IPM ubarikiwe sana simama katika unayosema na Mungu atakuza huduma yako kwa kuhubiri Injili ya kweli
@MathaKasambara5 ай бұрын
Umeongea point mtumish mungu akubariki akupe hekima zaid na zaid
@ashurakodd15895 ай бұрын
Mbona mnalipa hosipitali kuonana na madaktari na muda huko mgonjwa Yuko mahututi lakini uzunguke . Mpaka umalize proses ndio mgonjwa aingie.
@Alexismadimo5 ай бұрын
Nenda kapewe hogo uko na daktar Uyu jamaa bhana mempenda sana yuko very smart
@sabinaboas67605 ай бұрын
Kiboko ya wachawi ni mtumishi wa Mungu period na anafanya kazi ya Mungu sahihi
@lewismpangala9275 ай бұрын
Haya ndo yanachomwaga moto shobo nyingi
@ShabaniRashid-ln3tj5 ай бұрын
Pole
@margaretlongway1335 ай бұрын
Daddy umeongea kwa hekima Sana. Hongera Sana! Ubarikiwe
@angeljoseph81035 ай бұрын
Mchungaji upo vizuri yaani umenena sana Mungu akubarili sana masikini kama anapewa unaweza kusababisha afanye jambo litakalo mpa umasikini zaidi umeongeza watz tunapitia changamoto ndio sababu wafu wanakimbizana siokM tunapenda matatizo ndio chanzMungu atusaidie
@geraideslaurent30105 ай бұрын
Uyu mtumishi ni Tapeli sana akunaga mtumishi wa ivo anaetoza watu hela kiasi icho mwizi mkubwa serikali imefanya vizuri sana.
@joycekambuga62865 ай бұрын
IPM ubarikiwe sana. Una hekima sana
@FrankMkome-df9bn5 ай бұрын
IPM mungu akubariki maana umeongea point za mhimu sana huu ndio uchungaji tunataka
@iddahravity93695 ай бұрын
Mungu akutunze kwa hekima ya majibu mazuri
@godfreynoah64505 ай бұрын
IPM umeongea Safi sana MUNGU akubariki
@CatherineLukwesaLukwesa5 ай бұрын
Upo sahihi kabsa baba mung akubarik
@devissyprian15265 ай бұрын
Ipm hujui biblia takwimu nilizofanya, biblia Inasema Bwana hasipoilinda nyumba yako hata ukeshapo unaLinda wafanya kaz bure, nchi bila Mungu hamna Aman police wenye we wanalindwa na Mungu. Kuwa makin wew jamaa
@GeofreyMtensa5 ай бұрын
Acha wapigwe raia kwa ujinga wao....sheeenzi kabisa.
@JoridarJosiah5 ай бұрын
Umejibu vizuri mchungaji
@sabinaboas67605 ай бұрын
Vinafanya kazi acha kupindisha maneno vifaa vya kiroho vinahusika vinaombewa kupitia jina la Yesu,ndio maana tanzania aiendelei sababu ya uchawi na roho mbaya,acheni kumsema kiboko ya wachawi ni mtumishi wa Mungu km wewe ,wewe utoke na ufahamu wako mdogo
@JulianaMassawe-b3u5 ай бұрын
Mungu akubariki sana mkuu umeongea vizuri sana ni kweli kuonana na watu binafs ni maamuz ya mtu sio serekali kuchukuwa hatua ya kumfungia huduma mtumishi kiboko ya uchawi sio hekima
Selekali bgp sana. Namsilifungue nazumalidi mmemluhusu tena mkifunga funga kwelikweli mpaka vigezo namashaliti zakidini vizingatiwe
@naimasbuguza23955 ай бұрын
mwangalie vzur mchungaj IPM utagundua ana SIJDA kwenye paji la uso, angalia picha zaidi ya moja utaona hivyo
@zouzouzoubaida18505 ай бұрын
Na mimi nimeona 🥰🥰
@K-go1qj5 ай бұрын
Kaingia Ukristo bila kuacha uislam
@ShukranMwakyambo5 ай бұрын
😂😂😂😂
@adiaygo85465 ай бұрын
Maisha tena
@SnhZjhz5 ай бұрын
Sijda ni kusujudu sana mbele za Mungu hata wazee 24 mbinguni wanasujudu acheni nazaria mbaya
@rachelmuhehe77895 ай бұрын
IPM ni msanii pia na asubiri tu siku yake #Wagalatia 6:7.
