ELON MUSK: TAJIRI ANAYEOGOPWA NA RAIS PUTIN, NI MBABE WA TEKNOLOJIA DUNIANI..

  Рет қаралды 233,344

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер
@alfredcharles8029
@alfredcharles8029 2 жыл бұрын
Hongera sana Elon Musk mwenyezi Mungu akupe maisha marefu tukaifaidi dhima yako juu ya kutusaidia waulimwengu huduma ya kimtandao buree!
@blackothman7332
@blackothman7332 2 жыл бұрын
Dah mnatudanganya sana yan urusi imuogope elon
@cdeegwau551
@cdeegwau551 2 жыл бұрын
😂
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 2 жыл бұрын
Naomba no zake Elon Musk
@makoyenyerere6521
@makoyenyerere6521 2 жыл бұрын
Hongera Sana mtu wa Mungu 🙏 kwa kupata maarifa makubwa 🤝💯💯
@kuntakinte7339
@kuntakinte7339 2 жыл бұрын
BoRA HATA HUU MUDA UNGEKUA HATA UNA MPETI PETI JAMAA ANGEKUSHUKURU KWELI.🙏🙏🙏🙏
@jeremiasimon5913
@jeremiasimon5913 2 жыл бұрын
Kama ana uwezo wakuzua kituo cha anga kisionekane kwann ameshindwa kuzuia ndege yake iliwe tracked na yule mtoto wa miaka 16
@maghanighanichali9519
@maghanighanichali9519 2 жыл бұрын
Dada kajipange usituchanganye hapa.
@ivokombamtumishiiec3263
@ivokombamtumishiiec3263 Жыл бұрын
Amn
@Isack-b9k
@Isack-b9k 24 күн бұрын
Eleza kadanganya nn
@nurdiniuledi48
@nurdiniuledi48 2 жыл бұрын
Habari zenu ninaegamia upande mmoja nyinyi global ni vibaraka wa watu WA magharibi.
@petermwacha9909
@petermwacha9909 2 жыл бұрын
Kabisa
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 2 жыл бұрын
Bora nawe umeongea,hawajamuona marekan wamemuona mrusi tu,Ukraine kwa sasa anakula kichapo huko habari hawatoi wanatafuta habari mbaya za mrusi ndo watoe,huenda hawa si waafrika halisi,hawana uchungu na gadaf hawa.
@allyhuyu1892
@allyhuyu1892 2 жыл бұрын
Hizi ni kelele za chura daima hazimzuii tembo kunywa maji kichapo alichokipata Ukraine marekani hatotia mguu kwani kiundani hakunaga vita ambayo marekani kapigana akashinda atatiaje mgu kwa mbabe wa vita? Tunajua vita ya marekani sikuzote ni propaganda kama hii iliyozungumzwa na huyu mdada hapa wakati urusi wao hawana hilo bali wanakupelekea moto wa kibabe tu ewe mwenyezi mungu wape nguvu warusi na ushindi ili jeuri ya waizrail iishe
@ahmadbadawi9664
@ahmadbadawi9664 2 жыл бұрын
@@allyhuyu1892 aamiin
@mrjohn4446
@mrjohn4446 2 жыл бұрын
Umeongea kweli maana ivi kwa akili ya kawaida Putin amuogope Elon Musk's kwa kipi anacho chakumtisha, global wanaandika habari za hovyo sanaa bila utafiti wakutosha, inabidi waache kuandika kwajili ya kujaza video KZbin waandike facts za kweli,
@kiberapress5091
@kiberapress5091 2 жыл бұрын
Nashukuru.kiberapress from kenya
@abduljuma7807
@abduljuma7807 2 ай бұрын
Wewe nimuongo hujui chochote matajiri wapo Uarabuni hawajisifu achauongo wewe imezaliwa juzi tu
@meckcassius3983
@meckcassius3983 2 жыл бұрын
Hapa umetudanganya lakin maana urusi ndio nchi ya kwanza kupeleka satellite angani
@eliyayesu2743
@eliyayesu2743 2 жыл бұрын
Nimecheka comment yako ila kweli ametudanganya huyu sister.
