Mziki wa dansi zilipendwa -Mzinga group -Mazoea yananikondesha

  Рет қаралды 187,750

Eddie Nassor

Eddie Nassor

Күн бұрын

Пікірлер: 137
@frankMakwaia-l1v
@frankMakwaia-l1v 19 күн бұрын
Namkumbuka comrade moja anaitwa Gripa Dickson Bilali alikuwa ni msanii mzuri sana ktk muziki, kuchora na Sasa ni mtumishi ktk kabisa la T.A.G jijini D.S.M.
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
Mashindano ya majeshi mwaka 1991 nikicheza kwenye timu ya Jeshi kanda ziwa na tukafanikiwa kushika nafasi ya pili na mimi kuteuliwa kwenye KOMBAINI ya taifa ya majeshi mpira wa miguu. sIKU YA MWISHO YA MASHINDANO bendi hii ilikuja kutuburudisha kabla sisi wa kanda ya ziwa kwenda Dar na kupanda ndege kwa mara yangu ya kwanza. Hongereni sana mzinga trupu
@lupakisyomsese8210
@lupakisyomsese8210 4 жыл бұрын
Mazoea kweli yanakondesha, mzinga hao hatari sana enzi zao DAIMA SIKUTENDA OVU ,WALA HAKUTENDA OVU LA KUACHA MAKOVU MILELE.
@renathamukinga9282
@renathamukinga9282 2 жыл бұрын
Sauti; Ujumbe; Vyombo pamoja na kiswahili kilichotumika vilipangiliwa kwa ustadi mkubwa WAZAMANI TULIFAIDI JAMANI
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
hahahahaha. nawe kumbe umo my best
@arafaomari1832
@arafaomari1832 2 жыл бұрын
Kwakweli 😁
@sayunindelwa987
@sayunindelwa987 6 жыл бұрын
Kinacho nihuzunisha mm hawa watunzi na waimbaji wa zamani walitumia akili nyingi na ujuzi mwingi ktk tungo zao lkn wengi wao walikufa maskini tofauti na sasa.kazi nzuri xana hii.
@cairofrancis8878
@cairofrancis8878 3 жыл бұрын
dunno if you guys gives a damn but if you are stoned like me during the covid times then you can watch pretty much all of the latest series on instaflixxer. I've been binge watching with my girlfriend lately =)
@theodoresilas1200
@theodoresilas1200 3 жыл бұрын
@Cairo Francis Yup, I've been using Instaflixxer for since november myself :D
@petermangama330
@petermangama330 19 күн бұрын
ENZI HIZO PDIDDYALIKUWA ANANYONYA USILAUMU
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 3 жыл бұрын
Wimbo naupenda Sana huu ! Unabembeleza balaa! Huwa nikikosa usingizi nausikiliza nikishtuka ni asubuhi!
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 3 жыл бұрын
Pole na hongera sana
@stevejoh3284
@stevejoh3284 Жыл бұрын
@@najmasaleh9231 kwa kweli inabidi tumpe pole na hongera zake
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 Жыл бұрын
​@@najmasaleh9231thanx
@julithamuhale7271
@julithamuhale7271 8 ай бұрын
​@@najmasaleh9231😂thanx
@samwelmwanga254
@samwelmwanga254 7 жыл бұрын
Huu ni moja ya miito katika simu yangu ya mkononi na kuna ujumbe mmoja naupenda sana unasema hivi Mbona mjusi ama kinyonga anapata ridhiki yake kwa kula vijidudui hai tena vyenye kurukaruka mbona yeye hana mbawa hana makucha wala vikumbo hashiki panga wala bunduki masikini unatosha kwa ulimi wake,anashiba kwa ulimi wake semuese mimi mwanadamu. .
@djbobnas7824
@djbobnas7824 7 жыл бұрын
samwel mwanga maneno huyo acha tu
@erivamuheta1114
@erivamuheta1114 6 жыл бұрын
Jaman mziki ni zaman miaka hii ni usanii
@erickngatunga2359
@erickngatunga2359 3 жыл бұрын
hii maana yake ni kwamba Mungu ndiye mgawa riziki bila kutazama hali ya mtu.
@arafaomari1832
@arafaomari1832 2 жыл бұрын
Kwakweli
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Umenikumbusha mbali,bado nilikuwa,mrembo,nimekumbuka mengi sana.
@petermangama330
@petermangama330 19 күн бұрын
Home hiyo kulikuwa na fundi viatu aitwa Nyenyembu Noma sana tulikuwa tukipeleka viaru vyetu pale story mingi sana afu anatupia KBC inapiga wimbo huo dah! Mwenyezi Mungu amrehemu Bwana Nyenyembu!
