MATHNA{UKEWENZA}SEHEMU YA PILI

  Рет қаралды 31,541

BIN MAHSEN FILM

BIN MAHSEN FILM

Күн бұрын

daresalam #bongomuves #clamvevo #cloudsmedia A#diamondplatnumz #diamondplatnumz #azamm #azamsportsfederationcup #bujumbura #wasafifestival2023 #coastalunion #swahiliflix #mombasa #tanga#wasanii #zanzibar #zanzibarbeach #filamu#qatar #nairobi #kenyanews #kenyanews #kigali #millardayo #kitengetv #nungwi #pembangunan #mombasa #baikokodance#lindiyetutv #tangatv#zamaraditv #sinemazetu #zuchu #entebbe #mlimanicity kilimanjaro#mombasa #mombasakenya #daresalam #tanga #kilimanjaro #zanzibar #zanzibarbeach #nungwi #nungwibeach #pangani#zamaraditv #millardayo #kenyatiktok #mombasaraha #uganda #swahiliflix #kisumucity #nairobicitycenter #qatar #saudiarabia #gazaunderattack #sinemazetu #africa #zambia #kingsmusic #facebook #instagram #comedy #ripotiyaleo#startimesch468#simbasportsclub #yangasc #baikoko#swahiliflix #bongo #qatar #africa #zikomu#diamondplatnumz#kenyanews #ugandanmovies #kenyanmovies #congomovie#swahiliflix #bravotv #sanura #kichechecomedy #africa#snake boy#bravotv #zanzibarbeach #nungwibeach#kichomi #nyukiempire#swahiliflix #africa #kenyanews #europe #asia #america #mwanza #latestmovies #dontamilmovie #series #huba#kazamoyo#jotitv #udaku#umbea#uswaz#nyuki fx#nyuki empire

Пікірлер: 200
@hilalhilal222
@hilalhilal222 Ай бұрын
Team gulf njoon huku mbna nmewahi na sipewi like 😂😂💃💃💃👌👌
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Jamni pole chukua maua basi🌹🌹🌹🌹🌹
@user-qp6ge6rt6s
@user-qp6ge6rt6s Ай бұрын
❤❤❤❤
@TerezaTereza-dh4lx
@TerezaTereza-dh4lx 24 күн бұрын
Tupo bzy 😂😂😂😂
@MariamOmary-ku9ns
@MariamOmary-ku9ns 23 күн бұрын
@FatimaFatima-bx8ez
@FatimaFatima-bx8ez Ай бұрын
Huyo mama ni mgombanishi kweli ❤😢😢congratulations nyote nawapenda 😊iyo kali ya mwaka😢😢😢😢🎉
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Tunakupend pia n sanaa kesho tukutan mapema
@najatkibwago2630
@najatkibwago2630 6 күн бұрын
Mashallah kazi nzur sna Ndg Zangu ❤
@PilyMswaki
@PilyMswaki Ай бұрын
Duh mpaka natamani kuwatafuta niigize nanyia napenda kazi zenu hongereni
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Asante sana karibu sanaA
@bobelichi7721
@bobelichi7721 Ай бұрын
Watu weeweeeeeeeeeeee tunasubiri mwendelezo mkuuu tureteee vitu❤❤❤❤❤🎉
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Pamoja sanaaa
@MRS-g2m
@MRS-g2m 5 күн бұрын
Mafunzo haya mm mama km huyu yuanikondesha😂😂😂😂😂siyawezi kabisa ya wardood niajalie na mama mkwe mwema mwenye kukuogopa ww ALLAH inshaallah amiin
@hamzaibrahimu
@hamzaibrahimu Ай бұрын
Huyu mama anafanya niichukie hii movie sijui hili limams lichawi 😢😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Jamani bas ntamfukuza asirudi tena😂😂😂😂
@MuhammedYasia
@MuhammedYasia 17 күн бұрын
Hpo swa​@@BinMahsen
@ZainabuMustafa-f6w
@ZainabuMustafa-f6w Ай бұрын
penda sana wake weza mpoooo mungu mzidi shie mume wangu kwakaz hiii❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
aMina ❤❤❤
@ZainabuMustafa-f6w
@ZainabuMustafa-f6w Ай бұрын
​@@BinMahsenyani ww
@idrisamodo4
@idrisamodo4 Ай бұрын
Wanao mkubali director like zao hapa
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Director bora mshallah asante kwa kazi nzur ya mathna season 2
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c Ай бұрын
Dah sijapenda kabisaa mm mkwe unachofany wenyew walikuw wapnda kwel x. Cx
