That’s my Head girl from Zanaki High School 🎉, still strong as ever 🤛🏽! Go Maria continue to kick the butts of the oppressors, hakuna kurudi nyuma 👏🏽
@hoseastephen450814 күн бұрын
Zama hizi kuna mtoto wa kiongozi atasoma public school kweli? Ndio maana Maria anaweza kuwakabili watawala hata kama alizaliwa kwenye familia ya kiongozi.
@Sahlomon-jp4jr12 күн бұрын
@@hoseastephen4508 nyie mafala kweli, amemkabili nani?!!!! Watu wamempotezea hawana habari nae na hata hawajui kama Kuna mwanaharakati. Wakitaka kumkabili si sekunde Moja inatosha kwa lofa kama huyo. Mjanja na mwenye uwezo atakaa Kenya?
@Sahlomon-jp4jr12 күн бұрын
@@jessicaupendo9743 mtahangaika sana lakini Mama Samia, kwakuwa imeshapangwa na Mungu, mtaendelea kumuona kule juu mpaka muda wake utakapoisha. Yeye ndo hizzo butts zake siyo tu zitapigwa, Bali zitavurugwa vululu vululu na hao "watekaji" wa kwenye movie yake.
@hoseastephen450812 күн бұрын
@@Sahlomon-jp4jr Sawa chawa
@Sahlomon-jp4jr12 күн бұрын
@@hoseastephen4508 poa kunguni, baadae basi acha tukatafutie watoto unga.
@naftalimiheso24914 күн бұрын
Aibu kubwa sana kwa Kenya! As a Kenyans am ashamed with what's happening in my country.
@georgekinyua33414 күн бұрын
Aibu sana. Unafki
@alexandermulilison584414 күн бұрын
Na bado....
@patriot_202213 күн бұрын
It's not just a shame. Tuko kwa hatari kubwa sisi wenyewe. Mungu tu ndio atakuwa ameokoa hii nchi after 2027 if it even just remains as it is now.
@billgussy609913 күн бұрын
Na Tanzania
@iviejustified810911 күн бұрын
Siyo sawa kabisa... Dereva wa little ride mjinga alishindwa kufunga mlango??
@heriel200211 күн бұрын
How I love this courage!!! Keep the log burning Maria. Una watu wengi sana nyuma yako na wanajua kazi nzuri unayoifanya. Hakuna siku ubaya utashinda wema katika dunia hii. You have chosen the hardest but righteous path, please keep going!!!
@DaveOndiekAaron8513 күн бұрын
I Declare This Day That No Weapon Formed Against You Can Prosper Sister.. 🙌
@missbantu327411 күн бұрын
Standing in Support of Maria Sarungi Tsehai Your unwavering courage in speaking truth to power has rallied supporters worldwide. Your voice, despite attempts to silence it, grows stronger with each challenge. Maria, your dedication to exposing human rights violations and fighting for transparency in Tanzania inspires many. We call upon all international women's organizations to unite in support of this crucial cause. No woman should live in fear of abduction or persecution for expressing political views in Tanzania or anywhere else. The reported orchestrated abduction by the Tanzanian government only highlights the importance of your work and the issues you continue to expose. This attempt at intimidation has not weakened but strengthened the movement for accountability and human rights in Tanzania. Your persistence in calling out injustices serves as a beacon of hope for those whose voices have been suppressed. The fight for freedom and human rights in Tanzania continues, and you do not stand alone.
@ishallazachary209914 күн бұрын
Uongozi mbaya unatufikosha huku Kwa utekaji nyara wa raia wa nje...Uso wa Kenya unachafuliwa kimataifa,aibu iliyoje😢😢😢
@paulkyalo-p1i14 күн бұрын
maria for president of tanzania
@SaimonTanzaniaTanzania-ty5cz14 күн бұрын
😂
@YouOnlyHereAlone13 күн бұрын
Daa bro sio kila mwanaharakati anafaa au anataka kua rahisi 😂
@birianination709713 күн бұрын
😂😂😂😂😂
@AgnesMleshi12 күн бұрын
Mihemko😂
@ngashjr14 күн бұрын
Asante kwa kuongea viwazi juu ya ukatili wa serikali katili ya Ruto.... Mungu akulinde!
