MIMI NAWAOMBA VIONGOZI WA AFRIKA WASIWASIKILIZE HAO WAMAREKANI
@YusuphRashidi-b1j4 ай бұрын
Safi sana kwani marekani ndio mungu wa afrika
@fakihinajumwe80862 жыл бұрын
Aloo marekani mkundu kweli yaan nchi huru unampangia na maamuz . Haiwezekan dah Angekua Sir MaGu dah mafuta yangeuzwa Lita 800
@YusuphRashidi-b1j4 ай бұрын
Da kweli magu angekua hai sijui inge kuaje maana anajua manyag'au
@davidmpulumba40392 жыл бұрын
Africa tuna kila kitu ila tuna pangiwa kila kitu as if n watoto wadogo lakini tatizo n viongozi wetu wamekosa akili na ushujaa pamoja na madegree yao yote n bure
Marekani ameshindwa kumtoa Russia Ukraine sasa anatafuta kulazimisha dunia imtenge Russia kitu ambacho kitaifanya dunia iteseke kwa masilahi ya marekani
@uwimanauwimana76922 жыл бұрын
😄😄
@rashidkabanja2372 жыл бұрын
Umenifurahisha Sana na Nikweli Umecho Sema Kwa Namkumbuka Kanari Muamari Gadaf Angelikua Hai Yungepata Uhuru wa Africa
@biomedicaleliatosha74852 жыл бұрын
Yaani ningekuwa mtawala,ningenunua aaf walete zakuleta.. huwezi kupangia nchi zetu ,hizi nchi ni sovereignty states,hakuna kutishana hapa.
@martinkipenya45922 жыл бұрын
Kuanzia sasa wewe ni rais nimekuteua
@jamesbayo19102 жыл бұрын
Afrika Mungu Ibariki. Waafrika tusiwe Vilaza wa kuabudi Marekani . AFRIKA tusiwe tunaabudu MAREKANI kwa kila jambo .Marekani isitulazimishe kutuchagulia Marafiki wa kufanya nao Biashara. Tusikubali kuwa WATUMWA WA MAREKANI.
@mashirimathias60062 жыл бұрын
Mtanikumbuka kwa mema na sio kwa mabaya keep it up ndugu yangu
@shubackmashinga35352 жыл бұрын
Marekani ni Kuma tu
@bossej1212 Жыл бұрын
Pesa ni zetu, tutazitumia kulingana na mahitaji yetu.Hatutambui vikwazo kwa uhuru wetu.Marekani ni pumbavu sana.
@ndukulusudikucho_2 жыл бұрын
mbona hamuambii Saudia?
@jumaciza4612 жыл бұрын
Hhhh Marekani sikuzake zinaesabika 😂😂😂😂 Sasa izo nafaka zitasafirishwa vipi bila mafuta kuwepo ?
@micamathew25952 жыл бұрын
Si ndo nashangaa?? Hahahahaaa
@burilomalima2 жыл бұрын
Je, amekuwa kinara wa kutuchagulia nani atupatie nini au kujiramba tu?
@saliminyusuph61222 жыл бұрын
Majemedari wa Afrika wangepuuzia Hilo NI Marehemu Gadafi na Marehemu Magufuli. Tutawwkumbuka daima.
