Team Kenya we are locked 🔒 wapi likes za wakenya 20 tukisonga 🔥🔥🔥💯
@fridahlorithae56696 ай бұрын
Naomba likes pia kzbin.info/www/bejne/pqSkpaiGerWshNUsi=XbuWqnWsIa1yvmB-
@fridahlorithae56696 ай бұрын
This WOG ananibariki kweli
@AROMAAR_KING0016 ай бұрын
@@fridahlorithae5669 kweli
@anoldkoome44396 ай бұрын
Hii notification ikiingia ninbreak kwangu kwanza then nirudi shughuli
@stanleyguthia77716 ай бұрын
We are here 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@anjelineaoor41406 ай бұрын
Amen and Amen God bless you more Madam Martha Mwaipaja🥰🥰♥️ wapi likes from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🎉🎉
@daglasmumo2476 ай бұрын
Wakenya tukutane apa kwa likes kwa mama yetu from onther country ❤❤❤❤❤❤
@ChristinaGadiel5 ай бұрын
Kiti Cha heshima
@anemokiungo3 ай бұрын
Dada kweli unajuwa hongelayako
@aaronmailuofficial2516 ай бұрын
Kenya ndo tupo wengi 🎉🎉🎉🎉 twakupenda Sana
@wincatemakenaofficial83376 ай бұрын
Team Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@patricknguraabash47166 ай бұрын
Mungu amefanya Tanzania studio ila nyimbo zinasikizwa sana Kenya na zinatubariki sisi mno
@meshackmunyaka5096 ай бұрын
No one is talking about her beautiful 😍😍😍 dota ,katika uraibu wake kwenye huu wimbo💕💕piga like tukisoga🇰🇪
@leonardmoshi1471Ай бұрын
Huyu dada ndiye mwimbaji namba 1 wa nyimbo za injili zenye Uhalisia wa moyo,,,, nampenda mno ,, MUNGU azidi kumbariki aimbe nyimbo zaidi zikawe baraka Kwa watu wote
@user-ji9dk7vv1l6 ай бұрын
Ameeeen,,,ni Mungu ametaka ,,,,God bless you mummy 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LUCYMOTATIRO-yh6qf6 ай бұрын
My role model 🇰🇪
@professor19926 ай бұрын
From Kenya land am ohangala gospel rhumba kazi safi mtumishi piga likes tukifuatana
@QueenOwiti-vo7ud6 ай бұрын
Nothing like ohangla gospel,chagua kama ni Mungu ama Baal vugu vugu hutemwa nje.
@professor19926 ай бұрын
@@QueenOwiti-vo7ud kama huelewi mziki wa ohangala gospel ama lingala kaa kando hujui mziki
@benedictmutuku50056 ай бұрын
From kenya may the Lord God bless you
@jacobthuo46236 ай бұрын
Be blessed so much servant of God am from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@fideliswambui32716 ай бұрын
Amen mipango yake imepangwa juu ya upendo 🙏🇰🇪🇰🇪
@shadrackosabil63546 ай бұрын
Kazi nzuli dadangu,am from Kenya 🇰🇪🇰🇪
@christinemutsotso81896 ай бұрын
Amen and Amen 🙏🙏. Kila kitu changu ni yeye ametaka. God bless you my sister. 🇰🇪🇰🇪
@ladyjusticeinspires6 ай бұрын
🎉🎉🎉representing Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@felicitymakena14206 ай бұрын
Waiting for a miracle and i know it shall be well for He is a faithful God..ametaka.🇰🇪🇰🇪
@gladysgathoni3126 ай бұрын
Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI6 ай бұрын
Nampendaga sana huyu dada😊😊, sio mimi tu hadi babaangu😊
@getrudebulemi49646 ай бұрын
Good job.Mungu Ametaka🙏 much love from Kenya
@TABBYHEAVEN-kg1qo6 ай бұрын
Ameen Mungu ameshanielewa❤Asante mama yetu .Kenya twakupenda sana
@MilliamKamanga-lb6ei3 ай бұрын
Yes
@jacobthuo46236 ай бұрын
Great massage in this song 🇰🇪🇰🇪
@user-px5ry7ji7r6 ай бұрын
Nimesikiza mara kumi aki Hadi nakubali kuwa ni Mungu ametaka🙏🙏🙏 barikiwa dadangu # Martha ❤ thank you.
@collinswekesa55216 ай бұрын
Surely he knows me
@Hellenah_Sufii6 ай бұрын
Ameeeeen kubwa. Mummy Martha 💓💓💓. Powerful message Mungu anatujua zaidi🙏🙏🙏🙏🙏.
