыл бұрын
Nchi huru uhuru uwapi sio sawa kabsa
@mimifulani9487 жыл бұрын
sasa JPM mbona anavofanya sio ishu uonevu kabisa yan
@gervasmlowe9167 жыл бұрын
Inatosha
@stevenurio19327 жыл бұрын
This is Unfair....
@martharobert447 жыл бұрын
yan xio poa kbxa juz alikua anahexhimika leo anadharirixhw kiajabu ajabu yan
@ibrahimkanuto35143 жыл бұрын
Aliyemtuma huyo kashapoteaga Mungu fundi
@hemediphdvevo53387 жыл бұрын
huyu laisi sijui limbukeni ya ulaisi au yani anasifa kweli
@PhilipoMwita-b2x6 ай бұрын
Nape anakuja juu maana wenzake walimgeuka kwenye ulaji
@buthainaalhabsi11717 жыл бұрын
jamaniii mhhh muvi bado kalii
@charznyamaresa55716 жыл бұрын
waliopigwa risasi mnawanyamazisha ungetwangwa 2 mmetufikishapabaya nawewe umehusika hufaikutwambia chochote sasa wqtuwanapotezamaisha damu yao ijuuyenu mnafikri hamtafikamwisho
@charznyamaresa55716 жыл бұрын
malipo hapa hapa duniani hukumbuki ulichowatendea wenzako mhhh
@ahmedkhamis94706 жыл бұрын
Mh. Nape hili tukio mimi nilikua naliskia tu kwenye bunge likizungumzwa watu wanapokua wanatolea mifano baadhi ya matukio yanayotokea ktk taifa letu. kumbe hili tukio mh lilikua sirio kabisa
Huyo asiye pangiwa ni vile kujua kwingi...mbele giza! Na kuchamba (kunawa) sana mwishowe hutoka na mavi! Hana nadhari kwenye ubabe wake. Nape alisimama kumkingia kifua Rais ili serikali ionekane ime chukua hatua. Asiye pangiwa kakurupuka kuonesha kamaanisha kudharau si tu waandishi bali hata walio mpigia kura!
@Alpha-Tv097 жыл бұрын
Tanzagiza....
@jonasjonas90627 жыл бұрын
msema kweli mpenzi wa mungu.ww ndiye mpenzi wa n mungu wa ukweli.ulipo tupo tupo pamoja na ww popote uendako
@idayagangs1247 жыл бұрын
wametumwa nauyo malaya wao
@lupetamhagama21457 жыл бұрын
😢😢😢😢 i feel crying
@mnzavachris54237 жыл бұрын
lupeta mhagama yaan nimeumia kwl ani
@hemediphdvevo53387 жыл бұрын
katika maisha yangu haito kuja tokea mm kupiga kula kumchagua mbulula wowote
@adamamani20737 жыл бұрын
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha malipo ni humu hum
@kingdulle19877 жыл бұрын
Alisema usifanye sherehe unapochaguliwa ila ufanye sherehe utakapotenguliwa duh! kweli kazi tu na tutaisoma namba.
@nzomukundafatuma53647 жыл бұрын
nape mungu atakulinda nilele
@jumamuhozi92677 жыл бұрын
wamekuonea sana tena
@ezekielgaja97677 жыл бұрын
ya muheshimiwa tundu yanatimiaaaaaaa! Mungu aturehemu
@nichorousmwakanyika79326 жыл бұрын
akome kwani wanatuletea mijitu ya bulundi kuja kutukomesha sisi wapinzani yeye yamemkuta inamuuma pumbavu
@radaonlinetv19223 жыл бұрын
Hakuna watu wabaya kama waandixhi wa habari, xaxa mtu yuko na prexha za baxtolo kixha unamuhoji unafkiri ataongea nn?
@tedikipesile75327 жыл бұрын
pole bb ww bado ni mbungewe2
@liberatusmanase6867 жыл бұрын
wamekupiga goli la mkono, goooooo!!!!!
@adamnguvu10206 жыл бұрын
Kuna Siri nzito kati ya kufuli Na konda ktk nchi hii
@ramadhaniligoneko12216 жыл бұрын
Police tuchenge matumizi sahihi ya bunduki kazi njema
@shabanijuma94787 жыл бұрын
Mtu kama.nape ananyooshewa bastola je mimi na wewe kajambe nan si tutauwawa.......allah atuongoze kwa hili
@sudisepti68267 жыл бұрын
kama mulikuwa hamuijuwi ccm bas ndo hiyoooooo wanasema kwamba ccm ina wenyewe ila kwangu mimi nasema ccm haina mwenyewe
@leylamarey79557 жыл бұрын
"mm ni mtetezi wa wanyonge" says Raisi, nape bora kutolewa kwa kupigania haki kuliko kukaa madarakani kwa kukandamiza watu
@sudisepti68267 жыл бұрын
mi kwangu naona ni sawa tu kwani mtu huvuna alicho kipanda ccm oyeeeeeee
@loserianmelita63327 жыл бұрын
you just think before you talk fakasess
@loserianmelita63327 жыл бұрын
you just think before you talk fakasess
@sudisepti68267 жыл бұрын
David Mageta 😷
@sudisepti68267 жыл бұрын
Ivi we ni muungwana au ni mbwaa kuma la mamaako
@evelinamatonya49757 жыл бұрын
Stupid
@deogratiusmnanka60307 жыл бұрын
Kweli Yanga ni timu nzuri sanaaa
@shamimoally46797 жыл бұрын
hahahhaa tunaendelea kuisoma tumefika 6 na ndio kwanza 2017.......zimebak 7 8 9 nahis tutamaliza kuzisoma
@samuelkayinga71097 жыл бұрын
hatuna cha kuogopa isipokua uoga wenyewe
@lusekosanga16357 жыл бұрын
kweli malipo ni hapa hapa,bao la mkono
@gracerosi61796 жыл бұрын
Kisa ulipiga kampeini ndo upelike watu kifojar kapempen acha vorugu
@elliudyayubu7 жыл бұрын
Daaah
@petermahoiga78827 жыл бұрын
KW akili yangu ndogo, NAPE najua mpaka anafanya mkutano na waandishi alipaswa kufanyia ofsin kwake sio barabarani, na sio NDA huo angevuta NDA kwanza hasira na huzuni zikaisha. ALICHOKIFANYA KWA HARAKA VILE NI KUKOSWA NANHII.
@masseanadir29047 жыл бұрын
2020 tusaidie kupga goli la mkono tuitoe ccm madarakani
@adelardkanje75167 жыл бұрын
😨😨😨😭😭😭😭😪😥😩😫😱😱😱😱😱Rais acha ukabila ongoza nchi kwa haki utaitwa Rais sababu ya kura zetu usifanye tujutie kukuchagua pia uctufanye wajinga we ni mtu gani usietaka kushauriwa tafadhali uctupeleke kidikteta
@ericksadala1777 жыл бұрын
tutafika kweli kwa khali hiii mbona inchi inaenda kubaya jamani