Mmmmh!! Hata kama tunalalaamika kuchambwa na mbarikiwa ila kwa hiki hapana tumezidi!!
@StevJimmy14 күн бұрын
Rose shauli Martha kweli akanye Joan . Mi niko Burundi naumizwa na Martha kabisa
@apostle6713 күн бұрын
Mithali 29:1 [1]Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa. He, that being often reproved hardeneth his neck, shall suddenly be destroyed, and that without remedy.
@RedentaMahessa13 күн бұрын
Dada rose nakupenda sana. Naomba uwache mapambo dada. Acha kusuka acha kuvaa Eleni nakupenda dada yang Mungu akubariki sana
@AdamuMbilinyi-j6f15 күн бұрын
kweli dunia simama nishuke
@leonardjamson-tb4jj14 күн бұрын
Mbarikiwa shusha nondo tu hao mpaka wanyoke Maana wanaleta ushenzi.kwenye mambo ya mungu
@WitoKyamba11 күн бұрын
Mungu akutumie zaid baba,
@jonathankessy961513 күн бұрын
Hivi baba zao wa kiroho ni kina nani😠!! Ninamashaka makubwa sana na mti uliotia matunda haya🤔
@PAULOAGUSTINO-z7v14 күн бұрын
Haooo ni makahaba wanaojificha kwenye uimbaji
@JulieMangah14 күн бұрын
Ukweli hapo kuna kitu sio bure, kwa hekima ya Martha ya kunyamaza asingekubali huu hupuuzi anaofanya joan maneno machafu anayosema kwa watu pia kwa familia yake, martha angemkataza ila kwavile anamuachatu hii niwazi kwamba wanajuana njia yao, inaonekana joan anamamlaka juu ya martha, na martha anashindwa kumzuiya joan kufanya upuuzi Congo tunakupenda lakini tengeneza kwanza na familia yako na Mungu wako kisha ujeuku kwetu Congo, na huyo mpuuzi joan atumtaki huku Congo.
@christinanguma517013 күн бұрын
Ayseeee😢sasa nimeamini kuwa kweli si kila anaelitaja jina la YESU atarithi ufalme wa MUNGU.
@Hussen58113 күн бұрын
Asante kwa maana umejua ukweli kabisa
@JoycePetro-c1r14 күн бұрын
Mungu haziakiwii
@christinewomanoffaith547914 күн бұрын
Hao waliomualika ndo wapuuzi hawana akili
@joshuangonya-jt5dj14 күн бұрын
Wote hao ni ndege wafananao.
@felixkamkala330314 күн бұрын
Umeaona ndio wale wale ila wanaenda kumpa uchawi zaidi ili azidi kutajirika si katimiza mashariti yao ya kusagana ndio ataongezeka kuwa na na mali za kishetani
@Hussen58113 күн бұрын
Kwa kweli ni aibu kwa mwimbaji huyu tunapomtumikia bwana sisi tukiwa maskini tunakuwa na juhudi kubwa ya kumtafuta lakini kwa bahati mbaya tukiwa matajiri wakati mwingine tunamkatamaa bwana inasikitisha sana.
@FrancinejenniferHappy12 күн бұрын
Babaeeeee kwanini munakuwa upesi kwa gudg? Labda muombe Mungu awape ukweli kupitiya alama Fulani, kwanini mumeongea mingi Sana, for me nitazidi Ku mpenda Martha ❤❤❤
@WitoKyamba11 күн бұрын
Martha anapendwa nd maana anazungumziwa,tunampenda hatupendi apotee
@JoyceMbise-zr2xh6 күн бұрын
Siku zote anayependwa huonywa ili asipotee
@PolycapySilayo-g9w14 күн бұрын
Hawa ni makahaba wameingia kwenye nyimbo za injili ,sema huyu single mother hamkumjua mwanzo ila moyo wake ndivyo ulivyo ,pia wanaomwita kwenye huduma ni waswagaji na masonic wenzao.
@wiliamhenry329813 күн бұрын
Joan joan joan Mungu akusamehe,,hako kagaun oooh!!!!!! pia nisameh mm pia maana cjakamilika
@zepinashatibu514914 күн бұрын
Mlimtetea sasa mnaaza kumkubali mama na Beatrice
@amosmakoba504215 күн бұрын
"Sikio la kufa huwa halisikii dawa", wahenga walisema.. Hawa hawasikii ushauri wa mtu yeyote kwasababu UHURU KWENYE MADHEHEBU MENGI UMEKUWA MKUBWA SANA, na haya ndiyo matokeo ya uhuru huo.. Pengine wanamngoja Mchungaji wao awakemee ndo wasikie.
