Mm nimefuliliza na pa.nda gar na kuota matunda unaimanisha nn
@HawaMohamed-g7c3 ай бұрын
Maashaalahu ❤
@VeroPoul28 күн бұрын
Mimi nimeota nimepewa zawadi ya gari
@MuasitiAboBakri-ew5mu3 ай бұрын
Mashaallah
@nyumbayatibanadua7373 ай бұрын
@@MuasitiAboBakri-ew5mu Tabaaraka llaah,
@saidizuberiissa72863 ай бұрын
Naam maalim
@nyumbayatibanadua7373 ай бұрын
@@saidizuberiissa7286 Naam akhuy
@RosemaryDaudi-f8z2 ай бұрын
Nimeota ninununua magar mawili aina ya mabasi je inamaana gani
@HawaShijaАй бұрын
Maalim Mimi nimeotw magari mengi makubwa lakini yakizamani namoja wapo tumepanda gari tupo watu wawili watatu tumo tumepanda nyuma yaani magari kama ya mizingo yalivyo
@RashidKidungwe2 ай бұрын
Nimeota napaka mafuta na mafutayale napewa na mwanamke
@madihaabeid50793 ай бұрын
Maalim nimeota gari laja kwa kasi sana niliponifikia karibu kama kutaka kunigonga nikapiga kelele ndio nikashtuka usingizini maana yake nini
@FaridaKessy2 ай бұрын
Jmn mbn m ata sielew
@elvisokondo3574Ай бұрын
Nimeota nashuka kutoka Kwa basi lenye abiria nikaelekea Kwa mazishi ya msichana tulisoma naye,,,,je hii njozi tafsiri yake ni ipi??