No video

Martin Luther King Jr: Uchungu wa Maneno yake ya mwisho kwenye tape recorder kabla ya kupigwa Risasi

  Рет қаралды 49,830

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Жыл бұрын

Пікірлер: 74
@SWAHILINATION
@SWAHILINATION Жыл бұрын
Where are these leaders today? Where are these people today? Mabadiliko yana gharama na kama tunataka kuona mabadiliko nchini kwetu na barani kwetu lazima tuwe tayari kulipa gharama hiyo kwaajili ya watoto wetu na vizazi vijavyo. Thank you SKY for this
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Жыл бұрын
Huwezi pata viongozi wazuri hivi sasa maana kuna vijana wana shinda tiktok masaa yote
@julianaharrison4356
@julianaharrison4356 Жыл бұрын
Kabisa mabadiliko gharama tutafika tunapotaka
@mkaapwekekariakoo6417
@mkaapwekekariakoo6417 Жыл бұрын
Kama viongozi hawatawajibishwa na wanafumzi kufundishwa nidhamu... Hakuna kitu kinaendelea. ajabu ni kuwa Wabunge na wakubwa wanafundishwa nidhamu na watoto wanawajibishwa kwa kukosa nidhamu ambayo hawakufundishwa. Kutoka Afrika ni Bora zaidi kuliko kuwa mwafrika
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Si alikuwepo Magufuli yuko wapi sasa?
@hamudshabani7801
@hamudshabani7801 Жыл бұрын
Na ndio magufuli aliamua kufanya mabadiliko ya kulikomboa taifa kutoka kwenye unyonyaji wa wazungu na majizi ya mali za umma wakamuita mweu na kichaa kwa hyo madiliko ya kweli yanaitaji upendo wa kimungu ndani yake na utayari wa dhati kabisa bila kujali unakumbuna na magumu kiasi gani.
@kivemaleonard2757
@kivemaleonard2757 Жыл бұрын
The world is not the better place for people like Martin Luther King 👑!
@issamushi6389
@issamushi6389 2 ай бұрын
Real 100%,I think because of à lot of White People they don't like when we say true about them
@juniorbrown2019
@juniorbrown2019 Жыл бұрын
I am living in the United States Nashville, Tennessee 🇺🇸 and every year we always do his remembrance every year.
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Tennessee is it a southern part,?
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
Yeah USA we celebrate Martin Luther King on the third Monday of every January...
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
@@fahadfaraj6474 yes it is...
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
@@hopechidera in 60's it was the racist area for blacks
@stanleymetha7151
@stanleymetha7151 Жыл бұрын
Hi
@bama9271
@bama9271 Жыл бұрын
Asante sana bothers wetu Sky kwa makala hii maana ni jambo muhimu sana kutumbusha hii historia!!!!!! Kweli MLK alikuwa mtu muhimu sana na atakumbukwa daima!!!
@Tanzanian395
@Tanzanian395 Жыл бұрын
Sky napendekeza muzik wa nyuma ya story kwa mbalii kama kwa jamal itaongeza mashiko zaidi, we love this, we love you .
@Behindsomeone
@Behindsomeone Жыл бұрын
Skywalker ni mmoja tu unajua sana bro kusimulia story ur best mimi ni shabiki yako mkubwa nakukubali sana keep it up
@mariamdimosso621
@mariamdimosso621 Жыл бұрын
Martin Luther king Jr shujaa mwenye siasa za amani aliyependa maadui zake tutakukumbuka milele shujaa.
@evancekimario2584
@evancekimario2584 Жыл бұрын
The World 🌏 i'nt a better place for people like Martin Luther King Jr 🧭Blq lvs mttr
@davidwalalason7630
@davidwalalason7630 Жыл бұрын
We should appreciate the kind of life we have coz our ancestors went through a lot for us to be free.
@stephanokigosi656
@stephanokigosi656 Жыл бұрын
People fail to get along because they fear each other; they fear each other because they don’t know each other; they don’t know each other because they have not communicated with each other.” ― Martin Luther King Jr.
