Marijani Raajab - Mwanameka

  Рет қаралды 316,052

Tizedboy Zilipendwa Channel

Tizedboy Zilipendwa Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 143
@lynna6185
@lynna6185 8 ай бұрын
The year is 2024 and I'm still listening to this timeless classical song. Marjani oozing wisdom 🙌
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 5 ай бұрын
we're together now
@benjaminsanare-ug6ge
@benjaminsanare-ug6ge Жыл бұрын
Tunaomsikiliza Marijani rajabu 2023 gonga like apa
@wangaable
@wangaable 14 жыл бұрын
tized boy wewe ni wetu tena sana for posting this song. In the 70'sand 80's we were spoilt for choice as we had real good stuff from Tz, Zaire and of course soul, r 'n'b.We assumed we had a divine right to access great music and we probably didn't appreciate it as much as we should have. With the benefit of hindsight though, we now know better as what passes today as music is just intolerable noise. Lovers of real music like me know the world is suffering from an acute dearth of quality music.
@juliusotucho4436
@juliusotucho4436 6 ай бұрын
Wenye mtakua hapa 2090 jua kuna wakati we had real music composers!!!
@clivemuseveni7786
@clivemuseveni7786 3 жыл бұрын
Karibu niyapitie hayo hayo masaibu ya Musa, ni mungu tu aliingilia ndoa yangu. Nilikata shauri maneno ya wanawake wa nje sitaki tena. (True story)😱😱😱
@aminarashid3916
@aminarashid3916 2 жыл бұрын
Huu wimbo ulitutoa jasho kwenye wa mtihani wa kiswahili wa IV.Sijuhi rekodi hii ya kuingia kwenye mtihani wa Taifa IV Itavunjwa na wimbo gani kwa wasanii hawa wa leo
@faisalyasin6534
@faisalyasin6534 8 жыл бұрын
Namkumbuka Marijani, akiwa na Morani Jazz..... alikuwa akiishi Hoteleni, karibu sana na nyumbani kwetu.........namkumbuka sana na Kaunda suti........RIP....mungu akuweke mahala pepa peponi.
@bismassshilla2025
@bismassshilla2025 6 жыл бұрын
hatariiiii!!
@nickosimchimba8176
@nickosimchimba8176 5 жыл бұрын
Mim ni kijana wa miaka 25 lakin napenda sana hiz nyimbo zina maadili na heshima!!!!sio kama za kihuni za sasa
@HabibuThabiti
@HabibuThabiti 6 ай бұрын
Sio WW ata mimi nazipenda Sana
@edwardpeter8569
@edwardpeter8569 5 ай бұрын
wewe ni wa pekeee
@HabibuThabiti
@HabibuThabiti 5 күн бұрын
Sio ww adi mimi
@nikompemba3655
@nikompemba3655 5 күн бұрын
Karibu
@flowila82
@flowila82 9 жыл бұрын
safi sana, mashairi yaliyokamilika mpaka balaza la mitihani tz iliamua kutumia bahadhi ya maneno ya hizi tungo kwenye mitihani ya shule, pumzika kwa amani jabal la muziki
@antonia76ful
@antonia76ful 14 жыл бұрын
walai nakushukuru sana sana kwa huu wimbo,i takes me back in time na inanikumbusha wazazi wangu.i cant explain wat memories this song brings,oh it rocks.thanks once again
@beatriceomukuti4479
@beatriceomukuti4479 2 жыл бұрын
Wasema polepole!
@emmanueljoseph6171
@emmanueljoseph6171 7 жыл бұрын
Nyimbo zenye maudhui na ujumbe ulioshiba,mashairi yenye mpangilio hadi raha,
@stephenndagalla8183
@stephenndagalla8183 6 ай бұрын
Mashairi bora na tunzi yenye mafunzo, hadi moja ya ushairi wake kuingizwa kuwa moja ya maswali ktk mtihani wa kidato cha 4 mwaka 1974. Somo la Kiswahili (fasihi).
