Kwangu mimi nadhani Tinny White ndo msanii wa vichesho anayeza kuchukua nafasi ya Zembela aliyeamua kusoma alama za nyakati na kujiongeza kuwa mwanahabari, na ametusua kutokana talanta ya vipaji alivyojaaliwa na Mwenyezi Mungu! Hongera sana Tinny White!