Martha Mwaipaja ~UMENISHANGAZA

  Рет қаралды 27,343

Martha Mwaipaja

Martha Mwaipaja

Күн бұрын

Пікірлер: 118
@nyandikamoses
@nyandikamoses 9 ай бұрын
The other lady with plaited hair she is shy😂..Beautiful Tanzanians with nice gospel songs, baraka tele kutoka Kenya the New York of Africa.
@tumuhairweboreen6070
@tumuhairweboreen6070 9 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@KM-hx8zy
@KM-hx8zy Ай бұрын
Kwanza Rejea kwa Mama Mzazi ukaombe msamaa, maana Mzazi ni Mungu wako WA dunia, Mungu amemtumikisha kwa kukupata wewe! Tunaomba tuine wewe na Mama yako, mukaye pamoja na mutweleze kabisa ..Na Mungu atakusaidia
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Ай бұрын
Martha huyu mnafiki sana kama sio amwambie huyu mtoto aende kwa wazazi wake amuite mamaake ache kujificha kwa mgongo wa mungu. Kama wanasagana waache mungu amewafunulia watu wengine kukutoa dim-witted la moto
@patabongo2023
@patabongo2023 Ай бұрын
Pole sana Mtumishi wa Mungu, Mungu tu nawe daima tupo nawe daima , imepitia magumu mengi na mateso ya kutosha ila ushindi ni lazima
@mvullamanase
@mvullamanase Ай бұрын
Matha huwezi kujiteteaukaeleweka. Na hata huyo Mungu unaemuunganisha kwenye haya Bado Anakushangaa. Mungu ameweka baraka zake kwa wazazi wetu. Anza kwanza na Mama yako . Hata ukaimba Vizuri kiasi kipi kama Mama yako hana Amani na Wewe , Nikazi Bule
@abbyimbukwa3835
@abbyimbukwa3835 9 ай бұрын
Martha una neema ya kipekee.... I grab it in Jesus Name... Nawapenda muno from kenya 🇰🇪
@fadhilipambo2811
@fadhilipambo2811 Ай бұрын
Mungu atakuonyesha njia dadaangu, maandiko yanasema aombaye hupewa, iko njia sahihi utaiona kwa jina la yesu
@julieluziga4773
@julieluziga4773 Ай бұрын
Mungu akusaidie mtumishi wa Mungu, nakupendaga sana. Umesababisha watu wengi kumpokea Yesu kwa nyimbo zako
@YustinaJonas
@YustinaJonas Ай бұрын
Mwache mungu aseme dada Martha mwache mungu akutete yatapita tuu jaribu la mida tu
@joycemakokha9648
@joycemakokha9648 Ай бұрын
Mti mzuri hupikwa mawe Mungu akupe ushindi
@martinitango7353
@martinitango7353 9 ай бұрын
Beautiful song nafatilia Sana kazi zako dada barikiwa
@ogotsilvester
@ogotsilvester Ай бұрын
Mungu akubariki sana.hao wanakuonea gere
@kkdamah8573
@kkdamah8573 Ай бұрын
Mungu akupe rehema Dada, yote hayo ajipe utukufu! Nenda kwa mama dada yangu tuanzie pale
@MRBANGE-vg2ip
@MRBANGE-vg2ip 9 ай бұрын
Madam I like u are song forever
@PerpetuaOmare
@PerpetuaOmare Ай бұрын
Martha sisi hatutakusaidia.Nenda fantastic amani kwa ndufu zako.Hatuwezi tukakupenda kuliko was.Wala huwezi kupenda yes au Mungu kuliko ndigu zako.Kycheka na genius anaye music dadako wa turbo moja ni mbaya.Nyinyi ndo mnaifanya wakristo tuwe na Tina mbaya.
