Utacheka story za LEONARDO, alivyoanzisha msemo wa D mbili, kupata F hesabu, kufanya Hip Hop shuleni

  Рет қаралды 37,516

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 91
@aansjacksonskutty
@aansjacksonskutty 2 ай бұрын
#BigUp sana, Mh. Fredrick Bundala, aka#SkyWalker @skytanzania. Namkubali sana huyo mwehu (Leonardo), pamoja nawe, naye ameshajiunga miongoni mwa watch ninaotamani kukutana nao maishani mwangu.🙏 Mungu afanye wepesi, amen.
@HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI
@HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI 2 ай бұрын
Napenda sana matangazo ya Leonardo, very clever!! Hayaboi kutazama
@mcgb5725
@mcgb5725 2 ай бұрын
HESABU ziko nne Sky -,+,× na ÷ Haya Mengine ndio chanzo cha F. Kazi nzuri Sky #SNS FOREVER
@HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI
@HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI 2 ай бұрын
Hahaha
@MartinaMsimbe-qk8ug
@MartinaMsimbe-qk8ug 2 ай бұрын
❤ nimependa kipindi .mimi shabiki wa Leonard
@JastoLeleJnr
@JastoLeleJnr 2 ай бұрын
interview imenyooka....jamaa yuko smart sana upstairs 🔥🔥🔥🔥
@ReyzDon
@ReyzDon 2 ай бұрын
Ambao hatukupata F ya math tugonge like
@PendoPeter-rr4jk
@PendoPeter-rr4jk 2 ай бұрын
🤣wote hao hamkupata f
@Frakisports
@Frakisports 2 ай бұрын
Asante Kwa mahojiano mazuri na video nzuri zinaOnekana kwenye TV hapo nyuma
@esterkimath1214
@esterkimath1214 2 ай бұрын
Weee huyu kaka ni kichwa elimu ya biashara kwa watoto na jinsi ya kutumia pesa Tanzania tutakuwa na mabillionea wengi mmno🥰🥰
@KingoFarm1
@KingoFarm1 2 ай бұрын
D mbili o' leval inamtoa mwanafunzi kwenye zero
@eddiemohamed9003
@eddiemohamed9003 Ай бұрын
BIG UP🔥🔥🔥💯👑👑💪👊
@sumayaishengoma4543
@sumayaishengoma4543 2 ай бұрын
Duhh vipaji kama vyote 👏👏👏👏👏
@hustlersmart7917
@hustlersmart7917 2 ай бұрын
Daaah from zero to hero keep pushing Skywalker ❤❤
@edwardleonard5793
@edwardleonard5793 2 ай бұрын
Bonge la interview. Sky na mgeni wako wote mmetutendea haki watazamaji . Kazi nzuri sana
@kasangagregory5747
@kasangagregory5747 2 ай бұрын
video iko very clear hd wako poa sana hongera sana leonary na sky kwa kipindi kizuri
@dunstunnchimbi7994
@dunstunnchimbi7994 2 ай бұрын
Brother Sky huna tofauti na mimi kabisa kwenye hesabu. Mfanano wetu 1. Kuwahi kutoka kwenye chumba cha mtihani wa mwisho kidato cha nne. Mi nkaandika jina tu nkafanya nyepesi ili isionekane nmemdharau aliyetunga. Ikabidi nitumie dakika kumi tu nkaenda kusoma kiswahili. Maana ndo mtihani uliofuata. Falsafa Niliamini nikipata 10 ni F nkipata 0 ni F hakukuwa na haja ya kupoteza muda. 2. Kukuta herufi zimechanganyika na namba. Hiyo nlikuwa staki kabisa kuiona lakini ndo wanaita hisabati. Sijui ntamuambia nini mwanangu kumhamasisha apende hesabu hali ya kuwa baba ake alikuwa anapata Single digit 😂😂😂
@Gersah
@Gersah 2 ай бұрын
Mix number na heruf😂😂😂
@derickdboy2207
@derickdboy2207 2 ай бұрын
Noma Sana
@BabuGga-td3mg
@BabuGga-td3mg 2 ай бұрын
Kazi nzuri, naona na ubora wa Studio unapanda viwango. #Sns
@AManCalledGodfrey
@AManCalledGodfrey Ай бұрын
Eliasa , au tulikua tunamuita albedo, form six 2017 galaxy(galanos). Wagalatia wameelewa tyr.