@joshuangonya-jt5dj14 күн бұрын
Sina uhakika Kama hawa, wana Baba wa kiroho, Nani anaweza kubari kuwa Baba wa wahuni Kama hawa? Kiufupi hawa ni machokolaa.
@salomenashon586414 күн бұрын
Duuuuh Martha mwaipaja kwa kauli zile za joan bado unaenda naye kwenye huduma ? 😢 tumekuelewa sasa martha
@CostansiaHaule11 күн бұрын
Yaani we Martha unamtuma Joan alitukane kanisa?? Kwa kauli zake eti wakristo wamejaa Giza usoni?? Eeeeh?? Eeeeh??
@DevothaMkubwa14 күн бұрын
Iman na injili bila matendo imekufaa😢😢😢
@ChazMakavu-f9w14 күн бұрын
Dunia imeisha2 hilo tulijue Mana ndo vitu vilivyo tabiliwa, hao ni makahaba ndani ya kanisa Ila wamejificha kwenye kivuri cha injili, lakini tutawatambua kwa matunda yao, MUNGU aturehemu kwa kweli dunia simama nami nishuke na mbarikiwa.
@AgathaHaule14 күн бұрын
Ni kweli baba. Huo siyo ukristo. Wamejificha kwenye ukristo ni...
HAPA NDIO NIMEAMINI MARTHA MWAIPAJA NI PEPO NA PEPO KUU JOAN WACONGO ACHENI UJINGA HUYU CIO MUIMBAJI WA NYIMBO ZA KRISTO BARI MUIMBAJI WA NYIMBO ZA SHETANI KAMA MKO TAYARI KUMUABUDU SHETANI MKUU WA ULIMWENGU HUU SAWA 😭😭😭
@stellajohn848611 күн бұрын
JAMANI MATHA ANAKIBURI SANA HAMMUJUI TU NISHETANI ANAKISILAANI SANA
Umesema vizuri Mtumishi wa Mungu Mwakipesile. Utawatambua kwa matendo yao.
@SaraM-m1d13 күн бұрын
Mungu okoa wa toto wetu
@psgospel349014 күн бұрын
❤MUNGU AZIDI KUKUPA SIKU NYINGI KATIKA DUNIA. KUNA MENGI ZAIDI WANADAMU WANAHITAJI KUSIKIA KILA SIKU KADRI MUNGU ATAKAVYO KUONGOZA KUNENA NASI. 👉🏽Yeye aliye na sikio, na alisikie neno hili ambalo Roho ayaambia makanisa.❤
@MakanyaHome-th2xn11 күн бұрын
Mardha tubu murudie Yesu muache Joan aondoke huyo nijini limetoka kuzimu au mardha uko unafanya afanya Joan
@luqman.expert11 күн бұрын
Mungu aturehem tuu
@FlorenceAseru-rj1fv12 күн бұрын
Earth is hard!!!!
@Alunekyusa6914 күн бұрын
Kweli baba Huyu anajionyesha kabisa
@Mariejo123-g2x12 күн бұрын
Martha Mwaipaje nimekushangaa sana. Joan anakusaidia nini katika ukovu wako. Una kibuli wewe msichana hausikii kabisa. Ninakuangalia kwa jicho la tahadhali.wachungaji wamekuonya, you have gut to come to the media and say am going to Congo, na Joan anatangaza pia. Umetia aibu kabisa,kumbe unajua unalofanya
@bwanasilisalumu462713 күн бұрын
Wapigwe majiwe uko congo
@NJOPEKABAFORD6 күн бұрын
NAKUPE NDA SANA MTUMISH UNASEMA MANENO YA HEKIMA SANA TENA SANA
@joycemuhoja472912 күн бұрын
Naenda Congo
@johnmwasilu708714 күн бұрын
Na wanakwenda kulala kitanda kimoja😂😂😂😂
@ugalidona-cs2yn12 күн бұрын
Ufalme wa MUNGU unakuja.
@atuganilemwakasangam20182 күн бұрын
Kwahiyo huyu mtoto yeye ni dino gani? Mbona haeleweki
@dorcaskarago287614 күн бұрын
God! Mbona watu hawaogopi tena Mungu ivi kweli Martha!! Joan utapigwa mawe congo wewe
@stellajohn848611 күн бұрын
HI I HAWA WATUMISHI KUNA NINI MBONA HATUELEWI
@loveandrew969412 күн бұрын
Maskini mbarikiwa anachanganya uimbaji na ulokole ......hana ushuhuda wa kuulinda maana yeye ni msanii tu kama alivyo diamond...na harmonize......