@FredWabwire-w3q14 күн бұрын
Mungu akulinde mama, hawaviongozi niwauwaji
@KenedySeraphine13 күн бұрын
Pole sana dada Maria haya mambo mabaya Yana mwisho tuko pamoja
@ndogoroedson19912 күн бұрын
Anaigiza tu malaya huyu
@AllenMarley-v6l14 күн бұрын
asante Mungu uko salama. uliwashinda kabla ya kukuteka, umewashinda hata walipokuteka bora wasingehangaika na ww kabisa. God is good all the time.
@virendavictoria517411 күн бұрын
Big up Maria...Mungu aendelee kukupa nguvu katika harakati zako , akulinde na kukuongezea nguvu.
@adammjomba581411 күн бұрын
Shangazi Maria usiogope Yesu kristo alie hai yupo upande wako sio mkono wa nwanadamu uliokutoa ktk makatili hao wauaji hao ,ukiangalia sana waliokuteka ni wale wale waliompiga Risasai Mh Tundulisu na kumuua Mzee Ali kibao wa Tanga, Sioni kwanini wakenya wa kuteke , nilazima ni uleusemi wawaswahili Mchawi Ndugu ,( pia kikulacho kipo nguoni mwako. Fikiria Maria kenya watajuaje leo upo kenya,?? Hao watekaji? Shida ipo huku huku ulikotoka ni Tz bila mashaka yoyote 😂😂😂😂😂😂
@angojothammbossa638514 күн бұрын
Pole sana sifa na utukufu kwa Mungu.
@florianemanuel558111 күн бұрын
Strong, brave and beautiful 😊
@martynkalasya378714 күн бұрын
Very couragious woman fo a wife🥰u gat to go down fighting🙏
@KamalaBuberwa14 күн бұрын
Pole sana dada,
@KenedySeraphine13 күн бұрын
Tanzania tuna hazina kubwa sana ya watu kama Maria lakini tunashindwa kuwatumia nchi inaaribiwa na watu wachache
@hechechacha403214 күн бұрын
Pole sana
@eastm.111014 күн бұрын
Sikujua wanaharakati watanzania wanakandamizwa na kupotezwa pia😢😢😢.Hivi East Africa Mungu atatuopoa na hawa majitu kwa jina la wanasiasa lini.Mbona tumeshaachoka vya kutosha😢😢?
@DavidKagulu14 күн бұрын
Namkubali sana huyu dada
@allanvusaka51513 күн бұрын
Pole Sana 🇰🇪
@InfocoAdmin14 күн бұрын
Pole sana.
@faridahalwaily8513 күн бұрын
Jamani Mbonaa kumekuwaaa hivi nikusaidiaanaaa wamuona mwenziwaooo achukuliwaaa na kumsaidiyaaa na kupiganaa naoo umrie wa. Mwenyezimngu. Mwenyezimngu Atamnusuruh na kwa woteeeee..kenya nzuri sanaaa Allaah Aiehefadhi
@petermacharia717114 күн бұрын
Aibu aibu iliyoje kwa Kenya. 😢😢😢 Kenya my Earthly home_land ....😢😢
@PapaaMashana7 күн бұрын
Polesana
@christinenyagiro666213 күн бұрын
God is great He successfully saved you from those satanic people.
