No video

MASACHE AIOMBA SERIKALI KUWAUNGA MKONO WANANCHI WA CHUNYA UJENZI WA UWANJA WA MICHEZO

  Рет қаралды 179

Chunya Dc Online

Chunya Dc Online

Ай бұрын

Mbunge wa Jimbo la Lupa Mhe Masache Njelu Kasaka ameiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayo ongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwaunga mkono wananchi wa wilaya ya Chunya katika ujenzi wa uwanja wa Michezo kwani uwanja huo utaongeza mzunguko wa fedha kwa wananchi wa wilaya ya Chunya na hatimaye kujipatia kipato kuanzia mto mmoja na hatimaye Taifa kwa ujumla
Wananchi wa wilaya ya Chunya wako katika ujenzi wa uwanja wa michezo kwa michango yao huku Halmashauri kupitia mapato ya Ndani nayo ikiendelea kuchangia kulingana na upatikanaji wa fedha

Пікірлер
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 2,8 МЛН
娜美这是在浪费食物 #路飞#海贼王
00:20
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 3,9 МЛН
WILL IT BURST?
00:31
Natan por Aí
Рет қаралды 28 МЛН
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 23 М.
TAZAMA ULIPOFIKIA UJENZI WA UWANJA WA NDEGE WA MSALATO DODOMA
3:47
Daily News Digital
Рет қаралды 6 М.
HIKI NDIO KIMEIPELEKA CHUNYA MAONESHO YA NANE NANE 2024
3:41
Chunya Dc Online
Рет қаралды 287
小丑把天使丢游泳池里#short #angel #clown
00:15
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН