Marijani Raajab - Salama

  Рет қаралды 324,831

Tizedboy Zilipendwa Channel

Tizedboy Zilipendwa Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 137
@sunyareh
@sunyareh 3 жыл бұрын
Huu wimbo wanikumbusha kwetu korogwe na jirani yangu alikua anaitwa Salima.
@fatmasuleiman3885
@fatmasuleiman3885 28 күн бұрын
Allahamdulillah mwenyezimungu akupe nuru ktk kaburi lako.hizo tunzo hazitarudi tena!🙏
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 3 жыл бұрын
Maskini wee! Pole Marijani , umelalamika Sana. Asante kwa burudani na R.I.P
@zonko0488
@zonko0488 5 жыл бұрын
Kwa jina Salama nakuomba Salama nakwita Mwanamama, umenipata majonzi majonzi yasiyokwisha nifanye Mwanamama, tangu utoto tulikuwa wote tulipendana kama watoto mapacha…...Ahsante sana Doza!!! Mwana Tambaza Original
@isaachayes9783
@isaachayes9783 5 жыл бұрын
Hakuna na hapajatokea hadi leo mwanamuziki wa kiume mwenye sauti kama marehemu marijan rajabu! Rest In Peace king of kings
@sunyareh
@sunyareh 3 жыл бұрын
Kabisa hapo umenena ya kweli. Mungu amlaze pema penye amani.
@raphaelnambombi3709
@raphaelnambombi3709 8 ай бұрын
Kwa mbaali labda Niko zengekala
@therootoflife5290
@therootoflife5290 7 жыл бұрын
Great song that brings precious memory, unanitoa machozi hapa, nakumbuka kaka zangu, Dada zangu, baba zetu, mama zetu nk nk, ambao wametangulia mbele za haki.... Music is stronger than knife..
@khalfanshahabakar7439
@khalfanshahabakar7439 3 жыл бұрын
Nilizaliwa 1971 these are the great songs. Marjan manet nico.
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 6 жыл бұрын
Nyimbo zenye ujumbe,busara,mapenzi,maisha,masikitiko na majuto,hakika ni jiwe gumu,maana siyo jabali tena;duuuuuh hatari sana.
@fredricknkwanga7845
@fredricknkwanga7845 4 жыл бұрын
Heshima kwako Marijani Mungu akupe pumziko .
@hamisidale2704
@hamisidale2704 6 жыл бұрын
RIP marijani, poa Kaka poa mungu akupe pumziko jema, Hamisi Dale
@MrMsomali
@MrMsomali 12 жыл бұрын
Sad to hear of Gordon`s plight,and wish him well. See,he should be thanked as the man who gave Jabali la Muziki his break. Anything else that Marijani achieved in music;fame,legendary status and being warmly taken in peoples heart,was solely due to his unique talent,which was god-given,and which only one other Tanzanian musician could claim to have. That was Mbaraka Mwinshehe. These two,were the only genieus in music,that the country has ever produced. I rest my case.
@abdallahmohammed1997
@abdallahmohammed1997 5 жыл бұрын
Alistahili kuitwa jabali la muziki, kupata mwanamuziki wa ubora wake itachukuwa dahari kadha.
@hasacustomsclearance5849
@hasacustomsclearance5849 7 жыл бұрын
hakukuwa na producer kipindi hicho, simama mbele piga gita au piga ngoma na kuimba. RIP legendry
@nkongemwakatage1774
@nkongemwakatage1774 8 жыл бұрын
Inawezekana kila jambo na wakati,lakini kila nikipima Miziki ya enzi hizo na sasa,ya enzi hizo ilikuwa MOTO
@moshyjanga5181
@moshyjanga5181 8 жыл бұрын
Sikikza,salama,mayasa,Vicky,Margret,masudi ndoa ya mateso,nk Leo nani kama marijani,achilia mbali mwajuma,mwanameka,dunia imani imekwisha,e bwanae ya kale in dhahabu
@sunyareh
@sunyareh 3 жыл бұрын
Huu wimbo na zuwena ndo zilikua zangu.
@Kapunyu
@Kapunyu 16 жыл бұрын
ASANTE SANA TIZEDBOY,Zitafute kwa wingi za marehemu Marijani na hata zile za wakati akiwa na bendi ya Safari Trippers coz sikumbuki kama kuna wimbo wowote wa Marehemu Marijan haukuwa mtamu.endelea tizedboy kwa kazi yako nzuri.