@JewsJews-c8w10 күн бұрын
Kumbe dada yetu anaishi kenya Mungu akulinde siasq zq nchi yetu ya ushenzi
@zahraabdul965214 күн бұрын
Pole sana kenya ushetani tuh ndio umekuwa mwingi hadi a lot of people in Kenya hawana amani democracies ya kenya ndio basi tena
@ngashjr14 күн бұрын
Tumechoka na serikali katili ya Ruto... Bado mapambano
@zahraabdul965214 күн бұрын
@ngashjr Mungu afanye jambo tuh juu wah nikubaya
@mocua291010 күн бұрын
Lakini ni serekali ya tanzania ndio ilitoa amri ashikwe
@jumasaidjuma-n6c12 күн бұрын
Pole Sana dada
@gracecanyou14 күн бұрын
Did you know matuta is bump .... although this is unfortunate!
@adriannebatakanwa690414 күн бұрын
Humps not bump I guess
@lakiro148813 күн бұрын
Someone compile a list of all those abducted in East Africa
@andeyo113 күн бұрын
That someone should be you, unless you believe fighting for your freedom is receptibility of other people, do your contribution
@mocua291010 күн бұрын
Uganda Kenya na Tanzania ni muungano wa utekaji nyara.EAC
@HassanHassan-si2rt14 күн бұрын
Chakufanya hapo wewe ni kumshukuru mungu tu, Wala usijikute mjanja kua hai kwa sasa, Shukuru mungu tu narudia Tena. Shukuru mungu ungeshakua MAITI NOW.
@henrygichuru659013 күн бұрын
Kwa kweli Bi. Suluhu amebadilika na kuondokewa na utu . Ole wenu WaTanzania.
@MinskBelarus-il2tl12 күн бұрын
Suluhu kafanya nini?
@Sahlomon-jp4jr12 күн бұрын
@@MinskBelarus-il2tl achana nao wajinga hao
@LuganoJimmy11 күн бұрын
Yupo Mungu wa mbingu na nchi atazidi kukulinda na hayo mabaya wanayofanya ni mbegu na wanapanda na watavuna wanachopanda.
@justinekenyansa14 күн бұрын
Ruto si rais wetu, ametuaibisha sana. Hii si tabia yetu wakenya.
@MaryAyeta14 күн бұрын
Pole sana dada uchauri wagukwako nivizuri kujitega nasiyasa kamauna jipeda
@edwarddaniel568314 күн бұрын
Unaandika kama una mafua😅
@ZawadiMbuligwe13 күн бұрын
😂@@edwarddaniel5683
@elizabethodhiambo483413 күн бұрын
Not yet
@birianination709713 күн бұрын
Mmmmmh
@elkiq9514 күн бұрын
Ruto must go
@hopefully709014 күн бұрын
👏👏👏👏
@yasminoluoch16913 күн бұрын
AIBU KUBWA KWA NNCHI YETU YA KENYA KHE😢😢😢..ILA HUU NI MCHEZO WA TZ ...MAMA SAMIA UNATUHARIBIA JINA LA NNCHI YETU
@kaimelucahkarimi502811 күн бұрын
Those were NIS goons!!
@homeboybeyondtheborders493514 күн бұрын
Aya mama
@missbantu327411 күн бұрын
An Open Letter Regarding Tanzania's Leadership President Samia Suluhu Hassan, your response to criticism raises serious concerns about Tanzania's current direction. A leader's strength is demonstrated through their ability to listen to and address their citizens' concerns, not through suppression of dissenting voices. The reported disappearances and human rights violations contradict the oath you took to protect and serve the Tanzanian people. The treatment of Maria Sarungi Tsehai, who has been vocal about government accountability and human rights issues, exemplifies a troubling pattern. Silencing critics and activists does not solve problems - it only deepens them. True leadership requires engaging with different perspectives and using criticism as an opportunity for growth and improvement. Tanzania deserves leadership that upholds democratic values, protects human rights, and serves all its citizens. The path forward requires open dialogue, accountability, and respect for fundamental human rights. The power entrusted to leadership should be used to uplift and protect citizens, not to suppress their voices.
@Matikomitinidawa14 күн бұрын
Kenya si salama
@yasminoluoch16913 күн бұрын
Huu mchezo ni wa suluhu si wa kenya
@nathanngumi846713 күн бұрын
Baada ya dhiki, faraja!
