No video

KATIKA NJOZI YAKO UKIOTA NDOTO YA MBUZI | JIBASHIRIE MAZURI HAYA | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

  Рет қаралды 24,350

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

KATIKA NJOZI YAKO UKIOTA NDOTO YA MBUZI | JIBASHIRIE MAZURI HAYA | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN
#MasjidMtoroTv #NjoziNamaanaZake #NyumbaYatibaNadua

Пікірлер: 33
@aal8041
@aal8041 Жыл бұрын
Asalaam aleykum shekhe wetu asante sana kwa kutuelimisha mimi niko Oman lakini napenda sana kila napo ota kitu chcht nakutafuta you tube allha akujaliye
@Roze-so4he
@Roze-so4he 13 күн бұрын
Asante
@TwahirKhamis
@TwahirKhamis Ай бұрын
Sheikh mm nimeota mbuzi watatu wadogo lakini ni wazur sana wanamanyoya ya ndege tausi sehem Yao ya mgongo inameremeta nisaidie sheikh hii inamaana gani
@husnajuma6249
@husnajuma6249 3 жыл бұрын
Asante shekhe kwa mafunzo
@victoriafabian583
@victoriafabian583 2 жыл бұрын
S,aleikum nimeota mbuzi wawili mmoja anataka kuondoka na mwingine kachunjwa akiwa mzimaanataka kunifuata lkn hakunifikia
@nusratbintabdullah5713
@nusratbintabdullah5713 2 жыл бұрын
Thanks sheikh
@buhitexmohamed4785
@buhitexmohamed4785 Жыл бұрын
Na shukuru kwa mafunzo
@awadhiabood8028
@awadhiabood8028 2 жыл бұрын
ASA ALYKHUM mimi nimeota nimekwenda kwa jiran nimkuta ana chinjwa alaf ghfla kajiunga kichwa anataka awe rafiki yang alaf nikalala hapo hpo chini akataka kulala na mm
@Arid-px3ub
@Arid-px3ub 6 күн бұрын
Salaamu nimeota ndoto nikodani na mumewangu tunakula chakula ilanikakumbuka mumewangu ameingiadani amefunga mulangoama nivipi nikaendakuangalia ilikamahaiafunga mulangonifunge nikapatahajafunga kuangalianikashika mulangonikajaribu kufunguwa kindongo nikaufunga sailenaufunga nikasikiamulango niuzito kuangalianika onambuzi akaingiadani mbiyooo nikamukakatika ndoto mbuzianamapembe marefu machoyake mekundu mbuzimweuzi jamani nimeshituka nikashidwa kupingakelele
@jenniferjiveri1333
@jenniferjiveri1333 2 жыл бұрын
Mimi nimeota nilikuwa kanisani kisha nikaondoka kbla ibaada haijanza nikajiona nachinja kondoo ikamwaga damuu nyingi sana
@atugonzalugemalila5142
@atugonzalugemalila5142 Жыл бұрын
Nimeota nimelala nimembatia mbuzi mweusi na mke wangu yuko nyuma yangu kanisukuma nimkumbatie hiyo mbuzi huku mm nikipigana kumuachia
@tumaininzunda7206
@tumaininzunda7206 2 жыл бұрын
Huwa nakuelewa nakukufuatilia sana
@binhusain9983
@binhusain9983 3 жыл бұрын
Maalim.ukiwaa umeota usingizi njiwa mweupee amekunyiaa kichwani pamoja na mgongoni inamaaana gani.?
@mwigaali1942
@mwigaali1942 2 жыл бұрын
Hebu jikaze ww hii dini ni dini yaukakamavu sio legelege ja uboo wa msenge
@mbwananongwa4415
@mbwananongwa4415 6 ай бұрын
Mm nimeota nafukuzwa na mbuzi
@masurinewambura247
@masurinewambura247 Жыл бұрын
Nimeota nalima kisha mwanamke mganga akaja kunifanyia tambiko na akanipa mbuzi kumchinja naomba unipe tafsiri
@khamisfoum4519
@khamisfoum4519 3 жыл бұрын
Mm nimeota nimeona mbuzi wengi wako mafungu washachinjwa mm nilipita tu na watu hawapiti mm nilipta watu walishangaa wote
@anliomar2534
@anliomar2534 2 жыл бұрын
Asalamu alaykum shekhe wangu
@abilahirufai8269
@abilahirufai8269 3 жыл бұрын
Ukiota ndoto ya nyoka wa kijan. Cku za nyuma nilimkata mkia na akapotea miez miwili,baadae ajaja Tena na kuanza kufokaa
@theworldnatureandculture5354
@theworldnatureandculture5354 Жыл бұрын
Kuota mbuzi wengi wanachunga kuna maana gani?
@farhanialfarsi1983
@farhanialfarsi1983 2 жыл бұрын
Nimeota mbuzi yupo kitandani kwangu
@swalehmwalim244
@swalehmwalim244 3 жыл бұрын
Mnatumia kauli yakubashilia kati katafsili mbaya kamaizo
@muanasaselemaneselemane6614
@muanasaselemaneselemane6614 2 жыл бұрын
Je kama mume kaota mkewe akimfukuza mbuzi ndani ya nyumba
@NgobolaKyabi
@NgobolaKyabi 6 ай бұрын
Mimi naota mbuzi wakikimbizana
@rahmasaid5086
@rahmasaid5086 2 жыл бұрын
Nimeota Mbuzi amejifungua mapacha maana yake nn
@winnieboss9745
@winnieboss9745 3 жыл бұрын
Jee Ukiota kama umekanyaga maviyabuzi nini maana yake ?
@allykiza8336
@allykiza8336 3 жыл бұрын
Je ukiota mavi ya mbuzi maana yake nini?
@sakinahsuleiman2493
@sakinahsuleiman2493 6 ай бұрын
Nmeota nachunga mbuzi wengi na kondoo pia
@RajabuGota-yr9og
@RajabuGota-yr9og Жыл бұрын
Nimeota nachinja mbuzi jana usiku shekhe nini maana yake
@haithamhassan4139
@haithamhassan4139 2 жыл бұрын
Je kuota kondoo nini maana yake
@kidotitv5527
@kidotitv5527 3 жыл бұрын
Mm nimeota mbuzi anapaaa baadae akarud na mtoto mkonon bado anapaaa nini maana yke nisaidie shekh
@jastinmwita3571
@jastinmwita3571 2 жыл бұрын
Je ukiota kondoo anapaa angani arafu akashukia kwako na ukamdaka au
@theworldnatureandculture5354
@theworldnatureandculture5354 Жыл бұрын
Kuota mbuzi wengi wanachunga kuna maana gani?
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 2,1 МЛН
Gli occhiali da sole non mi hanno coperto! 😎
00:13
Senza Limiti
Рет қаралды 22 МЛН
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 21 МЛН
UKIOTA UNACHINJA MNYAMA  JIANDAE NA HAYA YAFUATAYO  //SHEIKH ABUU JADAWI
12:32
NGUO NAYO INALONGWA (USITUPE NGUO HOVYO)
7:25
KR TV255
Рет қаралды 116
"TAFSIRI YA NDOTO YA NG'OMBE KIBIBLIA|KKKT KARIAKOO|Mch Joash Aila.
44:40
UKIDUMU NA ADHKARI HIZI UTAISHI KIFALME DUNIANI NA AKHERA || SHEIKH OTHMAN MICHAEL
30:41
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17
MTAVASSY TV TANZANIA
Рет қаралды 42 М.
مسبح السرير #قصير
00:19
سكتشات وحركات
Рет қаралды 2,1 МЛН