SHEIKH ALHAD AIBUKIA KWA MASHIA | MASHIA NI NDUGU ZANGU | SIKU KUU YA MAPINDUZI YA IRAN.

  Рет қаралды 9,514

ZVP ONLINE TV

ZVP ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 206
@bernardjohn8788
@bernardjohn8788 Жыл бұрын
Kaongea vizuri Sana na kidiplomasia yupo mbali Sana na juu ya wanaobwabwaja kwa kumrushia maneno yasiyofaa. Mungu aendelee kumbariki, kumsimamia na kumpa busara na kekima
@yahyahamad1802
@yahyahamad1802 Жыл бұрын
waziri stagomena Kwenye hili ingependeza kufunika nywele ungejifunga mtandio Nigekua jambo Jema zaidi mana shughuli imekaa kidini.zaidi
@abuubakarihussein2664
@abuubakarihussein2664 Жыл бұрын
Innalillah wainnaillah rajioun. Alhadi pole sn utakuja kufa vibaya sn Wewe
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Msiba mzito Wallah
@abdukherykhamis73
@abdukherykhamis73 Жыл бұрын
Alhadi ww,ushiaa ushakupotezaaaa,
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@shairaniifofo5794
@shairaniifofo5794 Жыл бұрын
Ametoka kwenye usheikh wa Mkoa sasa anajikomba kwa Mashia Njaa sio nzuri sana hasa zinapogusa dini na Imani ya Mtu .
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Haha mawahabi kama mmekereka kunyweni sumu mjiuwe
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Nyinyi mawahabi hamna mtambuacho.dini imekuja kuunganisha watu kazi yenu kubaguwa watu.shenzi kabisa
@mkude
@mkude Жыл бұрын
@@abiabi9353 hahaha roho inakuuma inakukereketa,kwahiyo waislamu wote hapo kwenye comment wamekuwa mawahabi? Sikiliza nikwambie unajua kwanini waislamu wanakerekwa na nyinyi,wanakerekwa na nyinyi kwasababu mnawadhalilisha maswahaba wa mtume s a w .ndo, ndo maana waislamu wote kwa hilo hawawezi kuwa pamoja na nyinyi Abadan sahau hilo.
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Mashallah
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Hakuna shafii aliepinduliwa Irani Bali mayahud ndo yamepinduliwa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@Tanherbsgroup
@Tanherbsgroup Жыл бұрын
Huu ndio uhalisia wake tokea hapo mpk Leo Allah amuongoze
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Amiin Shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
INNAL HALALA BAYINU WAINNA LHARAMA BAYINU.....
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Kweli kabisa.sheikh Alhadi tumekuwa tukumjua nimtu mwenye kupenda kuwa na maingiliano mazuri na watu
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
@@abiabi9353 Hakuna jipya hata shetani ana wafuasi wanajiita "devil worshipers" Uislamu katika ubora wake haurusu matusi bila kujali nani anatukanwa.
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
@@abiabi9353 Ukiiacha haki baada ya kuwa imekubainikia ALLAH SUBHANAHU WATAALA Anakugeuzia ulikotaka.Shida ipo wapi kama kila mtu na kaburi lake???Ole wake mwanadamu na muda wake kujitoa fahamu.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@ahmadmzoa74 kwahiyo unadhani haki iko wapi na iko kwa nani
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
@@abiabi9353 Rejea Quran 2:147.
