Рет қаралды 3,998
Matrekta 10 yaliyokuwa mali ya Simon Group wilayani Kilosa yamekamatwa na kamuni ya udalali ya Makers kufidia deni la mkopo wa thamani ya Sh750 milioni. Matrekta hayo yalikopwa kutoka kampuni ya Hughes Motors.
#AzamTVUpdates #AzamTVApp #Kamwene