Bora mwanamke aondoke vizuri sana. ,manabi wa mchongo mmezidi mungu. Atawaumbuwa kwa yale. Mnayoyafanya
@deuslmathias163110 ай бұрын
Wachungaji msisemane. Unamkosea sana Mungu
@adamjackson65809 ай бұрын
Mashimo habari ya Malisa wewe ayakuhusu tuachie Prophet wetu
@ndigwako5 ай бұрын
Wala haijatengenezwa habari ni ya ukweli mtupu.... Wewe umeoewa zawadi ya spika na pesa ndo umejidai unakuja kumtetea huku khaaaa... Watumishi badirikeni mnauabisha mwili wa Kristo
@nyakahodenis14738 ай бұрын
Ni ukweli bwana kazaa na mshirika,na kama kalogwa kwa nini siombewe acheni ushabiki wa mambo ambayo wao wawili wanajua nini tatizo
@user-sj7fn1wt6d9 ай бұрын
Aliyeanza kwenda kwrnye vyombo vya habari na Malisa mwenyewe.Hujielewi wewe mkewe anajua walipotoka na kinavjoendelea.
@fredrickmapunda31109 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣mashimo kalambishwa asali make wa Malisa anaitwa Rissa Mapunda Akina mapunda ni wanyakyusa?