No video

MASOUD KIPANYA AVUNJA UKIMYA MBELE YA WAZIRI JAFO "MNATOA WAPI HIZO PESA"...

  Рет қаралды 36,969

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

#JAMBOTV
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►KZbin: / @jambotv908
►INSTAGRAM: / jambotv
►TWITTER: / jambotv_
►FACEBOOK: / jambotv
►WEBSITE: jambo.tz/

Пікірлер: 73
@eliudurassa8996
@eliudurassa8996 22 күн бұрын
Masoud Mungu akupe maisha marefu na uendelee kushirikiana na vijana kuwaamsha na hii serikali inayojiita sikivu ibadilike
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840
@zakariapaulowiliamuwiliamu1840 23 күн бұрын
Kaka masud umezungumza vizur sana kwa uzalendo kabisa "TUZALISHE VYAKWETU"
@mrglobalnyangejr3379
@mrglobalnyangejr3379 Ай бұрын
Ilo ni jambo kubwa sana start up hapa Tanzania ni big challenge sana
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Ай бұрын
Ukiangalia sheria zetu it's like they discourage self-employment of any sort. Matokeo yake ikitangazwa nafasi ya kazi 1 wanakuja watu 200 kuomba,hakuna ajira mpya zinazotengenezwa na sekta binafsi. Wazalishaji wadogo walitakiwa kuwezeshwa sana ili kuisaidia serikali kuzalisha ajira.
@homeboybeyondtheborders4935
@homeboybeyondtheborders4935 9 күн бұрын
Kipanya so artist very creative 😂
@michaelmlyuka6032
@michaelmlyuka6032 Ай бұрын
Good presentation Masoud
@JuliusMlengeswa
@JuliusMlengeswa Ай бұрын
Tunaiita Dar kuwa ndiko Tanzania huku mikoani ni Tanganyika! Wanafanya wanachokitaka. Kwa mfano Manispaa inataka kujenga soko , inakupa eneo unajenga banda kwa sh Million 5 mpaka 40! Unaambiwa uendeshe biashara kwa kulipa elfu 25 kwa miaka 6 na baada ya hapo miliki inaamishiwa kwa Manispaa, ambaye sasa ataweza kukupangisha au kumpangisha yeyote. Wafikirieni wananchi. Manispaa zisitumie ardhi kuwanyanyasa wananchi
@hassannjiku
@hassannjiku Ай бұрын
Uwasilishwaji bora ila c Dhani kama utafanyiwa kaz 😢ila mmetuwakilisha vyema wachangiaji wote 🎉🎉
@selemanmussa3459
@selemanmussa3459 Ай бұрын
Ukweli ambao hamuwezi kuukubali ni kwamba 'Industrial Revolution' ni mkakati wa siri wa nchi husika. Nchi zote zenye viwanda hawakuamka asubuhi tu wakaanzisha viwanda. Unaomba msaada ukajenge kiwanda wakati masharti ya mkopo hayaruhusu? maybe someone, some day will change the mindset...mtafanya sana mikutano na maombi ila tusipokaa kama taifa na kuanzisha viwanda ambavyo kwanza ni primary producers wa mahitaji ya viwanda vikubwa tutaishia kusafirisha malighafi nche ya nchi. Sera ya viwanda na uchumi haikushirikisha mawazo ya watu wenye entrepreneurship skills, ni watu walikopi au kukaa ndani wakajifungia. hatutazalisha hata nchumvi ya mawe...