@mohdothman5816
@mohdothman5816 2 жыл бұрын
Mcklze vzur nawe
@suleimankhamis7449
@suleimankhamis7449 2 жыл бұрын
Wewe umesikiliza tu lkn hukufahamu
@KizitoAnthony-tv3fl
@KizitoAnthony-tv3fl 7 ай бұрын
lakin marekan ndy nchi yenye satellite nying angan
@christophermacharia1587
@christophermacharia1587 2 жыл бұрын
Golden skilled @appreciation 2 U
@adamhashayro3133
@adamhashayro3133 2 жыл бұрын
Hongera sana mh
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 2 жыл бұрын
Nyie Jidanganyeni tu Kwa Putin Alafu Ndio Mtajua Hamjui
@OmariChanja
@OmariChanja 3 ай бұрын
Kwa akili zako wewe unafikiri Mrusi ana nini ambacho Marekani hana! Yaani warusi wa buza ni hatari kweli, walivyo kariri mrusi, mrusi basi huwezi kuwaambia kitu
@happysamweli119
@happysamweli119 2 жыл бұрын
He is a genius and not a confused person
@muhamadimsangi173
@muhamadimsangi173 2 жыл бұрын
Mm siamini Elon ndie mwenye akili zaidi duniani .
@suleimaniamadi1441
@suleimaniamadi1441 2 жыл бұрын
Kwli hatamm siamin
@alhajijeremiah5834
@alhajijeremiah5834 2 жыл бұрын
Mbona wakati mji wa mariapoul ulivyotekwa mlipotea hewani mmerudi Tena!
@Joybass2
@Joybass2 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@neemacurthbert
@neemacurthbert Жыл бұрын
Kwani sasaiv umeludishwa au bado tuwatume jwtz wakaukomboe 😂😂😂
@benimlisa6056
@benimlisa6056 2 жыл бұрын
Ulivyoanza tu kuelezea nikajua hamna kitu...
@deus8629
@deus8629 2 жыл бұрын
Ni kweli... umejitaidi kidogo
@salimmoha7962
@salimmoha7962 16 күн бұрын
Ameshindwa na Nabii suleiman
@ericksagara1719
@ericksagara1719 2 жыл бұрын
Nyie ni vibaraka tu. Kwa nini aogopwe na Urusi tu? Na ni kwa nini asiogopwe zaidi na wanauza data kote Duniani. Mnazingua
@willibroadwilliam6798
@willibroadwilliam6798 Жыл бұрын
Raa nakubari story iko sawa
@sun7282
@sun7282 2 жыл бұрын
Kafanyeni utafiti mrusi anamiliki nini na nini kwenye technology alafu ndy mtowe hiyo habar YAANI HII HABARI NI SAWA NA VODACOM AIRTEL TIGO HALOTEL WAJITOKEZE NA KUSEMA WAO NDIYO WANAMITAMBO MIKUBWA HAPA TZ nadhani mwenye akili atakuwa ashanielewa. Russia ni mmiliki wa hizo technology zote
@apengeslyamuya7788
@apengeslyamuya7788 2 жыл бұрын
Elon ni shughuli nyingine kwa sasa kwenye technology, amefanya mageuzi makubwa kwenye masuala ya anga za juu, kuliko unavyoweza kufikiri.
@sun7282
@sun7282 2 жыл бұрын
@@apengeslyamuya7788 nikweli unalosema ila anaemiliki hizo technology za anga na kila kitu kibali anatoa Russia ndy maana sometimes Americans wanakuwa wapole sana
@apengeslyamuya7788
@apengeslyamuya7788 2 жыл бұрын
@@sun7282 Kwa sasa Space Race imekuwa si kati ya serikali ya Marekani na ile ya Urusi tena bali imeingiliwa na sekta binafsi hasa kwa nchi ya Marekani ambako shirika la anga la nchi hiyo NASA ilimetoa kibali kwa mabilionea akiwemo Elon Musk anaemiliki SpaceX na matokeo yake yamekuwa ya haraka sana. Kwa mfano leo SpaceX wanatengeneza rocket engine zao wenyewe, pia wamekuja na reusable space shuttle kitu ambacho Urusi hakukitarajia hata kidogo.