@ambrosesaid1938
@ambrosesaid1938 6 жыл бұрын
Issa mrisho ezi izo ni shida tu walifanya kazi kwa kiwango cha kweri
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 жыл бұрын
Diamond njoo usikilize
@lilikato5560
@lilikato5560 6 жыл бұрын
wimbo unanikumbusha my lovely husband...alikua akiusikiliza hata mara mia kwa siku ..rèst in peace baby. You will always be missed.
@moseshekima314
@moseshekima314 4 жыл бұрын
Lili Kato pole sana
@janegeogre3234
@janegeogre3234 4 жыл бұрын
oooh! pole sana dada lily
@MrMpokigwa
@MrMpokigwa 4 жыл бұрын
We understand Lili.....these songs reminds us of the musicians and our loved ones who are R.I.P tuko wengi Lili
@aishaahmadnzoka8147
@aishaahmadnzoka8147 2 жыл бұрын
Zilipenddwa wangu uliniimbia mwanzo mwisho 1988
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
Mbona mjusi ama kinyonga anapata riziki yake tena hula vijidudu hai haswa vyenye kurukaruka mbona yeye hana mbawa. Hashika panga wala bunduki masikini eeh sembuse mimi mwanadamu.
@stanleykigomboa2260
@stanleykigomboa2260 5 жыл бұрын
Eddie Nassor Mimi ni mdau Mkubwa sana kama sio mnazi Wa nyimbo za zamani. Naomba ututafutie kibao cha Tshimanga Assosa kinachoitwa Wema wangu. Na Mwingine ni Wa Orchestra kobash unamilindimo mizuri sana hiyo bendi ilitokea mkoani kagera kama sikosei. Nafikiri wimbo utakua unaitwa Maneno ni sumu.
@khamissalum431
@khamissalum431 5 жыл бұрын
U c jal kk
@khadijanyoni2457
@khadijanyoni2457 5 жыл бұрын
Daa uyu anaanzisha apa .anasauti nzuri. Ama hakika kizazi cha wanamziki hawa kilikuwa raha
@Pedeshee01
@Pedeshee01 3 жыл бұрын
Sisi wa 2000 hizi hazituhusu.tumezaliwa kipindi wajuzi wametoweka.
@mussambembela7161
@mussambembela7161 7 жыл бұрын
Mziki ni zilipendwa hawa wengine wanaigiza tu
@mzuvendi
@mzuvendi 6 жыл бұрын
Ndio maana hawa wa sasa wanaitwa "Wasanii"!
@mbangakanoni5103
@mbangakanoni5103 6 жыл бұрын
kwa wanamuziki wa leo hakuna anaeweza kutunga nyimbo yenye ujumbe mzito kama huu.
@jangamagili2601
@jangamagili2601 6 жыл бұрын
issa Mrisho tumba alikuwa marehemu charles ngosha
@johnchoma2522
@johnchoma2522 8 жыл бұрын
nyimbo nzuri sana na beti zake mwimbaji amezipangilia vizuri sana hongera kwa kuupload
@philipmakiponya7446
@philipmakiponya7446 8 жыл бұрын
Nyimbo nzuri sana, zina fundisha jamii kwa ujumla wadogo kwa wakubwa
@najmasaleh9231
@najmasaleh9231 6 жыл бұрын
Hicho ni kikosi kamili cha mzinga group ndani ya moro sauti mahili ya Issa Mrisho utunzi mahili sana wimbo umefumbwa sana
@stanleykigomboa2260
@stanleykigomboa2260 5 жыл бұрын
Bendi ya jeshi la wananchi Tanzania ( Mzinga ) Morogoro. Tungo mahili sana hizi. Ni kati ya nyimbo zinazo niliza.
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Wapi tena,tulitengwa mbalimbali Ommy wangu.
@LatifaJumaally
@LatifaJumaally Ай бұрын
Hii nyimbo nzur sana ongeleni old is gold
@godloveadamu4379
@godloveadamu4379 4 жыл бұрын
Huwa navuta hisia sana,hizi ndizo nyimbo dah!!
