Jazakallau kheiri Allah akuzidishiye hekma namaarifa akustiri akupe aman akupe mwisho mwema inshallah 🤲
@swabrinaabubakarmohamed727 Жыл бұрын
MashaAllah may Allah give you the highest rank in paradise
@afric013 жыл бұрын
Aslm alkm ww.... Wallahi Sheikh Othman ni mambo ya kuskitisha. Mombasa kuna kanisa flani waislam wamehamia huko, tunaelekea wapi????? Allah atulinde. Allah akujazi kheir Kwa kuyazungumzia hayo. Shukran sana Sheikh wetu kipenzi chetu doctor 💊 wetu. Allah atulinde.
@ummuhkhalfan55423 жыл бұрын
Alafu me nnachokiona katk waislam wanaoenda makanisani et kisa wana matatizo ni wale ambao hawajaisoma dini yao wakaielewa wallah alieisoma dini yake hata kama ni kidogo kisha akaielewa Kule haendi ila kama kasoma kama kasuku tu afute aende kwingine au hajasoma kbsa uislam wake anakwambia wee me sijasoma ila hunidanganyi sasa hii dini co sijasoma ila hunidanganyi hapa ni usome na ujidhatiti ktk dini ndo utaona ladha yake
@aishamohammed35473 жыл бұрын
@@ummuhkhalfan5542 ni dunia imewavaa ila ckua hawakusoma .kunamtu yuajiita mujaj nimsomi na ni alhaji.nayeye aliretadi😭
@nyawendacyprian81748 ай бұрын
SHEKHE hayo mafuta yanauzwa shilingi ngapi??
@NuruZebedayombise-ie5zb7 ай бұрын
Waache bwana kila mtu ana ambana kwa nnjia yake ili awe sawa jamani ndini aina shida kikumbwa imani na unacho kiomba
@GdhDhg-w5sАй бұрын
umesema kweli@@ummuhkhalfan5542
@MimahYaseen7 ай бұрын
Tunshkur ostadh kw mafunzo yako mola akufanyie wepec kila hitaji la moyo wako...allah akuweke amini
@abdillahomary20333 ай бұрын
Allah akulipe kheri duniani na akhera
@mkmwayama45342 жыл бұрын
MashAllah...Mwenyezi Mungu akujalie katika kila jambo lako la kheri
@mussakatoro80797 ай бұрын
Maashaallah, Sheikh tunaomba vipimo ya kila mafuta
@HajmazoyaZoya Жыл бұрын
Tuna shukuru Sanaa kweli shkehe wetu Allah akupe umbri mrefu uzidi kutupa somo
@kherimacksood6343 жыл бұрын
Mashallah shukran jazeerah .ALLAH AKULIPE AKUJAALIE JANNATUL FIRDAUS NA AKUJAALIE MAISHA MAREFU SANA YENYE AFYA TELE
Asalam Alaykum warahmatullah wabarakatuh. Shekh shukran Sana Kwa msaada wako. Mm ni kijana kutoka Kenya licha ya kua nimepata dhaawa zako kwa kuchelewa lakin uaga zaniguaa Sana. Nami naomba msaada kutoka kwako insha'Allah na mungu akubariki insha'Allah
@DulaYanga8 ай бұрын
MashaAllah Allah akulipe kwa wema wako hapa dunian na kesho akhera🤲🤲🤲
@angle36002 жыл бұрын
Jazaka allahu kheir sheik outhman kwa elimu yako
@SophiaMbogo-in7yt6 ай бұрын
Shukuran jazaka Allah khairan Allah akuhifadh akujalie kher duniani na akhera
@AbdullahiWario-l7n Жыл бұрын
Assalamualaikum warahmatulahi wabarakatu Shee Wangu inachemshuwa au bada ya kuchanganya inatosha. Shukran Kwa darsa hii muhimu
@mamutsetse1848 Жыл бұрын
Masha's Allah mola akuzishie yarab uzidi kutuelimisha.
@suheilahsuheilah49683 жыл бұрын
Mashaallah tabaraka Allah Allah akulipe kila la kher
Ninahisi kupenda na kuyafuatilia zaidi kwnye mawaidha yake.mwezi uliopita ijumaa alikuwa msikiti wa Lindi,nilitamani wasaa uende Ila ndio hvyo muda wa swala ulikuwa umewadia. Allah akutangulie katika kila lenye kheri
@MudhyRamadhani6 ай бұрын
Jazakallahu khayra
@KireziAisha Жыл бұрын
Jazzakallahu khaira
@aminarahma2659 Жыл бұрын
MASHAALLAH Allah akulipe badala
@maryamissa17012 жыл бұрын
Jazaka Allahu khery ya shekh
@anisasalim79052 жыл бұрын
ALLAHUMMA AMIN Mashaallah shukran wa jazaka ALLAH Kheir AMIN
@agnesimchicha4499 Жыл бұрын
Namshukulu sana she mungu akulinde hivi vitu ndio vinasumbua watu nimeandika naenda kizitafuta
@Tiktok_lyric1 Жыл бұрын
Masha Allah may almighty Allah protect us,
@amenaallahawazidishieumrin62353 жыл бұрын
Shukuran jazakka Allah kheiran Allah akubarikie Sana kwa kutufunza dawa hii adwim Mola akuhifadh na akulinde na kila shary
@kichepuko Жыл бұрын
Mashalla mungu akuzidishie shekh
@mercyngo11542 жыл бұрын
Assalam alaikum wa rahmatullah wa barakatuh ndugu wa Islam
@zainabuabdi8549 Жыл бұрын
Jazakalahu kher
@mwanamisihamisi538610 ай бұрын
MashaAllah
@bellbell92943 жыл бұрын
Maashaallah shukraan Sana sheikh wetu Allah akuhifadhi jazaka Allah khaira
Shukran shekh, Allah akulipe kila lenye kher na azidi kukupa umri
@azzocirty3063 жыл бұрын
AMEEN
@abdykihiyo33593 жыл бұрын
Shukran kwa darsa zuri
@VincentMlugu Жыл бұрын
Asante kwa mafunzo
@UwinezaBorah-lz3lo2 ай бұрын
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@halimayusuf16163 жыл бұрын
Jazaka llah kheyr. Bei gani kichupa kimmoja
@BENARDMWITI-qt5su8 ай бұрын
Hello Sheik Othman Michael,my name is Ismail from Kenya,,nathani kwamba unaweza kunielekeza vle ntapata haya haya mafuta matakatifu hapa kwetu Kenya InshaAllah Ustadh
@bintmohamed12484 ай бұрын
Haya mafuta wapata markiti if uko mombasa kuna maduka ya kuuza dawa za kisunah. If Nairobi jaribu maduka ya wasomali
Assalaam aleykum natumai hamujambo nyote inshaaAllah nilikuwa naomba tafadhali sheikh uthman kama utaweza kunitengezea hayo mafuta ya kuchanganya kisha unipe idadi ya pesa ya gharama ya hiyo dawa mm niko Kenya kisha unitumie nami nikutumie pesa zako
@minzashaibu84693 жыл бұрын
Alhamdulilah 🙏
@shanirose19562 жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH tabaraka ALLAH
@ashafujo35063 жыл бұрын
Mashallah shukuran
@moosaaltoby8354 Жыл бұрын
Al hamdu lilah sh nashukuru nime pata faida kubwa sana kwangu na haya mafuta na mimi pia nime is an towa sadaka kwa watu barka allah ffiki