@alexanderhaule766713 күн бұрын
KAOLE
@godfreymushi696614 күн бұрын
Nunuwa peppar spray uwe nayo kaa simu yako yaani maana ugekuwa nayo.ungewapulizia maana ni very strong
@patriot_202213 күн бұрын
na si wangemshoot? ama team ingine irudi kumteka na akose kuskika tena..
@tumainimwaifunga388414 күн бұрын
🙏
@jumarajabzayumba556512 күн бұрын
Cooked Story if you a listen well.
@abdalahngozi545512 күн бұрын
😂😂😂 mbn nilikua cmjui huyu kiumbe, anafanyia wapi izo harakati zake
@jacobcholkur777314 күн бұрын
I doubt
@monicaakinyi228414 күн бұрын
Jesus Christ 😮😮
@presentertelence167912 күн бұрын
Mama Samia Pia Amejua Kuteka Jaman
@FrancisNgomaitara10 күн бұрын
Kwan katekwa tz au unakurupuka ni Kenya huko
@melichmahingule289614 күн бұрын
POLE DADA MARIA
@FrancisNgomaitara10 күн бұрын
Wametumwa kutoka tz hao yan hata wakenya msifikilie kua ni serikal ya Kenya imehusika labda mlaumu police wa kenya kwa kutokua makin katika ulinzi
@suleimanabdillah749014 күн бұрын
Fabrication
@JumaSha-w5w14 күн бұрын
Pole Maria
@a.george0014 күн бұрын
Shameful for our country. May God protect you.
@ndogoroedson19912 күн бұрын
Tokeni hapa malaya tu ww
@owinod13 күн бұрын
This is very shameful. Does not even feel like Kenya anymore.
@godfreychaula396913 күн бұрын
sasa mbona mwandishi hujamaliza kuuliza ilikuaje aliachiwa na wapi....umekosea?
@martynkalasya378714 күн бұрын
Hao walikua wezi hatari
@brysonmandari569412 күн бұрын
Nani alitoa taarifa on time kua ulitekwa?
@andrewonsongo-r9u14 күн бұрын
wanakuja kujifanyia kenya kua ni wajuaji sana.watajua hawajui
@MohamedMganda14 күн бұрын
Kutekwa watekaji walijua unatoka muda huo na walijiandaa kabisa haingii akilini sijui kwa lipi bhana uliandaa tu huo mpango usidanganye watu maana wewe hauna madhara ni muongo muongo tu unajulikana na umeamua kujiajiri kwa kuchafua watu na serikali ya Tz bila sbb ya msingi
@felixkyamata791214 күн бұрын
Kichwa chako kina shida wewe ,,, mtu ataweza aje kujiteka nyara ?
@felixmakinda768914 күн бұрын
@@MohamedMganda aichafue serikali Chafu? Hivi wale waliopatikana porini walijiteka na kujiua
@crowdpleaserselector598014 күн бұрын
Wow Africa, Why 2025 and we operating in 80s mentality what s shame. This must be prosecuted to the highest extent. Otherwise thing will only get worse.
@RAMADHANKHAMIS13 күн бұрын
Hakujibu: "Ni kitu gani kilichochangia kuwachiliwa?" Na pengine zaidi: "Aliwachiliwa wapi? Na vipi?
@Sahlomon-jp4jr13 күн бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umegundua hilo ee?!!! Muongo huyu!!
