MASANJA na OSCAR NYERERE WAMUACHA RAIS SAMIA HOI KWA VITUKO VYAO...

  Рет қаралды 537,341

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

MASANJA na OSCAR NYERERE WAMUACHA RAIS SAMIA HOI KWA VITUKO VYAO...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 259
@khadijalambo2138
@khadijalambo2138 2 жыл бұрын
Lugha ya masanja sijaipenda wangapi wamechukizwa na lugha ya masanja,like nyingi
@lukmanyusuph9345
@lukmanyusuph9345 2 жыл бұрын
One
@patriciamkupasi6230
@patriciamkupasi6230 2 жыл бұрын
Usifurahie mateso ya wengine.vita.vimbunga.magonjwa nk huo ni ujingaaa sijapenda
@marcogodfreymboya7349
@marcogodfreymboya7349 2 жыл бұрын
Nchi hii kuna uzandiki, unafiki, ufala, ushenzi na upumbavu wa hali ya juu mpaka kwa watu na ndevu zao!...
@nsajigwamwakalonge5702
@nsajigwamwakalonge5702 2 жыл бұрын
Sana shida ni watanzania wengi hawana uelewa
@alfredmussa7763
@alfredmussa7763 2 жыл бұрын
Salute
@vainqbfdrcongo979
@vainqbfdrcongo979 2 жыл бұрын
Njoo Drc 🇨🇩
@ernestmbwana6282
@ernestmbwana6282 2 жыл бұрын
Kubwa jinga as person.. Sio kwamba ukiwa na jeshi imara na vifaa vya kivita vya kisasa ndio tupigane .. Lilivyo jinga hili chawa halijui jeshi letu limefanya operations nyingi za peace keeping .Congo,Juba South Sudan, Comoro.e.t.c
@mussakasela1937
@mussakasela1937 2 жыл бұрын
Yani masanja kwa kujipendekeza anayaweza🙌🙌🙌
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 2 жыл бұрын
masanjaa mnafikiii sijapata onaa
@ramayonline2281
@ramayonline2281 2 жыл бұрын
Mwenzako siku inaingia na anajitengenezea fursa
@hamadrajab8042
@hamadrajab8042 2 жыл бұрын
Miaka 60 ya uhuru, nchi imeoza, watanzania hayupo huru, nchi haina democrasia, wala haki za binaadamu, huduma za jamii, vyombo vote va dola vinazidi kukandamiza raia maskini wa Mungu, WALA HUNA PA KULILIA.
@ukumbushoadam5691
@ukumbushoadam5691 2 жыл бұрын
Hii nchi inavijana wa Hovyooo sanaaaaaaa ety Dah Jpm baba endelea kupumzika kwa Aman
@ericklibaba1198
@ericklibaba1198 2 жыл бұрын
Huyu Mzee Nyerere ni hatariii... 😂😂😂
@fredymwanzi4448
@fredymwanzi4448 2 жыл бұрын
Eti vifaa vya jeshi vinanuliwa havitumiki,kwamba tupashe na Rwanda-huyu Masanja ana akili kweli
@josephstephen2047
@josephstephen2047 2 жыл бұрын
Ni comedian boss mchukulie poa
@josefinajemsi1726
@josefinajemsi1726 2 жыл бұрын
Nimaraya tu huyu Masanj, uenda siasa analeta mahubuli
@rizikinasetsi4155
@rizikinasetsi4155 2 жыл бұрын
Hapo amechemka kusema tutest vifaa vya Vita eti vifaru mnhh
@thomasmpemba4161
@thomasmpemba4161 2 жыл бұрын
Alie mpa maiki Masanja mungu anamuona
@benedictomwangoka7425
@benedictomwangoka7425 2 жыл бұрын
Madudu, mafunza na matakataka yamefanywa na masanja mpaka unafiki wenyewe umemkataa... Maisha marefu kwako mama Samia Mungu ndie ukujuze kweli katika uongozi wako achana na izo kelele za masanja
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 жыл бұрын
Nice Love you
@dbarrik4108
@dbarrik4108 Жыл бұрын
...kuna maneno mabaya masanja amezungumza anatakiwa kuwa arrested!