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Jamaa njaa inamuuma vibaya sana
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Sannah
@alirashid3239
@alirashid3239 Жыл бұрын
Innaa lillaahi wainnaa ilayhi raajiuun Allah akusamehe maana njaa imekufanya ucjue unalolifanya.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Haha mawahabi wangu naijua hiyo. Wmawabi watu wakulazimisha hoja Wasizoweza kuzitetea
@Filexwawa
@Filexwawa Жыл бұрын
Kweli jaa nibaya sana
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Msiba mzito
@saidiamiri9518
@saidiamiri9518 Жыл бұрын
Changamoto kubwa ni njaa
@saidiamiri9518
@saidiamiri9518 Жыл бұрын
@@abiabi9353 pia Allah atulinde na wanaowasapot
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Жыл бұрын
Dokta mwaka ajengewe mnara katoa panya shimoni ana kula mifupa kila kona
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
@kasimukiduba4484
@kasimukiduba4484 Жыл бұрын
Mche Mungu ,,,,Leo tumeamini bn kuwa ndiyo wenzio
@daruweshbikes
@daruweshbikes Жыл бұрын
Sheikh kula tu nguruwe hakika ushakua mbali na uislamu
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
@hamisinalinga5201
@hamisinalinga5201 Жыл бұрын
Mnafki hajifichi unaungana na mashia kusherehekea uhuru wa Iran wakati ndugu zetu wapalestina wanaangamia na hujawai kupaza sauti kuwatetea waislamu na ndugu zetu katika Imani ardhi walioishi mitume na manabii inadhulumiwa na mayahudi alhadi ww ni mnafki
@saidindizeye2206
@saidindizeye2206 Жыл бұрын
swadakta
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
@abuusalim3385
@abuusalim3385 Жыл бұрын
Bora alivo tolewa kuwa shkh wa mkoa na si kasababu moja tu ila zipo nyingi ikiwemo hii anaijua haqqi lakini anaipindisha
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@jumannehamadi2282
@jumannehamadi2282 Жыл бұрын
hivi yule kijana alie mpiga Kofi rais mstafu mwenyi jamani akalizabe hili zeee?
@jamaliddiin9357
@jamaliddiin9357 Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Tunajua huwo ndo ukichaa wa mawahabi
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Hatta iweje Haki daiman hukaa juu ya baatwil .Hata dunia nzima muwe upande wa baatwil..
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@salimabdallah5304
@salimabdallah5304 Жыл бұрын
Unayo kazi alihadi.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Sannah
@mohdali2408
@mohdali2408 Жыл бұрын
Huko ndio kwake hakusema mapema 2 akajificha kwenye uislam
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@saidindizeye2206
@saidindizeye2206 Жыл бұрын
Dah!! Jiiinga kabisa
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wajinga ni mawahabi wasyojitambua
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@YarmanAljahhdiry
@YarmanAljahhdiry 22 күн бұрын
Je wewe shekh alkhadi washerekea wakijuwa unachosherekea wakimbuka irani ya watu wa twariqa
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Njaa itakuua mzee
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Жыл бұрын
Kuna watu walisema kuwa utaibukia huko,,,,,,,sasa imetokea!!!
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@hamisinamaneha2298
@hamisinamaneha2298 Жыл бұрын
Namuona mtu jambo lake linavodhihika mchana kweupeeee... Tutayaona mengi kutoka kwake
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa shukran Mtazamaji Wetu Kwa kutuamini na Kukubali Kua mwanafamilia Wa Zvp Online Tv
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Angalia usije ukafa kifokibaya kwasababu ya njaa mbaya
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Sannah hatari
@Filexwawa
@Filexwawa Жыл бұрын
Sasa Iran nauisilam inaigiliana wapi mbona sijawahikusikia unasherehekea uhuru wa Yemeni sematu ulikuwa unashindwa kuwafata mashia sababu ulikuwa upande siyo wao ila sahivi hata ukienda hakuna atakae kuuliza
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Du hili jahili jengine.kwahiyo ulitaka wairani wasndaye sherehe kwa ajili ya wayemeni?
@Filexwawa
@Filexwawa Жыл бұрын
@@abiabi9353kwani Iran pekee dio inchiyenye waisilamu pekee ambayo imepata uhuru huyo jamaa na fuga watu macho yy alikuwa shia sema anashindwa kujitikeza
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@Filexwawa wewe hujui hata usemacho.sasa kama nchi hizo hazijitambui ulitaka wairani washerehekee kwaniaba yao?
@mkude
@mkude Жыл бұрын
@@abiabi9353 IRAN inajitambua nini kazi yao kufadhili vikundi vya kishia,angalia maisha yao fungua hata KZbin uone wanawake wanatembea vichwa wazi wamevaa masuruali maisha yao kama ya kizungu tu,halafu wanajidanganya serikali ya kiislamu, uongo huo
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 Жыл бұрын
ALHAD wewe ni Shia Utasemaje khomaini رحمة الله عليه?