@AnnaKimaro-r1z13 күн бұрын
Huyu joan kunakitu anakitaka kwa martha kwakweli ila martha haendi na huyu ibilisi popote anatumia acaunt ya martha
@barakabusima14 күн бұрын
Siku zote watu wenye tabia zinazofanana huchaguana pia ukifuatilia sana hata waliomwalika ni wale wale 😊 maana watu Hao wanatabia ya kusapotiana sana ..huyu Matha aliwahi kwenda kwa kanisa la kiboko ya wachawi na alituzwa pesa imagine 😅
@benjaminmartine-io6ry12 күн бұрын
Anaenda kwa wakristo wenye gizaaaaa , ila pia hatujui anaenda wapi anakoenda yamkini wako sawasawa tusishangae , shetani yuko kwenye kampeniiii
@naomikrause176214 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LovenessAlbert10 күн бұрын
Wawili hawatembei wasipo patana.
@JoycePetro-c1r14 күн бұрын
Sijui hata ni Mungu gani wanaemuimbia jamani....hatari sana
@bwanasilisalumu462713 күн бұрын
Tabia za uyo mutoto zinaonysha sura ya tabia ya mama yake, ninashangaaa, anawatukana watu na iko na mama yake
@AnnaKimaro-r1z13 күн бұрын
Huyu binti kunawatu wapo nyuma yake kumchafua martha ila martha hajajua nini kinaendelea huyu binti ninyoka nahatavitu vingi anaposti yy kupitia mgongo wa martha ndio maana hata youtube yeye ndio anafanya yote haya anatumia acaunti ya martha nasio martha anaposti ni huyu binti sema martha haelewi nn kipo hapa
Hawana hata kanisa maalumu wanaloabudu , malaya tu hao
@StevJimmy14 күн бұрын
Sasa martha hawezi enda sehemu yoyote bila kuburuzana na huyo joan ?
@MankaTansaniya14 күн бұрын
Martha ameshikwa pabaya na Joan.. hawezi kuchomoka kwa nguvu zake, inahitajika nguvu ya ziada tu coz Martha akimwaga mboga Joan atamwaga ugali
@giftkalenge41814 күн бұрын
kwakweli Martha amedharirisha wakristo angalia wote wanao msapoti Kwa Sasa kama Alina Hakikika na Joan kweli?
@user1337514 күн бұрын
Atakuwa Hana akili timam
@jeremiahcharles602714 күн бұрын
Anaenda na MTU wake😁😁😁😁😁
@marymremi105114 күн бұрын
isikupe shida mtumishi hata wanaomwalika ni walewale ,wawe angalia mwito wako achana nao watakuchelewesha kumaliza mwito wako
@Mbarikiwa_Mwakipesile14 күн бұрын
Mwito ni kumulika mambo kama haya. Kunyoosha mapito ya Bwana ni kuonyesha opotovu ulio katika jamii
@LilianJoshua-kj8ei13 күн бұрын
Hawa ni wApagani wa kawaida tuu
@JosiaswemaMumberevagheni14 күн бұрын
Karibu Sana kwetu Congo tutabarikiwa sote pamoja karibu Sana 🙏🙏🙏🙏
@Visionofeagle968914 күн бұрын
Makahaba tu hawo.
@jeanmusamba844814 күн бұрын
vijana mnafel wapi huyu Joan hamjampa proper promotions pigen mapacha huyo ataacha usagaji,wazee wa kazi vipi mbona mnaniaibisha
@eliaichraymond121514 күн бұрын
😳😳😳
@jeanmusamba844814 күн бұрын
Hujaongea kama Mbarikiwa ninae mjua japo uko sawa kemea freemason kitengo cha usagaji ndo chanzo cha haya
@AnnaMsigwa-h1x14 күн бұрын
Nikweli mt
@christinewomanoffaith547914 күн бұрын
😂😂😂
@marthaayuma706510 күн бұрын
We Joan Una mdomo mkubwa sana.wewe nikinyonga.nenda uko kamalizane namadhabahu unayo yaabudu hayo kunauwezekano wewe .haupo Sawa kiakili.mybe unatumia dawa zakulevia.dada jichu guze.sana.huwezi kuwatukana WA kristo.huyku tunakuona unaimba hizo nyimbo za kikristo.are you mad?
