MASANJA MKANDAMIZAJI ACHEKESHA WATU MSIBANI | MASANJA TV SUBSCRIBE | Masanja TV | For more Gospel Updates: 👇 👇 / @masanjatvgospel
Пікірлер: 81
@barakmazigo89455 жыл бұрын
Wachawi oyee, kama umeiskia hy masanja ameikandamiza gonga like
@TimotheoElias-lh5hy11 ай бұрын
Masanja we ni shida nimeamini
@joylimo66892 жыл бұрын
Following from kenya nmeona mchungaji wangu chibinda
@bahatialex95246 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtmishi wa Mungu nikweli kabisa
@stevenlukumay55176 жыл бұрын
Mchungaji masanja mkandamizaji mwanwane kandamiza gospel ya jesus haleluya Mungu azidi kukulinda
@GloryJohn-nm5wo Жыл бұрын
Naona na mfiwa ancheka kasha sahau duu mung akupe nguv
@aidanmaganza52806 жыл бұрын
Ahsante sana mchungaji Emanuel, mwenyezi Mungu akupe maisha marefu na utusaidie kuijua kweli. Nilikuwepo ktk msiba, ulisaidia wengi.
@kanaanimkisi52902 жыл бұрын
Ubarikiwe Baba Askofu
@mbwanalau576 жыл бұрын
Upo vizuri mana napenda kukufatilia mchungaji barikiwa
@rithamsacky46555 жыл бұрын
Yaan masanja eti kabeni mara mbili....
@mesozimkombozi4326 жыл бұрын
Nakupenda sana masanja.
@akutiboysolomon94186 жыл бұрын
Hongera mtumishi kwa kazi njema ,Lazima kieleweke tu
@mesozimkombozi4326 жыл бұрын
Kweli masanja wew ni bonge la mchekeshaji kwa mara ya kwanza nimekuona mwaka 2005 kwenye tv ulikuwa umevaa kimasai na fimbo begani ukiwa unaongea kilugha na mwengine akawa anatafsiri. nilicheka sana. tangu hapo nilikupenda sana na hujawahi niangusha kila comed yako nacheka sana. mungu akubariki kwa kipaji chako. Nakupenda sana tena sana masanjaasss
@fredricknduneh20186 жыл бұрын
I do love your sermons. Be blessed pastor masanja
@rehemabonza45295 жыл бұрын
Mungu ni bariki nipate makaz dar, nije usali mito ya baraka, amen.
@francismacheta81275 жыл бұрын
Wachawi oe. masanja big up!!
@nabiimdogotv86866 жыл бұрын
Kazi yako ni njema kamanda
@aliceamanya64576 жыл бұрын
Ubarikiwe masanja
@nayigaagnes7466 жыл бұрын
Asannte kwamaubiri mazuri masanja
@Pastorlenhardkyamba6 жыл бұрын
KEEP UP BRO I REALLY LOVE YOU SIR.
@mwakasamuelnyiro65596 жыл бұрын
Amen. Nimebarikiwa sana na ujumbe wako mtumishi. More blessing
@happygasper36956 жыл бұрын
ubarikiwe mtumishi street pastor.. walawi 19:27
@filberthabashi33666 жыл бұрын
Happy Gasper i like
@angeljoyce68365 жыл бұрын
Asnte mchungaji uko vizuri
@godhelpkimaro67425 жыл бұрын
Barikiwa Mtumishi
@vicemedicalhealthcareoffic23116 жыл бұрын
Umeokoka kwel hauna bwebwe na ulokole kwel big up 100%
@saimonmgeta52396 жыл бұрын
Hahahaaaa Uwiiii Eti Un logecable generation
@lightm22256 жыл бұрын
Barikiwa. Mtumishi hapo umenena
@happynessmkuyu5456 жыл бұрын
umenibariki sana kaka masanja
@dawillygene5 жыл бұрын
Nakupenda saaana mtumishi
@tumemanyema35235 жыл бұрын
Nijambo jema kubadirika kumfuata Yesu muweza wa yote
@devybernardlaizer77136 жыл бұрын
Amen mtumishi
@fredricjames7745 жыл бұрын
Wachawi oyeeeee
@johnyjecma4664 жыл бұрын
hahaaaaa et wachawiiiiii oyeeeeeeeeee
@sophiamwakila33005 жыл бұрын
Hapa kweli Masanja ulihubiri ni Kiburi tu watu hatubadiliki
@OmanOman-iv6si6 жыл бұрын
Amina mtumishi wa mungu
@shaddyjames75114 жыл бұрын
Amina
@modestaabeli33896 жыл бұрын
Asante mtumishi wa bwana
@barakakiyalo39006 жыл бұрын
Manina mtumishi wamungu ubarikiwe
@magolijames31014 жыл бұрын
Amen
@abelinhojohnson3425 жыл бұрын
Ahahahhaahah wachaw hoyeee!
@alphonsinedusabe35906 жыл бұрын
Amen amen 🙏🙏🙏
@thiagoneligwa21906 жыл бұрын
ameeeeeeeennnnnnn
@jibrildavis56642 жыл бұрын
Nichukiye uhumwe 🤣
@rosemarymashauri86286 жыл бұрын
ha ha ha ha jamani mahubiri mazuri tujitathimini
@sethstiven33936 жыл бұрын
Rosemary Mashauri wap mama
@zeoneshiru33196 жыл бұрын
Nichukie Uumwe
@carolinamushi55556 жыл бұрын
Aliokoka ni Huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila Siku ya maisha yako uishiyo hapa Duniani nikwa namna gani unawagali watu unampenda Mungu unaishi vizuri kwa nasfsi yako bila kujidanganya mwenyewe, na kuwadanyanya wengine, kuujua Ukweli wa nafsi yako, na kumtafuta Mungu kila Siku, ktk sala, maxingira, watu wanakuzunguka nk. Na sio kuokoka na unahukumu kila Siku wengine kujiona wewe mwema kuliko wote, kuitangaza kila Siku nimeokoka huo ni ufarisayo.
@benny9246 жыл бұрын
Carolina Mushi kwa sababu wewe ni ibirisi ndio maana hata ulichoandika hakisomeki mwambie aokoke babaako
@carolinamushi55556 жыл бұрын
Wewe ndio ibilis huwezi kuhukumu maisha ya mtu hapo Tayari umenihukumu hujui maisha yangu, jaribu kumuona Mungu kwa mwenzako, maana tumeumbwa kwa mfano na sura ya Mungu, kwenye mamlaka na kuhukumu yetu wanadam ni Mungu pekee yake, na sisi wote ni Watoto wa Mungu bila kujali dini kabila nchi sura au rangi, na Mungu anatupenda ndio maana anatuvutua kila mara tumerudi, wewe unafikiri kuwa mlokole umefika mbinguni huendaunaishi kila Siku kunyoshea watu video hujui ukinyosha kidole kimoja kwa mwenzako vinne vina kurudia wewe?
@elizabethmassawe59176 жыл бұрын
Carolina Mushi baada ya kufa ni hukumu Mdada usidhani kufa ndio uwokovu. Jiandalie ungali una pumua Mae...
@rosemarymashauri86286 жыл бұрын
eti kabeni mara mbili zaidi ya mwanzo ha ha ha ha
@eliyaleonard1376 жыл бұрын
hahahahahaaaaaaa. nimeche mbavuzinauma eti wachawi oyee.
Ukweli ukweli ni jambo mmoja unatakiwa uwe nalo makini sana Kwanza wewe unaweza kujidanganya mbele ya Mungu huku ulibaki kukemea wengine maana usipojiamgalia kwa jicho la uwazi na nafsi yako utakua mnafiki mbele ya Mungu na kujifanya mkweli mbele ya watu.