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Mama mkwe jamn kafanyaje
@HUSNANyosso
@HUSNANyosso Ай бұрын
Simpendi mama mkwe anaeingilia furaha ya watoto
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaaan we acha tu
@AishaNasra
@AishaNasra Ай бұрын
Waaaaa mama mkwe moto wa kuotea mbali ila namkubali huyo mwanamke amjibu kitu kazi nzuri Wana mathna❤❤❤❤❤❤
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Shukrani sana ❤❤❤
@FatimaOman-wb8tn
@FatimaOman-wb8tn Ай бұрын
Wajua siku zote usimpe mana mjiga siku hazigand mungu atawambua
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
@FatimaOman-wb8tn mh sema sasa hiv mjinga anapewa maan n bado anabaki kuwa zoba😂😂
@gamala_og
@gamala_og 3 күн бұрын
nzuri
@hassanimsizilo
@hassanimsizilo Ай бұрын
Kka hii kali sana
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Adant sana kaa
@MaryanIssufo
@MaryanIssufo 5 күн бұрын
Fisadi kweli
@rahmaoman470
@rahmaoman470 Ай бұрын
Kaz nzuli mashallah 🎉
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Shukran
@Rehama-v5g
@Rehama-v5g Ай бұрын
Jamn
@kibibiabdalla1451
@kibibiabdalla1451 Ай бұрын
Mama shikamoo..umenifuraisha sihaba,..part yako umeicheza vizur sanaa❤
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Marhaba mwanang asant🫶🫶
@AishaMussa-r7z
@AishaMussa-r7z Ай бұрын
Ww acha tu
@Farthun
@Farthun Ай бұрын
Shukran sana vipenzi mambo yashajipa hapa 😘😘😘😘😘😘
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Asante enjoy
@azizaaziza7996
@azizaaziza7996 Ай бұрын
Ustazi mnafil
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Sanaaa alafu ajifanya anajua duaa hatar
@kibibiabdalla1451
@kibibiabdalla1451 Ай бұрын
Huyu mama anajua MashaAllah ♥️♥️
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Shukran
@RehemaMandai
@RehemaMandai 9 күн бұрын
Haya mwana sichana kooote ulikokuwa unazunguka ni pugu kariakoo hapa😂😂😂😂
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 28 күн бұрын
Kwetu kenya twasema kudzikuyakuya nkudzikato😂😂😂digo hoyeee
@BinMahsen
@BinMahsen 27 күн бұрын
Uthsi nene ukamara......Oyeeeee
@MWANAMKSlMWANAKASIHADSANNGWADU
@MWANAMKSlMWANAKASIHADSANNGWADU 23 күн бұрын
👌👌👌💃💃❤️❤️🥰🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@BinMahsen
@BinMahsen 21 күн бұрын
😂😂😂😂✌✌
@SleepingEyes-ej3ir
@SleepingEyes-ej3ir Ай бұрын
Wa mwisho jmn ustadh mungu anakuona 😂😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Wewe ustadh atakusomea du mbay we huogopi😂😂😂
@user-lt4db8df6e
@user-lt4db8df6e Ай бұрын
Next plz
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Tmorow inshallah
@maryamtanzania9743
@maryamtanzania9743 23 күн бұрын
Mimi ninavyopenda wanangu hivi nimfanyie mke wake hiv
@BinMahsen
@BinMahsen 21 күн бұрын
😂😂😂😂
@user-kq1sx1uc6z
@user-kq1sx1uc6z 15 күн бұрын
Ili mama ovyoo naloo
@AlsoAlso-mq3pu
@AlsoAlso-mq3pu Ай бұрын
Hyo mama mkwe,wamekula mchongo na shekhe
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Umeona eeeeh
@user-tj9og2ek4e
@user-tj9og2ek4e Ай бұрын
Wapi Leo
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Hapa hapa
@halimaali3719
@halimaali3719 Ай бұрын
Jamani mimi niko naona😅
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Wee tazam tu
@WanuHaji-g2e
@WanuHaji-g2e 11 күн бұрын
Mkwe fisadi Sana huyu Hawaiian ktk jamii
@user-yn7wk4re9z
@user-yn7wk4re9z 24 күн бұрын
mke mdogo kachangamsha move😂😂
@BinMahsen
@BinMahsen 21 күн бұрын
Haswaa
@JenniferTaitus
@JenniferTaitus 20 күн бұрын