@JumangapeeNgapee29 күн бұрын
urusi wapo vizuri siasa zao siozaunyonyaji nibiasharatu ila us niwivu natamaa zakibiashara ndouna watesa
@jambiajumayagwa51292 жыл бұрын
Kiongozi yeyote wa afrika atakae tii amri ya marekani basi huyo atakua shoga.naninapo sema shoga Sina mana rafiki Bali namaanisha mwendo wa mbuzi kagoma kwenda yani msenge
@FadhiliMakasi-g5mАй бұрын
Afrika tunaipenda Urusi hatupendi Ukoloni wa mazungu Marekani
@ericksagara17192 жыл бұрын
Tatizo, sisi Afrika tuna vingozi ambao ni vibaraka wa USA. Marekani wanataka kuitawala Dunia kibabe. Viongozi wa Afrika msikibali kuburuzwa
@vickylupemba60552 жыл бұрын
Misaada yao tumekuwa tukipokea leo unasema hivyo
@erickzephania10302 жыл бұрын
Afrika uwezi ukawatumikia mabwana wawili, Mmarekani anataka tuchague mmarekani au Mrusi, au Mjitegeme. HILO TU Maneno yasiwe mengi. Sio kula Marekani kulala Urusi 😂😂😂
@yomenikabombwe49392 жыл бұрын
Marekani uleta tu vita na wizi ana chochote atcha africa ijitafutiye
@msafirikushama21932 жыл бұрын
Waafrika tujitambue tulipo, Nchi zetu ni Nchi za namna gani, uhuru wetu ni Uhuru wa namna gani, siasa zetu ni siasa za namna gani. African community need technologies to stand up their ecomic stability but not wars of any kind. Historically Africans still have stains and pains because of the negative impacts of colonialism. Lai za kujitenga na mataifa mengine ni kutengeneza misongo ya maisha na kudhoofisha uchumi na maisha ya Waafrika. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Viongozi wetu wasimame na waseme sisi tunataka nini Kama nchi huru, lakini Kama sehemu ya umoja wa mataifa wanashauri nini kifanyike kupata Amani na utulivu huko Ukraine.
@bekabakari73942 жыл бұрын
Viongozi wengi Africa Wamepandikizwa Uwezi kua huru kama unapangiwa R.I.P Comrade Magufuli Upuuzi huu lazima angeongea
@martinkipenya45922 жыл бұрын
Magu asingekubali ujinga huu
@abduljuma7807 Жыл бұрын
Niviongozi wetu ndio wanataka ujinga huo hawana uchungu na nchi zao Bali maslahi lakini wanafika mwisho wao muda sio mrefu waache uoga
@Inkubutembo77792 жыл бұрын
Yaani haawa Marekani wanatungilia hadi chumbani. Wametufanya waafrika kama nyumba ndogo yao. Kazi kwenu waafrika.
@issayasosolo6033 Жыл бұрын
Marekani we una nguvu ya kijeshi kapigane na Urusi siyo kuziwekea vikwazo ichi masikini huu ndiyo ushetani wa Mashoga wanautesa ulimwengu!
@amarali052 жыл бұрын
Fanya ueke tumsikie nayeye mwenyewe akiongea ....yaani Kama utakuwa watoa taarifa halafu kipande kidogo unamuekeka tunawasikia wenyewe itakuwa vizuri
@yussufyussuf76865 ай бұрын
Dah waha jamaaa mashoga nn wana tupangia wao wakina nani kwn mpk watupangie ss watuache na bala letu mashoga hao
@ismailmshana28282 жыл бұрын
Tusinunue mafuta na gas cos kila kitu tunacho tuwekeze kwetu kusudio vitaiishe
@allymwailogwa83642 жыл бұрын
Huyu marekani anajiona yeye nan kutupangia cha kufanya viongozi wa afrika amkeni bola afrika nzima tuwakatae hawa mabeberu mabepali mungu ibariki afrika
@sterandunguru76532 жыл бұрын
Baiden kachanganyikiwa Afrika nunuwa mafuta kutoka urusu ni sawa
@taynburhanialeey31482 жыл бұрын
Upuuzi huu haukabaliki Urusiiiiiii lete mafuta Africa
@barakamwacha85075 ай бұрын
Yaani wao wanatutegemea na maligafi zetu alafu watutishe?
@bekabakari73942 жыл бұрын
Tumejitakia wenyewe na bado yatatukuta mengi Yote haya yanakuja kutokana na omba omba Hatuna kauli kwa sababu ya kuongopa njaa
@ramosfally23182 жыл бұрын
nimikuelewa sana mze baba.wafrica nja inauponza
@yohanaallen28852 жыл бұрын
Huyu marekani Kuma tuu
@babuloliondo742 жыл бұрын
Uyu mama kweri mtumwa america yeye ana mabirioni ya mafuta kwamba kaiba sana nchii zakiarabu nyambavu
@shd12m552 жыл бұрын
Huu ni uonevu kabisa hakiyamungu marekani wasitufanye sisi mazuzu
@musabuhe58972 жыл бұрын
Sisi inatuhusu nini Tena Kama Mimi kiongozi ndio naagiza Tena mengi
@barakaothumani64212 жыл бұрын
Nyinyi nfugu zangu hamjui, Hawa Vionhoz Waafrica wengiwao wamejiunga na Masoniki au Freemason, kwahiyo hawana ujanja kwahilo, yani hili jambo angeliweza Mahufuli pekeake
@yusufunguruko80802 жыл бұрын
Hebu chukua taswira Leo hii unatokea muujiza Mzee baba JPM anafufuka halafu yanatokea haya ya Marekani kututawala Kwa remote akiwa hukohuko kwake ...oooh hakiamungu RIP JPM.