@TheeBrandy0456 ай бұрын
From kenya am blessed ❤❤🙏🙏,anatujua mungu
@titokalinga81116 ай бұрын
Nakupendaa Martha ww I lovee you Much yaaan nakupeeeendaaaaa nyimbo zako ni mfarijii na mafundisho mmazurii in my lifee Nakupendaa @marthamwaipaja
@sholecelestine85085 ай бұрын
Dadangu wabariki sanaa. Unyenyekevu na neema yake kweli yakutosha. Nimebarikiwa saaana
@rosemaryadongo89765 ай бұрын
Yaliyopangwa na mungu hakuna wakupangua ❤🎉❤ utukufu ni kwake milele
@hellenmueni46326 ай бұрын
Kweli kabsa ushindi wangu ni mungu tu🙏🙏,tubarikiwe pamoja team Mather mwaipaja👍
@Everlyne-zg2qz6 ай бұрын
Be blessed too sister, a Kenyan in Saudi Arabia
@user-qw1un2gu5z6 ай бұрын
Amina kubwa Goma tunaishi sababu mungu ametaka ubarikiwe maman martha❤❤
@user-qw1un2gu5z3 ай бұрын
Asante mungu ni mwema❤️🙏
@fakeface16 ай бұрын
Naona baraka ziki miminika kwetu kupitia hi song sister ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 ubarikiwe
@charleswagana45396 ай бұрын
Ananijua, ananielewa
@AbelSM2546 ай бұрын
Amen Amen Amen that vocal God bless you more
@MARYACHIENG-sw6iw6 ай бұрын
Mungu anafanya kazi wakati tunahisi Mungu hayupo
@JamesYohanamarango-qd5qf6 ай бұрын
Mungu akutiye nguvu maman, tuimbiye nayasikuzamwisho, maana dalilizimeonesha kunyakuliwa kwakanisa, tusijetukakosambingu, kubarikiwa nibora île kunyakuliwa nibora zaidi,
@MARYACHIENG-sw6iw6 ай бұрын
Mungu anachagua yeyote kumtumikia AMEN 💖🙏
@user-ub5hk2rt8i6 ай бұрын
Dada mungu ndiyo amekufikishaaa happy usisikilize maneno ya watu we songa mbeleee napenda sana nyimbo zako mungu azidi kukukuzaaa
@carolinetapliley791012 күн бұрын
AMETAKA MUNGU MIMI MJANE KILA KITU NI SAWA KWAKE NINAYOPITITIA NI MUNGU REHEMA NA NEEMA ZAKE,HU WIMBO UNANINABARIKI SANA,UBARIKIWE SANA
@zionfahariofficial20576 ай бұрын
Aminaaa,mum Mungu Akutunze Huu Wimbo ni wa Baraka kwangu Sana🙏🙏❤️❤️
@wanjalakevin32486 ай бұрын
BARIKIWA SANA DADA. 🎉🎉🎉🎉🎉 Heko kubwa from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 😊😊
@ianGathinji-my5yp6 ай бұрын
Martha mwaipaja continue soaring high and spreading the gospel all over the world thanks for your good work
@user-tw5nt9of8q6 ай бұрын
Haki Mungu aendelee kukuongoza na kukuhifadhi. Umekuwa wa baraka maishani mwangu, hata wakati niko chini naona nikipata nguvu. 🙏🙏🙏🙏🙏
@telabeckychelaa6 ай бұрын
Nishafika congratulations 👏🎉
@user-xg7bn7mr8h6 ай бұрын
One thing about martha is that her video are always clear...they jus fire.....
@phaustineokitwi70436 ай бұрын
Hongera saana mtumishi wa mungu kenya tumekubaliana
@user-vk6tv7hh8o6 ай бұрын
Ni mungu ametaka hallelluya❤❤ from 🇰🇪
@monicandivo79586 ай бұрын
Amen , 🙏
@Franckmulaj-Officiel6 ай бұрын
God bless you my sister Martha
@josephmutisya51326 ай бұрын
Congrats Martha am Josee gospel musician nimekutafuta sama Mum
@celestinebenson81836 ай бұрын
Amen....Ashanikubali
@LAFAELYPATA6 ай бұрын
Amen, amen
@Wasir0036 ай бұрын
Congratulations,, a very awesome song
@MukirijonathanMukirijonathan29 күн бұрын
Wapi likes za mama from Kenya 🎉🎉🎉❤❤❤
@yvetteirankunda5206 ай бұрын
Umeisha nielewa Mungu
@RoroRoserororo6 ай бұрын
Hallelujah
@ilungaamedeo96656 ай бұрын
Aksanti Sana mungu wangu
@salmonluambano69816 ай бұрын
Hallelujah, Mtu wa Mungu wa Thamani Kama Umebarikiwa Kama Mimi weka kopa ❤vmoja hapa❤
@user-bz4oi4li3q6 ай бұрын
Am blessed 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Martha in Jesus name
@_pirate_official6 ай бұрын
❤❤❤❤martha uko top from Kenya
@user-qw2wt1ef8m6 ай бұрын
Asanti haki kwa songs zako zinanitia moyo
@jenipherachieng62786 ай бұрын
Amen ❤❤❤ good work God bless you 🙏🙏🙏👍
@elviamaniofficieltv38596 ай бұрын
Mungu akubariki sana mama mtumishi wa Bwana tumebarikiwa sana ❤❤❤
@MargdalineJuma-rl1pb6 ай бұрын
Baraka tele dada Kenya tuna kupenda
@samwango46506 ай бұрын
Amen, ni kweli ni Mungu ametaka, sifa na utukufu ni zake.