@angeljoseph81035 ай бұрын
Umesema kweli mchungaji
@khalsasalim79305 ай бұрын
Huyu jamaa ni muislam kabisa na anaswali huko alipo anatafuta tuu pesa😂
@alsam48815 ай бұрын
Tena ana sijda kabisa.
@MahmoudJaffar-mt1qr4 ай бұрын
kwa nini haya mambo yanakuwa kwenye ukristo kwenue uislamu haya mambo hatuyaoni
@bakarikayugwa32955 ай бұрын
Mi niliweke sawa kidogo kwa kile nilicho kiona kua sio kila mtu analipishwa huduma ya maombezi kuna ya bure na ya pesa
@AzaAzamhmod5 ай бұрын
WACHUNGAJI NI WENGI SANA DAR UTAPELI NI MWINGI WAJINGA NDO WALIWALO UKRISTO NI DINI YA BIASHARA😂😂😂 IPM HUKO AMEKUJA KULA PESA LKN HYU ANASALI SALA 5 MWISLAM OG😂😂😂😂
@sabinaboas67605 ай бұрын
Utulivu wa nini wakati wamemuonea mtumishi wa Mungu,acheni kuingilia kazi ya Mungu,vifaa vya kiroho vinalipiwa kubitengeneza,kiboko ya wachawi ni original sio feki ni mtumishi wa Mungu natumia vifaa vya kiroho vinafanyakazi kupitia maombi ya mtumishi wa Mungu,acheni maneno ya unafiki hasa watanzania uchawi umezidi,kiboko ya wachawi yuko sawasawa,uwezi kuwapangia watumishi wa Mungu nini cha kufundisha,kasome biblia wewe mtangazaji,yes lazima mchawi afe kama neno la Mungu lisemavyo,acheni uswahili hapa
@sabinaboas67605 ай бұрын
Hata kwenye biblia kunavifaa vya kiroho vimetumika mafuta,leso,fimbo ya musa,chumvi na kadhalika
@MfiriFulgensi5 ай бұрын
Imp eliya alivyowaua manabii zaid ya hamsini kwani mungu alikuwa hayupo kipindi hicho?
@James-y3j2v5 ай бұрын
Tanzania nchi ya wahuni Ukitaka kuwa Tajiri funguwa kanisa tu
@mondesinai5 ай бұрын
Achaujinga weww mchungaji Gani weww kwanza nenda kwenye kweli na khaki acha kukwepesha mamabo hakunaga kitu kama icho kwa mungu !!! Uchungaji ni wito uyo jamaa tapeli
@khadijahamisi55615 ай бұрын
Alikutapeli nn mbona mnaenda hospital mnatoa pesa namgonjwa anakufa mnaendaga kudai wapi nahao walaki 5 wanajipeleka wenyew kwan wanaitaga watu ampend mtu wakuja nyie mlioko dar mmezaliwa dar ushamba nanjaa mbaya pumbavu zenu mwachen afanye kaz
@sabinaboas67605 ай бұрын
Acheni wivu na uzushi na ubaguzi,yeye ni mtumishi wa Mungu,sio tapeli sadaka ni lazima hata kwa waganga mnatoa zaidi ya laki tano,sadaka yoyote inatolewa huo ni ubaguzi tu wamemuonea kiboko ya uchawi fungueni kanisa tukasali
@begukulemosobe96855 ай бұрын
Na yeye kumuona sh ngapi? Ungemuuliza, halafu wacongo wamekuwa wengi sana na uchawi wao mwingi, warudi makwao hao
@Jassmin-media-official5 ай бұрын
Huyu nae kumuona lazima utope pesa kkkkkkk mimi alinambia laki 6
@wildlifeanimals63775 ай бұрын
Ipm kafanya interview nzr sana ila nawasihi watumishi acheni maigizo kanisani
@gosbertmuta54215 ай бұрын
IPM 😂😂😂😂😂😂😂chinjachinja injili yako IPM mungu wako kiboko mm bnafc hapana siitaki injili yako
@PiriminMkamati-t2f5 ай бұрын
IPM leo ndo siku ya kwanza kukusikiliza nimejiridhisha kuwa ni mchungaj uliyeenda shule, na nafsi yako haiwezi kumwongopea muumini kwa maslah yako.....((mtu anaumwa malaria aombewe kwa jina la yesu) Yaan ukombozi wa fikra unahitajika. Nimekuelewa ntakuja kanisani kwako.