@eliudkazoba51702 жыл бұрын
Kipindi hiki bei ya lita moja Karagwe ni Tsh.3,642. Marekani wanachangia shilingi ngapi? Viongozi wetu simama Imara na Urusi. Lego la Marekani sio zuri kwa Africa.
@jkifutu79362 жыл бұрын
Mbona Africa 🌍 tunapelekwa kisenge sisi atupo tayari mbona munashindwa kutuliza kongo kilasiku watu wanakufa
@ramadhanijohoiddi28992 жыл бұрын
Inaamaana tunanunua mafuta 4000 kisa nini tuko sawa sawa sisi sasa mimi naomba URUSI ipige mabomu NChi za Afrika ambazo wanafiki
@zubedahassan4042 жыл бұрын
Tusi kubali. Vikwazo ya. Merekani. Wanatufanya. Kama. Watoto. Yao. Wakome
@cosmaslunyembeleka251 Жыл бұрын
Africa haina shida na urusi kwani sisi tunapesa kuliko wao kwani wanaiba kwetu. Mafuta na vikwazo hatuna shida tupate vikwazo ili tujiunge na BRICS
@zahorsalum49762 жыл бұрын
Kwani hata akituekea itakua nnasituhanisi.bwana.
@raismalingumutz84732 жыл бұрын
Wache kuhusisa na Vita venu havitusu sisi afrika
@evalenad62562 жыл бұрын
Hebu watuache wasituchanhanye sisi waafrica kwenye hayo mambo yao yakipumbavu
@mohamedrashid90352 жыл бұрын
Jani tumetawaliwa sasa Afrika na Marekani wakati tunauhuru wetu huyu Marekani kachanganyikiwa sasa anauwa Uchumi wa wafrika sasa anataka kutajilika uchumi wake Kuchukua mafuta nchi za venezuela kutuletewa Afrika kutajilika
@aulidriver31022 жыл бұрын
Africa tukikubali ujinga huu tutaendea kuwa wajinga maisha
@abdulrahmanally14122 жыл бұрын
Kama ni kweli huu ni katika upumbavu wa Karen, yaani tuendelee kuteseka kwa being Mbabane ya mafuta, ili tunufsishe USA na mabeberu wenzake, si usenge huu
@jaredyndaga46172 жыл бұрын
Afrika basi bado haipo huru kama wanapangiwa cha kufanya na hao wakoloni
@allychale2885 Жыл бұрын
Waafrika mjielewe nchi za magharibi kaziyao fitna hawatupendi hao mafuta na ges tununueni bidhaa kama kawaida nchi za magharibi zinampango wa ukoloni mambo leo tujielewe
@allychale2885 Жыл бұрын
Uyo mmarekani apigwe anafitinisha watu kweni nchi za kwake
@jumaciza4612 жыл бұрын
Wa africa bado tuko usingizini Marekani haitatutesa bali tutajitesa sisi peke
@wolinet12 жыл бұрын
Marekani wa puuzi wakubwa ngoja Russia awa nyooshe
@JumaMahogwa4 ай бұрын
Sasa sisi afilica inatuhusu nn mpkaa malekani ajee utupangie chakufanyaa yeye ni nan kwenyee huu usoo wa dunia
@imaniinayoishi7282 жыл бұрын
Kweli USA walikosea kumuweka madarakani mkatoliki maana hapa Dunia itakoma kwa vikwazo
@akidashekue1632 жыл бұрын
Africa tunalazimishwa kufata USHOGA
@justinmashala69442 жыл бұрын
America ni wapuuzi kama wapuuzi wengine Tu. Nikuwapuuza tu
@zachariaboniphace2964 Жыл бұрын
Ivi Africa ni ya Marekani?!! Tunasema kua tuna wasomi ovyo xana nafuu hat wale ambao hawajasoma Kwan wanajiamin
@allychale2885 Жыл бұрын
Ao mashoga wanaoweka vikwazo urusi ao tusiwafuate wanachochea dunia2
@JoshuaLoth-qy1yk3 ай бұрын
Kwa navyo mjua huyu mamaa acha tyu ninyamaze😂😂😂😂
@eliasbizimana82462 жыл бұрын
Kama nivikwazo waweke ila mafuta yatanunuliwa
@JumaMahogwa4 ай бұрын
Ukoloni àfilikà utaishaà ĺini jaman mbonaa tunalala halafu munajita mumesomaa ???