@Franckmulaj-Officiel6 ай бұрын
Que notre Dieu soit loué et remercié à jamais pour le don
@floreswanyt54446 ай бұрын
Aaaah jameni yani huu wimbo umekuja kwa wakati mwafaka ni kama unanizungumzia.God Bless you sister Martha
@MariaWaYesu6 ай бұрын
Awww🙏🙏🙏
@stanleyguthia77716 ай бұрын
Martha mwaipanja and sifaeli mwabuka are my favorite gospel musicians. This is your brother in Christ from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@user-ry9tv7fv3r4 ай бұрын
This song is on another level, listening from Australia, love you Mwaipaja.
@PAULMPINGA-jo5vz5 ай бұрын
Dada yetu Mpendwa Martha;;. Ubarikiwee sanaa Maana we nifahari ya Mungu na kiooo kwa mwanadam,,,, Hii imenyosha Palipo POPOTOKA!! ,,,,,, (by, gospel singer Godbless Fanuely)
@furahamanju5 ай бұрын
Kila kitu chakwangu niyeye ametaka.ubarikiwe dadaangu Martha. Much love you❤❤❤
@munyaburangajeanneppo87735 ай бұрын
Ahsanteni mama wete. Endelea kazi tu. Mungu akusaidie. Ninapenda nyimbo zako . Unatupa ujumbe wa kweli sana.
@shilingi_junior6 ай бұрын
❤❤❤🎉🎉🎉much love from Transmara kenya🎉,,, please reply my comment Martha mwaipaja🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@lemmyndonye98386 ай бұрын
Team Kenya hakuna kuchelewa
@anielytuva98386 ай бұрын
Ni mungu tuu ametaka tuwe vile tuko Leo.
@user-jj1no2hc4f6 ай бұрын
nice mtumishi ukipiga nguo ndefu inapendeza zaidi
@sherryfuraha3076Ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@josephmirambo9956 ай бұрын
Barikiwa mama, wa congomani pigeni like zenu apa
@davidmupenzi89976 ай бұрын
Amen,🙌🙌🙌🙌🙌barikiwa sana Mamangu🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@christophershereni79276 ай бұрын
My favorite Love ❤️ from Zimbabwe 🇿🇼 ❤️
@galaki_tz6 ай бұрын
All the way from malawi give your support guys
@jacksonnzioka70665 ай бұрын
Anaucheza wimbo hadi nahisi kuokoka ya pili. She strives message hadi unafeel uwepo wake Yesu christo around. From Kenya kazi zuri❤
@LAFAELYPATA6 ай бұрын
Barikiwa daima
@joycemwake46476 ай бұрын
Wakenya msiibe hii jameni
@NiyibitangaalphaNiyibitangaalpАй бұрын
Amen amen
@NiyibitangaalphaNiyibitangaalpАй бұрын
1:59 🇧🇮amen amen
@FlavianBosslady-uh7sc5 ай бұрын
Her songs made me believe Kuna second chance in world 😢 mungu peke ndio anasaidia
@LinetMbalia2 ай бұрын
Kutoka kenya dada ongera na ubarikiwe kwa nyimbo nzuri zenye mwongozo safi.
@annmonchari10046 ай бұрын
Team kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@user-bw3pz6vf2n2 ай бұрын
Ni MUNGU amekubali upotee. Kila mtu awapotezaye wenye haki katika njia mbaya, Ataanguka katika rima lake mwenyewe; Bali wakamilifu watarithi mema. Mithali 28:10
@Madova-Ikiodi6 ай бұрын
Amen amen mum @martha Ni Mungu ame taka tuwe hai leo❤