@sun7282
@sun7282 2 жыл бұрын
@@apengeslyamuya7788 nimependa sana Umenijibu kwa fact 👌 💯
@alextanzania
@alextanzania 2 жыл бұрын
@@sun7282 tbt
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
falcon ndio Mimi Wacha presher Elon musk's
@roselusenaka7548
@roselusenaka7548 2 жыл бұрын
Ujuzi wa kuzaliwa ni kutoka kwa Mungu Bali si kupiga na kuumiza watu waame .
@jumakitutu4062
@jumakitutu4062 2 жыл бұрын
Alhamduillh 💯💥🤝🤝
@musakihama7205
@musakihama7205 2 жыл бұрын
Tunapambana kubishana ilhal hatujui kitu chochote kuhusu habari za anga na historia pia.ukichunguza sana huenda hata jina unaloitwa ni deli.
@Joybass2
@Joybass2 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@alfonceulaya5765
@alfonceulaya5765 2 жыл бұрын
Ajali
@mitterrandsebaziga3187
@mitterrandsebaziga3187 7 ай бұрын
Dah , acha iyo upuuzi. Hawana uwoga na wako tayari. Kikubwa ni sababu hawataki vita .
@hezronsimon783
@hezronsimon783 4 ай бұрын
Huyu jamaa ni hatar sana
@raphaelshan4905
@raphaelshan4905 2 жыл бұрын
Dada umeongea ukweli kabisa nashangaa cjui kwanini watu wanakushambulia, tatizo wametawaliwa sana na siasa za ujamaa za urusi ukweli hawataki kuusikia kabisa.
@furahafrank8267
@furahafrank8267 2 жыл бұрын
Ni ukweli kati ya watu Putin hapendi Elon musk ni wakwanza.
@KizitoAnthony-tv3fl
@KizitoAnthony-tv3fl 7 ай бұрын
niko pamoja na wew watu weng akil zao ni finyu wanasikiliza sana propaganda
@mohamedrajab6652
@mohamedrajab6652 2 жыл бұрын
Ndugu yetu hapo umetudanganya kisayansi ya anga warusi ndiyo watu wa kwanza,kwenda mwezini mrusi huwa anaficha teknolojia yake,kafanye tena utafiti uliokamilika.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Pia ukumbuke Marekani ndiyo wakwanza kugundua nyukilia Tena zamani Sana hata kabla ya Putin hajazaliwa 🤣🤣🤣
@damianlyimo8402
@damianlyimo8402 2 жыл бұрын
Ngumu kuwalinganisha Urusi technology zote unazozijua marekani wanazo na wanazijua isipokuwa marekani Wana watu Wenye Utulivu na weledi hawaropoki ovyo kama Nchi nyingine zote Duniani.
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
@@damianlyimo8402 kabisa watu hawajui na wapo kishabiki tu na siku zote tumewazoa hasa watu wa Iman flan hupenda kuiona marekani Kama ka inchi dhaifu hivi na wakisikia marekani imeingia mzozo na inchi flan utasikia wakisema marekani watapigwa vibaya 😂😂😂 yaani wao hawataki ukweli kuwa marekani ndiyo Kaka wa dunia ila wanapenda uongo kwa sababu ya itikadi zao flani.