@ahmedmhekela9297
@ahmedmhekela9297 2 жыл бұрын
Noma sana hivi visa vipo na ni mambo ya kujifunza Mussa aliumwa na nyoka bonge la Fasihi.
@aggreychoreh9937
@aggreychoreh9937 Жыл бұрын
Mambo haya kawaida, wimbo huu naupenda Sana, wanikumbusha radio vok Kenya,
@kachme6719
@kachme6719 9 жыл бұрын
Nilisikia nyimbo za Marijani nikiwa shule ya upili miaka hiyo ya themanini. Wimbo huu Mwanameka ulinigusa sana hadi leo hiI.Nikiusikia tuu, katika fikra nikiwaona wahusika wakuu na msimulizi.
@OmaraDuke
@OmaraDuke 12 жыл бұрын
Every time nikisikia hi song, mi ukumbuka niki stray nitakuwa kama Musa. Mwana Meta umeleta maneno. Just keep your maneno from me.
@wafulab
@wafulab 8 жыл бұрын
This was the best of them all. Packed with wisdom, carefully crafted, you can't pass this one over. Made my teenage years memorable. I will still appreciate a better quality sound-wise. It used to play better on KBC/VOK na sauti zote zilitoka, mdomo wa bata, senyenge....
@beatriceomukuti4479
@beatriceomukuti4479 2 жыл бұрын
I had to look for the original cd. I play it almost everyday.
@fredrickkassilly3142
@fredrickkassilly3142 Жыл бұрын
Wonderful Music. It Educates. It Entertains. It Informs. Full Of Wisdom. Vielen Danke Marijani Raajab!!!
@majolasaid1529
@majolasaid1529 8 жыл бұрын
Mwanameka ni wimbo safi sana unanikumbusha miaka mingi ilyopita niko shule tukaimbiwa na mwalimu wetu katika mada ya Fasihi simulizi kipengele cha sanaa uko poa sana kuliko nyimbo za kileo ila tunaba muurushe ktk mitandao mengine ili yupate ku download
@kapituomary2344
@kapituomary2344 6 жыл бұрын
Majola Said kweli kaka halafu hapa wameweka haujakamilika
@milphatmasoud5317
@milphatmasoud5317 3 жыл бұрын
Hii wimbo wawezakushiba hatakamaunanjaaa
@SuperDeogratius
@SuperDeogratius 11 жыл бұрын
hizi ndio nyimbo ndugu zangu na sio nyimbo za mipasho now days
@jessicandabey421
@jessicandabey421 7 жыл бұрын
form four nilikumbana na wimbo huo, ilkuwa kazi kubwa.
@kelvinwilliam7754
@kelvinwilliam7754 3 жыл бұрын
DAAA NI KWELI
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 Жыл бұрын
Nlichua A YA KISWAHIL KIDADAVUA HUU WIMBO NECTA 1991
@wachiramoses9388
@wachiramoses9388 2 жыл бұрын
Reminds me of a guy we used to call Rurigi back in 1977-1979, this guy left his aging Grandparents and went his own ways,never looked back. His grandmother died in 1980 and was interred at Nanyuki Cemetery while his Grandfather died later in July,1984 and was buried at my neighbour's farm,this man has never come even to see his grandfather's grave,Rurigi wewe!!!