@chikuabdallah9950
@chikuabdallah9950 2 жыл бұрын
Yan siamin kama masanja nimnafki hivo duh
@aginiweyessayakyando1885
@aginiweyessayakyando1885 2 жыл бұрын
Penye kutest vyombo hapo mm ndio macho..🙄🙄🙄
@allyhamisi6394
@allyhamisi6394 2 жыл бұрын
magufuli hakuweka sherehe hizi za kipuuzi hakuzitaka😢😢😢🇹🇿🇹🇿
@abaspaundy8081
@abaspaundy8081 2 жыл бұрын
Kabisa
@mohamedabdirisak3940
@mohamedabdirisak3940 2 жыл бұрын
The video is hanging after very 5 or 6 seconds wasafi plz considers on that ndugu yenu from 🇸🇴
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 жыл бұрын
Uko vizuri !
@kentkihongole8235
@kentkihongole8235 2 жыл бұрын
Masanja bwana yesu akuponye
@enickosanga4921
@enickosanga4921 2 жыл бұрын
Tutest na kagame daaahhhhh kazi kweli kweli huko kujipendekeza hulo
@farouqbanda8656
@farouqbanda8656 2 жыл бұрын
Bro hapo kwa mazige ulizingua. Wakenya wapo hapo. Uongozi haizuii maradhi wala nzige hivu kesho itakuaje?
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
Manzigee tunayaskia huko kwa wenzentu😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣acha kujipendekezaaaaa 😏😏😏
@ayubutwalibu2381
@ayubutwalibu2381 2 жыл бұрын
Kweli
@tintz1453
@tintz1453 2 жыл бұрын
Daaaaaah watu n n wanafikii aseeee khaaaaaaa pesa hizi , huyu naye anaongea kijaluo cjuw nani kamwmbia amepatia, Masanja n mnafiki bora hat babalevo.
@iam_paul3279
@iam_paul3279 2 жыл бұрын
Masanja mnafiki sana huyu jamaa , anajipendekezaga hatari
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 2 жыл бұрын
Na hili ninalo liona hapa ni fundisho sana ,kumbe mchongo ni kupambiana tu .
@josephatjordan5560
@josephatjordan5560 2 жыл бұрын
Ukijifanya mjinga ndio utafanikiwa !!hiyo n moja ya akili cz kesho yake anaiandaa 🤛🤛
@iam_paul3279
@iam_paul3279 2 жыл бұрын
@@josephatjordan5560 katika maisha jitahidi uwe na rangi moja na sio mbili , utafanikiwa . Watu wakisha kusoma unabadilika badilika km kinyonga utaishia kupiga debe tu. Trust me
@fzafza6746
@fzafza6746 2 жыл бұрын
@@iam_paul3279 Sio kweli ukweli ni kwamba katika MAISHA unatakiwa uende na Hali ya MAISHA inavoenda ili kijikidhi na kujiokoa binafsi lazima uende na upepo
@msetikebwasi7270
@msetikebwasi7270 2 жыл бұрын
@@iam_paul3279 Na hii hali ya kubadirika badirika ndo inayo lirudisha taifa nyuma .
@seniorprophetisaackmtawala9080
@seniorprophetisaackmtawala9080 2 жыл бұрын
Nice
@strong8534
@strong8534 2 жыл бұрын
What kind of video is this??
@cleverboy3812
@cleverboy3812 2 жыл бұрын
Nimechukia sana hayo mabarakoa tunayovaa.. Tumekuwa watumwa wa wazungu sana.. Walioleta ayo mabarakoa sasa hivi hata hawayavai.. Kama unafuatilia mpira ligi za ulaya utaona mashabiki jinsi wanavyojaa uwanjani na hawana hata ayo mabarakoa...
@edigajoh5669
@edigajoh5669 2 жыл бұрын
Wamechanjwa ndiyo maanahawavai
@eliaslazaro2809
@eliaslazaro2809 2 жыл бұрын
Kwan samia hajachanja?hao wasaidzi wake hawajachanja?mbona full barakowa.