Uyu mama mkwe mimi makofi nampiga
@MwanaMmmm
@MwanaMmmm 2 күн бұрын
Napenda ukewenza ila mamkwee loh tuta uwanaaa walai 😢
@IrfanVuai
@IrfanVuai 28 күн бұрын
Huyu mama kwel nimgombanishaji ilkua movie inaenda uzur mm naweza nikaichukia hyi movie kwa huyu mama
@BinMahsen
@BinMahsen 27 күн бұрын
Basi itabid tumfukuzee
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 24 күн бұрын
@@BinMahsenkweli mfukuze kabisa sababu amekuja kuaribu huba la wakewenza❤❤
@RizikiChamosi-u4x
@RizikiChamosi-u4x 26 күн бұрын
Wewe mama muogope mungu na wewe mtahalamu mpuuzi wa imani
@BinMahsen
@BinMahsen 26 күн бұрын
Yaani mpaka baasi ni aibu tupu
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 21 күн бұрын
Walimu mtachomwa paka mvi zenu, na mke mkubwa akua kafungwa na nani nae akua, kwenye Quran Kuna mizimu tena.
@ginafaruque5335
@ginafaruque5335 Ай бұрын
EP 3 mama mkwe mbaya sana
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Soon inshallah
@AnchaSaide-j6q
@AnchaSaide-j6q 10 күн бұрын
Uyu mama shetani kwel
@AminaMagulati
@AminaMagulati 24 күн бұрын
We mama mkwe mchawi kwel Lione kwanza kuhalibu furaha yawenzio
@BinMahsen
@BinMahsen 21 күн бұрын
😂😂😂😂
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 Ай бұрын
Ananikera huyu mamamkwe wallah mnafik mkubwa aki😢😢😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaani hunishindi mimi aki
@منيكينيا-و9ي
@منيكينيا-و9ي Ай бұрын
Walah malipo ni umu umu duniani uyu mama apna
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Haswaaa
@RaysMerige-cn6xg
@RaysMerige-cn6xg Ай бұрын
Wew mama
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
We nwana sichana
@HanifaHanifa-yw4pl
@HanifaHanifa-yw4pl 12 күн бұрын
🎉🎉
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 28 күн бұрын
Move nzuri ila huyo mama kwa kweli hapana🙌
@BinMahsen
@BinMahsen 26 күн бұрын
Hafai
@منيكينيا-و9ي
@منيكينيا-و9ي Ай бұрын
Walah uyu uwaarb hii movie😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Nni huyo
@user-qp6ge6rt6s
@user-qp6ge6rt6s Ай бұрын
Jaman nami nataka uke weza
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Karibu jamni mzur haswa
@user-dx6dm6lh1i
@user-dx6dm6lh1i 26 күн бұрын
Mh
@user-qp6ge6rt6s
@user-qp6ge6rt6s Ай бұрын
Huyo mkwe nae hataree
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaani hadi anakera
@timamulituto
@timamulituto Ай бұрын
sheee apo umitupiga
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MwanashaHemed-w3r
@MwanashaHemed-w3r Ай бұрын
Leten part 3
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Inshallah soon
@evesilayo740
@evesilayo740 Ай бұрын
Huyu mama mkwe ni motoo
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Hatariii
@RaimamomedSaidi-wz1yu
@RaimamomedSaidi-wz1yu Ай бұрын
Wake wenza kupendana ni neema kubwa kwa mume wao,lakin mama mkwe anakuja kuchafua mapenzi ya mtoto wake,habisi kwel huyo mama😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaani mimi sijapenda kabisa tabia ya mama mkwe
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 24 күн бұрын
@@BinMahsenkwanini umemleta kuja kuaribu Movie
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 21 күн бұрын
​@@ZulfahMuhammadni lazima angekuepo mana ni mambo yapo sana kwenye familia zetu na yanaendelea sana
@saumodzumbo9671
@saumodzumbo9671 Ай бұрын
Huyu mama namchukia 😢😢😢 angejua 😢😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Jaani kwa nn
@MariaFransis-g6l
@MariaFransis-g6l Ай бұрын
