Damu ya Yesu itasimama kama ukweli au uongo Mungu simama mwenyewe juu ya maneno haya yote
@jacklinemahinya2488 Жыл бұрын
😂😂😂 😂 nicheke mie
@emmykundy4273 Жыл бұрын
29:00 kumbe Malisa anaweza kuoa mke mwingine kimira, na bado mke wake (Lisa) akiwa na mwanaume, inakuwa ni tatizo sio… wewe unayetoa hii taharifa huna uelewa na unachokiongea…
@emmykundy4273 Жыл бұрын
28:40 Nabii Malisa anazaa na mwanamke mwingine na wanafuata taratibu za kimira (sio za dini) alafu mnasema ninyi ni wakristo
@nurdinkisaria9476 Жыл бұрын
Mwijaku na Dr.Kumbuka mnatuharibia maisha
@emmykundy4273 Жыл бұрын
Alafu hao wachungaji ndio wanaombea ndoa za watu wengine… na hatabkumfufua mama yake mara tatu… Endelea kuwaamini hawa manabii wa uongo.
@bakarially253 Жыл бұрын
huo ndio ukiristo nas
@imanmodern Жыл бұрын
Anamvueje nguoa tena jamani 😅
@neemamushi4476 Жыл бұрын
Acheni kuichafua dini
@YothamBraiton Жыл бұрын
Sasa wewe ufanye mchakato wa taraka wewe ndo ulimuowa huyo binti😅 kwani hii kisheria imekaaje kuowa haowe mwingine na taraka atafute mwingine😅nchi ya ajabu hii halafu linaongea bila aibu ili litakuwa tapeli lilobobea ona iyo ooo yake😅😅😅
@hastatz Жыл бұрын
Ndoa ngumu kwel yani
@amiribakari2528 Жыл бұрын
Wewe ni mnafiki unamtetea malisa unamchafua huyo bint kwamba kaiba pafym wewe umedhitisha kwamba ni mwizi tyr..kwa nn..mbona huzungumzii swaala la malisa kuzaa na mtumishi
@jonathanbbenardkazenga2085 Жыл бұрын
Nguo gani andikeni title yenye ukweli
@PrinceHendry-hp8vv Жыл бұрын
Mh...nishakua na mashaka na nyie mtakua kakumbaaaa
@YothamBraiton Жыл бұрын
Hawa watu wanajitetea sasa siwampatie haki zake hayo yaishe kelele za Nini sasa et ooh mh nitamtaja😅😅jamani maisha haya yanaenda mbio sana,wanatete matonge Yao,anavyoongea aibu naona Mimi huyu kibonge sio mzima kabisa kabisa😅😅
@judyngowi391 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu anaoa kwa kufuata taratibu za kimila?😢😂😅😊
@CharlesMakasi-jp2hs2 ай бұрын
Hii ni mitandaon acha wakongwe wawezavyo but siamin hayo yote
@ezraedwini5098 Жыл бұрын
Kumvua nguoo😂😂
@leaherasto929 Жыл бұрын
Wewe baba acha uongo umelipwa wewe kwani Mwamposa anasemwa mangapi mbona hajawai jibu mtu apo ulipo yako yamekushinda
@bakarially253 Жыл бұрын
ukiristo ni biasgara ya zungu
@isaacdavid399711 ай бұрын
Acha upumbavu wako. Kamchungulie kwanza mama Yako halafu uje usimulie ulichokichungulia.
@bakarially25311 ай бұрын
@@isaacdavid3997 ndio maana nasema kuna tofauti yetu na nyinyi muslam popote alipo ni nuru siwezi kujibu kama ulivyoandika inatofasiri wewe ni mtu wa aina gani. Wewe wala hauna mama. Mungu akuongoze uijui ukweli
@OnlyRuky Жыл бұрын
Why asiongee muhusika? Unajuaje ya ndani ya ndoa yao?Ahahahahahw CHAWA WA MCHUNGAJI..... Wanayopitia? Umetumwa kumsafisha Mixxx👇Haya wanakondooo nawasubiri km mlivyo jipanga😊 Ushahidi lisanadhara,amedharau serekali, issue ya uwizi ya walisa imeingiaje? Yanahusianaje??? Hao makamanda walihusika na kesi niwalarushwa hakuna anayewaamini😮
@YothamBraiton Жыл бұрын
Hao ndo aliwaongelea mange😅😅😅
@jonathanbbenardkazenga2085 Жыл бұрын
Na umuomeshe huyo mtu anaedai hayo yote
@BigBrain23 Жыл бұрын
Huku mtandaoni kuna ujinga sana, wewe ni chawa wa mchungaji au msemaji wa ndoa za watu? Naona umeita na waandishi wa habari kizungumzia ndoa ya mchungaji
@YothamBraiton Жыл бұрын
Dume Zima linaongelea maisha ya watu jamani utumishi wa miaka hii ni hatari
@rosemuhandoofficial5676 Жыл бұрын
Kwanza mi nashindwa kuelewa, na sikutegemea mambo ya ndani ya mtu na mkewe ,watu wanaojuwana nyu hi zao huyu anashadadia hivi anajitambua kweli???
@YothamBraiton Жыл бұрын
Kwaiyo huyu ndo nani sasa,kwanini hasiongee mwenyewe kaka mzima na ubonge wake anaonge pumba tu, halfu unasema uliendankuchukua form3 walipikuwa Wanakaa wanzo je walipikuwa na kaa sasa waliwakatalia iyo form namba 3 kwa ushauri wangu mdongo hamkutakiwa kuja kuongea hayo Mambo badala yake mngempati huyo Binti anachotaka,kwa lugha nyingine amtakai kumaptia halafu mnajiita watumishi KWELI dini imeiingiliwa jamani😢
@emmasonanjawe9042 Жыл бұрын
Umeumia kwani
@veronicangailo7644 Жыл бұрын
Kwani sheria za ndoa kikristo zinaruhusiwa kuvujwa ubabaishaji wa wawatumishi wa siku hizi