Asante sana mchungaji, hili somo limenifungua ufahamu.
@EliaHiluka14 күн бұрын
Mungu hasikii maombi ya wenye dhambi
@JuliethNyoni13 күн бұрын
Mungu akubariki mchungaji
@EdgarMwakyoma-c1q15 күн бұрын
Ujawah kufer mwaisa ❤❤
@ArbertMhando14 күн бұрын
Kufunga ni kujinyenyekeza Kwan mungu ikiwa ni pamoja na kutubu.kwa hiyo mh.mbowe anafunga yupo sahihi.
@ashelikilele16715 күн бұрын
Nimekwelewa sana mzee wangu
@barryrioba393414 күн бұрын
We FUNGA NA KUOMBA Ukimaliza Ondoka Mwachie LISSU Ofisi.
@solomtz704913 күн бұрын
😂😂😂😂🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾👍👍🏿
@JayrosMahenge15 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi,,,
@kingsonkambey143615 күн бұрын
Amina mtumishi wa Mungu aliye Hai
@GodfreyMakala13 күн бұрын
Amen
@EdgarMwakyoma-c1q15 күн бұрын
Nakukubali brother!!!%%%%% nguganile brother%%%%
@EdgarMwakyoma-c1q15 күн бұрын
❤❤❤❤❤ fact
@stamilinyakunga15 күн бұрын
Ameeeeen baba❤.
@charlesnyanhanga438213 күн бұрын
Umeeleweka mtu wa MUNGU
@ArbertMhando14 күн бұрын
Je mbowe kamuumiza nani?
@GodfreyBikukan14 күн бұрын
Mungu akulinde sana
@ArbertMhando14 күн бұрын
Yesu alikuja kwa ajili ya wenye dhambi kama mbowe kadiri Yako.
@EliaHiluka14 күн бұрын
Unapaswa kuzaliwa mara ya pili yohana 3:1-6
@ArbertMhando14 күн бұрын
Mungu ni mwenye mwenye huruma.na kumbuka kufunga ni Toba.
@Mbarikiwa_Mwakipesile14 күн бұрын
Ni toba kama unatubu.
@GodfreyBikukan14 күн бұрын
Ktk siku uliyoongea ukweli nileo ubarikiwe sana Mbowe nimnafiki amegeuka kibaraka wa Mama LISU nimtu mwema najua mungu atasimama nae
@linussaid961215 күн бұрын
Hapa ni neema tuu ya mungu ifanye jambo broo! Hawa jamaa hawakuelewi
@barryrioba393414 күн бұрын
LISSU HECHE LISSU HECHE LISSU HECHE
@solomtz704913 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾Thank you
@ArbertMhando14 күн бұрын
Mbowe kataja sababu ya yeye kufunga.
@ArbertMhando14 күн бұрын
😢Wewe ni farisayo
@SeverinMagwaya14 күн бұрын
Ni kweli unafki ni janga!!
@ugalidona-cs2yn15 күн бұрын
Neno ndo hukumu.
@AnthonyMapunda-b6v15 күн бұрын
Amina
@hildandumbalo582714 күн бұрын
Mungu azidi kukubariki mtumishi wa Mbarikiwa Amen mtu ukifunga husemi nafunga
@EvaFuraha14 күн бұрын
Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.
@WhidBakhs15 күн бұрын
Hakika poster wewe ni mtumishi wa mungu halisi naomba kukiri hilo
@ugalidona-cs2yn15 күн бұрын
NaaaM NaaaM Hakika Unenavyo Ndo Hivyo Hivyo Roho Wa MUNGU Akushuhudiavyo Kuwa Hivyo Hivyo.
@joyceharris209315 күн бұрын
Hacha kumuhukumu mtu kwa maneno ya kusikia. Mwachie Mungu. Ĥuna aja ya kumuhukumu Mbowe mwenendo imani yake iko wazi
@stamilinyakunga15 күн бұрын
Pigeni kelele pazen sauti zenu mwambie watu makosa yao na waache maovu .sasa ww kama utahubiri injiri bila kusema watu huo ni utaper na umalaya binadamu .hizo ndo injiri za mafarisayo.
@Mbarikiwa_Mwakipesile15 күн бұрын
Kwani kuna mahali amekosea? Nimesema ikiwa kuna eneo anajua kuwa amekosea asifunge ili huyo mungu afanikishe mambo yake. Anaruhusiwa kufunga ili kutubu ikiwa kuna uovu ameutenda. Ila kama yuko safi aendelee
@joshuaswai820315 күн бұрын
Sasa wewe unahukukumu kwa vipi mpendwa
@ugalidona-cs2yn15 күн бұрын
Neno ndo hukumu.