@SirELLYKENYA
@SirELLYKENYA 9 ай бұрын
Amina mungu awabiriki kina dada kwa kazi nzuri ❤
@MERCYMUENI-z9w
@MERCYMUENI-z9w Ай бұрын
Martha ninakutambua sana your my mentor na ninakuombea nikiwa Kenya, nataka kuanza kuimba na wewe ndio nataka kufuata
@giteg5073
@giteg5073 9 ай бұрын
❤ dadangu Martha nikweli ume wai tosha yengine filamu mupya
@everjoymbetsa
@everjoymbetsa Ай бұрын
More Grace my dearest,u r my role model
@winifredidan3757
@winifredidan3757 4 ай бұрын
God bless you, may God bless you more in Jesus name
@lilianwilliam8967
@lilianwilliam8967 9 ай бұрын
Amen Amen barikiwa sana mtumishi nakupenda sana I feel blessed with your songs
@sizbentahatieno9635
@sizbentahatieno9635 9 ай бұрын
Amen amen ❤❤ Kenya 🇰🇪 nasubiri sana
@simbijames
@simbijames 9 ай бұрын
Thanks very much for the beautiful song, and am watching from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬 may God protect you and bless you
@GraceOtieno-vo3sj
@GraceOtieno-vo3sj Ай бұрын
Just be still mum....but also go back on your knees.You are a sarvant of God 🙏 God is fighting your battle
@deborahgerald-h6n
@deborahgerald-h6n 9 ай бұрын
Amen amen vipenz vyang nimekuwa wa kwanza kuipat hii
@ValentinLuísMualabo
@ValentinLuísMualabo Ай бұрын
Yote semaaaaaaa lakini mama atuzwe Mimi hapo aiwezekani Joan awe mwenye mamuzi kuliko Mama.
@LucasKaik-xt8qe
@LucasKaik-xt8qe Ай бұрын
Ukwel unaujua mwenyew alafu unataka Mungu ndo aseme ukweli we zungumza ukwel ndo utaokuweka huru.
@shebadaniel8465
@shebadaniel8465 3 ай бұрын
ukiona hata mataifa yaani wasiomjua Yesu wanakuhukumu na kuona unakosea kwa jambo hilohilo ambalo hata wanaomjua Yesu wanakuhukumu pia, basi ujue usalama wako kwa Yesu ni mdogo sana hata kama siyo Leo basi kesho, Maana MUNGU mwenyewe huwatumia wanadamu haohao ambao wewe unawaona wanakuingilia kwenye uhuru wako, usisubiri malaika ashuke na kukuonya,KUWA MAKINI MY SISTER
@onlyhim333
@onlyhim333 9 ай бұрын
Martha mwaipaja you're a blessing ✨✨💙💙💙🙏
@gallery60ojera53
@gallery60ojera53 9 ай бұрын
Very beautiful song
@mercyamuhaya1846
@mercyamuhaya1846 9 ай бұрын
Leta wimbo mzima ni nzuri saana ma'am 😊😊😊😊
@nyongesagloria1941
@nyongesagloria1941 Ай бұрын
Absolutely true thats what l was waiting from you.(your voice]concerning what has been aired out.praying for you mam
@chachawambura4030
@chachawambura4030 9 ай бұрын
Una SAUTI ya kipekee sana💯💯
@elizabethabilia7843
@elizabethabilia7843 9 ай бұрын
Can't wait to have this💕💕
@fidelefamilytv5120
@fidelefamilytv5120 Ай бұрын
Pole Mtumishi wa Mungu nitakuombea
@sarahmwamba8059
@sarahmwamba8059 9 ай бұрын
I love the my Lord Christ and I love your music 🔥🔥🔥 I love you too 🙏🙏🙏your music blesses me
@EutropiaMwacha
@EutropiaMwacha 9 ай бұрын
Am waiting for this song, stay blessed and protected too my lovely sister
@sharonIhoni
@sharonIhoni 9 ай бұрын
Nmependa huyu Dada mwingine ila simjui ❤zaidi ya yote mmbarikiwe sana
@DanielDollardo
@DanielDollardo 9 ай бұрын
Naku penda sanaaas ❤❤❤❤
@judyjoshofficial5992
@judyjoshofficial5992 3 ай бұрын
🎉🎉🎉Kenya 🇰🇪 am blessed the song is powerful
@AnnaMsigwa-h1x
@AnnaMsigwa-h1x Ай бұрын
Swala la mzazi nila muhimu kwenye hii dunia mwangalie mama bila yeye tusinge kujua
@jackkakongoma3440
@jackkakongoma3440 9 ай бұрын
Love your songs my sister from Zambia ❤
@sarahnekesa7871
@sarahnekesa7871 9 ай бұрын
Yesu ni wa tofauti 🙏
@WicklifMagare
@WicklifMagare Ай бұрын
Yeah Kwa Moto wako Amen 🙏
@FelisterJames-u3e
@FelisterJames-u3e Ай бұрын
Na huwezi kutuma mfanyakazi wako kutukana mama yako kwenye mtandao na kusema siyo mama yako waheahimu baba na mama upate kuwa na miaka mingi duniani mama anatoa machozi kwaajiri ya mfanyakazi wako
@makaoyafutaa1302
@makaoyafutaa1302 Ай бұрын
Wewe ni nyege inakusumbua, make peace with your family, kuomba jiombee wewe. Kama ni ukweli then you're doomed 💔
@PatrickKaimaima
@PatrickKaimaima 9 ай бұрын
waiting for it😌
@lameckaloyce1615
@lameckaloyce1615 9 ай бұрын
Tunasubili wimbo mzima
@MsafirGervas
@MsafirGervas Ай бұрын
Jeuri ya diniani tu apa ya kumkana mama ako kisa ndoa ya jinsia moja mungu wa kweli atakuonya one day usipo badilika na hayo maovu yenu hayo😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢najua yesu ndo mtenda miujiza.