@Mo_wajih
@Mo_wajih Жыл бұрын
Na walichelewa KUONDOSHA KWA KWELI
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hahaaaaaaa
@abdulhamis9825
@abdulhamis9825 Жыл бұрын
Heri Umetuonyesha Mapema Ww Ni Nani
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@kaliskaguzkalis4424
@kaliskaguzkalis4424 Жыл бұрын
He bado yupo
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Naam
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Жыл бұрын
sasa kaenda kama sheikh mstafu au raiya wakawaida
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Hahaaaaaaa
@saidiamiri9518
@saidiamiri9518 Жыл бұрын
Lazima uwasapot ushapewa pesa za watu ww sema2 ni ktk wao
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Жыл бұрын
kapata muda muafaka yuko huru akale bahasha zake kwaulaini bila kuogomba maneno
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Swadakta
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@saidiamiri9518
@saidiamiri9518 Жыл бұрын
Kifupi huyu ni shia mpya duh Allan atuhifadh na mashia
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Amiin
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Aamin
@ramiakassim3802
@ramiakassim3802 Жыл бұрын
Wewe alhadi wewe njaa inakusumpua
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf Жыл бұрын
Sheikh hadi kumbuka mashia hawana undugu na mtu mweusi
@paulmushi2428
@paulmushi2428 Жыл бұрын
Kwani tangu lini Mwarabu akawa na udugu na mtu mweusi? Muhamad Mwenyewe Hana udugu na wewe😂😂
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Quran imesema wazi waarabu wamekubuu kwa uwovu
@sogoramwinshekhe1464
@sogoramwinshekhe1464 Жыл бұрын
@@paulmushi2428 Haya mambo hayakuhusu wewe nenda kaondoe govi kwanza kafiri wee
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@zvpOnlineTv kabisa maanake nini
@kaizachief4912
@kaizachief4912 Жыл бұрын
Duh din Kaz kwel 😁😁😁
@abubakarali289
@abubakarali289 Жыл бұрын
NJAA NDIO HUSUMBUA WATU.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Haha mawahabi bwana ujinga wao hauna mfano. Yani angenda ubalozi wasudia isingekuwa njaa? Washenzi kweli kumbe nyinyi
@abubakarali289
@abubakarali289 Жыл бұрын
UBALOZI NI VITU 2 TOFAUTI. UBALOZI NI KAZI NYENGINE, NA USHIA NI SHIMO LENGINE. WEWE HUONI? HUNA MACHO? AMA UAZIMWE ? SIKU ZOTE HAO MASHIA WANAMTUKANA MTUMI, NA MASWAHABA ZAKE.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@abuunufaydah5027
@abuunufaydah5027 Жыл бұрын
Eweeevjahil wakutupwa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Kabisa
@nurumohamed7225
@nurumohamed7225 Жыл бұрын
Ndugu zako ww mwenyewe lkn siyo wote
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Haha umechemka.hata mawahabi siyo ndugu wakila mtu.waislam wengi dunia wameuliwa na mawahabi
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@mkude
@mkude Жыл бұрын
@@abiabi9353 soma comment sisi waislamu wote ndugu na tunapendana,baada ya mtume s a w kufariki,Kiongozi wetu waislamu wote ni KHALIFA ABUBAKAR, UMAR,OTHMAN, ALLY. kama unapinga hili utabaki kwenye njia ya upotovu.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
@@mkude wapotevu ni wale waliojichagulia wakaacha alichowachagulia Allah na mtyme wake. Kwa taarifa yako abubakar,omar na othman walikuwa watawala tu hawakuwa mahalifa kama unajua maana ya uhalifah.Imam Ali ndiye aliyefanya kazi zote za uhalifa
@hassaniidrissa5916
@hassaniidrissa5916 Жыл бұрын
Wala Hana uso wa aibu kabisa, ana confidence ya hatari, huyu sheikh kwakweli anaitaji brain washed
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Hahaaaaaa
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh hatari
@rashidbuzubona6577
@rashidbuzubona6577 Жыл бұрын
Rungu limeangukia kwa mwenyewe
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Hahaaaaaaa
@laylayl5166
@laylayl5166 Жыл бұрын
Mungu akurunde nakila shari nakila mwenye chuki nawewe nafitna juuyako ikuepuke
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Amin
@Mo_wajih
@Mo_wajih Жыл бұрын
Walichelewa KUKUONDOSHA
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
@abduliabdallah9197
@abduliabdallah9197 Жыл бұрын
Acheni ubaguzi dini Haina rangi shekhe nakupongeza kwa maneno yako
@ahmadmzoa74
@ahmadmzoa74 Жыл бұрын
Jina zuri nakushauri tafuta darsa mbali mbali usome uweze kulinganisha. Awali muombe ALLAH SUBHANAHU WATAALA Akuonyeshe Haqqi na uifuate.