@mswahili75
@mswahili75 12 жыл бұрын
mungu wangu. tuliokuwa marekani tukisikia hii we freeze
@stephenmokaya
@stephenmokaya Жыл бұрын
How can download it
@kingcool77
@kingcool77 13 жыл бұрын
wangu hizi ndio za kutukumbusha wapi tunapotoka km uko nayo ya mama maria sio mbaya yaanani naipenda sana nyimbo hiii woooooooooooooooooooooooh
@nemestemba8764
@nemestemba8764 8 жыл бұрын
A Good Song with teachings for married couples
@kapituomary2344
@kapituomary2344 6 жыл бұрын
Ulivyogungua nimlembo ukazidisha na mapambo mwanamekaaeee
@livancenjau7332
@livancenjau7332 3 жыл бұрын
Baada ya kisa eehe mwanameka umefanya mkasa,kweli wani sikitisha,mara musa humtakieee hata kumuona upendi,sasa musa ame umbuka kakosa mwana na maji ya moto,
@bakarihassan9072
@bakarihassan9072 2 жыл бұрын
this song make me crying cause is my grandmother favorite now she's passed away
@hamphreyhlyatuu5215
@hamphreyhlyatuu5215 4 жыл бұрын
Nyimbo za Marijani raha na ujumbe mzito
@deekeyish
@deekeyish 13 жыл бұрын
mshanaeli ....umegonga ndipo,wapo wengi sana kina mwanameka...chunga sana kaka brother usije ukatumbukia kwenye mzinga wenye nyuki,uwanja mdogo bwana.Wimbo una mafunzo tele .
@newtonsimba7930
@newtonsimba7930 Жыл бұрын
Awesome. Mawaidha mufti❤️🇰🇪.
@eustusmunene9397
@eustusmunene9397 2 жыл бұрын
My all time favorite, the story is so good to listen, the swahili words well arranged and narrated.
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 11 ай бұрын
Asante mungu kwa maisha ya jabar msamehe mazambi yake yote mlaze pema peponi
@shajjaraimmu7122
@shajjaraimmu7122 5 жыл бұрын
"Mwanameka umesababisha maneno mtaani, kila mmoja ameshachoshwa na matendo yako" Haya maneno nimeyaona
@FranklinMtei
@FranklinMtei 10 жыл бұрын
Hongera kaka kwa kutuwekea hizi mavitu. Nakushauri uziweke kwenye Podcast ili tuweze kuzistream na kusikiliza
@renathamukinga9282
@renathamukinga9282 2 жыл бұрын
Ibilisi wa MTU ni MTU, kweli kabisa SHUJAA MARIJANI
@HabibuThabiti
@HabibuThabiti 5 күн бұрын
Khakhakha umeonaee
@mbwanakivava461
@mbwanakivava461 6 жыл бұрын
Ya Allah muweke mahali pema Marijani Rajab
@binrashid8671
@binrashid8671 2 жыл бұрын
Nenda kwenye amali zake njema bila shaka hakosi, huko ukamuombee dua hizo
@zeitunsalim2450
@zeitunsalim2450 8 жыл бұрын
Mwanameka mziki tamu ajaaaab tutafutie original yake
@happymasanja7949
@happymasanja7949 6 жыл бұрын
Nakumbuka enzi hzo namskia mama anaimba mida ya saa nne asubuh jpil radio one
@lameckisaya
@lameckisaya 11 жыл бұрын
It is my favourite song, Nahc Kama nami nilikuwepo, lakini niliweza Kuuckiliza miaka Ya 94/5,
@JJ-fb9jp
@JJ-fb9jp 2 жыл бұрын
Mwaka 86 dadaangu alikuwa anauweka tunasikiliza sebuleni, dada alifariki Sasa nikiusikiliza namkumbuka dada nashtukua chozi linanitoka. Mwanameka unanifanya nammiss my sister 😭😭😭
@godwinmlay9178
@godwinmlay9178 8 жыл бұрын
nimefanyia mtihani wa Kiswahili huu wimbo 1991
@sharifuissa5283
@sharifuissa5283 7 жыл бұрын
yeah bro, that was the best decision by the ministry of education
@piltermediaafrica7254
@piltermediaafrica7254 2 жыл бұрын
Kumbukumbu nzuritu miaka ya jana katika shirika la utangazaji la KBC hususan mziki wa adhuhuri. Zilizopendwa hoyee, Mwanameka hoyee, Rajab safi sana. Salamu za dhati kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪
@babmushe
@babmushe 15 жыл бұрын
Fantastic beats...great blending sounds. Mwanameka uvunja unyumba kwa Musa. Wow. Some one to put the lyrics in Swahili. Merci mingi merci mingi.