@salumjabir813
@salumjabir813 Ай бұрын
@@selemanmussa3459 kaka embu nitumie ht no yko...tubalishane mawazo...well said
@paulremigiuspaul3293
@paulremigiuspaul3293 Ай бұрын
Well said Mr. Masoud Kipanya
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh Ай бұрын
Masudi kipanya is very good prosser huyu anafaa kuwa waziristan wa viwanda anajua
@JuliusMlengeswa
@JuliusMlengeswa Ай бұрын
Awe Waziri? Huku atakayewasemea watu ni nani? Huku huku aliko Private sector anatoka kwa heshima
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh Ай бұрын
@@JuliusMlengeswa waziri anaonyesha njia na kuweka mipango ya kulinda viwanda akiwa huku analalamika tu hawezi kuchukua hatua weye hujui kwa sababu si mzalishaji weye ni mchuuzi nadhani
@Omarjumanne-zm9zh
@Omarjumanne-zm9zh Ай бұрын
Sisi wenye viwanda tunajua mapungufu ya vingozi juu ya uchumi waviwanda ni prosser maarum unatakiwa ifutwe ukiwa mchuuzi utapangiwa bei na wenye viwanda na nchi Haiti na fedha za kigeni mpaka wananchi ikiwa hakuna xpot input uchuni utakuwa wa kubatisha
@DennisDidas
@DennisDidas Ай бұрын
Masoud Kipanya umejieleza vizuri sana.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Ай бұрын
Hii nimeipenda wote tunakombania vipesa vya serkalini ndiyo maana tunaiba na magereza zinajaa
@maribasimon6993
@maribasimon6993 19 күн бұрын
Yes Masoud
@suysoni
@suysoni Ай бұрын
Masoud akili kubwa sana. 👏🫡
@Khamis_Waya
@Khamis_Waya Ай бұрын
Nahisi kuna kitu hakipo sawa kwenye system zetu na kikubwa ni kwamba ao walioko juuh wengi wahaelewi biashara nin nin na jinsi gani mfanya biashara anateswa na hizi kodi. Ni wakati sasa tukae na tutafakari jinsi ya kulipeleka taifa mbele. Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Ай бұрын
Masoud kipanya MUNGU akubariki ktk mapambano yako
@user-vy5kn6nz4l
@user-vy5kn6nz4l 29 күн бұрын
Masoud we2 ni noma umejuaje wanatuibia kupitia tozo za ajabu ajabu.We utakuwa Raisi wangu baada ya samia
@salumjabir813
@salumjabir813 Ай бұрын
Kwa tanzania ukitaka kufanikiwa tafuta namna ya kukwepa kodi...nazungumza kama mfanya biashara kwa uchungu...unafanya biashara na huku unalipa kodi zinazo fanana ...sevice levy at the same time TRA huo nibmfano. nchi hii ukitaka kuendelea usirasimishe biashara yako kamwe...ni vitu vya hovyo mno na serikali inajua haswa uovu unafanywa na wizara tofauti...sasa unajiuliza ni shule gani hi wanaenda kuendesha nchi kwa namna hii...kila unapojarbu kunzisha biashara ni changamoto za hovyo...jaman wa atendaji wa serikali badilikeni akili za namna gani mnatumia jamani..?
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Ай бұрын
Ni sahihi,atakayekubishia jua hajawahi kujiajiri kabisa.
@dostovan5142
@dostovan5142 27 күн бұрын
Masoud doesn't get support coz he's free, he's no puppet
@patrickKitambo
@patrickKitambo 26 күн бұрын
You're smart son
@mohdmood9726
@mohdmood9726 25 күн бұрын
Well said Masoud, msema kweli mpenzi wa Mungu.
@zabronmahenge6300
@zabronmahenge6300 Ай бұрын
Thanks
@meshackwilfred5380
@meshackwilfred5380 Ай бұрын
Kaongea vizuri kabisa Masoud atuwezi kua na free economy kwa kutegemea importation tu ifike mahala tuwe patriotic as Tanzanians
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Ай бұрын
Sasa hivi ni mwendo wa frames kila sehemu na kufuata bidhaa hafifu China.
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Huyu dada anasemea juu ya kodi eti "....sasa hivi wameanza kutujia kwa njia nyingine..", hajui kwamba ni Waziri akiwa sehemu ya Serikali ndiyo wametunga hizo sheria ambazo zinavifanya hivyo vyombo vilivyoanzishwa na serikali yenyewe "kuja kwa njia hizo nyingine" za kuhakikisha kuwa hizi SMEs zinaminywa ktk kulipa huo ushuru na kodi? Anadhani anazungumza na chombo tofauti na serikali!! Hapo ndo wenzetu majirani wameona ni siasa hivyo tuwatingishe wawajibike ktk matumizi ya kidogo kinachopatikana na siyo kumnyonya mwananchi na mlipa kodi!! Tubadilike tujue watesi wetu kuwa ni hao tuliowapa madaraka ya kutuongoza ndo wanapofika huko wanajali vya kwao posho na magari ya anasa!
@evaristcm2734
@evaristcm2734 Ай бұрын
Wananchi wanatumia akili na maarifa mengi kubuni na kuendesha biashara, badala ya kusaidia hawa wenzetu wanatafuta kila njia kukusanya ili wajilipe mishahara mikubwa. Siku za nyuma magari mengi yalikuwa ya serikali (ST), sasahivi magari mengi ya kifahari mitaani ni ya watu binafsi wengi wao wafanya kazi serikalini.