@carolinamushi55556 жыл бұрын
Unakumbuka yule Mafarisayo alienda mbele ya Mungu na myahudi? Mafarisayo a kaanza kusali ee Mungu mimi sio kama huku hapa mdhambi, nafunga natoa sadaka nasali sana nk. Lakini yule myahudi akasema ee Mungu nihurumie mimi ni mdhambi nimekukosea sana, Mungu alipendezwa na Huyo myahudi, ujue wakati mwingine sisi wanadamu tunajiona kama Huyo Mafarisayo, hata tunapituliza kujiona tupo sawa na Mungu, lazima tu jaribu kuwa wanyenyekevu na kujiona tu sisi tupo kwa huruma ya Mungu. Mungu haukumu kama binadamu wahukumuvyo.
Aliokoka ni Huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila Siku ya maisha yako uishiyo hapa Duniani nikwa namna gani unawagali watu unampenda Mungu unaishi vizuri kwa nasfsi yako bila kujidanganya mwenyewe, na kuwadanyanya wengine, kuujua Ukweli wa nafsi yako, na kumtafuta Mungu kila Siku, ktk sala, maxingira, watu wanakuzunguka nk. Na sio kuokoka na unahukumu kila Siku wengine kujiona wewe mwema kuliko wote, kuitangaza kila Siku nimeokoka huo ni ufarisayo.
@carolinamushi55556 жыл бұрын
Aliokoka ni Huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila Siku ya maisha yako uishiyo hapa Duniani nikwa namna gani unawagali watu unampenda Mungu unaishi vizuri kwa nasfsi yako bila kujidanganya mwenyewe, na kuwadanyanya wengine, kuujua Ukweli wa nafsi yako, na kumtafuta Mungu kila Siku, ktk sala, maxingira, watu wanakuzunguka nk. Na sio kuokoka na unahukumu kila Siku wengine kujiona wewe mwema kuliko wote, kuitangaza kila Siku nimeokoka huo ni ufarisayo.
@betherichoir28236 жыл бұрын
Carolina Mushi ujielewi wewe alafu nini kinakuuma wewe pambana na Hali yako utaki kukemewa Zambia alafu wazinzi waga mnasumbua nyie
@emanuelmponzi34466 жыл бұрын
Carolina Mushi sio kweli kuokoka ni kukiri kwa kinywa chako kwamba ni bwana na mokozi wa maisha yako maiti hawez kukirii
@carolinamushi55556 жыл бұрын
Aliokoka ni Huyo aliewekwa kwenye sandaku nyie watu mnafikiri kuokoka ni ni jambo tu la kuhama dini nyingine na kwenda nyingine wikovu ni kila Siku ya maisha yako uishiyo hapa Duniani nikwa namna gani unawagali watu unampenda Mungu unaishi vizuri kwa nasfsi yako bila kujidanganya mwenyewe, na kuwadanyanya wengine, kuujua Ukweli wa nafsi yako, na kumtafuta Mungu kila Siku, ktk sala, maxingira, watu wanakuzunguka nk. Na sio kuokoka na unahukumu kila Siku wengine kujiona wewe mwema kuliko wote, kuitangaza kila Siku nimeokoka huo ni ufarisayo.
@sheckycobb52406 жыл бұрын
Carolina Mushi acha ujinga wewe. kuokoka ni ukiwa hai
@jevasonkimaro45356 жыл бұрын
Carolina Mushi , we umelogwa fata maandiko
@samuelmbugh95056 жыл бұрын
Biblia inasema aaminie na kubatizwa ataokoka marko16:16 sasa ukifa utaaminije ukimkiri yesu kwa kinywa chako na kuamini utaokoka sasa utamkirije ukiwe umewekwa kwenye jeneza
@leonarddamian5 жыл бұрын
Mbwa ukishamjua jina akusumbui tena.