@edigajoh5669
@edigajoh5669 2 жыл бұрын
@@eliaslazaro2809 nyie mnao enda hamja chanja Anaona Kama mtamuambukiza🤣🤣
@omaryshafii1284
@omaryshafii1284 2 жыл бұрын
Ni kweli kabisa ndugu yangu yani ni utumwa wa kiwango cha lami
@mavoketv
@mavoketv 2 жыл бұрын
Kwa sababuw mameshapata chanjo
@martmstarabu4252
@martmstarabu4252 2 жыл бұрын
Mko vizuri mnooo
@AbdillahSOthman
@AbdillahSOthman 2 жыл бұрын
Ni Tanganyika tu sio Tanzania.
@ramahanijuma599
@ramahanijuma599 2 жыл бұрын
Acha unafiki unampamba bule
@MaaneML
@MaaneML 2 жыл бұрын
Kapashe Vita kwenye ukoo wako nyumbu wewe. Unaifahamu Vita wewe? Tunafurahia Amani na silaha hatuzijui. Nyumbu mkubwa. Eti mchungaji. Unachunga nini?. Ninaomba watu wa protocol wawe wana edit mambo ya kutapikwa na washenzi kama hawa. Hawafai.
@josephstephen2047
@josephstephen2047 2 жыл бұрын
Huyo ni comedian uwe unaelewa mbwa we
@ntyukatv3852
@ntyukatv3852 2 жыл бұрын
Msanja kachemsha anasema ndani ya miaka 60 hakuna vita amesahau Kuwa kulitokea vita vya idi Amini baina ya Uganda na Tanzania
@alphoncinaanatory4215
@alphoncinaanatory4215 2 жыл бұрын
KABISA
@hallin9561
@hallin9561 2 жыл бұрын
Namkubari sana masanja lakin Kwa huu UCHAWA wake mi ananikera kwakwel,, kujipendekeza kumezud,, Njaa utoa akili
@johnbidya119
@johnbidya119 2 жыл бұрын
Aaah mbona watu mnakua wanafki hivi tena mtumishi ?
@athumanimhanga2053
@athumanimhanga2053 2 жыл бұрын
masanja akili yake inaludi nyumaa yani nimnafikii
@happyjohn5882
@happyjohn5882 2 жыл бұрын
@@athumanimhanga2053 brother katika kitfuta ugalii lazma ujitoe akili,na anajua ukwelii
@rachelmliwa9830
@rachelmliwa9830 2 жыл бұрын
Mmekaa na suti zenu na ombaomba wako mtaani afu mnasema Uhuru
@emanuelkinoko9126
@emanuelkinoko9126 2 жыл бұрын
Eti mchungaji, punguza kujipendekeza!!!
@estermassawe1687
@estermassawe1687 2 жыл бұрын
Mmmh km kweli nyerere
@benjaminsimon1496
@benjaminsimon1496 2 жыл бұрын
Big up
@sanayamadaynah2427
@sanayamadaynah2427 2 жыл бұрын
Woooow
@kimsamir965
@kimsamir965 2 жыл бұрын
SAFI
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 2 жыл бұрын
Good job masanja
@thomasmartinez786
@thomasmartinez786 2 жыл бұрын
Sasa hapo kichwa cha samia anajikuta anajua sana kumbe hamna kitu rais gani hajui kuwa mungu yupo hovoooo kabisa
@everever2807
@everever2807 2 жыл бұрын
ww nae nakupenda kukusikilza lkn kwa utumbo huyu mama ananni hasa mambo yke ovyo hana lolote juu ya hhi nchi
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 2 жыл бұрын
Ukiwa kwenye system lazima usifie kupitiliza, mchungaji halafu unapendelea sehemu 1
@mrgardendesignerluta4667
@mrgardendesignerluta4667 2 жыл бұрын
Ebu Tubadilikeni jamani hivi watu Kama Hawa wameandaliwa kwajili yakuongea maneno ya kijinga mbele Rais eti mazige na magonjwa tunayaskia kwajilan ..😥😥Mungu Tunasamehe kwajili ya haya Maneno ya kufuru ..
@graceakoako8748
@graceakoako8748 2 жыл бұрын
Good sana
@christopherngunwa9522
@christopherngunwa9522 2 жыл бұрын
Nihatari sanaaaaaaaaaaa,
@MyName-wd8cp
@MyName-wd8cp 2 жыл бұрын
Njaa mbaya sana🥱
@amazingflowereducationcent8572
@amazingflowereducationcent8572 2 жыл бұрын
hii inaleta maana gani kwetu masanja kavuruga sana kuwepo hapo maneno yake ni shombo tu hio ni sehemu ambayo pana viongozi wote wa nchi wamekusanyika na wengine kutoka sehemu mbali mbali za nje ya nchi tunawaonesha nini mi nahisi jambo hili pia linaashiria kua hatupo sirias kila mtu kazi yake ni kusifu tuh.
@edwardrichard5071
@edwardrichard5071 2 жыл бұрын
Ugari unatafutwa sana du
@renathahendry8658
@renathahendry8658 2 жыл бұрын
mungu wangu mbona vitu vya aibu jmn, yaaani ni aibuuuu, unafki tuuu
@paulosayale868
@paulosayale868 2 жыл бұрын
safina charchr
@michaelnkamba9872
@michaelnkamba9872 2 жыл бұрын
Chawa wa Marais kwenye ubora wake😅🤣🤣🤣
@mutumankonge7555
@mutumankonge7555 2 жыл бұрын
🇰🇪 with neighbors like 🇹🇿 do we need enemies 🤣😂
@innocentnmanyasi4750
@innocentnmanyasi4750 2 жыл бұрын
Lkn ihii nchi iv Nan alitufikisha hapa? Mbona sielewi
@luganoamosi6416
@luganoamosi6416 2 жыл бұрын
Massanja Vita ya entebe uganda ,jinja ,kagera umesahau mkuu
@anordgerison8639
@anordgerison8639 2 жыл бұрын
Toka huko 🤣🤣... Mbona utaki kukosoa
@zakariamnzavas7260
@zakariamnzavas7260 2 жыл бұрын
Eti mungu anatueshim wewe ninani ushimewe na mungu eti mchungaji
@baghary1official879
@baghary1official879 2 жыл бұрын
Masanja Kuma yako
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
WEWE KWELI UMEISHIWA UYU NDIO YULE MASANJA WA MIRADI
@EmanuelKiroshi
@EmanuelKiroshi Жыл бұрын
Amen amen
@phalesjoseph6604
@phalesjoseph6604 2 жыл бұрын
Hamna ktu hapo masanja,, Najua unampamba mh.samia ila kiukwel mama samia toka ushike madaraka hakuna ulchofanya
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 2 жыл бұрын
Wewe ndio huoni sisi ndio tuna ona mama anapiga kazi ndani ya miezi Minane wee baki na chuki zako hazitokusaidia
@amirlehao8945
@amirlehao8945 2 жыл бұрын
@@jovovichmedia9424 kafanya nini kwenye hiyo miaka mzee
@user-po8hz7xw9j
@user-po8hz7xw9j 2 жыл бұрын
@@jovovichmedia9424 vyote nivyamagufuli anamalizia 25 ndio aanze vyake sasa
@jovovichmedia9424
@jovovichmedia9424 2 жыл бұрын
@@user-po8hz7xw9j sio vya kikwete
@neemaruben5427
@neemaruben5427 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@sonnyr1899
@sonnyr1899 2 жыл бұрын
Kutest vyombo kwa Kagame mmmm??????😰
@kalumbugideon4159
@kalumbugideon4159 2 жыл бұрын
Masanja Mkandamizaji....kwa Kazi Nzuri unayoifanya Katika kuinua kwa Vipawa vya Wengine.
