Haka kabinti hakaboi kana vibe flani hivi sijui ni mimi ndio naona pekeyangu?
@walizanasiri49634 ай бұрын
Nakupenda maua mwijaku kakosea sana usimuache😂😂❤
@khamisshee8034 ай бұрын
Huyo mwijaku anawakosea Sana na Hana adabu na anajietaa star AKA BACHUCHU MOMBASA 001 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@adamsegeja8754 ай бұрын
Namkubali Sana huyu dada...
@aromaofzanzibar4 ай бұрын
Dada hujui kupika pilau haitiwi unga hata Chris ameshtuka lol....
@eliacmaginya34294 ай бұрын
Nahitaji unipikie
@sophiekindem90714 ай бұрын
Kwenye kupika mdogo Wangu.. Umefeli! 🤷🏽 Ata Ndizi Hujui kupika? Aibu baby girl 😊. You are so beautiful jinsi ulivyo 👍🏽👌🏽💯 Love yourself first!! Selflove my love.. 🤷🏽 Big B.. Ni majasho tuu.. Usiweke kabisaaaa Makalio.. Hit the gym.. You are 👍🏽👍🏽👍🏽
@Jam_stitches4 ай бұрын
Interview so good you just want to keep going... Maua is so real 💯
@user-uj5wg9mm2t4 ай бұрын
Mwijaku sio mzima jmn😂😂😂😂😂😂😂😂
@matanohassan96674 ай бұрын
MWIJAKU AKO POA ILA KATIKA MIPAKA YA MAONGEZI YEYE MWENYEWE HAJUI KAMA HUONGEA UTUMBO NA CHOO KULIKO ANAVODHANIA HAPO NDIO HUINGIA CHA KIKE AWACHE THAT KIND OF WORDS ATAKUJA MAHALI KUSHINDWA KUTOKA
@TforAfrica4 ай бұрын
HAKUNA DEMU TANZANIA ANAFIKIA UWEZO WA KUIMBA MAUA SAMA. WABONGO MTANIPINGA NAJUA 😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Chris sijapend unavo mcheka sky wetu bruh 😂😂😂😂 ila bruh sky mungu anakuona good interview Maua keep it up ❤
@harrsmgaya81414 ай бұрын
Maua your not serious!
@chizashungu83644 ай бұрын
Maua improve your music and brand.That's so important for you right now.
@shadiwaigwa92304 ай бұрын
Chele na unga, wapi na wapi jamani
@VexMaizoOfficial4 ай бұрын
Salama 2 nipeni like zangu ❤❤
@user-qi5ti3xb8o4 ай бұрын
Maua😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@bagumandongwe85664 ай бұрын
Mausama mwanamuziki mwenye heshima yake ya kipekee Tanzania lady jay dee ya wapili huyu!!!
@Mina.154 ай бұрын
Sama
@thestonetown33024 ай бұрын
Uyo demu anaonekana ni malaya kweli coz hakuna alichokanusha ktk yote alioongea mwijaku…..
@karimjuma40194 ай бұрын
Njaa
@farahanafarer75884 ай бұрын
Chapati kama unaweza kupika basi unajua kabisaa. Chris chapti unashiba kabisa dha usiambie kama huoni chakula
@BJOHNMAUSA4 ай бұрын
❤
@strong85344 ай бұрын
"According to what I've saw" 1:17:25 ....... According to what I've seen
@petroprenge87164 ай бұрын
Quality ya video na sound iko juu mno SnS.