@prospervedasto4366
@prospervedasto4366 24 күн бұрын
Big up KP
@MsumalAloyce
@MsumalAloyce Ай бұрын
Masoud wow ,excerent
@farajaMezza-qn4be
@farajaMezza-qn4be Ай бұрын
Anaongea point halafu watu wanapitapita kupoteza concentration inaboa kinyamaa
@SAMA-jw4fr
@SAMA-jw4fr 25 күн бұрын
Tatizo la Mama anawapa uwaziri watu sio hawana Vision sio lazima mtu awe ccm huo ni ujinga tunataka mtu mwenye vision kama Masoud huo mduara wa kupata lesen ya biashara it’s too much unalipia nusu na robo ya msingi wako wa biashara kabla ya kupata lesen .Mama Samia Leta watu Dubai waje wasome vipi Serikali zao zimejipanga Katika masuala ya kodi Dubai siku moja tu au mbili unapata lesen hakuna longolongo Mama Samia una Mawaziri mizigo hebu changamka kdg unacherewa sana Dunia inakwenda kasi sana
@farajiissa560
@farajiissa560 Ай бұрын
CCM hawawez kitu wao wanasubil mikopo tu ya world bank hao hawawez wiz tatizo sasa kila kitu tabu sasa wanaweza nn
@edlumala9428
@edlumala9428 Ай бұрын
Brother, lithium batteries hazina kodi. Waziri wa fedha mwaka jana walifuta kodi, soma budget ya wizara wa fedha mwaka jana.
@erardmporoto2660
@erardmporoto2660 Ай бұрын
Wakenya Wana msemo wao "...things kwa ground ni different"
@deohank5995
@deohank5995 Ай бұрын
Kipanya Hongera sana
@DominickTemba
@DominickTemba 25 күн бұрын
Kweli kabisa masoud uchumi haukuzwi kwa kununua vitu nje bali kwa kuuza nje.
@jumasawa9159
@jumasawa9159 Ай бұрын
Daaah ni wakati wa serikali kusuport hizi small industries ili waweze kuzalisha zaidi then walipe kodi sio unaanza tu mikodi mixer tozo kibao kwakweli inaumiza sana asee
@carlosmzena548
@carlosmzena548 23 күн бұрын
After 60 years bado tunajadili mambo madogo Najiuliza tu Hawa mawaziri waliopita walifanya Nini
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj Ай бұрын
Bright mind Bw KP
@beinafuu6219
@beinafuu6219 Ай бұрын
Kwan haliyekuwepo kafanya nini mpaka ndo mje kumpa huyu hayo yote jaman
@1961nungwi
@1961nungwi Ай бұрын
Na kwa kweli si policy peke yake. Pia inatakiwa budget maalum ya Serikali ku saidia start ups. Zisukumwe na Serikali. Ndio Nchi nyingine zinefanya hivyo
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 Ай бұрын
Hii point ya kama hauna kitu cha kuuza nje lazima uwe mchuuzi na kuangalia kuibiana nyinyi kwa nyinyi
@amohammed3390
@amohammed3390 23 күн бұрын
Mtafute I Mchina awekeze kutengeneza batteries
@muddymassah8998
@muddymassah8998 24 күн бұрын
Sawa
@gibrilmongi5646
@gibrilmongi5646 Ай бұрын
Aaahha Wacha tulime TU ,
@hajjiomary2383
@hajjiomary2383 29 күн бұрын
Ndomana mwaijaku alimuomba radhi
@dostovan5142
@dostovan5142 27 күн бұрын
The problem with Tanzania is the system led by an old Constitution
@KilonzoGodson
@KilonzoGodson Ай бұрын
Tatizo ni mama muongeaji baadanya Masudi Amejikita kwa wanawake tu sijui hii dhana wa wanawake kijibagua kwa ila kitu inatoka wapi" Kila kitu mwanamke mwanamke Masud kaongea hajasema wanaume hata sentens moja lakini mama kaingia kutetea wanawake 'basi wangeandaa mkutano wa wanawake . Kweli hii haipendezi kabisa wote hapo ni wazalishashi hakuna jinsia 'kodi"tozo wala soko la wanawake pekee.
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk Ай бұрын
Ameniboa sana yule Mama,wao kila sehemu wanaleta siasa za jinsia tu hadi kero. Kipanya anazungumzia nafuu kwa wote yeye anakazana wakina Mama hivi wakina Mama vile,hovyo kabisa.
