Mtaa wa Matajiri na Watu Maarufu Tu- BEL-AIR, Los Angeles

  Рет қаралды 49,082

Jack Wa USA

Jack Wa USA

11 ай бұрын

Nilienda kutembelea mtaa maarufu huku California uitwao Bel-Air. Ukitazama video hii utaweza kuona jinsi mazingira yalivyo na shughuli ambazo watu hufanya wakiwa maeneo hayo.
Pia nakuomba usubscribe ili usimiss video mpya nitakazokua nikipost. Asante kwa kutazama, Nakupenda sana!
My previous video;
• Hua napenda kuenjoy na...
🔸FOLLOW ME ON;
INSTAGRAM: / jacchalz
TikTok: www.tiktok.com/@officialjackw...
My Other Channel: / @jackchalz
#jackwausa #california #belair

Пікірлер: 772
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Please SUPPORT me by joining here; patreon.com/JackWaUSA
@HansFlever-lg7cw
@HansFlever-lg7cw 10 ай бұрын
Selemani natoka Daa posta mtaa wa Samora
@athanaschacha.9424
@athanaschacha.9424 10 ай бұрын
Nimegundua kwamba utajiri mkubwa wa hapo ni umiliki wa ardhi, kumbe huku kwetu tuna utajiri mkubwa sana, maana watu wanamiliki ardhi bila kujua umuhimu wake. Naangalia kutoka kahama 🇹🇿
@kenydope2582
@kenydope2582 10 ай бұрын
Watching from Dodoma, Tanzania.🇹🇿 Sikupingi, natamani siku moja nione uko mitaa ya silcon valley.
@user-nb2zv2kp5q
@user-nb2zv2kp5q 10 ай бұрын
Watching from Nairobi 🇰🇪 Dope!
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Kenya!!!✌🏾
@Hassan_Mengi
@Hassan_Mengi 10 ай бұрын
Great videos man. Take care of yourself man kwenye mitaa ya matajiri kama hii hasa ukiwa mweusi. Maana 🇺🇸 matajiri wengi 🔫 zao hazilali. Watching from Seattle, WA
@flyGoflove
@flyGoflove 10 ай бұрын
😅😅😂 uko mablaki ndo wengi
@moseskariuki6461
@moseskariuki6461 10 ай бұрын
Great video,chunga kaka usipoteze maisha yako Bure, risky sana ukiwa mweusi huko, Nairobi, Kenya 🇰🇪🇰🇪
@maximilianludovick5407
@maximilianludovick5407 10 ай бұрын
Manyara KITETO. One of the warm blooded fans of yours.
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
One love!
@tanzaniaoman6423
@tanzaniaoman6423 10 ай бұрын
Daah kuzuri sana mazingira ni mazuri miti mingi asante kwa kutupeleka marekani bila viza😁
@user-bq7be4ou6b
@user-bq7be4ou6b 10 ай бұрын
Mimi Niko mueda sunbiji muda wowote nafuwatilia!🎉
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Pamoja sana!
@hebronnjaghi
@hebronnjaghi 10 ай бұрын
it a nice place natqmqni hats mimi kuwa happy siku moja c uniconnect hapo❤ m Hebron from Kenya Taita taveta
@soweto05
@soweto05 10 ай бұрын
Nakufatilia sana Niko kigoma Tanzania
@douglasmongo6969
@douglasmongo6969 10 ай бұрын
Kaka hii ni kazi Safi Sana, Belea iko Safi Sana mtaa umetulia. Mimi Niko Qatar Doha kikazi but natokea Kenya Mombasa
@allenk7491
@allenk7491 10 ай бұрын
Natazama live kutoka kampala! Kazi nzuri sana Jack wa Tz!! Keep it up bro, we appreciate the great work you do.