@gilbertmasaki2965
@gilbertmasaki2965 6 жыл бұрын
Zote sawa za mawaida
@shabanibumbolikassike.8085
@shabanibumbolikassike.8085 5 жыл бұрын
Duuu! We acha tu machozi kibao!
@mayamba65
@mayamba65 15 жыл бұрын
Tizedboy, nimeona unayajua mambo. Umeyavulia nguo sasa yaoge kaka!!! Naomba kama waweza kupata wimbo wake mwingine uliokuwa ukiitwa UKE WENZA. Pamoja na mwingine ukiitwa MUME WANGU. Jaribu kakangu turudishe siku za zamani japo kwa kujipumbaza tu.
@abduliharuna6459
@abduliharuna6459 4 жыл бұрын
Dahaa huyu marijani fundi hatariiiiiiiii
@chachamadini9372
@chachamadini9372 6 жыл бұрын
Hizi ndizo zilikua nyimbo na sihaya madudu yasasa
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 4 жыл бұрын
Duh Marijani hapa alipanda sana ktk pitch ya juu.Nimejaribu kuifuata sauti yake koo likaniuma.Wimbo mzuri sana una hisia kali
@365lau8
@365lau8 Жыл бұрын
Vijana wa Sasa wajifunze miziki hii
@365lau8
@365lau8 Жыл бұрын
Labda kuwe na shule ya miziki ya zamani tutafanikiwa
@godstevenmaro9720
@godstevenmaro9720 2 жыл бұрын
Kazi nzuri Tizedboy. Naomba wimbo wake wenye maneno "Ohh usichezee moto. Usichezee moto utalungula."
@khalidmakumulo8294
@khalidmakumulo8294 7 жыл бұрын
That why he was called Jabali la Music it will never come to happen again, old is gold.
@catherinemsoffe8787
@catherinemsoffe8787 7 жыл бұрын
sauti mpk vinyweleo vinasimama, sikumkuta Bali nyinbo zake nimetokea kuzipenda sana.
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 7 жыл бұрын
Haswaaaa...Marijan alikuwa mahiri sana
@yasinoo1979
@yasinoo1979 6 жыл бұрын
Acha tuuu
@fetysalum4285
@fetysalum4285 5 жыл бұрын
Marijani cmjui ila nyimbo zake nzuri sana nazipenda
@jafaripaje5366
@jafaripaje5366 4 жыл бұрын
@@fetysalum4285 Alifariki mwezi Machi 1995. May his soul rest in perfect peace ameen.
@aloycetemba8652
@aloycetemba8652 3 жыл бұрын
I acknowledge you professor De La Chance Kassim Mponda kwenye hili solo. Limeenda shule
@mtengwa
@mtengwa 13 жыл бұрын
asante sana, je naweza kuzipata wimbo hizi Pendo si kulazimishana
@subiracatering6751
@subiracatering6751 8 жыл бұрын
We won't get musician like him. songs like oh Olila, Salama, Gogina, and many it was my time
@simaisilima7548
@simaisilima7548 6 жыл бұрын
Raaaha kabisa burudani sana hizi ndio nyimbo
@Faridagongo
@Faridagongo 5 ай бұрын
Wajina wa baba yangu nilikua namkuli sana sana hata nyimbo iwe mbaya kwake itakua nzuri allah awapunguzie adhabu ya kaburi
@benjaminbarnabas4362
@benjaminbarnabas4362 6 жыл бұрын
sikufanikiwa kumkuta apa duniani ila nitabakia kuwa shabiki wake mpaka na mimi umauti utakaponifika
@yussuphmoto9965
@yussuphmoto9965 6 жыл бұрын
Rest in peace Baba. Good music forever.
@khamiskhamis864
@khamiskhamis864 Жыл бұрын
Hakika sauti tamu, mziki mzuri, burudani ya aina yake na raha ndani ya roho inayoleta hisia ya faraja na kuridhika na kuona dunia njema kuisha na kuwepoa zaidi. Raaaha ilioje hiii
@MissDGordon
@MissDGordon 12 жыл бұрын
Mr Msomali, MR David Gordon had two strokes and one minor stroke, he wasnt walking,talking properly and his memory wasnt really good,but he started gaining his strength again slowly by slowly.Not many people can survive with three strokes hitting the same side?paralysis in both a hand and aleg.Mr Gordon taugh music Marijani and so many other people,he used to play many music instruments,he was composing songs and he was the band owner of Safari Trippers.thanx
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 7 жыл бұрын
I wish to know more this Mr.Gordon who supported Marijani and others.Where can I learn more? Any link please.Or can I come for an interview? Just to keep memories alive
@avax5717
@avax5717 4 жыл бұрын
Hii historia sikuwahi kuisikia. Very interesting
@mwasakafyukasamson
@mwasakafyukasamson 14 жыл бұрын
+ marijani ni kiboko ya njia, Muziki wake unagusa moyo wangu kwa zaidi ya miaka 30, pUMZIKA KWA AMANI MARIJANI.