@janusqm12
@janusqm12 2 жыл бұрын
Historical Log # Launch Name Country Result Details 1 1960 Korabl 4 USSR (flyby) Failure Didn't reach Earth orbit 2 1960 Korabl 5 USSR (flyby) Failure Didn't reach Earth orbit 3 1962 Korabl 11 USSR (flyby) Failure Earth orbit only; spacecraft broke apart 4 1962 Mars 1 USSR (flyby) Failure Radio Failed 5 1962 Korabl 13 USSR (flyby) Failure Earth orbit only; spacecraft broke apart 6 1964 Mariner 3 US (flyby) Failure Shroud failed to jettison 7 1964 Mariner 4 US (flyby) Success Returned 21 images 8 1964 Zond 2 USSR (flyby) Failure Radio failed 9 1969 Mars 1969A USSR Failure Launch vehicle failure 10 1969 Mars 1969B USSR Failure Launch vehicle failure 11 1969 Mariner 6 US (flyby) Success Returned 75 images 12 1969 Mariner 7 US (flyby) Success Returned 126 images 13 1971 Mariner 8 US Failure Launch failure 14 1971 Kosmos 419 USSR Failure Achieved Earth orbit only 15 1971 Mars 2 Orbiter/Lander USSR Failure Orbiter arrived, but sent no useful data; lander destroyed 16 1971 Mars 3 Orbiter/Lander USSR Success/Failure Orbiter obtained approximately 8 months of data and lander landed safely, but only 20 seconds of data returned 17 1971 Mariner 9 US Success Returned 7,329 images 18 1973 Mars 4 USSR Failure Flew past Mars 19 1973 Mars 5 USSR Success Returned 60 images; only lasted 9 days 20 1973 Mars 6 Orbiter/Lander USSR Success/Failure Occultation experiment produced data and Lander failure on descent 21 1973 Mars 7 Lander USSR Failure Missed planet; now in solar orbit. 22 1975 Viking 1 Orbiter/Lander US Success Orbiter returned over 36,000 images; lander returned first image from the surface of Mars and conducted soil experiments 23 1975 Viking 2 Orbiter/Lander US Success Returned 16,000 images and extensive atmospheric data and soil experiments 24 1988 Phobos 1 Orbiter USSR Failure Lost en route to Mars 25 1988 Phobos 2 Orbiter/Lander USSR Failure Lost near Phobos 26 1992 Mars Observer US Failure Lost prior to Mars arrival 27 1996 Mars Global Surveyor US Success Mapped Mars and its topography; studied indications of Mars’ wetter past 28 1996 Mars 96 Russia Failure Launch vehicle failure 29 1996 Mars Pathfinder US Success Technology experiment lasting 5 times longer than warranty 30 1998 Nozomi Japan Failure No orbit insertion; fuel problems 31 1998 Mars Climate Orbiter US Failure Lost on arrival 32 1999 Mars Polar Lander US Failure Lost on arrival 33 1999 Deep Space 2 Probes (2) US Failure Lost on arrival (carried on Mars Polar Lander) 34 2001 Mars Odyssey US Success High resolution images of Mars 35 2003 Mars Express Orbiter/Beagle 2 Lander ESA Success/Failure Orbiter imaging Mars in detail; lander appears to have landed intact but didn’t communicate with Earth 36 2003 Mars Exploration Rover - Spirit US Success Operated for over 6 years on Mars, long past design life 37 2003 Mars Exploration Rover - Opportunity US Success Operated for nearly 15 years, roving a record 28 miles (45 km) 38 2005 Mars Reconnaissance Orbiter US Success Studying Mars in detail; has returned over 400 terabits of data (more than all other Mars missions combined) 39 2007 Phoenix Mars Lander US Success Returned more than 25 gigabits of data from its studies of Mars’ north polar region 40 2011 Mars Science Laboratory US Success Exploring Mars' habitability 41 2011 Phobos-Grunt/Yinghuo-1 Russia/China Failure Stranded in Earth orbit 42 2013 Mars Atmosphere and Volatile Evolution US Success Studying the Martian atmosphere 43 2013 Mars Orbiter Mission (MOM) India Success Develop interplanetary technologies and explore Mars' surface features, mineralogy and atmosphere. 44 2016 ExoMars Orbiter/Schiaparelli EDL Demo Lander ESA/Russia Success/Failure Orbiter studying Martian atmosphere and EDL demo lander lost on arrival 45 2018 Mars InSight Lander US Success Measuring “marsquakes” and studying the planet’s interior 46 2020 Hope Orbiter UAE Success Studying the Martian atmosphere 47 2020 Tianwen-1 Orbiter/Zhurong Rover China Success Orbiter arrived in Feb. 2021; released lander for successful touchdown and rover deployment in May 2021 48 2020 Mars 2020 Perseverance Rover US Success Searching for signs of ancient life and collecting samples for future return to Earth URUSI HAWAKUFANIKIWA, MAREKANI NDIYO WA KWANZA KUFANIKIWA
@sundaygeorge2200
@sundaygeorge2200 2 жыл бұрын
Boss wangu sio kweli tofautisha kwenda Anga za mbali (Nje ya DUNIA) na kwenda Mwezini,Urusi wa kwanza kurusha mtu nje ya Dunia Marekano wa kwanza kwenda Mwezini.