@rawlinsmk
@rawlinsmk 14 жыл бұрын
kazi nzuri baba...sambaza Moreno Batamba kama unazo!!!
@Tomo-vn8cc
@Tomo-vn8cc 7 жыл бұрын
nyumbo nikama hizi sikamaka za leo watu wakipanda jukwaani mpaka Washoe hapo mbele,nashangaa!
@ongusomasoka
@ongusomasoka 8 жыл бұрын
Record nzuri mno... ujumbe na usemi teletele
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 6 жыл бұрын
Katika harakati za binadamu hakuna ambacho hajakiimba,yaani huyu jamaa ni kama Robert Nesta Marley kwenye reggae,hakuna mwanamuziki Tanzania mwenye kipaji cha kuimba na sauti yenye mvuto,mtetemo na hisia kali,pumzika baba nyimbo zako mpaka leo bado zina mafundisho,utakumbukwa daima,mimi namuita Jiwe Jeusi Gumu(Hard black stone).
@maimunakassim2840
@maimunakassim2840 3 жыл бұрын
2021 mpo mnao sikiliza
@ambakisyemwakatumbula3952
@ambakisyemwakatumbula3952 3 жыл бұрын
Wote tumepitia hapa siku moja 💪💪💪💪
@hellenjoseph38
@hellenjoseph38 3 жыл бұрын
🔥
@sasaamercy
@sasaamercy 12 жыл бұрын
thanks for posting this song
@makumbele
@makumbele 16 жыл бұрын
Kweli Sheik. zitandae.
@bhonatesha2390
@bhonatesha2390 7 жыл бұрын
jamani form iv 1991. wimbo ulitoka kwenye paper.
@iddaadams7351
@iddaadams7351 3 жыл бұрын
😘😘
@rademm8924
@rademm8924 2 жыл бұрын
Yeah kumbe we Mkubwa mwenzangu eeh
@alexwangila219
@alexwangila219 2 жыл бұрын
Good song with ideal teachings to married couples..." Musa ameonja hasali anataka kuchonga mzinga"
@juvenalalexander251
@juvenalalexander251 12 жыл бұрын
rest in peace king Marijan. we can't forget yo'r strong messages. ulizaliwa kuimba, hilo halipingiki. juvenal mwoshezi.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Жыл бұрын
Mwanameka - Dar International (Marijani) Lyrics [Wote] Kweli penzi eee, penzi lavunja udugu Watu wakakorofishana, wakakosa kusikilizana Penzi lavunja unyumba eee, nimeyaona kwa Musa Mwanameka umeleta maneno, umeuvunja unyumba kwa Musa Mwanameka eeee, Mwanameka jirani yangu Mimi naona vibaya....... Umemponza mamaye , umemponza mwenzio Mwanameka umeleta maneno, umeuvunja unyumba kwa Musa Uliposikia eee, kwamba Musa ameoa Kaoa mke wa ndoa....... Musa sasa katulia eee, uhuni kaweka kando Ukatumia kila uwezo, kuyabadili mawazo ya Musa Watambua eee,ukifusa(?) urembo Ukazidisha na mapambo, vipini wanja kwa poda eee Na mwendo wako maringo... Musa macho yake yameona, na moyo ukaanza sononeka Ukabadili na njia eee. lazima upite kwa Musa Ukenda sokoni kwa Musa.... Musa amevumilia eee, mwisho kapotea njia Kakusimamisha bila kutambua, akazungumza neno la mapenzi Ulipopata kauli yake, ukakubali bila kusita Uliyotaka yamekuwa...... Kazi ikawa ni moja, ni mapenzi motomoto Umempa pendo lenye huba, maneno matamu kama asali Ukichanganya na urembo wako, Musa kanasa kwenye ulimbo Akili zake zimemruka... Kwako wala habanduki, kwa mkewe hakumbuki Amekwisha ionja asali, anataka kuchonga mzinga Penzi nalo eee, penzi nalo halina siri Na siri si ya watu wawili... Mkewe