@NdeshaPaul-uz9bw5 ай бұрын
Mchungaji anatakiws kutoa huduma bola malipo. Kusema kuwa malipo makubwa yanazuia wingi wa watu wanaotaka huduma. Ikiwa eatu ni wengi bora uwahudumie wale utakaoweza au kuwe na ratiba ili wale ambao wameshapata wasirudie ili wengine wapate huduma.
@lizzyevoh81395 ай бұрын
namuona kabsa Ipm kuna saa anabanwa na kicheko ila anajizuia🤣🤣🤣
@alsam48815 ай бұрын
Na kwanini mnalazimisha watu watoe Sadaka? Kwani kutowa Sadaki siyo hiyari ya mtu? na hadi mnampangia mtu kiwango cha kutowa sadaka, Yaani kuna baadhi ya watu masikini wanajinyima wao ili watowe sadaka kwa ajili ya kuwatajirisha wachungaji na kuishi majumba ya kifahari na magari ya kifahari. Angalieni hakuna mchungaji hata mmoja masikini, hadi kuna baadhi ya wasanii wanaingia kwenye uchungaji ili wajitajirishe.
@IsaackPaulo5 ай бұрын
Tumwachie Mungu
@sizyathom-qq5cx5 ай бұрын
Kweli😊
@Namaize-lc8sh5 ай бұрын
Aende kwao alaaaa,,,,
@GeniusThimoc5 ай бұрын
Ulitapeliwa kwa kutaka wewe kwani hujalazimishwa
@ZakayoMushi-wh9gy5 ай бұрын
Hakuna kitu hapa
@ThedoNdunguru5 ай бұрын
Sasa alipie hapo kuna huduma gani?na nyie watangazaji mmeona hiyo ndo deal?
@JosefuSwai5 ай бұрын
Mbona maneno kama haya ata mzee kakobe aluwahi kuzushiwa maneno kama haya sio geni
@ashurakodd15895 ай бұрын
Unasema tu napenda miujiza mbona usemi wachawi na wanafiki
INAMAANA MCHUNGAJI NDIYE ANAYE PANGILIA PESA AMBAZO WAUMINI WANASTAILI KUTOWA KAMA SADAKA AO NIIYARI YA MTU BINASFI ?
@K-go1qj5 ай бұрын
Hata yeye inatakiwa afungiwe wasimuonee kiboko pekee
@shabanimbega405 ай бұрын
Huyo anakudanganya ni muislam hajui lolote la ukristu. Serikali unataka ianze na yeye kwanza ijue alimjue vipi yule mcongo
@AishaHussein-en3wf5 ай бұрын
Mimi naomba kuuliza,baazi za ospitali kumuona dctor ni hela,jee yeye anachaji hela sawa,jee amekupigia sim uendr kanisa lake?jee amekupora?jee makanisa mengine,uyaoni,jee umesahau msemo wa mjini shule,nyinyi mmependa kumpa riziki yake mpeni ,angewapora kweli,mtu umeenda mwenyewe,ata ukiumwa ukipewa dawa kuna mawili,upone au usipone,
@barackbrysonramsey5 ай бұрын
Hosptal kule watu wamesomea ile ni taaluma. Todautisha uponyaji na tiba. Hosptal zinatoa huduba ya kimatibabu unatibiwa kutegemea na kile kilichokuleta.
@zanzibamjimpya175 ай бұрын
wewe naye kwenye kundi la watapeli na wewe umo selkari imeona na kuchukua hatua wewe unaleta ujinga tena mtu mwenyewe siyo mtanzania akafanyie kwao utapeli
@evamsuya88695 ай бұрын
Uko sahihi aisha
@ACLESSJABRINE5 ай бұрын
Unatumia busara kujibu kujibu maswali
@happymrema74875 ай бұрын
Huyu nae ni mtambik mizim sem anatumia biblia
@CharlesMisungwi-f8t5 ай бұрын
waumini hawalazimishi serikali iruhusumauaji yaraia wake ovyo kwa ajili yaramuli hao niwapigaramuli tu huyobwana aendekwao akafanye hayo huko.