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
Yaan dada uyo Alone Mask anapatikana kwa namba ya voda dada?😂😂🙌🙌🙌
@kasabukuanthony6208
@kasabukuanthony6208 2 жыл бұрын
Hutu ni tuuongo
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@kasabukuanthony6208 noma aisee
@geoafricaadventure211
@geoafricaadventure211 2 жыл бұрын
Nikajua ni labda ni wenge langu.😂 ametushika vibaya huyu s Dada😂
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 жыл бұрын
@@geoafricaadventure211 kitachowapunguzia watazamaji Global hili la kutoa habari mwanzo inamteka mtu anahisi mfano wa ukweli badae wanaingiza masihara hilo litawakost sana
@chumakunaniyusuph3858
@chumakunaniyusuph3858 2 жыл бұрын
C kweli dada
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Awamuogopi Yeye Mwenyewe Anaogopa Kufa Pia Kupoteza Sifa Zote Anazozijenga Kwenye Dunia Ya Mungu
@hassanmohammed3421
@hassanmohammed3421 2 жыл бұрын
Vip ELON MUSK anaweza kurudisha roho ya babu yangu
@ananiamkasu8847
@ananiamkasu8847 2 жыл бұрын
Kumbe ndie anaewapa jeuri jeshi la Marekani.
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 2 жыл бұрын
Marekani ndio namba moja kwa technology
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro 2 жыл бұрын
Putin doesn't fear anybody
@pastorgodsonjohn8562
@pastorgodsonjohn8562 2 жыл бұрын
Who is he Stop stupidity to think that putin is everything
@almachnestor8955
@almachnestor8955 2 жыл бұрын
Putin anatandika wezi wa mali za afrika mabeberu Marekani na vibaraka wake, Putin anachukia uonevu wa Marekani kwa mataifa mengine. Marekani na vibaraka wake ni wajuzi wa propaganda wakitumia vyombo vyao vya magharibi kutaka watu wote duniani tuamini wanachotaka wao na wanatoa habari wanazotaka wao upate na kuniamini, nadhani nanyi ni vibaraka wao. Wacha Putin hawanyooshe.
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 2 жыл бұрын
Usijidanganye urusi anapambana kutetea maslahi yake akuna taifa la watu weupe wanaowaza kutetea mtu mweusi urusi na Marekani ni mafahari wawili wanapigania masilahi yao tu
@almachnestor8955
@almachnestor8955 2 жыл бұрын
@@kisangageorgethomasi2830 Naamini kile ambacho moyo wangu unaniambia, sio kile wengine wanasema. Urusi kamwe hajawai kupora raslimali zetu afrika wala kuchochea migogoro afrika kwa maslahi yake ni Marekani na vibaraka wake ndio waporaji na chanzo cha migogoro mingi afrika na duniani kote, ni sahihi Urusi kwa Ukraine anafanya oparesheni kulinda maslahi yake kwani Ukraine ni kichaka cha Marekani na vibaraka wake wanao muwinda Urusi, wacha hawanyooshe.
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 2 жыл бұрын
@@almachnestor8955 vita yao aina maslahi kwa Afrika wapambane wasipambane Afrika itabaki kama ilivyo
@almachnestor8955
@almachnestor8955 2 жыл бұрын
@@kisangageorgethomasi2830 Natambua hilo kwani wakati Urusi na Ukraine wakipigana, wasimamizi wa mataifa yetu ya afrika wanapishana angani kwenda kutembeza bakuli kwa wazungu, ujinga wa wasimamizi wa nchi yetu ni utajiri wa wazungu. Ila mimi nafurahi Putin anavyo wanyoosha.