Yani huyu mama mkwe kichefuchef tuu kaja kuwatenganisha wapendanao
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaaani we acha
@ZuenaMhando
@ZuenaMhando 23 күн бұрын
Huyu mama ni mchawiii
@BinMahsen
@BinMahsen 21 күн бұрын
😂😂😂
@Farthun
@Farthun Ай бұрын
Mamamkwe mbona mgombanishaji sasa sijapenda anavyo fanya kwakweli 😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Jaman anamnusuru mke mdogo
@Farthun
@Farthun Ай бұрын
@@BinMahsen 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥲maneno hayo
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
@Farithun haswaa
@Farthun
@Farthun Ай бұрын
@@BinMahsen sema wako wanao pitia mitihani kama hii mm Nashkuru sikufikia huku lkin raha ya ndoa nikuelewana na mume wako na family nzima pia Wakwanza ni huyo mamamkwe Anatakiwa aongoze ndoa ya mwanawe na sikuharibu
@user-qs9rq5qn6q
@user-qs9rq5qn6q 2 күн бұрын
😂😂😂😂😢😢🎉🎉🎉❤❤❤❤
@user-zv2cp5bz3t
@user-zv2cp5bz3t Ай бұрын
Huy mam mkwe namtamani nimuonyesh ajutekichefchef kitupu
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Haaa ntakuletea
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c Ай бұрын
Duh sijawah kutoa koment nying kias hich umenituma San hat wangu mkorfi lakin hajaf Ikia hap
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Kweli jamni inbid tuandalie doz
@user-tj9og2ek4e
@user-tj9og2ek4e Ай бұрын
Huyo mam namtaka mm nimuoneshea
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 Ай бұрын
😅😅😅😅😅
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Jmni nakuletea
@hilalhilal222
@hilalhilal222 Ай бұрын
Ila mama mkwe sijapendraaa😢😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Jamni mm wa kimji huyo
@hilalhilal222
@hilalhilal222 Ай бұрын
@@BinMahsen mama mchonganishi 🙌🙌
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
@hilalhilal222 jamni eti unanuka GUBOGUBO NCHOYOYO😂😂😂😂
@esterkimalio8846
@esterkimalio8846 Ай бұрын
Hili limama mkwe lichawi tena lichwai hasa maana sio kwa mambo anayoyafanya huyu mama
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaaani wee yaache tu hatari
@maskiniHanamshirika
@maskiniHanamshirika 15 күн бұрын
Maskini mke mkubwa namuonea huruma😢😢😢
@mejumaakoja5050
@mejumaakoja5050 Ай бұрын
Ustadh nae analeta mapya😢ndio maana tukaambiwa ramli ni haram khaaaa
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaani wew yaache tuu
@Farthun
@Farthun Ай бұрын
Kabsa yaan anayo yasema nikugombanisha tu hapo. Kaka simama kama mume nautazame haki iko wapi ?mama anacho kifanya sio sawa kabsa utapoteza furaha ya ndoa yako
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
@Farithun sasa mke mdog nae si aamke alipolaa
@tumpembe2688
@tumpembe2688 15 күн бұрын
Mganga alaaniwe
@mukhtarsaid-mukinho
@mukhtarsaid-mukinho Ай бұрын
Yule mdada bonge mbona mmemtoa tena
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Majukumu yake mapya ya kazi ndo yamefanya tumtoe na ndio moja sababu ya kuchelewa
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 Ай бұрын
Huyu mama atakuja kuumbuka tu
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
💁 Wacha tuonee
@user-qp6ge6rt6s
@user-qp6ge6rt6s Ай бұрын
Shekhe vipi jaman weweeeeeee
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Shekh manyamnyam
@MwanashaHemed-w3r
@MwanashaHemed-w3r Ай бұрын
Jamn Mama mkwe n mgonganishi nyie 😢😢 mbn wakwe zako wanapenda 2 daah hyo moto , 😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaani kaja tuharibia ladha ya mapenz hatar