@JosephLadisilaus15 күн бұрын
Endelea kunyoosha mapito ya bwana ubarikiwe binafsi nmekuelewa.
@adammadata416015 күн бұрын
Haya mahubiri ya Mtumishi yapo Kiroho zaidi. Ndio maana wasio rohoni watakua wanachanyikiwa tu maana wapo mwilini hawa
@ConfusedBlockGame-nw3lb15 күн бұрын
🫡🫡🫡🫡🫡👍👍👍👍🙏🏾
@OdiloMwemezi14 күн бұрын
Suala la kufunga mpaka machawi yanafunga Tena yananikamua kuliko mwanadamu wa kawaida.
@margarethpolepole743814 күн бұрын
Toka zako wamekychoka acha Usanii wako wa Chadema Saccoss na hama cha Familia toka tu usimsingizie Mungu unalamba asali halafu unasema unafunga na kuomba toka zako
@ZaidAKissinza15 күн бұрын
Nionavyo mimi uchaguzi wa tarehe 21 utakuwa na vurugu ya kufamtu. Mimi niko paleeeeee
@marymremi105115 күн бұрын
Hapo ndipo unapokosea Mungu si mwanadam anasikia mtu yoyote acha kumhhukumu mtu wewe sio Mungu mtu akkisema anamuomba Mungu mwaminni huwezi jua nafsi ya mtu hakuna mkaamilifu huyo lisu haana hekima wewe kama mtumishi mbonauko kimya achanna na watu muda utaongea utapata aibu
@Mbarikiwa_Mwakipesile15 күн бұрын
Wewe ni wapi unapopatia? Kwani kuna mahali nimesema amekosea? Nimesema ikiwa kuna eneo anajua kuwa amekosea asifunge ili huyo mungu afanikishe mambo yake. Anaruhusiwa kufunga ili kutubu ikiwa kuna uovu ameutenda. Ila kama yuko safi aendelee
@ugalidona-cs2yn15 күн бұрын
Neno ndo hukumu.
@MsamiKimaro14 күн бұрын
Wewe unachuki zako binafsi
@MwitaChacha-l9t14 күн бұрын
Na wewe chukua form
@PaullyzmundaPaullyamunda14 күн бұрын
Tatizo binadamu anapojitanabahisha na Mungu, ni kwamba Mungu hana msaidizi, kila mtu anasikiliza yeye na kumjibu! Sasa wewe mwenyewe unapaswa kujiombea badala ya kumsaidia Mungu kuhukumu watu!
@mbelechimakobola883515 күн бұрын
Hakika wewe ndiye mtumishi wa Bwana halali huko Tanzania, tunajivunia sana
@ugalidona-cs2yn15 күн бұрын
Naaaaaaaam.
@halikumbeyemsiwayinga948215 күн бұрын
Mimi nadhani , mtumishi ungeacha kuiangalia Dunia na wanaoihangaikia DUNIA . Huburi Tu KWELI yaani NENO la Mungu Achana na kuangalia Dunia . Simama na Mungu
@stamilinyakunga15 күн бұрын
Injili ni watu kwani hata mitume manabii na wafalme walikuwa wanakosolewa hivi ndio injili kamili ❤❤❤ ubarikiwe baba mm binafsi ni sahihi sioni kosa ni wapi utaenda ukahubiri bora kusema watu hilo itakuwa sio injili ni uhuni .ameeeen baba.
@Mbarikiwa_Mwakipesile15 күн бұрын
Nani katika Biblia ambaye alihubiri kweli bila kuwaambia watu? Je aliiambia miti? Kweli ni kinyume cha makosa/uongo. Ni kukanusha au kusahihisha palipo potoka. Au mwenzetu ujuayo kuwa ndio kweli inafananaje?
@ugalidona-cs2yn15 күн бұрын
Kama ni hivyo basi, ingetulazimu tuondoke katika dunia hii.
@MsamiKimaro14 күн бұрын
Mbona na wewe ni muovu tu Ila unajifanya unatazama ya wenzako
@Mbarikiwa_Mwakipesile14 күн бұрын
Uovu gani kaka? Au unadhani duniani mmejaa wachafu tu?