@mallowmduhu4933
@mallowmduhu4933 10 ай бұрын
Oya Jack tuko pamoja sana, tunakukubali sana kwa kazi yako ya kutufikisha Yues 🇺🇸 kwa bila nauli. Nipo Mwanza, Ukerewe Island ❤
@uniqtraveller2162
@uniqtraveller2162 10 ай бұрын
Nakucheki nikiwa kazuramimba kigoma hapa!! Kazi nzuri mno kaka! Tupeleke na Pacific Palisades kule pamoja na New Port beach
@bakarially253
@bakarially253 10 ай бұрын
MAMBO VIPI DOGO NAKUOMBA UKIPATA TIME UNACHECK MUHIMU SANA
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Naenda Newport beach soon. Fuatilia video zinazofuata
@shithyomar3828
@shithyomar3828 10 ай бұрын
Nakucheki mzee wa kahama nikiwa manguzi South Africa salute
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Pamoja sana
@bastartaito7416
@bastartaito7416 10 ай бұрын
Yah sho 😊
@ElisioVicenteMadimba
@ElisioVicenteMadimba 10 ай бұрын
Umenifikisha Bel Air kwa simu yangu, kiukweli nimependa video hi.
@MomadeAndurabe-ip5ek
@MomadeAndurabe-ip5ek 10 ай бұрын
Amazing from Mozambique 🇲🇿
@user-bb5zy3de7r
@user-bb5zy3de7r 10 ай бұрын
Asante sana jack kwa kazi unayo yifanya,mie niko kigali rwanda asante
@joackimmutulu
@joackimmutulu 11 ай бұрын
Keep up the good work!
@jameswahu1302
@jameswahu1302 10 ай бұрын
Good job Jack Nairobi Kenya
@adolpheniyonkuru2201
@adolpheniyonkuru2201 10 ай бұрын
From Bujumbura we love u🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@jemaarsen6996
@jemaarsen6996 10 ай бұрын
Nakufuatilia nikiwa sigunga kigoma nakukubari sana brother jack one day nitakuja Marekani
@emmanuelnsimba
@emmanuelnsimba 10 ай бұрын
Kazi nzuri jack,unatufumbua mambo mengi,nakucheki toka tabora tanzania
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 11 ай бұрын
Pamoja jack natazama hii video nipo makubusho Dr 🙌🙌🙌🙌🙌
@mabalarobert1767
@mabalarobert1767 10 ай бұрын
Nakubali sana kaz zako za kujitoa Kwa moyo Moja anaamini ipo sku utatimiza ulichokipanga
@amenyemwansile6919
@amenyemwansile6919 10 ай бұрын
Kweli mzungu ni mzungu tuu mazingira mazuri ajabu naangalia hii picha kutoka green city mbeya tz
@jacksonmbonea7411
@jacksonmbonea7411 10 ай бұрын
Mbona sioni hata gardener,tuombee kazi huko
@user-fh8lv3sf9b
@user-fh8lv3sf9b 10 ай бұрын
Mambo vip
@user-fh8lv3sf9b
@user-fh8lv3sf9b 10 ай бұрын
Vip michongo kuna issues gani uko zamaana unitafutie viza kutembea ni kujua mengi
@noelypavementblocks6033
@noelypavementblocks6033 10 ай бұрын
nakupata jack, kazi nzuri, naitazama hii video nikiwa dodoma
@challagundlavenkatesh8878
@challagundlavenkatesh8878 10 ай бұрын
Hongera sana,kweli mazingira maziri sana,hapo oxygen yakutosha kabisa, Kutoka Zakhem Mbagala hapa-Dar es Salaam
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Wafikishie salamu!
@joshuamwakijungu9517
@joshuamwakijungu9517 10 ай бұрын
Asante sana jack . Iko powa sana
@DavidLucas-ou7vp
@DavidLucas-ou7vp 11 ай бұрын
Welcome back bro❤❤
@emmanuelnsimba
@emmanuelnsimba 10 ай бұрын
Safi sana,mazingira wametunza vizuri.
@ramadhanimtozeni8030
@ramadhanimtozeni8030 10 ай бұрын
Great job, Jack, I'm watching from Sumbawanga.