@saumusalimuhassan24994 ай бұрын
Hatariiii fire 😂😂😂
@mshangaf17264 ай бұрын
😊😊😊
@jukaelyelisha63114 ай бұрын
😂😂😂😂😂ila maua Bwana hapo kwenye pilau yani yupo seriously utafikiria kweli
@user-qo8eu1br6f4 ай бұрын
😀😂😂😂😂 Daah hilo pilau cjawahi kulisikia hilo nila maua sama tuu
@bagumandongwe85664 ай бұрын
Aliongea ki utani tu wala hakumaanisha hivyoo,
@jukaelyelisha63114 ай бұрын
Yani mi kanifurahisha kweli maana amezidi utani
@foodbasiccourt20284 ай бұрын
Maua sama fanya mazoezi hakika vimatako vitachomoka natural
@RamazaniMulongeca4 ай бұрын
#Sky Kama anafanya rehearsal kwenye #CROWNTV/RADIO
@mwaminindayishimiye31494 ай бұрын
Yani Maua wewe noma😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
@bilid41284 ай бұрын
Hakuna mpishi hapo...😂😂😂 ni pilau gani hiyo inawekwa unga ...sijui sukari
@wemakalama64584 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣jamani
@user-bo2mx9dy6v4 ай бұрын
Maua upo real kwel
@pokapoka61804 ай бұрын
Kwa kweli mimi pia alichokifanya mwijaku siyo sawa hapo ameruka mipaka ,kila mtu anatakiwa kuheshimu mwenzake, hata yeye anaheshimiwa na watu
@user-qo8eu1br6f4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂 Hilo pilau la maua sama kibako daah cjawahi kusikia duuh
@aromaofzanzibar4 ай бұрын
🤣🤣🤣
@kekiplus1andonly4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂waaaaa leo nimecheka hatari chapati za vitabu au za kurasa😂😂😂maua Sama umejua kunifurahisha,labda unatania tu😂😂jamani Unga kwenye pilau😂😂😂anawachekesha tu huyu😂😂ila kama kweli njoo nikufundishe kupika shoga angu😂😂😂au bonyeza tu link kwenye bio yangu utapatana na video za kupika pilau tamu na rahisi.
@patrickjulius59514 ай бұрын
Upo vizuri ila mapishi auna.
@user-gj2mm3ko8m4 ай бұрын
❤❤❤❤🇰🇪
@suleimanlauzi50414 ай бұрын
Mauwa Nakupenda lkn hapo kwa pilau ya unga umechoma😂😂😂😂
@farahanafarer75884 ай бұрын
Mnh upikaji gani huo wa pilau hapo hujui kabisaa maua acha hizo hata viungo vya pialu hujui aisee nimekustukia hujui kupika kabisaa. Mwijako kasema kweli. Kaa hata viungo vya pilau kama Jira iliki amdalasini vitunguu nk yaani kha nimekushindwa kabisaa I wish uje tukufundishe dada
@user-sj6qh3yr5t4 ай бұрын
Maua kwa kweli ila mchele ni mmoja mapishi mbali mbali natamani ukipika tuone.
@mwajumabinwa6044 ай бұрын
kujeza uko kwiyo 😂😂😂😂 sky 😂😂😂
@ngoshawaboma61804 ай бұрын
amna kesi apoo
@thestonetown33024 ай бұрын
Tusivuke mipaka tangazo la Diamond plutnumz aka CHIBU…..naipenda Airtel…..
@dhuhasaid6364 ай бұрын
Pilau la sukari nitamu hajakosea❤
@naimanimo49254 ай бұрын
Is she okey ? How come still saying his her friend, then that man is always disrespecting women for how long his he going to disrespect women then keep apologising
@mamakekhubeiby42064 ай бұрын
Pilau ya Unga wa ngano Tamu sanaaaa 😂😂😂😂😂😂
@christinewilkerson13064 ай бұрын
Tell her to take the back seat.
@barakamollel81704 ай бұрын
Kumbe maua ni comedian
@scollantandu23504 ай бұрын
Mhmm makubwa haya kumbe mwijaku hajakosea kusema hujui kupika 😂😂😂😂
@mdbosco16404 ай бұрын
😄🤙
@fauziasultanikilewa76024 ай бұрын
Weeee hata rubi haingiiii 🎉🎉🎉
@aishabakari80404 ай бұрын
Maua 😂😂😂
@moizjohnston38414 ай бұрын
Nyie ni wapumbavu mziki umemshnda wap mbn ni mwimbaji mzr,huo umalaya mnafanya nae?