@stevejoh3284
@stevejoh3284 Жыл бұрын
Sana
@jeffnanume2404
@jeffnanume2404 6 жыл бұрын
Nasikia ni kisa cha kweli kilimtokea mwenyewe Marijan kwa huyo Salama. alimuimbia huu wimbo na baadae akamuoa
@khalidvova6601
@khalidvova6601 7 жыл бұрын
yaah kati ya wanamuziki waliokuwa na uwezo wa hali ya juu mno " marijani rajab tungo zenye kuleta simanzi na liwazo lkn mfumo mbov wa kiutawala uliwafanya mashujaa hawa wa dansi wafe wakiwa madhalili hatuna cha kuwalipa zaidi ya kuwaenz kwa kusikiliza tungo zao"
@allymdaki9630
@allymdaki9630 7 жыл бұрын
Khalid Vova ni kweli
@DrMangiMfunga
@DrMangiMfunga 5 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ndugu ya Khalid,matatizo ya mfumo wa utawala wa wakati huo haukuwapa nafasi au Uhuru wa kutanua wigo wa maendeleo ya fani na taaluma yao ya muziki zaidi ya kuwa ni chombo Cha kutoa burudani tu basi!
@moshyjanga5181
@moshyjanga5181 8 жыл бұрын
Marijani ulizikonga nyoyo,lala baba tutakukuta
@dianambaga9029
@dianambaga9029 Жыл бұрын
I like this song it remind me all those old good days
@allymdaki9630
@allymdaki9630 7 жыл бұрын
Hapa jabali kalalalimika kweli kweli yaani maneno yanaendana na njia na hisia ya kile anacho imba
@joelfrancis4261
@joelfrancis4261 8 жыл бұрын
A wonderful and amazing man-made music from Marijani Rajab. For sure, this man was real talented,gifted and skillful.I can hear his hearty feelings in his compositions!.It's a lesson to young musicians who depend on computer made musics!.
@saidbomba2318
@saidbomba2318 7 жыл бұрын
za kale ni dhahabu nakumbuka nilipokuwa mdogo aaaah!!!
@Dotto19
@Dotto19 12 жыл бұрын
Thank you Tizedboy. Umenikumbusha mabali sana sana !!... Kama ukiweza please weka wimbo wa Vijana Jazz wenye lyrics za "Tafadhali eeh bwana usinisumbue,na kama ni watoto wako chukua, ulinishindwa wewe mwenyewe, sasa nini tena unababaika" Samahani sikumbuki jina la wimbo wenyewe kaka.
@burhanisimai5906
@burhanisimai5906 9 жыл бұрын
Superb Jabali was gifted and talented RIP
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 7 жыл бұрын
Jabari ni jabari tu wala awakukosea kila nifatiliapo miziki mingi ya jabari amtangulizi mtu yeyote kuanza kuimba zaidi ya fresh jumbe ckujua lengo lake ila nimegundua hakupenda mziki wake uwaribike
@nassorseif6166
@nassorseif6166 6 жыл бұрын
Nilikuwa sijazaliwa lakini nyimbo zao zinasisimua
@halima3821
@halima3821 15 жыл бұрын
tizedboy asanteni sana kwa kutuliwaza na mjomba huyo kwani anatukumbusha home log time
@drgshoo
@drgshoo 3 жыл бұрын
Great music from a very Great Musician.
@halimasaid8351
@halimasaid8351 6 жыл бұрын
zilipendwa laha sana jamani
@MrMsomali
@MrMsomali 13 жыл бұрын
@kijuan83,You meant to say your Dad was a Mentor to Marijan,as no one could teach a gifted person like him anything,only to encourage,motivate and as u said provide him with the band,where he could then put his genius into play. If your Dad could teach someone into becoming a Genius that Marijan was,then why did not he groom another one to take his place when he left to start another band?Get my point? Anyway,where are the Safari Trippers tracks u promised us last month? Keep ur promise,mate.