@leonardchengula9897
@leonardchengula9897 7 жыл бұрын
kweli huyu petel kinyonga ,aliimba na kulenga jamii amakweli nakumbuka enzi za ujana wangu :
@kisomaseif5749
@kisomaseif5749 6 жыл бұрын
Leonard Chengula sana
@sebastiansalamba8236
@sebastiansalamba8236 6 жыл бұрын
Goma LA jeshi bwana pia Mwenge jazzy acha bwana
@mohamedshineni2122
@mohamedshineni2122 7 жыл бұрын
hawa siyo wasanii hakika ni watunzi na waliweza kutoa yanayofaa na yanayofanywa na jamii
@aifellosichalwe2601
@aifellosichalwe2601 6 жыл бұрын
mohamed shineni ...ndugu we acha tu kila nikisikiliza mwimbo huu ndo nakubali kuwa Siku hizi haukuna vipaji ni shida tu...
@jumambelwa1742
@jumambelwa1742 6 жыл бұрын
mohamed shineni ; kweli kabisa
@williammabanga4893
@williammabanga4893 7 жыл бұрын
Mziki huu hudhihirisha uwezo wa binadamu kuumba toka patupu hadi kwenye kitu.
@arafaomari1832
@arafaomari1832 Жыл бұрын
2023 jaman bado ipo juu
@bammaschools6420
@bammaschools6420 2 жыл бұрын
Nyimbo Bora zinaishi milele
@alexjacob4627
@alexjacob4627 4 жыл бұрын
Namkumbuka shangazi yng alikua kafungulia redio wimbo huu unapigwa nmeenda live band nkawauliza wataalam kurud hom nkautafuta you tube
@ashamnaida5304
@ashamnaida5304 3 жыл бұрын
Huu wimbo unaniliwaza sana una kaukweli ndani yake
@lucamartin6584
@lucamartin6584 Ай бұрын
Nani bado anasikiliza 2024 kama mimi narudi kuusiliza kila wakati vipindi tofauti...
@rogersakhwale
@rogersakhwale 10 жыл бұрын
Ama kweli kulikuwa na sauti nyororo enzi zile.
@hadijamlokakuzenza2146
@hadijamlokakuzenza2146 Жыл бұрын
Hapa nasikiliza 2023 unaliwaza na kuvuta hisia za enzi hizo
@peteramunga7983
@peteramunga7983 Жыл бұрын
Great music indeed but becoming extinct,l blame today's yuong ones
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 6 жыл бұрын
ASANTE EDDIE Umetupeleka nyumbani
@jafaripaje5366
@jafaripaje5366 6 жыл бұрын
The song wins my mind joy......Kazi nzuri ya marehemu Issa Mrisho sauti yake inafanana kidogo na Zahir Zolo. Too emotional
@stanleykigomboa2260
@stanleykigomboa2260 5 жыл бұрын
Huyu issa Mrisho ukimweka na zahil ally zoro sijui itakuaje! Nilikwenda pale mzinga morogoro, nikajalibu kuulizia kuhusu huyu Jamaa, inasemekana Issa alifaliki, na kulikua na mpango Wa kuifufua hii bendi.
@jafaripaje5366
@jafaripaje5366 5 жыл бұрын
Hawawezi kukaa pamoja kwa sababu mzee Mrisho Ni marehemu.
@lilangachodas6951
@lilangachodas6951 5 жыл бұрын
Imekaa vzr xana.
@mussambembela7161
@mussambembela7161 7 жыл бұрын
Ama kweli mziki wa zamani si mchezo
@mustapharamadhamani5296
@mustapharamadhamani5296 5 жыл бұрын
Unanikumbusha mbali
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 10 жыл бұрын
kuna nyingine wanayo wanasema, ninaitwa pombe kwa jina la kiswahili mvunja sheria, duh long time man
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Ngoja niitafute kaka
@cheupemwanga3326
@cheupemwanga3326 5 жыл бұрын
Nuce
@martinelias8936
@martinelias8936 5 жыл бұрын
Napenda sana nyimbo za zamani
@emanuelsaimonshuma2378
@emanuelsaimonshuma2378 2 жыл бұрын
wahenga unakumbuka WAP hapo
@abdulbakaro5117
@abdulbakaro5117 7 жыл бұрын
Hii ngoma inanikumbusha mbali sana.Amakweli hakuna awali mbovu,bado unabamba mpaka leo
@moseshp8273
@moseshp8273 7 жыл бұрын
ni nooooma
@robertsheiza5309
@robertsheiza5309 5 жыл бұрын
What a Heavy massage!
@nasraissa1494
@nasraissa1494 Жыл бұрын
Naupenda san
@mohamedmuhidin6826
@mohamedmuhidin6826 7 жыл бұрын
Aiseee hii safi sana
@victoriasimon2635
@victoriasimon2635 4 жыл бұрын
Simply the best ever..
@africabwamkuu
@africabwamkuu 8 жыл бұрын
World class hit....