@babel4862
@babel4862 2 ай бұрын
The quality is damn
@MohamediKishoma-ec1sj
@MohamediKishoma-ec1sj 2 ай бұрын
nawakumbusha tu D ya advance inaanzia 50
@sultanrichardson5487
@sultanrichardson5487 2 ай бұрын
😂😂😂 sahih, wakumbushe nadhan wanafikil labda ni 30 pia
@johbinm2b218
@johbinm2b218 2 ай бұрын
Hahahaha hawajui, 😂 D advance ni noma
@bakarimwanjano730
@bakarimwanjano730 2 ай бұрын
Kweli kbs mm msingi niliielewa sana hesabu, Sekondari walimu wakawa wananikatisha tamaa kwenye mitihani yao sikupata hada D ila mtihani wa mwisho nimepata D
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 2 ай бұрын
Ila Leonard
@Sostere98
@Sostere98 2 ай бұрын
Umenikumbusha teacher Elias alkua anakuja kufundisha pia shuleni kwetu Macechu
@emmanuelburetah4579
@emmanuelburetah4579 2 ай бұрын
Phy-D chem-D na pure math-F=Div-3 ya 15 hiyo ni failure, atleast DDE= Div-3 ya 13 huo ni ufaulu wa mwisho kwa adv kwenda uni
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 2 ай бұрын
itakuwa ilikuwa bahat yake
@kefrenbasondole8599
@kefrenbasondole8599 2 ай бұрын
Weweeee form six ya 2017 ufaulu ulikua D mbili Na D anayoizungumzia ni 50-59 Alifaulu vizuri tu
@mwankunjatyson
@mwankunjatyson 2 ай бұрын
Haku feli bhn hata tuliomaliza 2020 kwa D mbili na F tumehitimu degree
@anojozeeTV
@anojozeeTV 2 ай бұрын
Hajafel ana şifa za kuchukua degree sababu ya D 2 Mimi nilipata D E E na nikakosa şifa hio 🥺
@emmanuelburetah4579
@emmanuelburetah4579 2 ай бұрын
@@anojozeeTV kigezo Cha kujoin uni kwa tz 1. ni div-3 ya 13, 2. principal pass mbili kweny comb yaani D mbili, hivyo ukipat DEE una 13 lakini kigezo Cha pili ni principal pass hazijabalanc, minimum requirements kwa tz ni point 4, wewe hapo. Una point 3 kwa tz uni hazikupokei
@MohamediKishoma-ec1sj
@MohamediKishoma-ec1sj 2 ай бұрын
nawakumbusha tu D ya advance inaanzia 50% mpaka 59%
@kevicristian2738
@kevicristian2738 2 ай бұрын
Mbili D hawawezi kuelewa 😂
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 2 ай бұрын
Sky nimependa studio yko
@AlbertKombe-u8b
@AlbertKombe-u8b 2 ай бұрын
Big up sky 🎉
@emtonboyofficial1134
@emtonboyofficial1134 2 ай бұрын
Leo kama jamaa hana mood ivi
@SuperkarimBenzema-o1h
@SuperkarimBenzema-o1h 2 ай бұрын
Leo mbn mwil wko hauwendan na uvivu....by the way mm shabik yko from zenj
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
Leonardo ndie mrisi sahii wa clam vevo kwenye uchekeshaji anajua sana a.k.a kibumadeni🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Lastbornecadet
@Lastbornecadet 2 ай бұрын
Lugha ya ushabiki iyo ,ila kihualisia clam hamfikii uyu jamaa kuchekesha
@AllyBabu-kr6lg
@AllyBabu-kr6lg 2 ай бұрын
@@Lastbornecadet acha uchawa alafu kwenye uchekeshaji clam kashatoka uko
@GloryKihongosi
@GloryKihongosi Ай бұрын
Yupo wapi sasa😂😂😂😂
@HajiHaji-v9f
@HajiHaji-v9f 2 ай бұрын
Jamaa atafika mbal ana adabu
@YothamuMadinda
@YothamuMadinda 2 ай бұрын
Naomba mnijuzee mnao fatilia GPS now Msemo upi una bamba D mbili Na Aaaah
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 2 ай бұрын
Shenzii
@atenionesmo_A10
@atenionesmo_A10 2 ай бұрын
​@@CharifaRachidihata huu unatamba😅😅
@Excellent1Michael
@Excellent1Michael 2 ай бұрын
Kwa ambao hawajafika advance, D inaanzia 50. (50-59) 😅 Wengi wanadhani ni kama D ya o level ile ya 20 😂😂. Sio mchezo kupata 50 ya physics, au maths advance
@empafricatv
@empafricatv 2 ай бұрын
Quality Ya Picha nikali SANA
@joh__shite83
@joh__shite83 2 ай бұрын
Makofi kwa eliyasa.....HESABU ALIKUWA ANAFUNDISHAA NAN AU TEACHER DOTTO😅😅😅😅
@AliMwingwa
@AliMwingwa 2 ай бұрын
We. Sky kama mimi nilichukua dakika kumi mtihani wa mase
@jaluumtanke
@jaluumtanke 2 ай бұрын
Sasa hapa Brother Fredrick Sky Walker ,nikueleweaje ,wewe ulihojiwa na Hares Kapiga kwenye chanel yako mwenyewe ukasema ulihitimu form 6 ndo ukarudi kutangaza Radio Victoria Musoma ,inakuaje Leo haujui vigezo vya ufalu huko Advance ? au ulikua unatudanganya mashabiki na Hares Kapiga aliekua ana kuhoji ?