Jamani wafrica tunaigopa Nini marekani? tunashindwa Nini kuamua kua km Korea ya kaskazini? kuto egemea upande wowote km museven ni unafiki lazima tueleweke tuko upande gani
@fadhilimusa97328 күн бұрын
Kwani marekani ndio mungu wa dunia? Marekani nimakafiri waonevu wauwaji khususan nchi za kiislam
@Sixtus-k7vАй бұрын
Marekani yeye nan ndio akataze hovyo kwel narekan
@mohamedrashid90352 жыл бұрын
Wafrika tuwamke kwa nini tunapangiwa ni Marekani tusinunue mafuta kutoka Urusi tatizo ni nini sisi vita havituhusu ni matatizo ni yenu kwa nini utunyime haki zetu na Marekani inasema ndio wenye Demokrasia
@abuusalum9282 жыл бұрын
Bro , tumeshikwa kubaya sana tunawategemea ktk nyanja nyeti sana ikiwemo madawa ya kifua kikuu , kansa na dawa za ukimwi aki weka vikwazo hapo tutapoteza wapendwa wetu wengi sana
@abuukajembe59852 жыл бұрын
Kwaio mbola tutesek et
@IdrisayMakengwaАй бұрын
Kwani marekani yeye ni nani mbaka aje atupangie namna ya kufanya katika nchi zetu
@kibasamohamedi80292 жыл бұрын
Huu Ni upumbavu uliopitiliza aiseeeeee , yaan tununue bei Ghali wakat ya bei rahis yapo, angekuepo Magu angenunua tuuuu
@hanschuma77342 жыл бұрын
Hawa wamarekan wanafilwa kweli yan faida kwao iwe shida kwetu wasenge nn
@jongosalehe10362 жыл бұрын
Huyu nimweusi lakini hanatuumiza wafrica wengi..
@Mpakauseme2 жыл бұрын
Sasa wewe unafiki ni yeye pekee yake anayepanga mambo hayo 🤣
@jamesbayo19102 жыл бұрын
WAAFRIKA TUUNGANE TUSICHAGULIWE MARAFIKI WETJ .MAREKANI ITAMBUE AFRIKA IKO HURU. JE AFRIKI HAIWEZI KUWEPO BILA MAREKANI? MAREKANI ISIJIFANYE MUNGU WA DUNIA NA SIYO HAKI ITUPANGIE INAVYOTAKA . HERI VIKWAZO KULIKO UTUMWA. MAREKANI INATAKA KUTAWALA DUNIA KIUCHUMI. AFRIKA TUKATAE.
@nsabimanasuleyman20082 жыл бұрын
Tunashkuru kwa taarifa
@hajirewa11092 жыл бұрын
Hujatuowa ss usituchanganye
@yussufyussuf76865 ай бұрын
Mm sio raisi lkn mm ningekua raisi yn mm ninge kua wa kwanza kununua yn raia wng wapate tabu kisa hao mashoga wao wana ekewa vikwazo na nani yn ninge mnunua hd hy putin kiboko yao 😂😂😂😂
@barakamwacha85075 ай бұрын
Kudadeki me ningenunua nisingewasikiliza hawa mashoga
@simonndunguru16292 жыл бұрын
Hawa wapuuzi sana. AFRICA inajitawala sasa Viongozi muone Huyu Nguruwe USA anavyotaka kufanya. Msimsikilize Mbona anataka tuteseke Hela ya kununua anatoe Yeye? Sasa Dume ni Putin.
