Wakae azam ndo uwanja wao,,wakae na uchawi wao,,sindano fc,,
@SaidMana-dp4et6 күн бұрын
Tunataka haki ya bodi ya ligi itendeke sasa hivi watanzania wameamka kuhusu mambo ya mpila hivyo tunataka haki itendeke bodi ya ligi ijue kwamba fahali wawili hawawezi kukaa zizi moja
@AbdallaAli-dn6xp6 күн бұрын
Taarifa bodi ya ligi wataruhusu kwan ni tawi la gsm hawa.
Bodi ya ligi muache upendeleo wenu mnaonyesha dhahiri kabisa embu iacheni Yanga icheze sehemu yenye usalama
@AbdallaAli-dn6xp6 күн бұрын
Hawa yanga wana lengo baya la kwenda kule kmc.
@jumaibrahim63126 күн бұрын
Body ya ligi wanaendeshwa na chuki namihemko tu hawa tumii akili na busara. Bodi ya ligi wanajua mgao wanaukosa.
@jimmymnuano71657 күн бұрын
Huyo ndio Madomo wa TFF mpya ndio msemaji na Mwana sheriya wao
@WazaeliStefano6 күн бұрын
Kulipa kwa mwezi ni mkatabaa
@priencedamdoek5087 күн бұрын
Wewe ni mwehu kama wehu wengine, huna hoja
@LinusKyando6 күн бұрын
WEWE NANI UNAHOJI????
@faridsalehmohamed12307 күн бұрын
Ulishaambiwa viongozi wa Bodi ya ligi wake zao wanafanya kazi kwa GSM
@AbdallaAli-dn6xp6 күн бұрын
Kama kuwachafua somba tu hawa.
@melkiadesmogella64027 күн бұрын
Hebu tuachie kelele mwehu wee
@melkiadesmogella64027 күн бұрын
Uwanja upo haupo?
@BabySaulo6 күн бұрын
Unasubilia we kama nan mbwaa ww
@LinusKyando6 күн бұрын
KENGE MKUBWA?!!!!!WEWE!
@AbdarahmanSoloka5 күн бұрын
acha ushamba nendashule
@GOLDIANEDRICK-sm6xk7 күн бұрын
Hivi huyu ni nani mbwa anaongea?
@BakariHassan-b1k6 күн бұрын
Kwani hata akihama yeye Ana kosa Gani wakati mtu kama kakidi kitu kurejesha kwa mwenjewe ni vibaya basi usi wape ruhusa huna lolote kwenda zako
@athumanibakari-j6u6 күн бұрын
Mashoko ya ya kushika wapi.we huna point,subiri uone,yanga ni kubwa kuliko wewe bro
@GOLDIANEDRICK-sm6xk7 күн бұрын
Acha ujinga wewe unapoteza muda tu
@leonardlubala3936 күн бұрын
Wewe na blog yako mna zungumza mambo ambayo hajafanyia utafiti hivyo mna tupotezea muda wetu. Kwa nini msiende kupata taarifa kamili kutoka bidi ya ligi?
@HABIBHASSAN-wf5mr7 күн бұрын
SIMBA MBONA ILICHAGUA UWANJA WA DODOMA WAKACHEA MECHI MOJA TU WAKAAMIA TENA DAR ES SALAAM ? AU HIZO SHERIA ZENU AZIIHUSU SIMBA ?
@timotheothadeomgassa49296 күн бұрын
Kitu unachopaswa kufahamu ni kwamba kanuni hubadilika kila msimu mpya wa mashindano unapoanza. Kwahiyo kanuni za msimu wa 2023/2024 hazitumiki kwenye msimu huu wa 2024/2025. Hivyo basi huwenda kanuni za msimu huu hazielekezi hivyo kama zile za msimu uliopita.
@HABIBHASSAN-wf5mr7 күн бұрын
UWANJA WA AZAM YANGA INAZO HAKI KUHAMA KWA KUDHALILISHWA NA WAFANYAKAZI WA AZAM .. ALAFU NYINYI TFF MNA UWANJA ? MPAKA MLETE MASHARTI KWENYE VIWANJA VYA WATU ?
@charleskuyeko44007 күн бұрын
Bodi ya Ligi na Tff ni mali ya Gsm na yanga yake. Kuwaruhusu Yanga kwenda KMC ni uvunjaji wa kanuni wanazozisimamia wenyewe na itakuja kuwarudi timu nyingine itakapotangaza kuhamia kiwanja kingine. Na kwamaana hiyo wameamua kuivuruga ligi na ratiba zake. Ni Tanzania tu wenye mamlaka huweka ushabiki wao na maslahi yao mbele kuliko sheria na kanun za mpira. Ndiyo maana na marefa wanaangalia ushabiki na maslahi yao. Ligi yetu haifai kuitwa iko namba 6 Afrika wakati imejaa madudu ya kipumbavu kama haya.