@dahero160
@dahero160 2 ай бұрын
Galanos sec gonga like zenu
@agnessnkandi5229
@agnessnkandi5229 2 ай бұрын
Iv kumbe 2016 ni zamani ee!!
@salimmwabundu958
@salimmwabundu958 2 ай бұрын
Kaka Sky Ur story ya kuktka exam room mapema n mm mtupu
@NyantoryMarwa
@NyantoryMarwa Ай бұрын
Nisaidieni maana ya d mbili
@richardmoses5891
@richardmoses5891 2 ай бұрын
Tuna joint the doti D mbilii
@golebenson4597
@golebenson4597 2 ай бұрын
Nilichugundua waliofeli math wengi wao wanatala zakuwasaidia kwenye maisha
@shabanibussara8454
@shabanibussara8454 2 ай бұрын
Ringo
@shoshifataki5825
@shoshifataki5825 2 ай бұрын
❤❤❤❤
@feresianlugera-it8vh
@feresianlugera-it8vh 2 ай бұрын
Eti wakilala wanaota Kingereza 😂 Ila picha kali sana congratulation SNS🎉🎉
@AdernahNgasah
@AdernahNgasah 2 ай бұрын
🎉
@allanyusto
@allanyusto 2 ай бұрын
Ndo uzuri wa kwenda skul
@kadito-kenya
@kadito-kenya 2 ай бұрын
Kwani (D) mbili maana yake si ni Dude Dufu ama😂
@humphreyfungo7669
@humphreyfungo7669 2 ай бұрын
Dude dufu ndio nini na wewe?
@adolfmathew9698
@adolfmathew9698 2 ай бұрын
Mathematics sio somo ni Vita. sasa mimi sipendi vita.
@japhetlust5050
@japhetlust5050 2 ай бұрын
😂😂😂
@dvjmiloow2955
@dvjmiloow2955 2 ай бұрын
Dah! Etii camp lazo 😅
@SaraphinaKidoti-qe7gi
@SaraphinaKidoti-qe7gi 2 ай бұрын
Aaah kudadek huyu jamaa km mzungu
@ipyanasimon9565
@ipyanasimon9565 2 ай бұрын
Bila D mbili hauwezi elewa hapo wakizungumzia x na y
@seamlesshunt3869
@seamlesshunt3869 2 ай бұрын
Sky bonge la company
@NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc
@NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc 2 ай бұрын
Yani 😂😂😂huo leonardo bn anambo
@israeluronu9958
@israeluronu9958 2 ай бұрын
Leonardo umeanza kanenepa broo😅😅
@elgringogringo5238
@elgringogringo5238 2 ай бұрын
Mi kazane D inamanisha diploma mbili😂😂
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 2 ай бұрын
mi nilikuwa wa 1 shule
@LoveAron
@LoveAron 2 ай бұрын
Muongo 😂😂😂
@francomwacha2262
@francomwacha2262 2 ай бұрын
Kumbe kupata D Ya esabu nilifaulu😂
@devothasimbi6495
@devothasimbi6495 2 ай бұрын
Sio esabu ni hesabu
@GloryKihongosi
@GloryKihongosi Ай бұрын
Kashafeli😂😂😂😂😂😂
@bahatiaamani9320
@bahatiaamani9320 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂Tatanishi uchonganishi😂😂
@suleimanbalemba3348
@suleimanbalemba3348 2 ай бұрын
Kitu Algebra calculator
@paulsajik
@paulsajik 2 ай бұрын
Hawawez kuelewa kma, hawana, D2😅
@HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI
@HAMSTERCOMBATCYPHERDECODINGDAI 2 ай бұрын
Sio kila anayefail hajui, mara nyingine ni hawajatoa tu pale ambapo wewe unapajua
@manjosetembo
@manjosetembo 2 ай бұрын
Kusoma galanosi si mchezo
@malkavoice2570
@malkavoice2570 2 ай бұрын
D mbili ni four ya 33 fail
@BonifaceLukoo-gv9yu
@BonifaceLukoo-gv9yu Ай бұрын
We unaehoji unaongea san, mpe nafasi huyo tumsikie!
"Hizi hesabu mnaona nazidisha mimi nilipata F ya hisabati"
33:56
BBC News Swahili
Рет қаралды 186 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 46 МЛН
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3 МЛН
Coy Mzungu, Ndaro, Said na Leonardo hawa hapa, ni lazima UCHEKE TU!
1:01:33
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 76 М.
Ndaro na Leonardo Waoneshana Ubabe Jukwaani, Ona hapa nani mkali?
21:33
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 104 М.
NDARO NA LEONARDO WALIVO KIWASHA CHEKA TU
9:21
Ndaro Tz
Рет қаралды 302 М.
规则,在门里生存,出来~死亡
00:33
落魄的王子
Рет қаралды 32 МЛН