@i.etechnology6336 Жыл бұрын
Unatuonya kama nani Na mwisho wako umefika hakika
@ibrahimhussein8750 Жыл бұрын
Yang.tufe.kwajiri.yaukoloni
@jofreyizeck32322 жыл бұрын
Kwanza wabaguzi warangi
@swalehemusa45462 ай бұрын
Kiongozi yoyote atakae muunga uyu shoga marekani ni kuma la mama yake
@potiyowatz8362 жыл бұрын
Waafrika tujitathimini sisi wenyewe ni wakati wakutafuta ukombozi wa kiuchumi.huu ni mtihani ambao wafrika tunatakiwa kupata majibu sahihi.bala zima la afrika hatuna watalamu ambao wanaweza wakachimba visima vya mafuta? Waafrika inatakiwa tupate ukombozi wakiuchumi.kama wataweka zuio la ununuzi wamafuta nchi zitaendeshwaje? Tujifuze waafrika na tuamke.
@gracekinaba13722 жыл бұрын
Marekani isitutishe
@asiakheir86842 жыл бұрын
Huyu marekani kumbe lengo lake kututawala waafrica pumbaf kabisa asituingilie
Ungenunua utayapitishawapi,? Mm ninapowaambia marekani ndiyo dunia hamnielewi,sasa tulieni muone
@selemani.matendo40912 жыл бұрын
Tusipokuwa. Makini. Ule. Ukoloni. WA. Miaka. Ya. 50.na..60.utarudi.tena.maana.bado.tupo.usingizini..nchi.karibu..54.za.africa.hatuna.maamuzi..yoyote.watu.wa.kuhamuliwa.kila.kitu
@jambiajumayagwa51292 жыл бұрын
Ninyi wa marekani.mnavyo visima vya mafuta kwamba mtatuuzia mafuta Kwa bei yachini? Komeni panyabjku nyie msishinikize nchi zetu .tena komeni msie na hayanyie
@jumanassoro15522 жыл бұрын
Marekani usituchagulie marafiki afrika kwanza mabebelu mtajijua wenyewe
@raymwaihaki11092 жыл бұрын
Viongozi wa Africa wa kuwasema hawa washenzi kama akina Mugabe siwaoni kwa kweli
@VOPACOMMUNITY20222 жыл бұрын
HUU NI USHENZI WA KIWANGO CHA LAMI, YANI MATAIFA YA AFRICA TUKO HURU LKN TUNAPANGIWA NAMNA YA KUFANYA NA KUFIKIRI, UHURU WETU UKOWAPI SASA?????
Sisi ningependa tununue mafuta ulusi na bizaa sisi Hatuna ugomvi na mtu ugomvi wenu malekani na ulusi hayo hayatuusu,
@chazy7ya2162 жыл бұрын
Wasituletee ujinga
@ramadhanidaudihaji21742 жыл бұрын
Tatizo tunawaogopa mabeberu wa kizungu ukubali ukatae habari ndo hiooo marais wa Africans kua na elimu yakutosha ila Kwa mabeberu ya kizungu African hatupinduwi 🤣🤣🤣
@uwimanauwimana76922 жыл бұрын
Vita imewashinda urkain sasa wamegeukia Africa 😄😄
@GeremihJuma5 күн бұрын
Zero mmetuchosha ovyovyo Sisi ni African siyo marekani Vikwazo wewe ndo kilanja wa dunia Ebu heshimu mataifa ya kiarabu na African sisi cyo magharibi zero
@dnx_Gr2 жыл бұрын
Huu ukiranja wa Marekani hadi lini dadeki
@jumaciza4612 жыл бұрын
Wakati huyu nilisema kitaeleweka hakuna cakuto fungamana naupande wowote wewe sapot unapo simamiya basi kwa maana ulimwengu uko una kwenda kujigawa wamashariki na wamagharibi