@euphrasietuyisenge561014 күн бұрын
Mumuombee Martha Roho yake imetekwa na Johwani huu agent wa kuzimu
@DevothaMkubwa14 күн бұрын
Injili ya Martha imepoteana hakuna chembe ya hofu ya mungu
@Randybury37814 күн бұрын
Musifadhaike mioyoni mwenu wakati umefika kila mtu ataishi kwaneno alilonalo. Tutaendelea kuwafahamu kwamatendo
@HekimaSalama15 күн бұрын
Watu wote wanao fanya vitendo vichafu kusagana ushoga tusifikili kila zambi mungu atatusameee apana zambi zingine ni za kufulu mungu hata zisamee ata kama utaongozwa toba mala elfu 1000
@SNMKINTCOLtd14 күн бұрын
Hiki KIBURI masikini. 😢
@FrankBbd14 күн бұрын
Ukirsto ni dini ambayo wauni wengi wamejiingiza kama watumishi lakini wako kwa ajiri ya kuangalia masilai uwa nasikitika mtu akipata pesa ya kukodi ukumbi tu ananzisha kanisa
@Neema-qm9kk14 күн бұрын
@@FrankBbd mkristo asiyesoma biblia hawezi kuelewa kinachoendelea ni nini .ndio maana watu wanashauriwa kujifunza biblia ili kupata uelewa. Moja kati ya dini itakayopitia vipindi tofauti tofauti ni ukristo biblia imezungumza kuhusu shetani kujiingiza kwenye makanisa na kuwateka wengi lengo lake ni kupata wafuasi wa kwenda nae motoni. Na biblia inasema kabisa watadanganya wengi na kuacha imani ya kweli. Hivyo hakuna neno lililosemwa kwenye biblia lisiache kutimia.hivyo ndugu soma biblia ili upate uelewa zaidi vinginevyo utakuwa unalaumu tu
@BardenBensonMwamfupe-dk3yg14 күн бұрын
Matha siangalii tena nyimbo zake kwa haya ninayoyaona
@rizikibahati836414 күн бұрын
Hata wanaho mwalika kongo hote ni maajeti wa Shetani kanisa ninalo mwalika siyo lakiroho
@ElizabethTinuga14 күн бұрын
Achen kuangaika na matha wakati hana muda na nyinyi
@deogratiashaule895814 күн бұрын
Yote kwa yote, Martha ajitafakari ,aache kiburi, kiburi hupelekea maanguko.ni aibu kubwa kwa Martha.
@JosephThomasMaduka-v3n14 күн бұрын
Sasa ataacha mme wake nyumbani joan ni mme wake
@deogratiashaule895814 күн бұрын
Waache kumhusisha Mwamposa na uchafu wao.
@FatumaOmary-lm8py14 күн бұрын
Hapo ni shetani katikati ya uzo wa mwanadamu
@emmasara268114 күн бұрын
Martha anakosa gani msimchafue
@emmanuelmwakyoma574615 күн бұрын
Martha kawaona wote Ni wapuuzi pamoja na mama yake vile mmemshauri Ni maarifu kwa upande pili
@user1337514 күн бұрын
Martha atakuwa na akili ndogo
@MfiriNasawe14 күн бұрын
Wakritu wamejaa giza sasa unafuata iluminati congo?hata na wewe sii mkristo kumbe haya tuambie imani yako ipowa huko kulikojaa nuru?
@EmeliaKasanga14 күн бұрын
Ameeni baba
@QueenLilianMushi14 күн бұрын
MSHAHARA WA DHAMBI NI MAUTI BALI KALAMA YA MUNGU NI UZIMA WA MILELE.... HAO MADHABAHU WATAKAOENDA KAMA WATAHUDUMU. KUZIMU IMEONGEZA RAIA.
@MchungajiNzelani14 күн бұрын
Hivi wacongo wamepatwa na nini!!!!
@josephjulio611214 күн бұрын
Kuna mshilika Mmoja wa mwamposa anauza pombe bia na vingine ila sio poa
@dianajohn852014 күн бұрын
Jamani mwaposa ameingiaje hapa ,unahisi unaposali wote mnania mmoja ,huo ni dhambi yake haimuuhusu mtume Boniface mwamposa ,, umeelewa
@dianajohn852014 күн бұрын
Asante mtumishi wa Mungu ,umenifundisha jambo ,umenibariki Asante baba
@DevothaMkubwa14 күн бұрын
Umepiga penye mshono😅
@giftkalenge41814 күн бұрын
upon sahihi matendo ya mtu hutafsiri moyo was mtu
@ImakurataZacharia14 күн бұрын
Ata biblia inasema, tutawatambua kwa matendo yao
@ThomasNghwani-nw6rx14 күн бұрын
Hao wako gizani, hawako nuruni, wala Kristo hayumo ndani yao.
@mestonisimzosha20315 күн бұрын
😂😂JOAN AMESEMA MCHUNGAJI WAKE NI (MWAMPOSA)Kwahiyo haya tuyategemee saaanaaaa Tena na zaidi ya haya.(Kiufupi Matha na JOAN Wako upande wa Mungu Dunia/Mungu Bahari.