@user-fo8yc8xo8s4 ай бұрын
Mm sidhani kama niuongo alichokisema mwija kuna kauli alitumia kauli moja tu alitumia gigi money kwamba hakuna msanii ambae si malaya na hakuna msajinii ambae hafi........ Sasa mm naona nisawa tu
@chiccynaturaldamnhot8774 ай бұрын
Atuoneshe hiyo recipe Alooo
@najmasaleh55364 ай бұрын
Biriqn unga laaa aaa pole
@user-yq5he3jj9v4 ай бұрын
Mmh mbn aibu jmn maua
@naimanimo49254 ай бұрын
Uyu nimulevi ukweli ajuii kupika 😂😂😂
@yaduniapeter4 ай бұрын
😅😅😅😅
@townkidallnight4 ай бұрын
Hana siri huyu
@ayk204 ай бұрын
Nilijaribu kufuatilia interview za wasanii wa China wakiwa China cjawah kuona wakichanganya na kingereza ni lugha yao mwanzo mwisho
@farahanafarer75884 ай бұрын
Baby Sky anakazi yaani Sky hujui kucheza kabisaaa
@sheruajafari16764 ай бұрын
Mwijaku kazidi😂😂😂
@khalifamkali42864 ай бұрын
Sky ndio uliosema Iyo pilau yake iyooo
@Mina.154 ай бұрын
Abby na maua 😂😂😂😂
@xiomara11774 ай бұрын
Ila maua kwenye pilau katupiga😂😂😂😂
@aromaofzanzibar4 ай бұрын
🤣🤣🤣
@user-kd1kq6er8t4 ай бұрын
Huyu chai pia ataunguza 😂
@mwajumalubunga15344 ай бұрын
Pilau la mauwa lakuweka unga na malimao 😂😂😂😂 mnaskia uko viungo vya pilau wadau 😂😂😂
@shadiwaigwa92304 ай бұрын
Sasa mbona usikubali vile Allah amekuumba, hiyo mentality ni upuzi
@juma30494 ай бұрын
Ashapotea kwenye game huyu
@kizzasadamj6294 ай бұрын
Hakuna u serious hapo kilikua kiki lakini mwijaku kapitiriza
@djumadjumbe69074 ай бұрын
Sky Mwambie Smaa atuletee habari za Djimmy Barbecue (Aiti)
@rajabdibwa64154 ай бұрын
Ule upumbavu ameufanya lazima alipe
@nadinemasengo99704 ай бұрын
Hahah pilau na unga? Hahahahah sukari tena hakuna mpishi hapo
@TforAfrica4 ай бұрын
MAUA SAMA HATARI 😂
@HannanSomaiyah-wp7ny4 ай бұрын
Huyu badoo anatafuta mzuri badala kutafuta amani na mtu mwema
Kwani hapo ulipo hukai? Usimdhihaki Allah baki ulivyo tu hata kama ni star kuna waliojiongeza na wamekimbiwa haya kajit÷ngeneze fata mkumbo
@carloshernandezvalda21364 ай бұрын
Mua dada Msikivu uko poa
@hemedjackson22614 ай бұрын
Alipokuw mchepuko au alipokuw mzinifu unajuw hiz Zambi zinapambw mpk zinaonekan km halali vile
@christinewilkerson13064 ай бұрын
She got jokes
@Jibambeshow254k4 ай бұрын
Muasamaa hua napenda matani yako😂😂😂 eti pilau waeka sukari n unga daa warembo shikamoo
@christinewilkerson13064 ай бұрын
LIAR!!! There ain’t no wig on this earth that cost 2000$ The most I’ve seen is $1000 max
@janemhangomhango58414 ай бұрын
Hawa wanajuana ni Kiki tu hiyo
@m___ck7994 ай бұрын
Very talented lady but has no star Quality...and is the reason why Timberland aja-invest...if she had looks of Tyla..Timberland angeinvest haraka sana lakini ndio hivyo!!😅
@hanifamziray2774 ай бұрын
Hy ni muongo anafanya utani
@lizzygabriel96014 ай бұрын
Unga kwenye pilau 😂😂😂😂
@user-qo8eu1br6f4 ай бұрын
Nasukali daah
@Mina.154 ай бұрын
😂😂😂 cousin wa Abby charm
@svt34 ай бұрын
@@user-qo8eu1br6fkuna mpishi niliona instagram aliweka sukari kidogo kwenye pilau nilishangaa
@christinewilkerson13064 ай бұрын
Whotttt???SUGAR?? Are you KIDDING ME!!!!
@roybazigu7654 ай бұрын
maua sama ni mcheshi sanaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@allenjefwa8354 ай бұрын
Hata kama mwijaku ana makosa lakini kila kwenye utani kuna ukweli,huyu dada simuamini sana,mziki ulimshinda akaingilia kujiuza
@Jibambeshow254k4 ай бұрын
We ndio mnunuzii 😂😂 au ebu tupe evidence
@svt34 ай бұрын
@allenjefwa835: unauhakika anajiuza? Ama unamsindikiza baba yako kuenda kinunuwa K kwa Mauwa ndio sababu una uhakika
@fredericafredrick2424 ай бұрын
I don’t think she knows how to cook
@mwajumabinwa6044 ай бұрын
Mauwa sama iyomeno vipi 😂😂😂
@user-rm8zj5ib3r4 ай бұрын
Namshauri sana aaache maana mambo ya sheria yanamambo mengi