@siyaminja8169
@siyaminja8169 2 жыл бұрын
Eddie hii mzinga ilikua band ya jeshi Mzinga Morogoro?
@djbobnas7824
@djbobnas7824 10 жыл бұрын
Nimeitafuta miaka mingi sana Hii Track.. ahsante kaka
@eddienassor480
@eddienassor480 9 жыл бұрын
DJ Bobnas Karibu tena kaka
@ramadhan4597
@ramadhan4597 7 жыл бұрын
Eddie Nassor kaka nakumbuka mbali sana unaweza lia kwa isia kali
@jangamagili2601
@jangamagili2601 6 жыл бұрын
Eddie Nassor shukrani sana kaka
@mariamsudi8845
@mariamsudi8845 3 жыл бұрын
Wimbo mtam huoni tabu kuusikilza
@omarymagongo7628
@omarymagongo7628 Жыл бұрын
Unanikumbusha mbali sana.
@rosemutale9952
@rosemutale9952 Жыл бұрын
💃💃
@ummyamiri4558
@ummyamiri4558 Жыл бұрын
Haipoi hata siku Moja ikipigwa live band inarudiwa hata mara 4 haichoshi kucheza na kusikiliza
@rutarutahindurwa2080
@rutarutahindurwa2080 3 жыл бұрын
Mazoea yananikondesha..
@denismzaga6392
@denismzaga6392 3 жыл бұрын
Raha sana
@wilemkwembe-ye5fm
@wilemkwembe-ye5fm Жыл бұрын
jamani huu wimbo his unanikumbusha wkt Niko kwa Bibi chimala mbeya
@engrmayeye1436
@engrmayeye1436 4 жыл бұрын
Hizi zinapatikana wapi live on stage? Au ndo hakuna kabisa?
@HassaniMajagi
@HassaniMajagi 7 ай бұрын
Long time nyimbo ina mafundisho
@YenzaJackson
@YenzaJackson 8 жыл бұрын
Eddie Nassor.Mambo vipi? kunawimbo aliimba Remmy anasema shida na wewe mikosi na wewe bahati mbaya na wewe ukipata pesa unahonga,nigependa sana kuupata huo wimbo.
@macklinmohad6389
@macklinmohad6389 5 жыл бұрын
Nifahamishe vizur
@betriceissaya6168
@betriceissaya6168 2 жыл бұрын
Hizi ndizo nyimbo zakusiliza
@kaithmakungu6007
@kaithmakungu6007 Жыл бұрын
Hawa wasanii wa zamani walikuwa wanatoa madini balaa ACHA bwn
@cheupemwanga3326
@cheupemwanga3326 5 жыл бұрын
Musiki ambao unaweza kuiidikiliza ukiwa hata na wakwe zako.....Kweli mziki wa zamani ulikuwa sio tu na mafunzi lkn pia ulikuwa unazingatia maadili ya Mtz
@MwapwaniMohamed
@MwapwaniMohamed 2 ай бұрын
Jamani mazoea
@twilamtumbi2647
@twilamtumbi2647 10 жыл бұрын
hata iweje tamu zilikuwepo na zitaendelea kuwepo, hata km hawataki ngoma nzuri sana na ujumbe kamili
@eddienassor480
@eddienassor480 10 жыл бұрын
Hehehee,jamaa amefunguka
@monicamohamed8811
@monicamohamed8811 7 жыл бұрын
hatari sana
@hammkelle839
@hammkelle839 7 жыл бұрын
loooooo
@erastogerionitembo803
@erastogerionitembo803 6 жыл бұрын
Jamani nyimbo za zamani zinavuta hisia Kali sio uchafu wa sasa hivi
@MwapwaniMohamed
@MwapwaniMohamed 2 ай бұрын
Mazoea
@williammabanga4893
@williammabanga4893 7 жыл бұрын
Mziki huu unanifariji nikumbukapo kufiwa rafiki yangu na mjomba tuliyependana sana tokana na kukuwa pamoja na kunisaidia utotoni lakini pia mziki unanifariji kwa kunikumbusha kuwa vipo viumbe dhaifu kama kinyonga anaejilisha kwa njia dhaifu sembuse mimi mwanadamu
@yudadaniel2225
@yudadaniel2225 5 жыл бұрын
NZURI SANA TENA WAHENGA KWELI.. KWANI UJUMBE MTUPU NA MAFUNDISHO.
@moustaphersullymany6354
@moustaphersullymany6354 8 жыл бұрын
nilikuwa naitafuta sana hii ngoma
@eddienassor480
@eddienassor480 8 жыл бұрын
Umeipata kaka!