@ogetoj6245
@ogetoj6245 Жыл бұрын
Makali ya mziki sawa na sumu ya mkuki upenyao kwa kilele ya miundo ya roho. Nani kama ziki? Dr. Ogeto International
@charlesally6028
@charlesally6028 5 жыл бұрын
Inanikumbusha ilala quaters wakati tunaishi nyumba namba 175 jirani yetu mpendwa marehemu alikuwa anitwa salama
@charlesally6028
@charlesally6028 5 жыл бұрын
Mungu amuweke mahali pema
@remmiejoelsamsonsamson3642
@remmiejoelsamsonsamson3642 9 жыл бұрын
Jamani niseme nini kweli nashukuru kwa kunirudisha nyumbani Kimuziki Asanteni
@mtakulamweyo6012
@mtakulamweyo6012 8 жыл бұрын
jamani mm nataman sn km angekuwepo mng amuweke mahala pema pepon amin
@zuberindete3290
@zuberindete3290 8 жыл бұрын
Remmiejoelsamson Samson
@shabanibumbo2515
@shabanibumbo2515 8 жыл бұрын
huyu jamaa alikua anatisha kwa tungo zake maana kila ninayoisikliza inanigonga sana ewe Allah mpumzishe kwa Amaani huko aliko.
@ramadhanimostoni8273
@ramadhanimostoni8273 6 жыл бұрын
Kweli ardhi inameza watu,kungekuwa na uwezekano wa kubadilisha kifo kwa uhai wa mwingine,nadhani Marijani asingekufa,watu wangejitoa ili Jabali aendelee kubaki na kutoa mafundisho,hilo haliwezekani,Pumzika baba.
@abedhamza624
@abedhamza624 5 жыл бұрын
TANGU UTOTO TULIKUWA WOTE TULIPENDANA KAMA WANA MAPACHA R.I.P JABALI
@khalidvova6601
@khalidvova6601 7 жыл бұрын
huwa nalinganisha sauti ya marijani na ile ya legend pepe kalle ktk maudhia na mirindimo nafikir mawimbi ya sauti zao zilishabiina kwa kiasi fulani hivi,"
@sangomamourice3251
@sangomamourice3251 5 жыл бұрын
lala marijani kaz kubwa uliifanya asante sana
@khalidmakumulo8294
@khalidmakumulo8294 7 жыл бұрын
R.I.p jabali LA music.
@alfredmarti3131
@alfredmarti3131 Жыл бұрын
Wimbo wenye mguso. Powerful voice.
@ednaednamillanzinia2826
@ednaednamillanzinia2826 2 жыл бұрын
Hizi ndizo nyimbo tunasukiliza na wala hazichuji.
@allyabdulrazaq1667
@allyabdulrazaq1667 8 жыл бұрын
jamani mziki ulikuwa nzuri wadau hawajafaidika masikitiko kweli
@mtengwa
@mtengwa 13 жыл бұрын
asante sana, je naweza kuzipata wimbo hii "Pendo si kulazimishana
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 7 жыл бұрын
AHMAD MTENGWA Burhan huo wimbo hata mm nautafuta sana km umeupata nirushie
@salehehassan3665
@salehehassan3665 4 жыл бұрын
Nikisikiliza hii nyimbo huwa nawaza Alain kounkou alisample nyimbo hii au ni bahati mbaya tu zinarindima sawa?
@Faridagongo
@Faridagongo 5 ай бұрын
Vzr havidumu hata suleimani mbwembwe nae alikua na sauti sana pumzikeni kwa amani
@abdallahnzenza8182
@abdallahnzenza8182 6 жыл бұрын
jabari la muziki
@mohamedmagongo9348
@mohamedmagongo9348 2 жыл бұрын
Wimbo Salama gitaa la solo limecharazwa kwa ustadi mkubwa na Marehemu Kassimu Mponda.
@tonispengler4185
@tonispengler4185 8 жыл бұрын
I love this music..na miss sana
@edwinmoses1897
@edwinmoses1897 3 жыл бұрын
Rahaaa
@shabanibumbolikassike20
@shabanibumbolikassike20 7 жыл бұрын
mm napenda sana nyimbo za zamani nilianza kusikiliza 1983 hivi sasa nina miaka41 kwa kweli hua na kumbuka mbali sana.
