Mungu akubariki kwa kazi njema ya bwana bwana akuongeze kwa kila atua
@adriennedahal-adamson28125 ай бұрын
Mungu awabariki kwa huduma njema Sifa kwa Bwana Yesu Kristo
@pendomkulanje76195 ай бұрын
MUNGU akubariki Bishop🙏🏼
@KANAANITV5 ай бұрын
Ubarikiwe baba kwa Huduma njema
@essatwinsOfficial5 ай бұрын
Amen Pastor 🙏
@josephinamtewele29035 ай бұрын
Amen amen
@ZawadiMbuligwe5 ай бұрын
Amen 🙏
@hamidmussa8385 ай бұрын
Mmmm!
@hamidmussa8385 ай бұрын
Mmmmm!
@amosngolo20235 ай бұрын
Masanja hii uionapo,,, Huo ubatizo wa maji mengi ni Kwa jina la Yesu kristo, (jina la baba na mwana na Roho) halafu uombapo omba katika jina la Yesu hyo nd funga kazi sasa..
@wilsonmichael11565 ай бұрын
Ubatizo kwa jina la Baba na la Mwana na Roho mtakatifu Amen
@amosngolo20235 ай бұрын
@@wilsonmichael1156 ndugu jina la baba na mwana na Roho ni Yesu nd maana nimesema abatize Kwa jina la Yesu na kama unasoma biblia vzr unaweza nielewa hiyo ya Kwa jina la baba na mwana na Roho walileta Roman ila soma matendo 2 na vngne utajua tu
@marymwapiya12745 ай бұрын
@@amosngolo2023ni kweli kabisa Yesu Kristo ndiye baba, mwana na Roho Mtakatifu, mitume walibatiza kwa jina la Yesu Kristo matendo 19:1-5 matendo 2:38
@sirpaza85135 ай бұрын
@@amosngolo2023 sio waroma yesu mwenyewe alisema
@sirpaza85135 ай бұрын
@@marymwapiya1274 mathayo 28: 19 yesu yeye mweyewe amesema kwa jina la baba, mwana na roho mtakatifu