@MariamuShabani-u9o
@MariamuShabani-u9o 16 күн бұрын
Mm,acharohombaya
@Omphilelehlonolo
@Omphilelehlonolo Ай бұрын
Leila maman mkwe kakudanganya
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Aku mimi namuamin mama mkwe wang ananipenda
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg Ай бұрын
Hakuna mpatano mkemweza tends ya shindano siapi ilakushirikiana na mke mweza nishakoma
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Hebu tujuze maana yaonesh lilikukut jambo
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c Ай бұрын
Kam ni mm nasikikz nipte ukwel nijue Kam ni uongo duh huy mam mnafik kwelkwel
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Analind mali y mwanae
@BimkubwaJuma-ew5dg
@BimkubwaJuma-ew5dg Ай бұрын
Maana yashanikuta simkatazi mume kuowa ujinga huoo wamashirikiano sifanyi
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MwanasaadaAsha-es6ov
@MwanasaadaAsha-es6ov Ай бұрын
Mama mke huyu kiboko mbna ata haribu furaha ya mwanawe😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Mara ngapi na ndo kazi ishaanza
@AmnaAmna-l3u
@AmnaAmna-l3u Ай бұрын
Mama mke kiboko
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Hatreee
@shamzone388
@shamzone388 Ай бұрын
Huyu mama kama ngekuwa ni mimi ningemuuliza kama hiyo mimba sio ya mume wetu vipi umejua au mwanao hana nguvuza kutustareheshA
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@chunaabdullah1333
@chunaabdullah1333 21 күн бұрын
Naenda zitia moto zote alafu nifungashe mabahasha yangu mwanawe atakuja kwetu yy.. Alafu jiume lipo lime nyamaza tu langalia mkewe ananyanyasika na mmke chefuuu
@zawadiabdallah8342
@zawadiabdallah8342 Ай бұрын
Huyo mama kwenye ule move ya kilio cha mahaba akavunja doa ya mwanawe wa ujinga wake mwisho kikamkuta inamaana huy mama habadiliki tabia kila movie ndo tabia yake hiyohiyo au simpenda huyo tabia yake
@BinMahsen
@BinMahsen 28 күн бұрын
Haswaa mimi simpend
@RizikiZiki
@RizikiZiki 26 күн бұрын
Sasa mm mkwe ndoamekuja kugombanisha wake wamwanae nawalikua zao vizuri tu😢sasa utapata faidagani we mm acaubaya kumbuka ubaya ubwela😢
@BinMahsen
@BinMahsen 26 күн бұрын
Yaani wee ach wa mama wengin nuks
@RizikiZiki
@RizikiZiki 26 күн бұрын
Kiukweli anabowa​@@BinMahsen
@AminaKidare
@AminaKidare Ай бұрын
mmh ma mkwe hadi vipimo kaah
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Si ili ahakiki
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c Ай бұрын
Ukisikia unafik ndio huu du kwel nimeamin
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Kwann tena
@zawadiabdallah8342
@zawadiabdallah8342 Ай бұрын
Kwahali hyo ya mama mkwe kama ni mm nishaondoka zaman imenigusa
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Mwenzngu ndoa yahitaj uvumilivu
@zawadiabdallah8342
@zawadiabdallah8342 Ай бұрын
@@BinMahsen kwa mume saw nitamvumilia ila kwa mama mkwe hapana
@zawadiabdallah8342
@zawadiabdallah8342 Ай бұрын
@@BinMahsen mm sijaolewa ila hayo mambo siyawez
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
@@zawadiabdallah8342 jamni mama ashasem.Ukijua kumtunza mume ujue n kumtunza mama
@user-qp6ge6rt6s
@user-qp6ge6rt6s Ай бұрын
Nimecheka jaman huyu mkwe hataree kama mke mwenza
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaani wee acha tuu
@Fatema-n8x
@Fatema-n8x 23 күн бұрын
🫢🤭🫢🤭🫢🫢
@BinMahsen
@BinMahsen 21 күн бұрын
😂😂😂
@dorahpatrick6698
@dorahpatrick6698 28 күн бұрын
Kwani huyu bi mdashi katokea wapi khaii akajua mimba rahiiisi nyooo arudi kijijin hata kama n movie
@BinMahsen
@BinMahsen 26 күн бұрын
Yaani mimi mwenyewe nina plan ya kumfukuz kaz
@dorahpatrick6698
@dorahpatrick6698 26 күн бұрын
@@BinMahsen 😂😂😂💔🙌usimfukuze kazi sasa wajukuu watakula wapi
@bettyharrison8169
@bettyharrison8169 Ай бұрын
Mke ni wako siwa mamako heshimu mmako na mke mpe nafasi yake usikubali anyanyaswe pasipo na haki utaulizwa kiama broo,,,ukiona ananyanyaswa na unaangalia tu na mamako hana sababu ya msingi iyo ni haraam😢😢😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaani sasa si naogopa kukosa pepo kwa kumjeruia mama
@منيكينيا-و9ي
@منيكينيا-و9ي Ай бұрын
​@@BinMahsen Walah allah atunusur na wazaz wetu
@Naw89
@Naw89 Ай бұрын
Ndio maana mie sitaki hata kutibiwa na mtu yeyote Mana unaambiwa mambo hata huyaelewi
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
😂😂😂😂😂 merikh daheral maal
@matatomlik1846
@matatomlik1846 Ай бұрын
Hili limama limetokea wapi tena mlitoe tu
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Jamani tunalitoa sasa hivi
@Naw89
@Naw89 Ай бұрын
Astaghfirullah
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Wana tubuu ilayki
@ShakiraIbrahim-e7c
@ShakiraIbrahim-e7c Ай бұрын
Mama mnafki huyu anataka kuharibu tu ndoa za watu na upndo was watu aondke tu atuache na muv yet
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
😂😂😂 Mama kashafika mpo nae na mta tamba nae
@Aisha-ld3ol
@Aisha-ld3ol 18 күн бұрын
Mamamukwe munafikhe😢
@mejumaabaraza3989
@mejumaabaraza3989 28 күн бұрын
Huyu mama kama uyu ndio hawa mamazetu vyaa uku majumbani mtu huwa unatamani uchukue kidole ukibane na mlango askie vile unavyo sikia kama anakufanyia makuruhu 😏😏😏😏😏
@BinMahsen
@BinMahsen 27 күн бұрын
Umeona eeee😂😂😂
@mejumaakoja5050
@mejumaakoja5050 Ай бұрын
Mama mkwe wacha hizo 😢
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Yaaani sijui huyu mma mkwe ana roho gani wayajua mashendea wewe
@mejumaakoja5050
@mejumaakoja5050 Ай бұрын
Mimi mdogo halisi nijue mashendea😂😂😂😂unaphayaphaya uwe😂😂😂😂😂​@@BinMahsen
@user-qe3rx2ok7z
@user-qe3rx2ok7z Ай бұрын
Mama mkwe looh
@BinMahsen
@BinMahsen Ай бұрын
Mama mkwe kafanyaje
MATHNA(UKEWENZA) ..SEHEMU YA PILI(2)
12:30
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 88 М.
MATHNA{UKEWENZA}SEASON 2💘SEHEMU YA 4
34:45
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 31 М.
Modus males sekolah
00:14
fitrop
Рет қаралды 20 МЛН
WORLD BEST MAGIC SECRETS
00:50
MasomkaMagic
Рет қаралды 32 МЛН
Fake watermelon by Secret Vlog
00:16
Secret Vlog
Рет қаралды 15 МЛН
MKE MWENZA 1
19:30
ZACKPUNGASESE
Рет қаралды 21 М.
KIPESILE   | 1 |
23:39
Adery Masta
Рет қаралды 330 М.
JINI NANA [ ep01 ][ Full HD #KHAMISKING
21:58
KING MEDIA TZ
Рет қаралды 80 М.
Sahara Mohammed (Karembo) - ZUENA BTS INTERVIEW
4:24
Film Citi
Рет қаралды 474
MATHNA{UKEWENZA}..SEHEMU YA TANO
21:32
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 13 М.
MWANAFUNZI STEVE LEO KAYAKANYAGA TENA #stevemweusi  #baisamhela
11:16
MAMA MIMBA...MTOTO MIMBA 2
21:57
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 8 М.
MATHNA[UKEWENZA}SEASON 2.                    SEHEMU YA TATU💘💓
32:55
BIN MAHSEN FILM
Рет қаралды 33 М.
WALIMDHARAU KWASABABU YA KINYAGO KUMBE NI MTOTO WA MFALME | MOVIE KWA KISWAHILI
28:46
MAGIC SCHOOL | ep 02 | FULL EPISODE
33:50
Dubu Tz
Рет қаралды 139 М.