@FrederickThadeo11 күн бұрын
wewe dada na shangazi na Wana halakati wengine nyinyi siyo chawa kama COVID 19 mungu atakulinda wanao igiza siyasa za kishetani mda wao una kwisha
@neporura867914 күн бұрын
Hii scenario inatia mashaka. Naomba nisiseme sana mwanasheria wangu bado Yuko likizo
@ericklaura751114 күн бұрын
Watu wamepigwa pipe , unawajua watekaji wew, according to Dada wa taifa
@Kabwela77614 күн бұрын
Mkuu aibu naona mimi lishangazi linavyojaribu kutulisha matango pori hivi si angemtafuta mtu amtengenezee story nzuri ya kutekwa ili atoboe ila kwa kiwango hichi cha uongo hatoboi Na hii drama yake 😅😅😅
@neporura867914 күн бұрын
@@Kabwela776 mtu hana vidonda vya pingu basi tuseme kapaka make-up usoni hadi mikono maana walikuwa wanamuimiza na pingu 😀😀😀
@Kabwela77614 күн бұрын
@@neporura8679 hilo lishangazi lisagaji yaani linasema uongo wa kipumbavu 😂😂😂😂
@neporura867913 күн бұрын
@Kabwela776 ndio maana amewachekea wale wadada wa kizungu akimaanisha karibu niku/uni....
@HijaSaid-t6c14 күн бұрын
Dereva ni mbwa alishindwa kuita watu,
@ericklaura751114 күн бұрын
Hapo sasa ? Gari aliweza kuifwata na kublock ila kwa nin asingepiga simu police
@tubonekisyegentleman120113 күн бұрын
😅😅
@clementiddi570814 күн бұрын
Hadithi njoo, utamu kolea. Red flags alert
@michaelkanene74413 күн бұрын
It's shameful to kenya as many will say.But if a may point out. Why was she in kenya. She is an anti Government in her country-TANZANIA which as kenyan we say in terms of upole we should learn from them.Tunasemanga hata police huko wanasemanga aomba nikamate wewe.But here one of their citizens alitorokea huku kwetu kumbaya.Are you thinking what I'm seeing 😅😅😅. HATA UKISKIZA alisaidiwa na police wa kenya
@chazyjacks67314 күн бұрын
Mungu anaweza ondoa lolote
@Kaylyn-z6y14 күн бұрын
Suluhu amekuwa kaongo
@JacksonMartin-pb2vq14 күн бұрын
Sasa walifunguaje mlango na mlango una lock 🔒
@GroliaMbuligwe14 күн бұрын
Inchi za watu huchukuliwi kizembe kama kwenye inchi ya shamba
@ericklaura751114 күн бұрын
Jamani inuma sana kama inavosemakana kafanyiwa body shame acts .😖
@roberttarimo495614 күн бұрын
Kenyans police speak good Kiswahili
@kambamazig0202414 күн бұрын
Hii inasikitisha sana na kuichafua nchi yetu. Mama tuokoe na maovu ya namna hii hata kama ni nje ya mipaka ya nchi yetu.
@josephmuiga-gx8vu13 күн бұрын
Maria,hamia Bukina Faso,hana huna bahati.
@MohamedSleyim14 күн бұрын
Yaani wewe mwanamke mmoja ukawashinda wanaume wote! Wewe ni commando.Jamani mnaniumiza.Nikitulia nitawapa.
@FhhH-d1u14 күн бұрын
Hao itakuwa ni wezi tuu
@peterhelpeterluena919113 күн бұрын
Ipo siku ukweli utafahamika
@mhehear14 күн бұрын
Hao watu waliokuwa wanaona na huyo dreva wa gari ulilokuwamo hawakufwatilia kwanini? Hii inamaanisha Kenya is no longer safe?? Je ni area gani ya jiji la Nairobi hilo tukio lilitokea na saa ngapi exactly??
@joaquimmasengwa128314 күн бұрын
Ukisikiliza vema maelezo haya, masikio yanaanza kuwasha na ubongo unaamsha maswali mengi sana ambayo hayajajibiwa na maelezo. Sincerely speaking, there are lots of unanswered questions from this!! Ulipelekwa mpaka wapi, uliachiliwaje, nami alikuja kujuokoa!!?? Dereva wako uliyemwita, alipotelea wapi!!?? Anyhow..... many questions left unanswered
@manasseoloo244414 күн бұрын
Wewe ngonjea siku utatekwa hakuna kitu unajua
@rosemunisi81814 күн бұрын
Wewe subir siku yako , utaomba msamaha
@neporura867914 күн бұрын
@@joaquimmasengwa1283 hakika mkuu. Inakuwa aje uache kuongea ukisikia polisi na hiyo ikufanye uamini kuwa serikali ya Kenya haihusiki. Mimi nawasiwasi na @amnesty kuwa wanahusika kutengeneza hii movie ambayo haijazaa matunda
@PoliteJustine-s9z14 күн бұрын
Sikiliza press confrence acha ujinga😂
@joaquimmasengwa128313 күн бұрын
@@PoliteJustine-s9z Sikiliza maelezo yake wewe acha ijinga🤔
@GreetyWillysiame14 күн бұрын
Nitajie mmoja uliyetetea haki zake maria
@darajalakidatukilomgi236214 күн бұрын
@@GreetyWillysiame Niko pale akitaja niite
@NeemaMasala-o7c14 күн бұрын
We nyoko hebu tulia humjui Maria
@KamugishaAnthony-e9i14 күн бұрын
Vizazi vya 2000 bana..
@Faridkhalid-z3p14 күн бұрын
Kenya haiusiki na hili, hii ni mbwa wa samiaTanzania
@Tony-im6ub14 күн бұрын
Polisi kenya wanatumika vibaya
@BarikiJSAssey14 күн бұрын
Tatizo hawa wanaofanya haya wanafikiri wao wataishi milele hapa duniani.
@EmmanuelNyinyigwa-m1o14 күн бұрын
Wala sio Kwa ujanja wako dada usiongee kama shujaa. NI mungu Tu ndo kakuokoa. Hao watekaji wange taka kukuzulu wala usinge ongea hayo
@Agnes-mu8qc8 күн бұрын
Those abductors are shameless, they even had the audacity to handcuff Ms. Maria. Kenya Government is failing under Ruto.
@MjukuuKioko13 күн бұрын
Tundu lisu alipigwa risasi karibu kufa akaja tibiwa kenya ...mbona hukuuawa kama kenya ni mbaya !? Alafu hio sio kutekwa nyara ...hio ni bongo movie munatuletea hapa kwetu mukitafuta kiki za hela kutoka kwa wazingu
@abdalahngozi545512 күн бұрын
😂😂😂 bora watu washaanza kuelewa propaganda mbovu eti bbc ni akina nani..??
@Felix7228214 күн бұрын
Mimi sijaelewa kuhusu hii story.
@kelvinmasungakilunguja753914 күн бұрын
Hata Mimi pia afukuzwe Kenya Rais Ruto awez kufanya ujinga uwo
@stanleymadata876714 күн бұрын
sioni majeraa na story yake aina kweli una sema kiswahili ulisikia ndio ushaidi huo au tunapenda story tu ongea na itoe tanzania ajiamini yeye na bbc eti kiswahili chake una uwakika 100% naunaitaja tz embu achakuchafua tz na fanya kazi huko kwenu mbona huko pia shida zipo nyingi
@Sahlomon-jp4jr13 күн бұрын
Hakika haeleweki. Narudia, muongo huyu
@valentinofarby96812 күн бұрын
Muongo huyo mama
@AbdulAwadh14 күн бұрын
😂😂😂😂
@MjukuuKioko13 күн бұрын
So watu wanakuja kenya ...kuaribia kenya alafu hapa munasifu !? .. kenya kuna wanaharakati wangapi!? Kuna mmoja wao ashawahi tekwa !? Lets be serious...haja sema aliachwa vipi ama aliokolewa vipi !?
@chitwa.k.902813 күн бұрын
Shame on you Ruto! Shame on you!!!! Why are you abducting women & children??!
@felixkyamata791214 күн бұрын
Kenya imekuwa nchi ya maovu
@tesiustheonest159211 күн бұрын
Na huyo driver baada ya wewe kutekwa yeye alifanya nini pale pale na baada ya hapo alichukua hattua gani??