@osbrotherosbrother6891
@osbrotherosbrother6891 2 жыл бұрын
kuna chawa hila huyu masanja chawa vip sana yani anataka kuwa chawa wa rais
@tozyalex2289
@tozyalex2289 2 жыл бұрын
Munaenda na upepo nyie vilaza kipnd cha Magu ulipayuka kw kumusifia xx hv umehamia hku
@rutakihama3523
@rutakihama3523 2 жыл бұрын
Hahahahahaha kupasha kidogo na kagame
@simplissamba1943
@simplissamba1943 2 жыл бұрын
masanja kumsifia uongo huyo mam nimejiskia vby sn
@lemausontz3513
@lemausontz3513 2 жыл бұрын
Sio yeye shida Iko miguun angalia viatu kwanza😂😂😂
@alphoncinaanatory4215
@alphoncinaanatory4215 2 жыл бұрын
MASANJA acha unafki ckutegemea kama ungeongea hivo hamna point WORST WORST SPEECH
@angelinajohn7303
@angelinajohn7303 2 жыл бұрын
Nimefurahi sana
@yohanamkaga5230
@yohanamkaga5230 Жыл бұрын
Eti ongea na Kagame tutest vyombo,🤣🤣🤣Tumbafu kwelikweli
@monalisalebasoto2538
@monalisalebasoto2538 2 жыл бұрын
Masanja chawa wa maraisiii
@hdggu6792
@hdggu6792 2 жыл бұрын
Masanja mungu anakuonaaaaa
@papafikiri
@papafikiri 2 жыл бұрын
Oscar sawa lakini Masanja hapana
@anethteodos6208
@anethteodos6208 2 жыл бұрын
cjawahi kukuelewa we mwehu😩😩😩
@festolucastv9701
@festolucastv9701 2 жыл бұрын
tatizo ni kushek kwa vidio festooooos
@hussein0757
@hussein0757 2 жыл бұрын
Duh uyo oscar ni hatar sana
@kingbuddah6372
@kingbuddah6372 2 жыл бұрын
UNAWACHA KUONYESHA MIRADI UNAONGEA UPUMBAVU MTUPU
@mohamedmuhajiri4690
@mohamedmuhajiri4690 2 жыл бұрын
Chawa aliye bobea
@ayubukhamis8673
@ayubukhamis8673 2 жыл бұрын
Oscar wew ninoma hatar San unajua.
@aminially4456
@aminially4456 2 жыл бұрын
Yani muungu anatuheshim sis i co weweeee
@jaharaoman6478
@jaharaoman6478 2 жыл бұрын
Masanja we nj mtumishi wa Mungu ila kwa hili dah imenidisapoint sana
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
mbona picha mchecheto 😆😆😆
@hassannadhir3464
@hassannadhir3464 2 жыл бұрын
😂😂😂 wajane wataendaaa
@lydiathomas9689
@lydiathomas9689 2 жыл бұрын
Unafki ni dhambi jamani
@sethwilson4346
@sethwilson4346 2 жыл бұрын
Mungu anatuheshim? is this true
@silverally4127
@silverally4127 2 жыл бұрын
Tochi
@zuleikhakhamis3303
@zuleikhakhamis3303 2 жыл бұрын
mmmh uhuru wa Tanzania tena apo munatiwa changa tuu na ule Uhuru wa Tanganyika umeenda wapi wacheni kupotosha wa2 hakuna cha 60 wa nini maendeleo ovyo ovyo kabisa
@debramacha2747
@debramacha2747 2 жыл бұрын
Sijui nimesikia vizurii, kuwa Mungu anatuheshimu!! Mungu akusamehe, kwani hizo nchi nyingine Mungu hazipendi!! Ni neema tuu, usilewe sifa hadi kuongea upuuzi
@alimakame9215
@alimakame9215 2 жыл бұрын
Nikweli kabisa kateleza
@abaspaundy8081
@abaspaundy8081 2 жыл бұрын
True amekosea 😭
@edsonimkwama8745
@edsonimkwama8745 2 жыл бұрын
Kuna kifungu kwenye biblia nilisoma kinasema ukimpenda MUNGU nakumuheshim ATAKUHESHIM SANA Hivyo sijajua nia ya masanja lkn yupo sawa kama alimaanisha hivyo
@rahabumwakajoka6721
@rahabumwakajoka6721 2 жыл бұрын
