Dini haijaja kufanya usiugue au usife dini inakufundisha kwamba kuna maisha baada kifo
@badmeetsevil76438 күн бұрын
Bangi hizo kwahio ww umejiumba Huyu ni mjinga sija wahi ona 😂😂😂😂
@nicasnerey99332 күн бұрын
Dah tuko pamoja sana Niko sana na uelewa wako na nachukiwa sana maana achana sana tena live
@remmyyohanaАй бұрын
We jamaa una akili sana big up your self
@ElvisDavid-qn5vd3 ай бұрын
Yani watu wataamka tu atakama watajaribu kubisha mnachosema ukweli unabaki kua kweli big up wachokonoz ❤❤❤❤❤
@mwansasungafumbwa91169 күн бұрын
Madogo GB zangu zina wahusu kbs akili zenu mnazitumia vzr sana
@yohanakateko2 ай бұрын
Mko vizuri wanangu nakubali wanao wapinga hawajuhi tu hawataki kutanua ubongo wao
@teshapriscus21103 ай бұрын
Kwakweli watu wetu wanahitaji kuelimishwa sana,safi sana.
@rutibiggodian916Ай бұрын
you guys, ni kweli kabisa, watu wameweka uelewa chini wakakamata dini, shida ni kwamba kuwatoa kwenye ilo shimo ni kaz ila mda utafanikisha
@designdesign44263 ай бұрын
Big up ili mueleweke uyo msikilizaji awe na IQ,,,,sema toeni somo mara nyingi
@amosmasele13982 күн бұрын
Tangu nianze kiwasikiliza,,,nalala gizani
@MsalikaBilaly3 күн бұрын
Ila ipo siku mtakuja jua tu
@embmacrofinance2695Ай бұрын
Sahihi sana...maisha yanahitaji tahadhari ndo hapo watu tunapuuzia.na hakuna changamoto kwa dunia hiii.
@AbdullaSeifKhamis-se9sc2 күн бұрын
Sheria za ulimwengu Amezitunga nan
@bakorapremiumtv25602 күн бұрын
Umeshindwa kumwamini Mungu anamuamini mbuzi. Zaburi 14:1. Mbuzi analipa bill gani?
@MajaliwaJoseph-fi2vv29 күн бұрын
Nawapenda sidhani nisemenini. rkn munakazi ya kuongoza vipofu.
@AthumanMajaliwa17 күн бұрын
Broo ni wachache wanaojuahayo unenayo
@IssaPara-bt9hg2 күн бұрын
Duu nyie ni shida huyu jamaa mbish hatr
@Abeidjuma124119 күн бұрын
Yaani mimi natamani tuungane nipige spana hii sheria za ulimwengu kitu chamaana sana
@AbelnegoPhilimon3 күн бұрын
"MUNGU KAWAPA SHERIA" Mungu gani huyo?
@nicasnerey99332 күн бұрын
Mawasiliano plz
@saidbakari24083 ай бұрын
Nimechelewa lakini nimefika madini haya hayawezi nipita kindezi ivoooo aseee
@benjo_brighter3 ай бұрын
Nawakubali 🙌🙌🙌🔥🔥🔥
@denismasao52010 күн бұрын
Mahali unajikanyaga unataja maiti halafu sehemu ingine unasema hamna kifo
@JoshuajastinMartin3 ай бұрын
Big up ukweli utajulikana2
@mathewlive773 ай бұрын
Nakubal.. najifunza alafu nacheka sana mana kuna vitu mnaongea fact had inabd nicheke
@omanbarka15883 ай бұрын
Nimewapenda bule
@odhiaodhia98983 ай бұрын
Kwa somo la leo hakuna wa kujibu
@MajiTakaMaji3 ай бұрын
Anasema wanyama walikuepo kabla ya watu. Swali linakuja nani aliekuwa anapanga mda huu wa wanyama kuwepo duniani na mda huu wa kuwaleta watu duniani?
@DjFae.b2553 ай бұрын
Nyie ni atar sana🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@sureboyofficial64733 ай бұрын
SIO HATARI NI SALAMA , HAO NDIO WANAJARIBU KUWATOA WATU KWENYE HATARI YA KUFA AKILI ZAO
@omanbarka15883 ай бұрын
Napenda kuwasikoliza hawa
@SaluMaige-sc8bm3 ай бұрын
Shikamoni nyingi sana
@SaraphinaKidoti-qe7gi3 ай бұрын
Maskini wote wa nadini mbn mm maskini na siamin km Kuna mungu
@SaluMaige-sc8bm3 ай бұрын
Umeambiwa uelewa duni ndo chanzo cha mateso
@NuratAlly-j1yАй бұрын
Wameangalia Asilimia % wamepiga hesabu za asilimia sio mmoja mmoja
@SimonZephania-ff9lw3 ай бұрын
Mahana ya snake master shadow
@yasirsaid8464Күн бұрын
ALLAH ndiye aliyeumba mbigu saba na ardhi saba na nyie pia mmeumbwa na ALLAH. na ALLAH ameumba kila kitu pia nyie mmeumbwa na ALLAH na mmepewa pumzi ya bure na ALLAH hamlipii hata senti,ALLAH Ndiye anayewalisha,anayewavisha na kila kitu hivyo acheni kibri na kupotosha watu.. na bado mna nafasi ya kurudi kwa ALLAH mkaomba msamaha na ALLAH atawasamehe kwani yeye ni mwingi wa msamaha na Mwingi wa huruma... chukueni hatua leo.