@abdillahmtunguja3645
@abdillahmtunguja3645 6 жыл бұрын
Samahani ndugu, kuna nyimbo moja ina kibwagizo wanambi" SHIKA JEMBE TUKALIME WEWE MAMA WATOTO" kama unaikumbuka jina lake naomba unikumbushe, nitashukuru sana
@chemmarwa9715
@chemmarwa9715 5 жыл бұрын
RIP the great legendary namely jabali la muziki.
@seiframadhani7585
@seiframadhani7585 6 жыл бұрын
nic marijani rajabu
@mayokazemuba3216
@mayokazemuba3216 12 жыл бұрын
He is a genius. Marijani is the best in this business. Did he travel to Mali? He sings like seif Keita of Mali
@mawazochanya2081
@mawazochanya2081 7 жыл бұрын
Probably Keita travelled to Tanzania and was inspired by Marijani's talent.
@JobChacha
@JobChacha 10 жыл бұрын
Fantastic! Nani anabisha?
@nyangehassan902
@nyangehassan902 4 жыл бұрын
Haitatokea sauti kama hii!
@mohamedshebe9919
@mohamedshebe9919 9 жыл бұрын
that was music,was music and dancing was dancing
@rajabmalanda9643
@rajabmalanda9643 5 ай бұрын
Habari la Africa hyo
@ulayaz
@ulayaz 10 жыл бұрын
naitafuta nyimbo ya magreth ya safari trippers ya marijani
@mandelakasambalkasambala7896
@mandelakasambalkasambala7896 9 жыл бұрын
Ntalurushia vp
@marashamsi4718
@marashamsi4718 4 жыл бұрын
Itoshe kumuita DOZZA MUNGU MSAMEHE MAKOSA YAKE, NA UMPE MAISHA YA KHERI HUKO ALIPO
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 2 жыл бұрын
Mwalimu wa walimu mwanamuziki hasa hakika huyo ni jabar pumzika
@mussamrisho1283
@mussamrisho1283 2 жыл бұрын
Miziki ambayo unaweza kuckilizà ukiwa na familia yako. Kwa wale wenye maadili. Ila Kwa wacyokuwa na maadili wanaijuwa mizikiyao.
@flowila82
@flowila82 9 жыл бұрын
Jamani Salama wa Marijani amekimbia, Hakutokuja kutoka Tanzania Wasanii kama hawa Ardhi imepoteza watu, Ardhi imemeza jamani, Mola awarehemu waaliotangulia
@manyamanyambasi4186
@manyamanyambasi4186 9 жыл бұрын
muziki zamani jsmani daaaa
@kaundimemwinyi6644
@kaundimemwinyi6644 10 жыл бұрын
UWIIIIII JAMANI SALAMA NALIAL NALIA NAKUMBUKA NYUMBANIIIIIIIIIIIIIIII
@mussamrisho1283
@mussamrisho1283 2 жыл бұрын
Ya kale dhahabu. Kama hutaki basi.
@MrLachuo
@MrLachuo 11 жыл бұрын
JAMANI NAOMBA WIMBO WA MKUKI MOYONI WA SAFARI TRIPPERS. NIMEUTAFUTA NI MIAKA TENA, NA HAKUNA DALILI YA MTU KUUKUMBUKA.tAFADHALI, WIMBO WA MKUKI MOYONI NA SAFARI TRIPPERS
@alisamaki5382
@alisamaki5382 10 жыл бұрын
what a voice...gzzz
@nasserhabsi4080
@nasserhabsi4080 5 ай бұрын
Ndugu tizedboy mambo vipi.. Unapatikana wp? Nakumbuka zamani ulinambia Tanga mabawa je upo
@AliHassan-et7xf
@AliHassan-et7xf 5 жыл бұрын
Enzi jaman hazirudi
@faridasomba1156
@faridasomba1156 7 ай бұрын
Da yaani nikikumbuka machozi yananitoka wee acha tuu
@mohamedmdoka1212
@mohamedmdoka1212 6 жыл бұрын
Wasanii wetu wa leo wangekuwa wanapiga na kuimba km hawa wazee yan tunge tisha ktk tasnia ya muziki kwakwe
@andersonnzaro6075
@andersonnzaro6075 Жыл бұрын
NDUGU SIKIZENI MANENO HAYO NILIKUA NIKIWAZA NA MAJONZI MPENZI AKIPONYOKA LEO NATAFSI TOFAUTI KWAMBA HATUJUI KUWA VITU HUJA NAKOTOKA HAKUNA BINADAMU STAKUFURAHISHA MARJANI HAKUJUA VITU HUJA NA KOTOKA
@faustinohaule7677
@faustinohaule7677 8 жыл бұрын
Niliusikia muziki wa Marijani kwa mara ya kwanza mwaka 1971 wakati huo Marijani akiwa mwanafunzi wa Tambaza Sekondari lakini pia akiwa mwanamuziki
@gabrielmzomkunda4881
@gabrielmzomkunda4881 7 жыл бұрын
faustino haule ...kweli Tambaza boy
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 6 жыл бұрын
faustino haule Ni kweri kama sikusei alijiunga na less trippers mwaka1972 akiwa mwanafunzi baadae ikaitwa safar trippers
@HamisiOmaryHussein-jp5pt
@HamisiOmaryHussein-jp5pt 2 ай бұрын
Siyo muziki tu hata mpira alikua goal keeper mzuri mahiri alucheza timu ya shule Tambaza na timu ya, nyumbani TEMEKE BOYS.