@moustaphersullymany6354
@moustaphersullymany6354 8 жыл бұрын
aisee nimeipata na watu wengi sana huwa wanapoisikia lazima wanifate kuitaka
@sangomamourice8680
@sangomamourice8680 4 жыл бұрын
Vitu visivyo chosha
@johnmwaipopo2783
@johnmwaipopo2783 4 жыл бұрын
nani tunasikiliza wote leo april 2020
@omaryswalehe1225
@omaryswalehe1225 2 жыл бұрын
Mbona mjusi ama kinyonga wanapata riziki yao mbona wao hawana mbawa?
@martinelias8936
@martinelias8936 4 жыл бұрын
Safi sana
@rutarutahindurwa2080
@rutarutahindurwa2080 2 жыл бұрын
Bravo..
@salehemohammed8632
@salehemohammed8632 7 жыл бұрын
Ujumbe tosha
@tgeofrey
@tgeofrey 4 жыл бұрын
aminia
@marthamfumbi3712
@marthamfumbi3712 Жыл бұрын
Nyimbo yangu pendwa..ujumbe uliokamilika ...
@getajo1153
@getajo1153 7 жыл бұрын
Mzinga Troupe.....
@seraphinmrema9744
@seraphinmrema9744 4 жыл бұрын
Tafuta bend ya mapacha ya Jose Mara wanapiga hiyo kijana wa kichaga Jimmy golla
@nacetsiringa1334
@nacetsiringa1334 4 жыл бұрын
hichi kizazi ni utopolo hii ndo nyimbo ya kuwa na views wa milion za kutosha badala yake ukiimba nyimbo nyepesi za hoja mrenda mrenda ndo wanasupport pumb.......ff** kabisa
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 5 ай бұрын
Mazoea yana tabu nyie
@YohanaMwaitenda-nx9cy
@YohanaMwaitenda-nx9cy Жыл бұрын
😭
@allan3723
@allan3723 2 жыл бұрын
Afande nani huyu?????
@engrmayeye1436
@engrmayeye1436 5 жыл бұрын
hakuna atokea kufanya Kazi kama hii.... bongo flavor sijaona kamwe hata mwenye harufu na kufuata hizi nyao.... na natoa ONYO kwa akina bongo flavor, mchezo wa kuchukua nyimbo hizi na kuzipa radha mzijuazo mkome kabisaaa.... msitafute kick kwenye hakuna...
@johnmassawe8766
@johnmassawe8766 8 жыл бұрын
good stuff
@allan3723
@allan3723 9 жыл бұрын
HII SAUTI YA NANII??
@anusaady2890
@anusaady2890 7 жыл бұрын
Allan Mlagulwa ....issa mrisho
@MrMpokigwa
@MrMpokigwa 4 жыл бұрын
@@anusaady2890 Isa Mrisho R.I.P
Mziki wa dansi zilipendwa -kimurimuri Zahir Ali-Photo album
7:48
Eddie Nassor
Рет қаралды 278 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Kimulimuli -Tumerudi kishujaa
8:29
Eddie Nassor
Рет қаралды 145 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 350 М.
Will A Basketball Boat Hold My Weight?
00:30
MrBeast
Рет қаралды 110 МЛН
黑的奸计得逞 #古风
00:24
Black and white double fury
Рет қаралды 27 МЛН
Mziki wa dansi zilipendwa- Bantu group- Vicky
8:29
Eddie Nassor
Рет қаралды 98 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Kurugenzi Jazz-  Wivu
6:42
Eddie Nassor
Рет қаралды 78 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Zairi Ali na Kimulimuli- Cleopatra
6:47
Orchestra Maquis Original - Niweve Pekee
7:00
dinkotom
Рет қаралды 374 М.
Mziki wa dansi- zilipendwa- UDA -Tulizaliwa wote kijiji kimoja
6:29
Mziki wa dansi zilipendwa- Washirika -Julie
6:56
Eddie Nassor
Рет қаралды 122 М.
Karubandika
7:13
Kasalo Kyanga - Topic
Рет қаралды 11 М.
Hasira Hasara - Juwata Jazz band
6:11
Zilipendwa TZ
Рет қаралды 22 М.
Mziki wa dansi zilipendwa- Marquiz- Wanasema mrudie- Kamanyola
8:32
Super Rainbow - Milima Ya Kwetu
7:11
Power Nguzo
Рет қаралды 363 М.
Хасанның өзі эфирге шықты! “Қылмыстық топқа қатысым жоқ” дейді. Талғарда не болды? Халық сене ме?
09:25
Демократиялы Қазақстан / Демократический Казахстан
Рет қаралды 350 М.