@kisangageorgethomasi2830
@kisangageorgethomasi2830 2 жыл бұрын
@@almachnestor8955 ni kwa faida yake sio Afrika
@malimusmollel2176
@malimusmollel2176 2 жыл бұрын
Naomba she africa
@kitaaofficial4119
@kitaaofficial4119 7 ай бұрын
Utafiti wako ni 2% tu, Utajiri wa Elon Musk kaupata kupitia Cryptocurrency.. na Kuendeleza Maazimio yake ya AI technology
@stevenmahinda657
@stevenmahinda657 7 ай бұрын
Hii utakua umeitafsiri makala za BBC, CNN na media zingine za magharibi
@stephanomoses7694
@stephanomoses7694 2 жыл бұрын
😀😀kupasua matofali kwa kichwa. Tz
@jitathminitv3429
@jitathminitv3429 2 жыл бұрын
So kweli
@apengeslyamuya7788
@apengeslyamuya7788 2 жыл бұрын
Ukweli ni upi, jaribu kufikiri kwa kutumia kichwa na sio kiungo kingine.
@salehkhamis-ob8ln
@salehkhamis-ob8ln 7 ай бұрын
Acheni uongo warusi mpaka leo bado wanaongoza kwa Sayansi ya anga
@Daidizz01chinga
@Daidizz01chinga 7 ай бұрын
Nyiye jidanga nyeni lakini Africa tume amka ushoga marufuku kwetu África
@michaelsiame91
@michaelsiame91 2 жыл бұрын
NEC one
@yasiniyamamoto8174
@yasiniyamamoto8174 2 жыл бұрын
Marekani unaweza kupigwa kwa sekunde moja.
@wampukamackdonald557
@wampukamackdonald557 2 жыл бұрын
Huyo Ni mpuuzi tu Putin, rais wake mwenyew anahaha itakuwa raia mmoja kwa Putin. Putin hawez ata kupoteza. Muda wake na upuuz wa mtengeneza gari, wakati anakaa meza moja na watengeneza nuclear. 💥
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 2 жыл бұрын
Umeona eee hahahaha
@neemacurthbert
@neemacurthbert Жыл бұрын
Wapuuzi sana nyie😂😂
@Jumakhamismohd
@Jumakhamismohd Ай бұрын
your originated from Africa use your knowledge and your money to rise Africa is the Respect in the World don't be donkey be confident 😊
@henrypambisa5483
@henrypambisa5483 2 жыл бұрын
Wewe muongo sana hii leo USA imeweka dollar billion 10 kwa kwa atayewapata wadukuwaji 6 wa kirusi baada ya kuduguriwa na wanasanyasi wa Urusi
@fidelismwakanyamale6787
@fidelismwakanyamale6787 2 жыл бұрын
Sisi tunao soma sayansi tuna jua
@alexmwanioti6390
@alexmwanioti6390 2 жыл бұрын
Nhuuu!! Unajua hizo injini za rocket anazinunua wapi au unabwabwaja tu
@kissirymaroah3547
@kissirymaroah3547 2 жыл бұрын
Anazitengeneza mwenyewe
@frankdanford8245
@frankdanford8245 2 жыл бұрын
Habari za mchongo hizi unaegemea sehemu moja
@daudiisaac676
@daudiisaac676 9 ай бұрын
Nyie ni waongo sis tulio kuwa uku urusi ndio tunajionea acheni danganya toto apo bongo
@msafirijohn8909
@msafirijohn8909 2 жыл бұрын
elon musk is genius
@EsauBanda-cw3cf
@EsauBanda-cw3cf 3 ай бұрын
Duh tajiri kama diamond platinum😅😅
@kingyehoshafatitvbornerys2496
@kingyehoshafatitvbornerys2496 2 жыл бұрын
Huyu ndio mwanaume sasa achana na Hawa wanaume wa bongo wakisgapata visent wao nikiwaza ngono tyu na kutembea na wanafunz wa vyuo
@michaelsamson9663
@michaelsamson9663 2 жыл бұрын
Duh mungu huyu🇺🇲🇺🇲🇺🇲💪💪
@richardmwandali7722
@richardmwandali7722 2 жыл бұрын
Arafu Elon musk ni anachembechembe za kiafrica Tena madib
@pmall8867
@pmall8867 2 жыл бұрын
Mwamba anae ogopwa na urusi ndio jina la Muvi 😂😂😂
@kuntakinte7339
@kuntakinte7339 2 жыл бұрын
Huyo kichwa chake nikamasi tu kwa BABU YANGU ( PUTIN) LIBABU NI NOMA ngoja liipige DEKI UKREN MUNGU AWEKE WATU WAPYA MBONA SISI NDUGU ZETU WAMEUWAWA SANA TU TOKEA MKWAWA MPAKA GADAFFI DUH! WAO NILEO TU KELELE MPAKA VATIKANI.