@user-xg6fx4jm3h
@user-xg6fx4jm3h Ай бұрын
Kiukweli kama kutakuwa na dirisha moja la ulipaji kodi wengi wataipa serikali kodi tena bila shaka maana mm ata kama nina kigari changu nikaambiwa kodi yangu ni 100000 mwaka mzima apo kila mtu kashajikatia chake kuna shida gani sisumbuliwi ila ao wanaopenda kuyafanya mambo yanakuwa magumu ili kujipatia rushwa wanakera
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward Ай бұрын
Ukweli upo kwenye ushindani sisi na majira Zetu. Tz angalia vitu kama chunvi, sabuni. Kenya kwa kiasi kikubwa kwa soko letu. Angalieni malighafi bei zake. Ni kikwazo chetu.
@Kombs-cr2mj
@Kombs-cr2mj Ай бұрын
Mama entango see u back there😅
@TwalibuKimaro-th5mv
@TwalibuKimaro-th5mv Ай бұрын
Tulipa Kodi mpaka kwenye umeme Sasa hivi ukinunua Kwa mwezi unakatwa 4500
@farajiissa560
@farajiissa560 Ай бұрын
CCM hawawez kuendesha kitu hawa sio kila viwanda vilivyokua nchin wameviua wao wanasubili wapewe mikopo na kuendesha magar ya mikopo tu
@sonnyr1899
@sonnyr1899 Ай бұрын
Sasa towa mawazo yako nani anaye weza?
@farajiissa560
@farajiissa560 Ай бұрын
@@sonnyr1899 mifumo ibadilishwe na tujitegemeee tuwe na chetu wananchi ndo wanauongoz
@katabaroonlinetv9688
@katabaroonlinetv9688 Ай бұрын
Alafu chawa anakuja kuchafua brand maana chawa angepewa nafasi hapo angeanza umepoa sijui ghorofa bilioni moja ushuzi mtupu
@prince.eric_msemwa9732
@prince.eric_msemwa9732 Ай бұрын
Kwa nn zote hizo 13..na kwa nn wapate shid ya kulipa kiasi icho
@rodsconehenry4249
@rodsconehenry4249 Ай бұрын
Ndo na sukari wanaagiza nje corona ikitokea sijui itakuaje
@FamilyVideos-pt1mo
@FamilyVideos-pt1mo Ай бұрын
Viongozi waweke hela zao hadharani tujuwe
@geofreychitamu366
@geofreychitamu366 Ай бұрын
Tuone kama kuna jipya,,,
@generosennko8343
@generosennko8343 Ай бұрын
Mazingira ya tozo kuwa nyingi inakatisha tamaa kwa wafanya biashara. Kampuni zimegeuka kuwa milking cows. Wananchi hawawezi kutoboa
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko Ай бұрын
Eti kuna wasomi Tz heee kweli yangu macho kuiba safiii
@patrickKitambo
@patrickKitambo 26 күн бұрын
Shati kama hiyo ya masoud napate?
@liannsambu7264
@liannsambu7264 Ай бұрын
Hakika Tz NZIMA ni MACHINGA WA NCHI ZINGINE HASA ZA UTURUKI ,NA CHINA MPAKA MABILIONEA NAO NI MACHINGA NCHI NZIMA AAAA HAKIKA TUNATAKA KWENDA KWENYE VIWANDAAAAA SIYO KUWA MACHINGA NCHI NZIMA AIBU
@Mckiatu
@Mckiatu Ай бұрын
Wekeni kiwango kimoja.mfanyabiasha aambiwe ukitaka kufanya biashara fulani.utalipa sh kadhaa kwa mwaka. Sio kodi kila kona. Mbaya zaidi mnatoza kodi kwenye mauzo ya jumla badala ya faida. Yaani mtu hujaanza biashara unatakiwa ulipe kwanza kodi.
@allyshaban406
@allyshaban406 Ай бұрын
Wanachofahamu ni kodi tuu,
@festokemibala5832
@festokemibala5832 Ай бұрын
Hiyo ndo serikali yetu wanapeleka miswada bungeni na wabunge kwa maagizo ya ccm wanapitisha kisha mwananchi anaanza kulia!! Kesho hao hao wanarudi kuomba kura ili wawndeleze sera za kuminyana kutukamua ili kufadhiri maisha yao huko juu!
Salama Na Masoud Kipanya
52:05
YahStoneTown
Рет қаралды 18 М.
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН
Happy birthday to you by Tsuriki Show
00:12
Tsuriki Show
Рет қаралды 11 МЛН
UNASEMAJE WEWE ? TRA HAWAJUI HESABU, NJOO HAPA USEME VIZURI
10:56
The Giant sleep in the town 👹🛏️🏡
00:24
Construction Site
Рет қаралды 20 МЛН