Kwanza tutambuye ya kwamba huyo ni comedy ,tuache kuchukulia kila kitu silias,kaweka hapo ili achekeshe so no vema mno kuwasubiria viongozi wakiongea vya silias
@edsonimkwama8745
@edsonimkwama8745 2 жыл бұрын
1samweli 2:30 Mungu anaheshim mtu anaye muheshim hajakosea kauli yake labda sijajua dhamila ya masanja
@tariqbutt9516
@tariqbutt9516 Жыл бұрын
Sasa huyo masanja amepelekwa mwenye kongamano la miaka 60 ya uhuru kwa sababu gani? Sioni kitu chochote cha maana alichoongea .miaka 60 ya uhuru watanzania bado hakuna watu wenye weledi Wakaja kuongea mambo ta maana anachiwa masanja kweli Tanzania ni vichwa vya wendawazimu
@makondorshimora5017
@makondorshimora5017 2 жыл бұрын
Masanja umefilisika kiakili kabisaaa, unatamani vita mpumbavu wewe, ulishuhudia vita ya Kagera wewe? Unatamani nchi ipitie mabaya! Sijawahi kusikia mtu anatamani familia yake ipate maafa! Na hapa tayari Mungu ameamua kukuangaza make unalitumia jina lake kama kitega uchumi baada ya kuona huku mitaani hakujakaa Sawa. MUNGU WA REHEMA AKUREHEMU.....
@uzimameditv8148
@uzimameditv8148 2 жыл бұрын
Hahaaaaaaaa tabia ya mtu haijifichi ukijifanya kuwa wewe ni wa kweli na sio utaumbuka, nahii ndio maana ya moyo kuwa mdanganyifu.
@killylevenson1359
@killylevenson1359 2 жыл бұрын
Halafu nae anajiita Mchungaji na anaamuita binadamu mwenzake kajitu🤣🤣🤣🤣
@kibasiwakibasi5070
@kibasiwakibasi5070 Жыл бұрын
Aaaaaaaaaah masanjaaaaaa nawewe kakaa kweliii
@aloimaray1769
@aloimaray1769 2 жыл бұрын
Masanja ukumbuke WAJANE sio kupenda kwao ,hapo kuna wajane wa viongozi watajihisi vipi JIUZULU Uchungaji hufai
@leahmgunda5248
@leahmgunda5248 2 жыл бұрын
Kosa la aliyewaruhusu watoke kama walivyotaka.Nani kuvunjika mbavu kwa maneno makavu hivyo.
@khamislisso9137
@khamislisso9137 2 жыл бұрын
Mchungaji anaongea Mambo ya hovyo ☹️ hongera Oscar hii jinga iachie jpili
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 2 жыл бұрын
Hahahahha aongee nn na kagame??😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃
@ramadhanseif703
@ramadhanseif703 2 жыл бұрын
Video ipo hvyoo kinoma
@MrJevelson
@MrJevelson 2 жыл бұрын
Safi
@paulomwamba9491
@paulomwamba9491 2 жыл бұрын
Funny 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@dottohamisi9844
@dottohamisi9844 2 жыл бұрын
😀😀😀
@andrewmalamsha3042
@andrewmalamsha3042 2 жыл бұрын
Wamebugi sana wanochochea vitu vya ajabu
MASANJA  HADHARANI FATILIA MPAKA MWISHO
24:02
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 727 М.
Playing hide and seek with my dog 🐶
00:25
Zach King
Рет қаралды 33 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO
14:23
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 902 М.
TAZAMA OSCAR NYERERE ALIVYOMUACHA HOI RAIS SAMIA, AITWA KUTUNZWA
6:20
Spot The Fake Animal For $10,000
0:40
MrBeast
Рет қаралды 165 МЛН
Мировой Рекорд по Засыпанию (@DazByron )
0:30
Голову Сломал
Рет қаралды 2,4 МЛН
Девушка ограбила мажора, но…😳
1:00
Trailer Film
Рет қаралды 3,6 МЛН
我说我不是故意的,你们信吗
0:25
侠客红尘
Рет қаралды 26 МЛН
HE’S BACK! 😰
0:11
HeyItzPuppies
Рет қаралды 13 МЛН