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 Жыл бұрын
Nyie global habari zenu ni za kinafikiiiiii.
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 9 ай бұрын
Kwa iyo unataka kusema Elon ananizidi akili?sio kweli!😂😢
@sportviral4220
@sportviral4220 2 жыл бұрын
Yaani urusi imuogope ELON MUSK labda kama mnaandika hvi kufurahisha watoto
@peacejunne5037
@peacejunne5037 2 жыл бұрын
Dada umekosa kazi kaa tu jikoni na uratibu about lunch and dinner na kua dunian kote shujaa hawezi kusemewa na mwanamke kamwe.
@Joybass2
@Joybass2 2 жыл бұрын
😂😂😂😂
@jitathminitv3429
@jitathminitv3429 2 жыл бұрын
Kila binadamu anauwezo ila uwoga na kupewa fursa
@micamathew2595
@micamathew2595 2 жыл бұрын
Ww ni dada tu
@AllySarumbo
@AllySarumbo 10 ай бұрын
Uku kwetu ni mtu maarufu namwenye akili ni nyerere😅😅😅😅
@thadeombani7869
@thadeombani7869 5 ай бұрын
Putini naona humjui na huijui vzr Urusi wacha niishie hapo maan sitaki kukuamsha usingizini mb we
@ayubukamendu8075
@ayubukamendu8075 2 жыл бұрын
Stori ya kweli na nilifwatilia huyu kamanda kapewa kipawa na Mungu
@roviykamage5423
@roviykamage5423 2 жыл бұрын
anamwogopaje max hana kitu ila anajipamba tu urussi ni kiti na jitu jingine
@gyanglory-qr7qy
@gyanglory-qr7qy 6 ай бұрын
Putin ni hatari sana
@jamesmwangamba5124
@jamesmwangamba5124 2 жыл бұрын
Elon inatamkwa iilan na sio 'eloni'.. lakini hata hivyo asante sana
@EliasGolod
@EliasGolod 7 ай бұрын
Ndugu yetu umutupiga bana kwamba anawashinda warusi
@saeedally268
@saeedally268 7 ай бұрын
Kweli unavyosema elon musk ndie ana satelait kubwa kuliko nchi yeyote duniani ana chombo ambacho kikitoka mwezini kinatuwa bila tatizo sio
@benjaminfaustin1325
@benjaminfaustin1325 2 жыл бұрын
Nishida
@fillyberthbayjohnnea6473
@fillyberthbayjohnnea6473 Жыл бұрын
Uyo kabalikiwa
@paschlpius2985
@paschlpius2985 2 жыл бұрын
Diamondplatnumz
@ludovicmwamsaku1252
@ludovicmwamsaku1252 2 жыл бұрын
Hapa ndiyo mmeamini kuwa wanawake huwa wanakuwa na akili siku tatu tu katika mwezi mzima.
@Awatee
@Awatee 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@Joybass2
@Joybass2 2 жыл бұрын
Afu unaremba sauti utazani unamsifia mmeo ETI 😂😂😂😂
@MohamedRashid-py7ro
@MohamedRashid-py7ro 7 ай бұрын
Wewe kakwambia na ni kuwa Urusi nana muogopa Elon Mask wacheni kuwalisha maeno watanzania
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 2 жыл бұрын
Acha uongo mbona hujasema aliitwa Biden
@georgemuthokasyala8026
@georgemuthokasyala8026 2 жыл бұрын
basi si aambie putin asitishe vita mara moja la sivyo amuonyeshe moto Putin ndo tuamini kweli huyu anaogopwa
@stellanyamuhogota1832
@stellanyamuhogota1832 2 жыл бұрын
Huy atakuwa allians kutoka sayar nyingine na sio dunia hii na walishajisema kuwa wapo kutesa the real human being
@eladiuspeter586
@eladiuspeter586 2 жыл бұрын
Yaan wabongo bhna. 😂. Yaan mnabisha jamaa hana akili ??? Nyie wabongo hata kijiko mnaweza kutengeneza??? Et anatengeneza Magari . Huyo ni genius Hatuwezi kubisha hlo.
@meshackmlaki2066
@meshackmlaki2066 2 жыл бұрын
Huyu ni mwongo
@chencingthomas7614
@chencingthomas7614 2 жыл бұрын
Ni RAIA wanchi gani uyo elon musk
@kissirymaroah3547
@kissirymaroah3547 2 жыл бұрын
Afrika kusini
@festovenas502
@festovenas502 2 жыл бұрын
Kwenye data apo atakua amefanya la .maana maana Wana tuonea Asaiv 😅 Kila sku bando Lina badrka
@mjombamaneno2448
@mjombamaneno2448 2 жыл бұрын
Ok
@karimhamisi4627
@karimhamisi4627 2 жыл бұрын
Kama mtu hauna uzoefu Ni maswala ya anga Ni Bora kukaa kimya tu
@feisalfaraj44
@feisalfaraj44 2 жыл бұрын
Falcon is feswal alfabeto letar f
@mohamedrashid9035
@mohamedrashid9035 2 жыл бұрын
Wewe alikwambia na Urus inamuogopa ELON MUSK ndio propaganda za Marekani unazo mezeshwa
@kirundumweteni2072
@kirundumweteni2072 2 жыл бұрын
Njaa imeingia Dunia nzima vita ya miezi miwili tu.mbabe Putin,Lowe funzo kwa njaa na mafuta ya kula na ngano.tuna ardhi kubwa hatuwekezi tunatafuta wawekezaji hatujifunzi tunaiga vitu vya hasara,hii ndio Tanzania ya Leo mpaka mitandao yetu inakopi ya hovyo ndivyo tulivyo kwa kuwa watawala wetu vilazabwa uchumi wafanyaji kz kwa mazoea
@musakihama7205
@musakihama7205 2 жыл бұрын
Nani alikwambia anamwogopa?
@ibrahimabdallah7639
@ibrahimabdallah7639 7 ай бұрын
Danganyeni wale awajasoma
@meekman1805
@meekman1805 2 жыл бұрын
Kuamini kwamba huyu ndie mtu mwenye akili zaidi duniani huo ni upotovu.😀
@imeldabamba3779
@imeldabamba3779 2 жыл бұрын
Eti mbona yupo kama zoba tu
@stevin47
@stevin47 2 жыл бұрын
i would not buy stock just yet . Musk’s Twitter ambitions to collide with Europe’s tech rules
@simulizizakutishazakweli3608
@simulizizakutishazakweli3608 2 жыл бұрын
Namjua huyu jamaa ndiye mpinga kristo huyo sasa kama hamjui
@alextanzania
@alextanzania 2 жыл бұрын
Utakufa maskini
@dimariajunior1870
@dimariajunior1870 2 жыл бұрын
Elon musk amezaliwa Pretoria ,hakuhamia south africa ili aende USA, mbona hueleweki .
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
MAMBO YA AJABU USIYOYAJUA AMBAYO YATATOKEA HIVI KARIBUNI | ASKOFU GWAJIMA
56:45
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 122 М.
MAREKANI NA NATO WAANZA KUPELEKA JESHI MASHARIKI MWA ULAYA
4:24
VOA Swahili
Рет қаралды 461 М.