@hamynas
@hamynas Жыл бұрын
ikiwa kwenda kwa wairan tayari umeenda kwa mashia ina maana wale masuni waliopo IRAN pia ni mashia?
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Mh
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Rasmi shia.
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Shia ndiyo dhebu la haki
@ayoubrashid8392
@ayoubrashid8392 Жыл бұрын
Laanatullah
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 Жыл бұрын
Hivi wajua waliopinduliwa NI mashfii??!
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Wewe nenda na ujahili wako
@aishaarusha894
@aishaarusha894 Жыл бұрын
🤣🤣🤣
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Hatari
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Muft umemtoa mwanajeshi kambini alafu anajua Siri zote za kambi Leo kaungana na ...... ngoja tubomolewe Sasa maana Mimi kichwa Cha uyubwana sikiamini Hata kidogo.Kujikontro hasira zake huyu bwana mkubwa hawezagi kabisa .Sasa watu wamekuwa wakutumia uzaifu huwo kumtia matatizoni.Allah atupe hidaya Sisi na sheikh Alhad .
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Жыл бұрын
huyo hataakijiunga nao huyu hata kanisani aende vufu kujiachia
@fadhilamsagati1337
@fadhilamsagati1337 Жыл бұрын
kama unashindwa kujilisha mwenyewe utalopoka kila.mahali
@mwambashiiddi9295
@mwambashiiddi9295 Жыл бұрын
Khumeini aliwapindua ahlusunna .ww sas washerehekea kupinduliwa ahlusunna ambao NI mashaafii??
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Du hili jahili kweli.Nani kakwambia Shah alikuwa ahlul sunna
@salehesalehe2967
@salehesalehe2967 Жыл бұрын
Ninyi mnaopinga Irani ni machizi
@MohammedSaid-qr1zn
@MohammedSaid-qr1zn Жыл бұрын
Kwani irani ni qur an au sunna nyinyi mnao iabudu iran ndio majinga mmeacha qur an na sunna mmekua makafiri wa kishia
@mkude
@mkude Жыл бұрын
Duuuh kwahiyo wewe unaiabudu IRAN hauipingi, au UBWABWA, UBWABWA MTIHANI SANAA
@shabanijuma2085
@shabanijuma2085 Жыл бұрын
Rasmi shia.
@zvpOnlineTv
@zvpOnlineTv Жыл бұрын
Duh
MAOVU YA SHEIKH WA MKOA ALHADI MUSSA YAWEKWA HADHARANI
15:15
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 18 М.
The Joker kisses Harley Quinn underwater!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 41 МЛН
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 93 МЛН
GUS RUMAIL KUPAS PENELITIAN BODOH IMAD!!
11:07
Santuy tv
Рет қаралды 23 М.
SH ALHAD vs SH JALALA - KUTUKANA MASWAHABA VIPI?
2:35
Asadiqmedia
Рет қаралды 815
MASHIA WANASEMA ALIY NI BORA KULIKO MTUME
10:25
Asadiqmedia
Рет қаралды 33 М.
live! DEBAT GURU GEMBUL DI RABITHAH ALAWIYAH
43:36
guru gembul
Рет қаралды 167 М.
Pesa imejificha katika vitu vinne - Sheikh Walid Alhad
20:37
Kalamutz
Рет қаралды 96 М.