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Ай бұрын
Ili maombi hayo unayoomba yafanye kazi au yajibiwe na watu wa Mungu wapatekibali mbele za Mungu kukuombea ingekuwa heri kwanza wewe ungetubu hadharani kama vile mdogo wako alivyoeleza ili sasa neema ya Mungu iweze kufanya kama unavyotaka Mungu akusaidie
@mwachedasj
@mwachedasj Ай бұрын
Mama ako na bwanake na wazazi wake. Martha usikubali kuletewa tafashi. Kusaidia ni hiari ya mtu na si lazima
@ArianeNaminani
@ArianeNaminani Ай бұрын
Mamy I love you so much lkn wende kwanza kwa mama yako please
@mukandamafreddysalumu3640
@mukandamafreddysalumu3640 Ай бұрын
DADA WA YESU,❤❤❤❤❤❤
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc Ай бұрын
Mapenzi ya jinsia moja hajawai kumwacha mtu salama wew usagaji unakusumbua na unaogopa video zako zitaachiliwa
@GodefroidMunganga
@GodefroidMunganga 9 ай бұрын
Afu mwenyezi Mungu akulinde kabisa
@LuvongaSodium
@LuvongaSodium 9 ай бұрын
I really love ❤the song
@jacklynNyaboke
@jacklynNyaboke Ай бұрын
Dada ni wakati wa dhoruba lakini mi mda kidogo asubuhi ifike take courage iknow the situation is hard but God si mwanadamu trust upon him he will make away
@sarahmwamba8059
@sarahmwamba8059 9 ай бұрын
I would love to read most of the words in english
@roydaMezali
@roydaMezali 12 күн бұрын
Uruma kwa maman😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@FelisterJames-u3e
@FelisterJames-u3e Ай бұрын
Huyu dada napenda kusikiliza nyimbo zake na huwa zinanifariji sana lakini shetani aliye ingia kwa huy johani kufarakanisha familia yake anataka amharibie kabisa huduma yake jamann Mungu tutaponea wapi sisi Kila Kona shetani anavuruga
@RaheemaMosa
@RaheemaMosa Ай бұрын
Mjali mama kwanza mm sina mama natamni ata angerud duniani japo dakika moja uyo jon uyo kwanza ana manenomachafu
@JacklineMukunzi
@JacklineMukunzi Ай бұрын
Usiogope neno rinasema. Ata baba na MAMA wakikukata MUNGU hawezi kukukata. Nimesikia maneno yamamaako. Nimekuta huja fanyakosa ira wew turia na MUNGU wadunia potezea mwana wamungu. Tuna kupenda tuna kuombea
@dimaniclassicgospel3984
@dimaniclassicgospel3984 9 ай бұрын
Dada Martha❤❤
@evelynanyeko1635
@evelynanyeko1635 9 ай бұрын
Amina.✝️✝️✝️🙏🙏🙏 Asante sana
@glorysarah_Music
@glorysarah_Music 9 ай бұрын
Wimbo mzima twasuburia mum
@AgnessJohn-v8p
@AgnessJohn-v8p Ай бұрын
Huyo joan kashakumaliza
@GodefroidMunganga
@GodefroidMunganga 9 ай бұрын
Hii nyimbo dada unaitowa lini
@bernardmakenzi7256
@bernardmakenzi7256 9 ай бұрын
AMEN
@MusyokiMulwa
@MusyokiMulwa 9 ай бұрын
Great..Paa kabisa ..neema unayo