@samchris1914
@samchris1914 Жыл бұрын
Fid Q kasema Hii in Swahili kwenye ngoma ya Propaganda
@mweusiasili8345
@mweusiasili8345 Жыл бұрын
Stor akisimulia Sky hua ina ladha flan huwez kuisimulia ila waskilizaj tunaelewa ladha yake big up bro #360 ni noma sana
@Msakatonge23
@Msakatonge23 3 ай бұрын
Hapa kwenye 10:00 umetuchanganya MalcomX 1925, ndiyo alizawa isingewezekana katu 1926 kufungwa akiwa na umri wa mwaka mmoja
@surusuru1994
@surusuru1994 Жыл бұрын
Pole yao wallah najukianga ata kuongea Engelish wallah mee naonaga nikama tunawasujudia Hao guruwe weupe wallah allaf people african wanajion ufahari kuongea hiyo lunga🌍
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Adi leo wapo watu wanaoabudu wazungu such a shame
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 Жыл бұрын
History zote za watu weusi mikononi mwa watu wazungu sio nzuli
@geraldwilliam7089
@geraldwilliam7089 Жыл бұрын
Bigger bro bigger
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 Жыл бұрын
Malcom X was a Man with a Lion Heart.
@user-po5mm5vk6d
@user-po5mm5vk6d 8 ай бұрын
God keep the souls of luther,malcom x,Marcus's Garvey, France fanon,as well as rosa parks Ameen😢
@owenmutale8686
@owenmutale8686 Жыл бұрын
Malcom x Martin luther king 🙏
@ziyandamhlana8776
@ziyandamhlana8776 Жыл бұрын
Kwel this best story you do
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Жыл бұрын
viva viva we king malcom x we super hero rest in peace king malcom bosman we miss you guys so much
@damariszuckschwert9489
@damariszuckschwert9489 Жыл бұрын
Thank you for this information
@bilaalmuhammad9499
@bilaalmuhammad9499 Жыл бұрын
Thanks brother
@elviraramadhan3900
@elviraramadhan3900 Жыл бұрын
Tupate makala za hv kila wiki
@belzylucas7275
@belzylucas7275 Жыл бұрын
Sky napenda story zako
@adamnasibu5931
@adamnasibu5931 Жыл бұрын
I have a dream
@kijokombao5345
@kijokombao5345 Жыл бұрын
Waliwahi sana kuliona hilo wazungu,maana mtu mweusi alikua anaenda kuitawala dunia
@elifarajapetro5432
@elifarajapetro5432 Жыл бұрын
1929 si juzi tuuu brooo Mmetupiga apoo
@zclassicfashionz1573
@zclassicfashionz1573 4 ай бұрын
Marekani bila mtu mweuai haitowezekana japo wanatumia njia nyingi kuwaliza lkn haitowezekana ...mimi nina wasiwasi na izo tuhuma za akina R KELLY na P DIDDY maana wote wana kesi moja tukumbuke na kwa Michael Jackson walishaga mtuhum kwa izo kesi. Dah! Yani mzungu jamn. 😢
@amosiasheri9497
@amosiasheri9497 Жыл бұрын
Martin Luther aliuwawa n Utawala wa Upapa baada yakupiga mafundisho ya watu kutozwa pesa ili wasamehewe na yeye alafunuliwa na Mungu kuwa mwanadamu anasamehewa kwa njia ya Imani kwa Kumkili Mungu na sio kununua vipeperushi, akaanzisha kanisa la Matengenezo ambalolilikuwa kufunua nuru ya Mungu baada ya kuitwa na Mungu kupiga nyakati za Giza ambazo zilikuwa ziko chini ya Utawala wa Papa na mapadri na baadhi ya watu.