@seifmohammed91673 ай бұрын
Nyie bado watoto sana maisha hamja yajua wapo walio kuwa wakubwa zaidi yako
@PatrickJulius-uy3yb3 ай бұрын
Kabisa bratha atakae bisha unacho sema ni mfu anaetembea. Hayuko huru ki fikra
@bakorapremiumtv25602 күн бұрын
Zaburi 14:1
@NgaizaKimbeNgaizakimbe3 ай бұрын
Toka Nimeanz Kuwafatilia Nimekuwa Napata Majibu Ya Maswali Yangu..🙏🙏WACHOKONOZI..
@baltazarmauki8143 ай бұрын
Ndg zanguni mna madini ya maisha ya fikira pevu Hongereni nawakubali sana naomba number ya simu niwasapoti
@iamdisciple_tz3 ай бұрын
Naitaji kujua izo sheria55
@husnakalumba25789 күн бұрын
Nyie mnakosoa tu fundisheni bc njia sahihi ni ipi na nn huo uelewa wa ulimwengu unafundishwa wapi
@JohnSamwelMakolo2 ай бұрын
Hawa jamaa wana kitu, wanatakiwa kusikilizwa
@IbrahimTabu-qh9ilАй бұрын
Mimi pia nimmoja wao.
@OmegaThreads3 ай бұрын
Nahitaji kujua ni vitabu Gani umeviandika?...
@omaiyakitto3 ай бұрын
Piga Spana Hadi waelewe.
@PAULOWILLIAMJOSEPH2 ай бұрын
Ninaomba darasa la Sheria za ulimwengu
@ErnestKosima3 ай бұрын
Tufunze hizo shelia 55bac
@Abduly-r1j8 күн бұрын
Nikuulize swali, kwani kwauwelewawako, binadam anatokana nanii? Au nimadinigani yalio badilika kuwa mwanabam
@MajiTakaMaji3 ай бұрын
Kwenye maongezi yenu hapa duniani walikuepo wanyama kabla ya watu, swali langu ni nani aliepangilia watangulie wanyama then watu tuje mwisho?
@godfreymsemwa3 ай бұрын
Mimi binafsi nawaelewa sana labda wajinga flan ambao hawana akili kaz kupinga
@ObanoJulius2 ай бұрын
Yan mnaongea pointi san mkaka nimependa kwel wanao sali wote wako kam mazuzu
@JosephBalebanga23 күн бұрын
Wewe ulimwengu umetoka wapi?
@sureboyofficial64733 ай бұрын
WANADINI NI WEHU , TENA MAZUZU KAMA MASANAMU AU WATOTO HAWAHOJI WALA KUJIULIZA ,KAZI KUPOKEA TU , AMEEEEEEEEEH😂😂
@seifmohammed91673 ай бұрын
Mmechanganyikiwa Mungu amejitosheleza FreeMason maana imani huru wewe bado hayajakuluta Na wala mwadamu hujimiliki
@richardcastromzena513618 күн бұрын
Nimekumbuka movie ya snake in the monkeys shadow
@angelousfrank69453 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤
@sagengejackson36233 ай бұрын
Wachokonozi nawakubali
@piusdeo93803 ай бұрын
Hizi mi kila ikitoka nadownload kabisa
@sureboyofficial64733 ай бұрын
Ni kushare pia ili wapone watu
@AbdullaSeifKhamis-se9sc2 күн бұрын
Kama ww ni msomi tuambie Hizi Herufi A B C D Mpaka Z asili yake zimetoka wap.
@Kakajambazitv..3 ай бұрын
Seen by me
@eksielo3 ай бұрын
Kikubwa ni uelewa tu wataelewa tu wapelekeni taratibu tu
@lothanathanael22862 ай бұрын
Una.majumba mangapi una magari mangapi una pesa kiasi gani maana unasema masikini wengi ni watu wenye dini.
@seifmohammed91673 ай бұрын
Wapo walio jidanganya kama nyinyi Farau alikuwa mwamba Na alikwama
@leonardchoma376516 күн бұрын
Acha kuamini story za vitabu vilivyotoka kwa Wazungu waliowatesa kikatili Babu zetu.
@hakimundabila79405 күн бұрын
Farau mlionana wapi zaidi ya kutajwa na wazungu kwenye vitabu vyao ili kutupumbaza
@Michaelmagembe-i2r3 ай бұрын
Pumpavu kabisa
@mgosimkulu6613 күн бұрын
SIYO KWELI,MBONA BAKHRESA ANA DINI NI TAJIRI WA KUTUPA,MO DEWJI ANA DINI NI TAJIRI WA KUTUPA,DANGOTE ANA DINI NI TAJIRI WA KUTUPA,WAARABU WANADINI ZAIDI NA WENGI NI MATAJIRI WA KUTUPA SASA WEWE UNAEKANDIA IMANI ZA WATU NA DINI ZAO MBONA UNAONEKANA NI FUKARA TU😊
@mwansasungafumbwa91169 күн бұрын
Tofautisha huyu ana Akili za kusaidia kuwakomboa mateka ko sio lazima kuwa na hela na umri wake bado upo ktk kutafuta ko atapata
@chakupewaonlinetv70458 күн бұрын
KWANI IDADI YA WENYE ELA NIKUBWA KAMA YA WASIO NACHO?