@magrethdaniel8441
@magrethdaniel8441 Ай бұрын
Martha ukweli kabisa ndgu yangu Mimi nilikua nakupenda Sana ndgu yangu ila kusikia unamchukia mama yako mzazi kweli moyo umeniuma Sana Kuna watu wengi wanatamani wapate mama Leo hii wajivunie Raha ya mama alafu wewe una mwaga machozi yaya mama maandiko yanasema heshimu baba yako na mama yako upate heri uishi miaka mingi duniani mungu anasema pia mpende jirani yako kama nafsi yako maan huwezi mpenda mungu usiemuona kama mama aliekuza unamchukia je mungu wa mbinguni usie muona unampenda?martha😅
@PaulShija-m4t
@PaulShija-m4t Ай бұрын
Pole Sana dadaangu
@BerthaWambuzi
@BerthaWambuzi 9 ай бұрын
I love you 💞💞💞💞
@BoniphaceJohn-yx5ff
@BoniphaceJohn-yx5ff 9 ай бұрын
Nyimbo zako ziko vzr sana nikupe zawadi gani nitafte hila karibu musoma
@KevinSadi-o7n
@KevinSadi-o7n Ай бұрын
Tuna kuombeya dada.ila tu fariji moyo wa mama
@nelvinawino9196
@nelvinawino9196 Ай бұрын
May God intervein and solve your problem 🙏
@Sipa_marazone
@Sipa_marazone 7 ай бұрын
Ni Moto💥💥💥💥
@aliciamwalimu582
@aliciamwalimu582 Ай бұрын
Bibi na bwana😢
@GodefroidMunganga
@GodefroidMunganga 9 ай бұрын
Nakutakiya Siku njema dada
@tumuhairweboreen6070
@tumuhairweboreen6070 9 ай бұрын
Where is the real audio mama?
@SivairwaPhilémon
@SivairwaPhilémon 9 ай бұрын
𝕋𝕦𝕟𝕒𝕤𝕦𝕓𝕚𝕝𝕚 𝕨𝕚𝕞𝕓𝕠 𝕞𝕫𝕚𝕞𝕒
@tonsbees2230
@tonsbees2230 Ай бұрын
Mimi nikushauri kitu ungenyamaza ukaendelea na kazi zako maana Mimi naamini kwamba kila Jambo lililo anzishwa na mwanadamu litapita hata hili nalo litapita napatakuwa kimya kumbuka walio pita nyuma yako walisemwa Sana likin mda ulipo fika palikuwa kimya acha waseme lolote yatapita
@zakazitanzania1565
@zakazitanzania1565 Ай бұрын
TUNAKUOMBEA ILA KUMBUKA UPENDO WAKO WA KWANZA, UMEUACHA. JITAHIDI URUDI KWA WAZAZI WAKO NDIPO BARAKA ZITAKUFUNIKA, BWANA YESU AMESIKIA RUDI SASA KWA WATU WA KWAKO.
@jumahafidh7615
@jumahafidh7615 Ай бұрын
Kama kweli hutoi usaidizi kwa mama yako tabia hiyo wacha mara moja. Kama kweli hauna mume kwa sasa elewa baada ya MwenyeziMungu basi wazee wako ndio wa kuwatiii
@jeremiemunkamba
@jeremiemunkamba Ай бұрын
People the don't read the Bible God say eshimu maman yako na baba yako utaishi miaka na muda murefu sasa wewe mutu unasema mungu amupinganie how
@shebadaniel8465
@shebadaniel8465 3 ай бұрын
Bila kusahau shetani anafanya bidii ili kuwapoteza waimbaji halisi wanaomtukuza Yesu Tena anatuteka kwa akili sana akitumia Yale tunayoyaona sawa ili tusimstukie na tuendelee nayo, pia jambo lolote linaloleta maswali kwa watu tunatakiwa kuwa MAKINI nayo sana.