@Davidmungongo-h7z5 ай бұрын
Mbona kuonana na wew unatakiwa utoe laki moja kama huna laki uwezi kukuona,nilikuja apo ili nikuone nikaambiwa mpk nitoe laki na ukiangalia sina kazi na nnachangamoto nyingi za kimaisha,kwa hiyo watu wasio na kipato kuonana na wew ni ngumu
@K-go1qj5 ай бұрын
Yeye mwenyewe anafundisha kinyume na Ukristo mambo ya kafara za kuchinja,kuuza vitu haramu sigara pombe kuponda sadaka kiduchu utadhani Mungu ana shida na sadaka zako. Hata ye nae ni kibaka wa injili kama wenzake
@happymrema74875 ай бұрын
Watumish weng wanachinja san ila wanatudangany sisi tutor sadak wakat wao wanaabud vitu tofaut huyu yupo Waz hakun cha mung akil kichwan mwak
@K-go1qj5 ай бұрын
@@happymrema7487 kufanikiwa ni kanuni na sio huo ushirikina hao ni washirikina waliojifichia makanisani
@newlightmoviesproduction35985 ай бұрын
Huyo unae muliza yupo sawa?? Amefukuzwa kwa sababu ni mkongo tu wakongo tumeshukizwa sana.
@muksinimbaruku12335 ай бұрын
Yule msenge mwenzio, fatilia mahubiri yake hana ata hekima. Anatamka neno chupi kwamba eti ata kama chupi inaonekana siwez kukwmbia
@JosephDamasimushy5 ай бұрын
Fact
@prosperitymaarifa33245 ай бұрын
Huyo mzee wa makafara.anajua nini kuhusu ukristo.arudi zake uislamu tu hana cha kutuambia
@KennedyNgusa5 ай бұрын
Huyu jamaa anatetea zambi itakuwa mwenzao
@MagrethMunisi-f2z5 ай бұрын
Ni mtapeli alinitapeli milioni tano na laki tano na ushaidi ninao.
@K-go1qj5 ай бұрын
Pumbavu kabisa maandiko uyajui mwenyewe Maandiko ndio kila kitu na sio hawa vibaka wa Imani
@prosperitymaarifa33245 ай бұрын
si umempelekea mwenyewe kama huna imani yeye angefanyaje..kiherehere chako
@MagrethMunisi-f2z5 ай бұрын
Read 1 john 3.24 verse 4 ndio utajua maana yake
@PeterMahona-zd3oz5 ай бұрын
Jpm wewe naenamasha sikuwelewi elewivile
@SeifJuma-yt1pk5 ай бұрын
Umenena
@happymrema74875 ай бұрын
Kuna mtu alitoa milio tisa
@LucyRichard-j8o5 ай бұрын
Hiyo millioni Tisa ulitoa wewe
@happymrema74875 ай бұрын
@@LucyRichard-j8o nyamaza
@shabanimbega405 ай бұрын
Huyo nae ni muislam Na muangalie kwenye paji la USO naye ni tapeli
@uwezotv53025 ай бұрын
We nae point yako Haina mshiko Kwan mkristo hawez badili din kua muislamu na akawa kiongoz wa dini .... Em tafakar kabla hujaongea cyo unaongea kujaza comment tu mlad na wew umechangia pumba tu
@KennedyNgusa5 ай бұрын
Anakwepesha
@sizyathom-qq5cx5 ай бұрын
Mutes wako nimuchawi
@zakariaathman90195 ай бұрын
Huyu jamaa anaswali angalia ana sijda alama ya wafuasi ya mtume
@AsiaDismas5 ай бұрын
Kila mtu anavyoamin ndivyo anavyoamini wewe mtangazaji unamaswali ya kizushi achaneni na mwamposa wetu a
@MaryNyaki-j6n5 ай бұрын
Mwamposa wa wawanawake tu au siyo
@TereziSamina5 ай бұрын
wacha hao watoe pesa kwa sabbu wanapenda kutangatanga njooni huku katoliki tumlilie maria,