@faustinohaule7677
@faustinohaule7677 2 ай бұрын
@@HamisiOmaryHussein-jp5pt Kuhusu mpira kweli sikufahamu Asante kwa kuniongezea ufahamu
@rishbornnasir4598
@rishbornnasir4598 7 жыл бұрын
Za kale ni dhahabu kwakweli
@allywmamba2550
@allywmamba2550 11 жыл бұрын
furaha moyoni kwakila m2 ndoamani kwangu
@jabirikitambalale5256
@jabirikitambalale5256 5 жыл бұрын
Asant
@nasibyusuf9170
@nasibyusuf9170 9 жыл бұрын
Huo ndio mzik ssa
@andersonnzaro6075
@andersonnzaro6075 Жыл бұрын
But tufurahie Kanda za zamani zilikua leo hakuba
@kassongokittapa7762
@kassongokittapa7762 9 жыл бұрын
Nahitaji wimbo wa Marijani Rajabu unaoimbwa SIO MIMI NI SABABU YA MAPENDO nimeutafuta sana humu kwenye KZbin siupati
@gabrielmzomkunda4881
@gabrielmzomkunda4881 7 жыл бұрын
Bob marley wa tz
@juliusduke7536
@juliusduke7536 6 жыл бұрын
Nyimbo za huyu bwana kizazi cha sasa hawatafanikiwa kumfikia labda yesu au mtume mohamed wafufuke
@mwinyikadhi5708
@mwinyikadhi5708 6 жыл бұрын
Julius Duke Subhana llah
@yahyampili7153
@yahyampili7153 7 жыл бұрын
Hizi nyimbo c mchezo
@shabanmohammed9959
@shabanmohammed9959 Жыл бұрын
Wakati wetu huo
@khalidmakumulo8294
@khalidmakumulo8294 7 жыл бұрын
That why he was called Jabali la Music it will never come to happen again, old is gold.
Tanzania - Marijani Raajab  - Uke Wenza
6:37
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 343 М.
Marijani Raajab - Mayasa
6:49
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 231 М.
Wait for the last one 🤣🤣 #shorts #minecraft
00:28
Cosmo Guy
Рет қаралды 14 МЛН
Wait for it 😂
00:32
ILYA BORZOV
Рет қаралды 6 МЛН
Сюрприз для Златы на день рождения
00:10
Victoria Portfolio
Рет қаралды 2,6 МЛН
Teddy Mwana Zanzibar - DDC Mlimani Park
10:31
Zilipendwa TZ
Рет қаралды 69 М.
Msondo Ngoma Music Band - Ajali (Official Video)
9:06
Tunes Of Africa
Рет қаралды 1,1 МЛН
Mwana Meta
7:05
Dar International - Topic
Рет қаралды 13 М.
DDC Mlimani Park - Celina
7:36
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 509 М.
Les Wanyika : Sina Makosa
8:11
bartjelsma
Рет қаралды 15 МЛН
Mziki wa dansi zilipendwa -Mzinga group -Mazoea yananikondesha
6:41
Marijani Raajab - Mwanameka
6:58
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 316 М.
Marijani Rajabu - Margaret
14:00
Power Nguzo
Рет қаралды 80 М.
Tanzania - Marijani Raajab - Namsaka Mbaya Wangu
8:26
Tizedboy Zilipendwa Channel
Рет қаралды 584 М.
Les Wanyika - Barua Yako| Kasuku
13:38
Nyimbo za zamani
Рет қаралды 915 М.