Musa katambua, naye kadai talaka Hakuliki wala hakulaliki, mpaka Musa katoa talaka Baada ya kisa eeee, Mwanameka umefanya mkasa Kweli wanisikitisha.... Mara Musa humtaki, hata kumuona hupendi Jama Musa ameumbuka, kakosa mwana na maji ya moto Kweli penzi eee, penzi lavunja udugu Watu wakakorofishana, wakakosa kusikilizana Penzi lavunja unyumba eee, nimeyaona kwa Musa Mimi sasa nimeshaamini, Ibilisi ya mtu ni mtu (Chorus) [Wote] Kweli Mwanameka umefanya madhambi makubwa Mambo ulomfanyia Musa yanasikitisha Eee Mwanameka mkasa uliofanya ni wa mwaka Ooo bwana Musa hatokushau mpaka kufa Tena amekwisha apa mambo ya upuuzi hataki tena Keshaumwa na nyoka akiona unyasi anashituka Eee Mwanameka hebu punguza matata [Marijani] Mwanameka umetuachia hadithi mitaani Kila mmoja anashangazwa na vitendo vyako Kila mtu anasimulia mambo yako Ati watu mama wanasema....... [Wote] Mgombanishi.... [Marijani] Kweli watu mama wanasema.... [Wote] Muhuni [Marijani] Ati watu mama wanasema....... [Wote] Mdanganyifu [Marijani] Kweli kweli kweli Mwanameka.... [Wote] Umezidi [Marijani] Oooooooo Mwanameka [Wote] Umezidi [Marijani] Mwanameka umetuachia hadithi mitaani mama aaa [Wote] Kweli mwnameka umefanya madhambi makubwa.........
@collinskipngeno464
@collinskipngeno464 Жыл бұрын
Can we get a clear copy please...great message 😍
@jakadenge
@jakadenge 14 жыл бұрын
Asali kaonja tayari huyo!
@jamilamillas1095
@jamilamillas1095 8 жыл бұрын
hizi ndio nyimbo zangu
@victormkongewa2680
@victormkongewa2680 7 жыл бұрын
mi zimenilea,hongera at thay age
@joelyahaya8663
@joelyahaya8663 5 жыл бұрын
Zinaerimisha. Nasio. Kupotosha. Sio. Za. Sasa. Mtusikibao
@jessejohn6915
@jessejohn6915 Ай бұрын
Mwaka 1982,nilihamishiwa shule ya Msingi Chanzige Kisarawe. Ni huu wimbo uliokuwa kumbukumbu yangu...
@HabibuThabiti
@HabibuThabiti 10 күн бұрын
Ilikuaje eb nambie kdg
@otienoombok8246
@otienoombok8246 12 жыл бұрын
moto sana... strong social message
@davidkipkore3024
@davidkipkore3024 Жыл бұрын
Mwanameka give boyshoud a break please😂😂
@shillingiomar6902
@shillingiomar6902 2 жыл бұрын
Aah ata Mimi nimeamini Eblis wamtu ni mtu wimbo huu unanikumbusha mwaka(1985) wakati wazee wakutuambia tuusikilize kwa maakini
@jaotenoah1976
@jaotenoah1976 12 жыл бұрын
Godfrey huo muziki ninao ngoja tu nitaiconvert kutoka audio hadi flv kisha nitaiupload. umechezwa na marijani rajab unaitwa mpenzi aisha
@hamphreyhlyatuu5215
@hamphreyhlyatuu5215 7 жыл бұрын
Wanawake acha Tania kama za Mwanameka. Ndoa za watu ziacheni
@hamphreyhlyatuu5215
@hamphreyhlyatuu5215 7 жыл бұрын
........acha TABIA
@zuhuranjeri1663
@zuhuranjeri1663 6 жыл бұрын
Ingawa bado mi mdogo ila sasa naelewa mbona ma star wa bongo wanaimba nyimbo zilizo na ujumbe wa ki elimu kumbe imetokana na foundation waliocha mababu zao. Sauti nzuri
@shabanibumbolikassike.8085
@shabanibumbolikassike.8085 5 жыл бұрын
Kweli sio uongo yani we acha tu yani hapo machozi yananitoka!