@barakayusuph4617
@barakayusuph4617 7 ай бұрын
nmeuona mtaa wa rick ross..it's so amazing..thanks mr jack❤❤
@PHILTV10
@PHILTV10 4 ай бұрын
Asante sana bro kutupeleka sehemu Nzuri.kama hiyo.niko bujumbura burundi
@kelvinkangomba9590
@kelvinkangomba9590 11 ай бұрын
Unafanya kazi nzuri sana Jack
@clementinekambe8044
@clementinekambe8044 10 ай бұрын
Wonderful job 👍
@shabanimnape
@shabanimnape 10 ай бұрын
Nice,mazingira mazuri sana jamaa wako na uthubutu ,Tandahimba mtwara ndipo nilipo
@edwinfelix6298
@edwinfelix6298 10 ай бұрын
Nipo Mozambique semu nruri Sana nimeipenda kazi nzuri
@nassarliongo6993
@nassarliongo6993 10 ай бұрын
Nakucheck nipo bariadi hapa uoto wa asili wa eneo langu kama huko
@mbonyingingogerardo658
@mbonyingingogerardo658 10 ай бұрын
Mimi Niko Burundi nandasana kucheko mamboyako
@shakurusaid5301
@shakurusaid5301 10 ай бұрын
Big up ma boy 🔥🔥. Ii ni nyasubi one home boy
@nicolauswandao8988
@nicolauswandao8988 11 ай бұрын
Kazi nzuri sana naitazama kutoka Iringa
@fishwear391
@fishwear391 10 ай бұрын
Naikubali sana kazi yako kakangu Natizama kutokea Nairobi , Kenya
@georgemuigai7427
@georgemuigai7427 10 ай бұрын
Video nzuri sana,nipo jiji la MBEYA
@MkuziSaha-ll6ex
@MkuziSaha-ll6ex 10 ай бұрын
Kazi swafi,napenda kazi zako
@emanuelnonga1666
@emanuelnonga1666 2 ай бұрын
Una confidence Nzuri sana Brother na content zako zinafundisha wa tz wengi vitu vya USA hongera😮
@saidramadhani9060
@saidramadhani9060 10 ай бұрын
This is from kigambon dsm bro iam watching you there✌✌✌✌✌✌✌✌
@santanbrown
@santanbrown 3 ай бұрын
Nipo bunju biiiiii kwa mxela wakishua😂😂❤
@davidosindi9094
@davidosindi9094 10 ай бұрын
Keep it up,from Nairobi Kenya.
@Timothymchomi
@Timothymchomi 10 ай бұрын
watching from Mwanza nakukubali sana bro nataman na mm siku moja nifike huko 🇺🇸!!!
@jumandaba503
@jumandaba503 9 ай бұрын
From Sengerema,tunakufatilia sana br Asante kwa kazi nzuri
@denisijosephat2361
@denisijosephat2361 3 ай бұрын
nahitwa pastar Denice from kagera muleba tz, kijana umenipa Raha xana Asante ubarikiwe sana endelea kutuonyexha Mambo y America, Raha kweli kweli!!
@wizjones3746
@wizjones3746 10 ай бұрын
Daaah hatar San 🔥 Watu na maisha Yao bhna
@jumaseleman5972
@jumaseleman5972 7 ай бұрын
Big up broo,nafuatiliaga Sana inshu zako,upo vizr broo,nakucheki nikiwa,Kahama,Majengo,shy
@jackwausa
@jackwausa 7 ай бұрын
Pamoja sana
@thomaskiagati8843
@thomaskiagati8843 10 ай бұрын
Watching from pwani Tanzania
@mohamededdi7527
@mohamededdi7527 10 ай бұрын
Watching from Dublin Ireland
@ottoraphael2309
@ottoraphael2309 10 ай бұрын
Watching from Mbeya ct Tz
@deusntobi1450
@deusntobi1450 10 ай бұрын
Kumbe we ni home boy kabsa. (Kahama) hongera sana kwa ujasil ulionao bro
@jafaribatista1599
@jafaribatista1599 10 ай бұрын
I'm watching from mikocheni B, dar es salaam, big up to you brother jack,-_ from my deeply heart 💜 💜 💜 💜 na-_enjoy SAANA na video zako broo cause napenda sana kutalii SEMA tatzo pesa,
@ElidebeliMashine-kj1jp
@ElidebeliMashine-kj1jp 6 ай бұрын
Mwaka mpya nilikuwa church nakula sebene ,vib lilikuwa la kutosha.
@user-mm4kp9fc8g
@user-mm4kp9fc8g 10 ай бұрын
Mr, uko vizuri endelea kutujuza kutoka Marekani, naangalia kutokaMwanza.Tupele tukacheki mjengo wa Roman Rings.
@djamaelzafisoa
@djamaelzafisoa 10 ай бұрын
Nakufatlia sana Niko Comoros 🇰🇲🇰🇲💪
@ezekielmsomba7862
@ezekielmsomba7862 10 ай бұрын
Jack safi sana. Naangalia video hii nikiwa Kigamboni Dar es salaam
@MohamedSaleh-nv6nw
@MohamedSaleh-nv6nw Ай бұрын
Big up nipo zanzibar
@kakamkuu5383
@kakamkuu5383 4 ай бұрын
Hongera kijana kwa kujiamini huwa najisikia fahari sana nikiona mtu mweusi kama mimi wa kutoka Iringa naye anatoka Kahama siyo Dar Arusha Mwanza wala Kilimanjaro hongera brother unatumia vizuri shule
@HamimAbedi-ff5sk
@HamimAbedi-ff5sk 10 ай бұрын
Kazi nzur Jack waTZ 🇹🇿 we are proud of you me nilikuwa naombi moja one day tuandalie content kuhusu ulemchezo wa WIPE OUT mshindi huwa anapata dollars 💵 elf50 it’s a lot of money 💰
@hamadhamis9763
@hamadhamis9763 11 ай бұрын
Mi nakupata vzur Sana mwanangu nipo kahama
@Dekingalba
@Dekingalba 10 ай бұрын
Oy hii video Natizama nikiwa Zanzibar...🎉
@nahimjumanne8188
@nahimjumanne8188 10 ай бұрын
Safi Sana 🤝 Kijana Kazi Nzuli Jack Khm 🇹🇿
@EricAnthony-gj6qz
@EricAnthony-gj6qz 3 ай бұрын
Nakubali sanaa kakaaa... Naangaliaa nikiwaa shinyangaaa shy town...
@mussamuna900
@mussamuna900 10 ай бұрын
nipo mbezi bro big up
@mackdonaldalex7162
@mackdonaldalex7162 10 ай бұрын
Watching from njiro arusha jack
@emirjuniorjr.139
@emirjuniorjr.139 10 ай бұрын
Watching from Mozambique 🇲🇿
@LucyNyambura-lg9dj
@LucyNyambura-lg9dj 10 ай бұрын
Watching from Nairobi Kenya ❤❤❤
@mpigadaud4180
@mpigadaud4180 5 ай бұрын
Hii video naitazama nikiwa pande za bija mpola kahama mwanetu tunakupa salute saana
@jackwausa
@jackwausa 5 ай бұрын
Pamoja sana
@esthermbwana8162
@esthermbwana8162 Ай бұрын
Watching from 🇦🇪
@damslandscapeworksadams6793
@damslandscapeworksadams6793 10 ай бұрын
Natizama kutoka mbezi Beach salasala daresalam
@seifalhanmohd9100
@seifalhanmohd9100 9 ай бұрын
Seifalhan nipo Wete Pemba Zanzibar ayo mazingira yapo vizur sana na kilichopendezesha zaidi ni iyo garden yake ila mijengo iyo ata uku zanzibar ipo
@mylesgibs4372
@mylesgibs4372 10 ай бұрын
Niko Kenya 🇰🇪 your biggest fan from kisii
@yahyanassor9237
@yahyanassor9237 10 ай бұрын
Hey brother nimepanda hiyo location ya sehmu ilivyo mm nipo zanziber
@georgemuigai7427
@georgemuigai7427 Ай бұрын
Nataka kujua Bel air na Beverly hills wapi kwa matiji wengine?by George wa mbeya city.
@user-zc7ug3mm2r
@user-zc7ug3mm2r 10 ай бұрын
Watching from Kigoma
@awadhally1052
@awadhally1052 10 ай бұрын
Ebana mkali wangu naichek nikiwa dar.slm Tanzania.
@rehemahuseni
@rehemahuseni 10 ай бұрын
Good job men @from south africa
@josephsteven3928
@josephsteven3928 10 ай бұрын
Niko kinyerezi hpa jack nakufuatilia vyema kbs Ngosha boy
@user-xs7jh5qw8k
@user-xs7jh5qw8k 10 ай бұрын
Natazama toka mara bumangi apa big up sana kamanda
@michaelmbwanna1197
@michaelmbwanna1197 10 ай бұрын
Jack kitengo unyama sana blood🎉🎉✍️🇹🇿🥂
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
✌🏾
@Ken00003
@Ken00003 10 ай бұрын
Nko Kenya. Big up bro
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
✌🏾
@lymondmande4422
@lymondmande4422 10 ай бұрын
Broo Jack I really appreciate ur work but samahan naomba kuulizaa huku Tanzania pesa ndogo sana kwa sasa n sh 50 na kubwa zaid ni elf 10,000 how about huko???. And last question mshahara mdgo zaid kwa mtu kulipwa huko anaefanya kaz za kawaida kama ualimu na kadharika n sh ngap kwa mwez?? Thanks one love man from kahama Tanzania we really enjoy ur podcast man ur really hero
@allyabdallah8534
@allyabdallah8534 10 ай бұрын
Powa Sana my bro,mw mungu akubariki
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
Asante na Amina
@bonaventuragowele2979
@bonaventuragowele2979 10 ай бұрын
Good work Jack Niko mbezi- Dsm
@didiniyo1063
@didiniyo1063 10 ай бұрын
Am burundian stey Zambia tunakufwata 100%
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 10 ай бұрын
Nakupata from Tz.Ruvuma.
@nyandajr
@nyandajr 10 ай бұрын
Nakupata mzee wangu toka tegeta
@jackwausa
@jackwausa 10 ай бұрын
✌🏾
@GoodoneGd2-sp3zq
@GoodoneGd2-sp3zq 10 ай бұрын
kaka naitazama nikiwa nyasubi kahama
@chinamichael3340
@chinamichael3340 10 ай бұрын
Kaka nakuchek nikiwa Igoma Mwanza,kaz nzuri.
@dawsongeorge5439
@dawsongeorge5439 10 ай бұрын
From geita bro, tupo pamoja kaka
@user-rr8ei1ro2f
@user-rr8ei1ro2f 10 ай бұрын
Kazi nzuri
@jaredisaac2046
@jaredisaac2046 10 ай бұрын
Mombasa Kenya locked in
@kennedymaster2000
@kennedymaster2000 3 ай бұрын
Bel air ni unyama sana, from Mwanza city
@Dice_KE
@Dice_KE 10 ай бұрын
Man that parking lot to belair hotel 🔥🔥
@MichaelJohn-pf3ug
@MichaelJohn-pf3ug 10 ай бұрын
Nipo mbeya nakufuatilia nice pleace tanzania jacky
Kisiwa cha Matajiri | BALBOA ISLAND, Newport Beach USA - PART 1
23:55
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 78 МЛН
Cool Items! New Gadgets, Smart Appliances 🌟 By 123 GO! House
00:18
123 GO! HOUSE
Рет қаралды 17 МЛН
Alex hid in the closet #shorts
00:14
Mihdens
Рет қаралды 13 МЛН
Njia 5 za Kuja USA
2:14
Erica Lulakwa
Рет қаралды 3,8 М.
Mapping the Trump Shooting
6:12
fern
Рет қаралды 14 МЛН
The Untold Truth About Money: How to Build Wealth From Nothing.
17:26
VITU VYA KUOKOTA MAREKANI (USA) UNAWEZA UZA MTUMBNA TANZANIA
14:00
Maisha ya Marekani: Kukaa ndani, Upweke, Nyumba, Magari nk
12:22
EBM SWAHILI
Рет қаралды 403 М.
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН