MAPYA , SIRI YAFICHUKA KESI YA MZEE MAGOMA SIO HALALI KASHTAKI BODI YA WADHAMINI ISIYOKUWEPO

  Рет қаралды 4,537

MwanaHALISI TV

MwanaHALISI TV

Күн бұрын

🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...

Пікірлер: 9
@JumaSaid-v2c
@JumaSaid-v2c 2 ай бұрын
Kumbe manaleta migogoro kwaajiri yamatumboyenu kwahali hiyo Tanzania bd sana
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 ай бұрын
Ina maana Magoma alichelewa kushtaki/kulalamika basi akojoe akalale
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 2 ай бұрын
Wewe ongea mambo muhimu mzee magoma upo fiti ana akili timamu kila mtu anamuelewa uzee unatoka wapi umri ni namba tu kitu muhimu ni points
@matiankomola2391
@matiankomola2391 2 ай бұрын
Nyie ndiyo Wachochezi! Kama wewe humwoni mzee, Wapo wanaomwona ni mzee! Ahsante!
@KasukuluMwenbungu
@KasukuluMwenbungu 2 ай бұрын
Magoma ana akilitimamu
@rehemamkumba9233
@rehemamkumba9233 2 ай бұрын
Magoma kawashika pabaya😂 yanga haina bodi
@Robust78
@Robust78 2 ай бұрын
Inamaana kwa maelezo yooote hayo bado hujaelewa? Ndiyo maana mzungumzaji ametamka kwamba wasomi tuu ndiyo wanaweza kuzungumzia jambo hili. Wasiokuwa wasomi wakae kimya wasubiri tu matokeo.
@juliusmsangi6849
@juliusmsangi6849 2 ай бұрын
Tanu ni tofauti na CCM! Huna hoja! ​@@Robust78
@ramadhanimrungu5806
@ramadhanimrungu5806 2 ай бұрын
Nyinyi umeni kichwa uyo magima wenu mtamkimbia ana lolote njaa inamsumbua
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 9 МЛН
How I Turned a Lolipop Into A New One 🤯🍭
00:19
Wian
Рет қаралды 10 МЛН
小丑家的感情危机!#小丑#天使#家庭
00:15
家庭搞笑日记
Рет қаралды 31 МЛН
Jonesboro Mayoral Debate replay - hour 2
59:39
K8 News
Рет қаралды 10
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,9 МЛН