@johnstonekhamisi3519
@johnstonekhamisi3519 3 жыл бұрын
Would Men be more carefully as go engagement ! Love is suitable , only it's in roam romantic ! No contentiousness formulated. . .
@calvinogembo1820
@calvinogembo1820 3 жыл бұрын
Since 1992 imagine
@Mwarimbo
@Mwarimbo 7 ай бұрын
Penzi ni kali
@antonia76ful
@antonia76ful 14 жыл бұрын
please tell me where i can get this CD
@calvinogembo1820
@calvinogembo1820 3 жыл бұрын
There is a song which says...sainaa oh sainaa ya maama...although this may not be the spelling I wish whoever knows the proper title and artist to tell me
@godfreyjoachim7092
@godfreyjoachim7092 12 жыл бұрын
huu wimbo ni mzuri wadau ila kuna wimbo mmoja nautafuta sijui aliuimba nani unaimbwa "mpenzi aisha nakwita mamaa...mpenzi ulisema tutaonana dar es salaam" kama kuna mtu ameufahamu au upload ntashukuru sana
@jamilahiyosikesiujafumanuw8644
@jamilahiyosikesiujafumanuw8644 7 жыл бұрын
zamanikurikuwananyimbo unahiyerewa safisana henziyaudogowangu
@chachamadini9372
@chachamadini9372 6 жыл бұрын
Godfrey Joachim ,ulie uimba ndo huyohuyo marjani huo wimbo godfrey
@chachamadini9372
@chachamadini9372 6 жыл бұрын
Godfrey Joachim muimbaji Wa wimbo huo nihuyuhuyu mrjan
@leonardkipondya4216
@leonardkipondya4216 6 жыл бұрын
Ya kale dhahabu
@mutisomweu9293
@mutisomweu9293 2 жыл бұрын
Pure genius.
@ericernest845
@ericernest845 5 жыл бұрын
Reminder NECTA 1990
@iddaadams7351
@iddaadams7351 3 жыл бұрын
1991
@mammukaratu2084
@mammukaratu2084 Жыл бұрын
91 ha ha haaa
@davidmulama9333
@davidmulama9333 Жыл бұрын
Yanikumbusha kipindi cha redio KBC, siku hizo ikiitwa sauti ya Kenya, kilicho itwa chaguo lako barua, nakika andaliwa na mtangazaji Eddy Fondo. Miaka ya thamanini.
@halima3821
@halima3821 15 жыл бұрын
tizedboy asanteni kwakazi bubwa raha tupu
@bensonmangenge8436
@bensonmangenge8436 Жыл бұрын
Wacha wivu Musa ameoa kipenzi Cha roho
@fatmasalim8293
@fatmasalim8293 4 жыл бұрын
Nice song
@mugendimwega1968
@mugendimwega1968 5 ай бұрын
Nani yupo hapa katika wimbo huu2024?
@johnstonekhamisi3519
@johnstonekhamisi3519 3 жыл бұрын
For those in love , it's now a mild framework's .
@munakassim3521
@munakassim3521 6 жыл бұрын
Nakumbuka mwaka 1991
@rademm8924
@rademm8924 2 жыл бұрын
Form four paper la Kiswahili
@mwanahamkoba6148
@mwanahamkoba6148 8 жыл бұрын
enzi zangu nilikua nazunguka na karedia ka wawe mawili nimeipenda paka sasa wacha manyimbo za cku kadukadu hata huelewi lolote ni fujo tu
@zuhuranjeri1663
@zuhuranjeri1663 5 жыл бұрын
2019 October
@samtokarubandika387
@samtokarubandika387 5 жыл бұрын
October 2019
@sangomaamourice8978
@sangomaamourice8978 6 жыл бұрын
Sina chA kusem kwa jabar hili
@ruthykaysruthkarashani3085
@ruthykaysruthkarashani3085 11 жыл бұрын
The real thing happening in my life now as my husband s. colleague has been flashing her eyes at him and driving to our road to pick him up! And now he hates his family coz of her!
@sakumunalakamanqanqax
@sakumunalakamanqanqax 3 жыл бұрын
Nami pia nimeshaamini ibilisi wa mtu ni mtu 😈
@martinkapchanga9746
@martinkapchanga9746 7 жыл бұрын
Penzi lavunja udugu
@victormkongewa2680
@victormkongewa2680 7 жыл бұрын
sisemi kitu asante sana "jabali la music"
@joshuamaviti2836
@joshuamaviti2836 10 жыл бұрын
can you get better quality of Mwana Meka?
@joshuamaviti2836
@joshuamaviti2836 10 жыл бұрын
Nope, am looking for it. Was my favourite song. Asante kwa wema wako
@charlesnyamu3753
@charlesnyamu3753 8 жыл бұрын
+Joshua maviti For years Ive listened this same quality, I think it is the original work.....vyombo vya kisasa vimebadlisha mipigo lakini daima ujumbe ni dhahiri kwa majabali.
@joshuamaviti2836
@joshuamaviti2836 8 жыл бұрын
OK. Nakumbuka quality ya KBC huko 90s. Wimbo wa maarifa kweli.
@mgumbrii
@mgumbrii 13 жыл бұрын
il stay single 4 life
@manyeingok
@manyeingok 13 жыл бұрын
Poor Musa!
@chomaroyalchiefdom1907
@chomaroyalchiefdom1907 2 жыл бұрын
Wow
@godlistenmuro9313
@godlistenmuro9313 Жыл бұрын
🎉🎉🎉🎉
@richmahegah7740
@richmahegah7740 6 жыл бұрын
sawa
@fatmafatmah765
@fatmafatmah765 7 жыл бұрын
Me apa
@emacejuenterprisecompanylt5836
@emacejuenterprisecompanylt5836 7 жыл бұрын
mziki
@mussakuchepa9023
@mussakuchepa9023 7 жыл бұрын
khangamoko
Tanzania - Marijani Raajab - Namsaka Mbaya Wangu
8:26
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 584 М.
Marijani Rajabu - Masudi
7:46
Power Nguzo
Рет қаралды 416 М.
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 262 #shorts
00:20
REAL 3D brush can draw grass Life Hack #shorts #lifehacks
00:42
MrMaximus
Рет қаралды 12 МЛН
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Mwana Meta
7:05
Dar International - Topic
Рет қаралды 13 М.
Marijani  Raajab - Salama
6:35
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 324 М.
Mwanameka..... Masaibu ya Musa....
4:38
White Webuye
Рет қаралды 29 М.
Les Wanyika - Barua Yako| Kasuku
13:38
Nyimbo za zamani
Рет қаралды 915 М.
NDOA YA MATESO (cover) Lejendari MARIJANI RAJABU
6:39
babloom kisauji
Рет қаралды 120 М.
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 781 М.
Si Wema
6:41
Dar International - Topic
Рет қаралды 16 М.
DDC Mlimani Park Orchestra ~ Majirani Huzima Radio
7:08
groovemonzter
Рет қаралды 609 М.
Hatari Kubwa
7:31
Dar International Jazz Band - Topic
Рет қаралды 25 М.
Tanzania - Marijani Raajab  - Uke Wenza
6:37
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 343 М.
Yay, My Dad Is a Vending Machine! 🛍️😆 #funny #prank #comedy
00:17