@selemandaniel6179
@selemandaniel6179 Жыл бұрын
Gud
@Nikita_8017
@Nikita_8017 Жыл бұрын
Black lives matters 👍🏽 I have a dream
@janessamila3269
@janessamila3269 Жыл бұрын
Sky hapo umewaweka King junior, na malcom x, umemsahau mwamba mwingine aitwaye Marcus Garvey
@emanuelmlelwa6595
@emanuelmlelwa6595 Жыл бұрын
Mimi naomba historia ya iddy amini ya kwer acha hii tulitolishwa matangopoli tokea tukiwa watoto wadogo
@constancekarisa1605
@constancekarisa1605 Жыл бұрын
Nilikua nataka makala haya sana
@Daisy-jh8jk
@Daisy-jh8jk Жыл бұрын
Sky ushauri wangu kua ktk Hizi makala jaribu kutafuta background Music ambao utaovutia hadi hisia zetu, mtu akiskiliza makala anatamani isiishe kwa inavosisimua, Mfano background Music ya The Story book kule wasafi mziki tu unakufanya ulie ata story hailizi😂
@elimumwaipaja74
@elimumwaipaja74 Жыл бұрын
Makala hii imenikuta nikiwa eneo lenye kelele nyingi kiasi ntashindwa kuifaid content hii. Sasa na pause kwanza ili nipate pahala tulivu kisha nimsikilize Skywalker.. najua itakuwa Content nzito sana hii.🙏🙏
@Tanzanian395
@Tanzanian395 Жыл бұрын
😂😂true
@alimashabani
@alimashabani Жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 Жыл бұрын
Love sky💙
@elifarajapetro5432
@elifarajapetro5432 Жыл бұрын
Martin Luther king 👑 hajazaliwa 1900's rekebisha hapo
@lutegochangarawe412
@lutegochangarawe412 Жыл бұрын
Ndugu yangu hakuna mtu asie kosea
@sikikalivenaraissamia8279
@sikikalivenaraissamia8279 Жыл бұрын
1962!!!
@leecode6135
@leecode6135 Жыл бұрын
Nashangaa eti 1962 kweli
@alexanderhaule7667
@alexanderhaule7667 Жыл бұрын
Mine eye's have seen the glory
@queenkanyange5616
@queenkanyange5616 Жыл бұрын
Nimependa haya makala
@issazalala4907
@issazalala4907 Жыл бұрын
Kwakweri sijawai ipenda America ni watu hatari sanaa
@hopechidera
@hopechidera Жыл бұрын
Ni watu hatari kushinda watu wa familia yako?!...
@kwisa4899
@kwisa4899 Жыл бұрын
Hatari kuliko Tanzania
@sevystaronedancer1785
@sevystaronedancer1785 Жыл бұрын
Sky
@user-po5mm5vk6d
@user-po5mm5vk6d 8 ай бұрын
1962?incorrect information about Lincoln 1962 is period of john f Kennedy Lincoln he passed away since 1865
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Жыл бұрын
papa sns
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 Жыл бұрын
Historia ya Malcolm X vipi? Naskia mamake alikuwa anamtoa nje saa sita mchana apigwe najua kali ili awe mweusi coz weupe wake ulikuwa unamkumbusha mamake rangi nyeupe ya mzungu alie mrape na kumpa mimba ambapo Malcolm X ndo alizaliwa😢
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything Жыл бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊
@davidpaschal778
@davidpaschal778 Жыл бұрын
Atamm kwastor nilvyo iskia jamaaa sio alie ua
@nelsonlaiza284
@nelsonlaiza284 Жыл бұрын
M L K
@kibokutiwanatanyika1540
@kibokutiwanatanyika1540 Жыл бұрын
Sky hawezi kumzungumzia Malcom X, kwa sababu story yake ni bora zaidi na inaushawishi mkubwa pia itasababisha wakristo wote wasilimu kwani aliwafumbua wamarekani weusi kutokana na ubaguzi mbaya waliokuwa nao mpaka kwenye nyumba za Ibada(Makanisani). Na baada ya kwenda hijja ndo imani yake dhidi ya uisilamu iliongezeka baada ya kuona watu wote wako sawa bila kujali rangi wala matabaka.
@maheitumdintunya2928
@maheitumdintunya2928 Жыл бұрын
Unachosema sio kweli kama wewe ni msomi afu unasema uongo akili yako inashida uisilamu haujaja kumsaidia mwafrika wala ukristo kua naakili unasoma ubadilike lakini haubadiliki tuu we uisilamu ulikusaidia nini tofauti nakuuza watu
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Жыл бұрын
x
@amosmahona433
@amosmahona433 Жыл бұрын
𝓶𝔀𝓪𝓶𝓫𝓪 𝓾𝓷𝓪𝓼𝓪𝓾𝓽𝓲 𝓼𝓪𝓯𝓲 𝓼𝓪𝓷𝓪
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
Ouch.. 🤕
00:30
Celine & Michiel
Рет қаралды 40 МЛН
IQ Level: 10000
00:10
Younes Zarou
Рет қаралды 13 МЛН