@RoseMrio
@RoseMrio Ай бұрын
ww utakuwa kwl unamtendea mama yak magum mtaungua na moto wa magogo na uy joan
@daudimhoha320
@daudimhoha320 9 ай бұрын
Ameni.huyumungu.niorijino
@daudimhoha320
@daudimhoha320 9 ай бұрын
Yesunimzuri.usiogope.rafiki.mungu.aliyetuumba.alitujua.kuwa.ametuumba.kwaajili.yakusudi.lake👍
@daudimhoha320
@daudimhoha320 9 ай бұрын
Mwaaa👍⭐⭐
@daudimhoha320
@daudimhoha320 9 ай бұрын
Karibu.saaaana👍
@daudimhoha320
@daudimhoha320 9 ай бұрын
Mungu.anataka.tufike.mwisho.mwema🙏
@daudimhoha320
@daudimhoha320 8 ай бұрын
Hakika.mungu.nimwaminifu..anawaza.mazuri.tu
@Elizabeth-qy5yr
@Elizabeth-qy5yr Ай бұрын
Maumivu ya jarinu😢
@ElizabethChilikona
@ElizabethChilikona Ай бұрын
Lakini watu sihaba anataja yesu aki watu nao na kubayuka ovyo ovyo
@ElizaMayu
@ElizaMayu 9 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@fredymbilinyi6323
@fredymbilinyi6323 Ай бұрын
Polle baba amesema atakupigia simu mkae kama familia ushauri wangu nivema kukaa familia ninyi tu ndio wenye kulimaliza
@gloriavisongo2432
@gloriavisongo2432 9 ай бұрын
Asante sana
@GodefroidMunganga
@GodefroidMunganga 9 ай бұрын
Za asubuyi dada nakutakiya Siku jema
@ndeyankaallen1380
@ndeyankaallen1380 Ай бұрын
Watu mna judge(hukumu) kama vile mnajua ukweli, kwa upande wa.ngumi mimi siwezi kusema yupi ni mkweli,, acheni ushabiki kuweni na hekima.
@gracemairusya2950
@gracemairusya2950 Ай бұрын
Chezea Arusha ww
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 Ай бұрын
Acha kushupaza shingo dada mimi pekee nitakuombea ila patana na mama yako acha kujificha katika maandiko biblia imeagiza kupatana na adui yako kabla jua kutua.
@IssaRajabu-my5ig
@IssaRajabu-my5ig Ай бұрын
Kwan hata ww usipomsamee Kwan wew ni mungu😅😅
@edwardodongo6599
@edwardodongo6599 9 ай бұрын
Injili ya Leo haimpeleki mtu mbinguni,Bali ni injili ya kujionyesha na kumtukuza Pepo jezebeli aliye simamia kujiremba
@ndagijimanaaregizandere
@ndagijimanaaregizandere Ай бұрын
❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@laurensithomasi3152
@laurensithomasi3152 8 ай бұрын
🙏🙏💐
@Isabellependo6389
@Isabellependo6389 Ай бұрын
Kuna kitu watu amjajuwa kuweni makini Kama kaini alimuuwa ambeli Yuda akamtowa yesus kwenye maaduwi Kama Mungu alisema mwanamke mshawi asiishi sasa kuwei makini sana na comment za ujinga ukweli Ambaho Mungu anajuwa labda sio ule tunao ambiwa kuweni makini sana umjuwi kwa nini Mungu anaruhusu haya wewe unaye nyoosha mdomo ni kwa sababu aujawahi kuumizwa na familllia Mimi nilipita kipindi Kama icho ukweli Mungu alipo towa inje Siri kubwa ya famillia ndipo watu wakangunduwa kumbe kosa ilikuwa kwa mzazi wa
Martha Mwaipaja -Naiona Kesho (Offical video)
9:14
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 6 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
Mom Hack for Cooking Solo with a Little One! 🍳👶
00:15
5-Minute Crafts HOUSE
Рет қаралды 23 МЛН
Beatrice Mwaipaja - Ni Mungu Tu (Official Audio)
6:56
Beatrice Mwaipaja
Рет қаралды 259 М.
Martha Mwaipaja - KUSHINDA LAZIMA ( official music video )
5:34
Martha Mwaipaja
Рет қаралды 835 М.
Joan wa Matha Mwaipaja Kumbe  anajinsia mbili sehem ya kwanza(no.1)
9:39
POSITIVE MEDIA TZ
Рет қаралды 3,1 М.
IMENIUMA SANA by Zabron Singers (Official Video)
5:05
Zabron Singers.
Рет қаралды 5 МЛН
Israel Mbonyi - Kaa Nami
13:40
Israel Mbonyi
Рет қаралды 8 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН